MAZITO: KESI INAYOMKABILI SAMUEL ETO'O YAFIKIA PABAYA, ATAKIWA KULIPA MAMILIONI "MATUNZO ZERO"

  Рет қаралды 21,799

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 66
@SAM_163
@SAM_163 Жыл бұрын
DADA MPYA UNAYETANGAZA AYO TV UMENIFANYA NIIIPENDE TENA AYO TV. YAANI NITAANZA KUIFUATILIA TENA AYO TV BECAUSE OF YOU. YOUR VOICE & UNIQUE STYLE OF NARRATING STORIES ... TOUR SO AMAZING MADAM 👏 😍 💖 💗
@lilianwaflotina1288
@lilianwaflotina1288 Жыл бұрын
Huyu mtangazaji yuko vizuri mno kama unaamini gonga like hapo
@rodgersgregory7198
@rodgersgregory7198 Жыл бұрын
Mtangazaji upo vizuri.utafika mbali😊
@IsaacParuz
@IsaacParuz Жыл бұрын
Unatangaza vzr hongera management ya millard ayo.. ufike mbali dada
@auntdorah9141
@auntdorah9141 Жыл бұрын
Wanaume Mungu anawaona...
@taswiramedia
@taswiramedia Жыл бұрын
DOSAR EP 02 kzbin.info/www/bejne/bnu7aKZreb6qpc0
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu Жыл бұрын
Mtoto anafanana sana na etoo
@abdulaziz703
@abdulaziz703 Жыл бұрын
Kiukweli wanawake ni changamoto sana katika hii dunia. Sishangai ndio maana maandiko yanasema tuishi nao kwa akili. Hii story inasimuliwa na mwanamke ndio maana tunaweza kuona Eto anamakosa moja kwa moja bila kusikiliza upande wa pili wa Eto maana ninauhakika nae atakuwa na yake ya kusema tena yenye mashiko. All in all, acha tuone kama Mungu ataruhusu shetani afanye kazi yake ikiwa amevaa vazi la mwanamke.
@edwinjhilbajojo2429
@edwinjhilbajojo2429 Жыл бұрын
“RUSHWA” NI ADUI MKUU WA HAKI DAIMA,,,😭😭😭💘💘
@SalehSaleh-yr7ce
@SalehSaleh-yr7ce Жыл бұрын
Jamaa hana baya kabisa ila2 ni shobo za wanawake walio wengi wakisha ona mtu anajina wako tayari kufanya kila ki2 ilimladi waonekane wapo na staa
@adamhamisi6161
@adamhamisi6161 Жыл бұрын
Una saut nzuri ya kutangaza ila soma kwanza zaid ya mara 1 kabla huja record na kuweka hewani unasoma kwa shida
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Жыл бұрын
Wanawake wana jipatia mimba kwa kuji tegesha WAMEZIDI
@sporastica7174
@sporastica7174 Жыл бұрын
Na mama ako pia au🤭😂
@hajikishuwa4375
@hajikishuwa4375 Жыл бұрын
Epuka kumlaumu m2 pasipo kujuwa sababu zilizopo nyuma yake endapo na wewe ungekaa nafasi yake ungelaumiwa vile vile .
@nancyg8664
@nancyg8664 Жыл бұрын
Ingekua kafanya ayo kwa mtu mmoja apo kwel lakini inaonekana ni tabia yake...kwanini asilaumiwe!
@husseinmassawa7186
@husseinmassawa7186 Жыл бұрын
Jera mara nyingi wanafungwa masikini
@eliadaniel216
@eliadaniel216 Жыл бұрын
Asilimia kubwa wanawake nyie ndo mnafanya watoto wetu watuchukie. Sisi baba zao sababu mkikaa ndani tu mnawambiaga viugomvi vyetu sisi nanyie mnawaeleza watoto shida shidaaaaaa
@sporastica7174
@sporastica7174 Жыл бұрын
We chizi hausikii story Eto'o sio mara yake ya kwanza kukataa watoto sio una toa hukumu sikiliza kwa makini hadi mwisho ndo useme lako
@DUL69
@DUL69 Жыл бұрын
Uko SAHIHI KABISA. Wake zetu huwa wanawajaza SUMU Watoto Mpaka wanatuchukia Sisi BABA ZAO.
@magrethmbangama1199
@magrethmbangama1199 Жыл бұрын
Ukitaka hayo yasikupate ishi na mke wako vizuri bc shida yenu mna makonakona mengi kutwa kutuumiza mioyo yetu,mama nae anaenda kutafuta faraja kwa watoto akitoa lililo mjaa moyoni anapata Amani.
@chuchufplatnumz4888
@chuchufplatnumz4888 Жыл бұрын
@@sporastica7174 Wewe ndo chizi kabisaaaaaaaa. Ng'ombe kabisaaaaaaaa. Na kama mtoto unae. Ana hasara.
@sporastica7174
@sporastica7174 Жыл бұрын
@@chuchufplatnumz4888 chizi baba ako 😂akazaa chizi kama wewe katafute hela mbwa wewe mwanaume unaitwa chuchu utalabwa
@DM_15
@DM_15 Жыл бұрын
Afungwe jela? 😂 kama huko uzunguni kuna haja gani. Wanawake wapo kwaajili yakutafuta kitongatuu
@singidaone5628
@singidaone5628 Жыл бұрын
Kesi nyingi wanafungwa masikini tu sio matajiri
@MajubuElias
@MajubuElias Жыл бұрын
Kwa muonekano huo kwa mbalii ni wake
@ramadhanijuma4130
@ramadhanijuma4130 Жыл бұрын
Jamaa kazaa na majimama tuu
@rukiauwonde7062
@rukiauwonde7062 Жыл бұрын
Sasa kwa nin hataki DNA it's means dam yake sema ubish tu wanaume wengine😢
@sporastica7174
@sporastica7174 Жыл бұрын
Umeona hiyo sura ni ya Eto'o 😂hakuna haja ya dna ikitoka ni mwanae ni jela moja kwa moja 😂
@eyabdimaha3698
@eyabdimaha3698 Жыл бұрын
etoo bro unaonekana matata tofauti na muonekano wako
@yuzzob
@yuzzob Жыл бұрын
Lete na ya Sadio Man'e
@gatotojeanalain4877
@gatotojeanalain4877 Жыл бұрын
Lazma ma bebero wakisha kuona na hela wa unde mbinu za kuzikucomowa
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 Жыл бұрын
Kuna baazi yawatu wasio jitambua wanatelekeza kila sehem Yani wanataka mama na mtoto wajilee kama mbuzi😊
@abdulaziz703
@abdulaziz703 Жыл бұрын
Mwanamke ndio anajua leo yupo danger au yupo safe kushiriki tendo. Anajileta kwangu nimnyandue tena peku bila kunitaarifu wala kuwa na malengo ya kuzaa na mimi, hivi unategemea akiniambia anamimba yangu baadae nitamuelewa kirahisi.?! Saa nyingine tuangalie jambo pande zote.
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
Ndo shida ya kuoa.mimama ya hovyo kama angepata mke.mwema wala yasingemfika
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 Жыл бұрын
Mwema angempata wapi wakati yeye sio mwema angekuwa mwema asingefanya zinaa
@eyabdimaha3698
@eyabdimaha3698 Жыл бұрын
​@@fatmafatu1128ukute wewe pia mzinifu
@allahisone6386
@allahisone6386 Жыл бұрын
​@@fatmafatu1128FACT🙌
@allahisone6386
@allahisone6386 Жыл бұрын
​@@eyabdimaha3698😂🤔😂
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 Жыл бұрын
@@eyabdimaha3698 mzinifu niwewe na ukoo wenu
@charsingarapi214
@charsingarapi214 Жыл бұрын
Mtangazaji unasimulia au unatoa hisia zako pole ya nini mimi nishabiki yake mnoo
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 Жыл бұрын
Ukiwa Africa uko nje za watu watakukomoa ili heshima ishuke
@florianhenry7198
@florianhenry7198 Жыл бұрын
Na sako kazaa na MTU hapa BONGO
@dennismadundounyamasanahom8435
@dennismadundounyamasanahom8435 Жыл бұрын
🤣🤣 wa bongo mmeanza sasa
@husrisanchez9781
@husrisanchez9781 Жыл бұрын
Mtoto wanafanana bwana😂
@adolfmathew9698
@adolfmathew9698 Жыл бұрын
Mtu mweusi lazma ataftiwe kisanga Ili mradi jina liharibike
@raymondclaud6026
@raymondclaud6026 Жыл бұрын
Hapo hakuna mtu mweusi kama ni damu yake anatakiwa achukue majukumu yake kama baba
@adolfmathew9698
@adolfmathew9698 Жыл бұрын
@@raymondclaud6026 bro ni sawa iyo ishu unavyosema ila kumbuka misala mingapi watu weusi tunatupiwa Ili kuharibu jina
@raymondclaud6026
@raymondclaud6026 Жыл бұрын
@@adolfmathew9698 ni kweli kaka ni mingi sana ndio hivyo hawa watu sijui wanatuonaje? Ila sio wote wapo wengine fresh tu
@johnnassary9995
@johnnassary9995 Жыл бұрын
cervix au cervical
@allymwilu8089
@allymwilu8089 Жыл бұрын
Mtoto kashapikwa kapikika anamzulu babaake maisha haya bwana looh
@sporastica7174
@sporastica7174 Жыл бұрын
Wanaume msio na hela sasa mnatoa hukumu 😂hata hamsikilizi kwa makini Eto'o ni tapeli mpigaji sio mara yake ya kwanza na ende jela tu
@allymwilu8089
@allymwilu8089 Жыл бұрын
@@sporastica7174 tatizo hamjui wanaume tunatabia gani ya ndani zaidi wanaume wakishakuona unatamaa na unaesabu zako za kiushindi kupitia yeye hata kama amezaa nawewe huna bahati alafu mi sio Kati ya wanaume wasio na HeLa Acha kukalili ndugu spora kunya chamba lala kama umezoea kukutana na wanaume wanaseleleka tu mnasonga sio Mimi nakuludia sporah usikalili Mimi nna cash kwaeli
@happylynguya3464
@happylynguya3464 Жыл бұрын
Ameyatafuta na ameyapata, kumbe hujaonewa wamekukomesha.
@barakahussein131
@barakahussein131 Жыл бұрын
Ni kashifa tu wanataka kumchafua etoo
@fatmashaibumkwpo2488
@fatmashaibumkwpo2488 Жыл бұрын
Kwa iyo hakutumia mpira mwanamke ka jitakia 😂alimpa yote
@hancevalence4936
@hancevalence4936 Жыл бұрын
sometim women know wanachofanya,may b she was a prostitute tu katega bomu
@simonntani7079
@simonntani7079 Жыл бұрын
Hapa Bongo Yuki Diamond muhuni asiyejuwa idadi ya watotowake. Wajiangaliesana,watakufaga NA Mimavi kwenye Matako kusumbuwa WATU kuwaosha.
@ikramalmas7039
@ikramalmas7039 Жыл бұрын
Tatizo wanawake wanajiachia
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,3 МЛН
How I Turned a Lolipop Into A New One 🤯🍭
00:19
Wian
Рет қаралды 11 МЛН
SISTER EXPOSED MY MAGIC @Whoispelagheya
00:45
MasomkaMagic
Рет қаралды 9 МЛН
黑的奸计得逞 #古风
00:24
Black and white double fury
Рет қаралды 17 МЛН
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 7 МЛН
Sifa za vitenge vya kigoma kutoka congo #macuptz #pacha
2:09
Baraka Macuptz
Рет қаралды 4,1 М.
Samuel Eto'o Lifestyle, Net Worth, House, Cars 2022
8:01
GoalNiza
Рет қаралды 38 М.
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,3 МЛН