asanteni sana Samia kwa kufika ARUShA je nakuuliza wamachinga na vijana wa bodaboda na wazee wa Mila waarusha na wameru wamburu na wamasai tunataka haki tupewe wamasai na waarusha na wameru wamburu wamasai wa ngorongoro waheshimiwe kitaifa. na kitaifa milele kama jamii ya maaa tunataka serekali iheshimu raia wema walio wengi vijana wapewe mashamba wajiajiri kuliko kuajiriwa na waarabu tumekataa kuporwa udongo wetu CCM ijali shida zetu amzitatui Wala kujali kutufikiria namna ya kuwaendeleza watanganyika wenu ni Simba sauti ya wanyonge Amen
@RuthMbise-fh9tj2 ай бұрын
Hongera makonda
@CBIBUREAU2 ай бұрын
Natamani kupata namba ya mheshimiwa Makonda Mkuu wa Mkoa wa Arusha ambaye ni kijana ambaye ni most talented ili nimshirikishe kwenye Wazo langu la maendeleo
@rosetreffert41792 ай бұрын
Hongera sana MAKONDA 🎉
@OnesmoNasari2 ай бұрын
Makonda hoyee kazana kuendeleza Arusha
@IreneUrassa-y3o2 ай бұрын
Tuongezeee makonda wengine na mgoti wengine
@ezekielmabwai4822 ай бұрын
Nhimishiwa akutana na wezi ARUSHA DUH?????
@hassanmeidimimollel18742 ай бұрын
Karibu Arusha mh mama wetu rais wetu mpendwa mama Samia suluhu hassan tunakuami sana mitano tena
@rosetreffert41792 ай бұрын
Shida kubwa ya huyu mama hana maamuzi dhabiti mwenyewe anaona madhaifu mengi yeye amebaki kwenye propaganda 😢maneno mengii