Mazungumzo na Dorothy Semu Kiongozi wa ACT Wazalendo | Jenerali Ulimwengu Exclusive on The Chanzo

  Рет қаралды 4,378

The Chanzo

The Chanzo

Күн бұрын

Katika mazungumzo haya na Jenerali Ulimwengu, Kiongozi mpya wa chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu ameeleza kwa kina juu ya safari yake ya kisiasa kwa kuangazia historia yake katika ngazi ya familia, elimu, utumishi wa umma mpaka kuamua kujiunga na ACT Wazalendo mwaka 2014.
Semu ambaye amkuwa mwanamke wa kwanza katika historia ya ACT Wazalendo kushika nafasi hiyo ya uongozi, amezungumzia pia masuala mtambuka kuhusu sera na mwelekeo wa kisiasa wa ACT Wazallendo na taifa kwa ujumla.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 21
@abujamalaalghammawiy7470
@abujamalaalghammawiy7470 6 ай бұрын
ACT azalendo hakika hiki ni chama kiongozi kwa sasa Tanzania, Mpo vizuri kwakweli, nimewafatilia sanaaa, mpo organized, mnawapa nafasi vijana zaidi na wanawake. Hiki ndio chama ambacho kijana anaweza kuifikia ndoto yake, kuliko kuingia kwenye vile vyama vingine ambavyo vina watu walewale siku zote. Kazi za wengine ni kuwasifu naa kuwaabudu tu, basi
@lgf7297
@lgf7297 6 ай бұрын
Jenerali anaweka maneno mdomoni mwa Doro. Tumehuru haiongezi kura. Nyerere amekaa miaka 25 chamade kimoja tumehuru hiyo hiyo. Hata angepammbana na Kambona au Mapalala au mbowe au tundulissu au Jeberali bado angeshinda. Time haiiongezi kura.
@taglwangastudentcentre4780
@taglwangastudentcentre4780 6 ай бұрын
Naona CCM wamefanikiwa kuweka viongozi wanaowataka wao ACT Wazalendo. Chama hiki ni cha kuipepea CCM inapotaka kufa.
@csato9415
@csato9415 6 ай бұрын
ACT- Wazalendo kiongozi umekazana na neno IMANI, hivi bado hamuoni hata hizi chaguzi mnazoshiriki mnalalamika kutotendewa haki, sasa huo muujiza wa CCM kubadilika utatoka wapi?
@festokemibala5832
@festokemibala5832 6 ай бұрын
Warambishwa asali hao wanapangwa kwa ajili ya kazi. Ukiwaona wanazungumza utadhani wako makini lkn ktk utekelezaji utabaini unafiki wao na mwishowe eti nao wanalalamika na waliohujumiwa. Kwa wenzetu huko hawa wanatakiwa kuchimbiwa shimo na kupigwa mawe!! Aidha, acheni hayo maneno ya "mfumo dume" kama mungu hakukupa hiyo karama hatima yake ndo mnapakatwa!! Siyo jukumu lenu, kaeni kwenye nafasi zenu na kama itatokea mungu akakuinua basi ng'ang'ana hapo!!
@kindysuleiman5935
@kindysuleiman5935 6 ай бұрын
Wakati utajibu ccm idea to breed ccm b
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 6 ай бұрын
ACT mnamatatizo ya akili mnaona tume sio nzuri harafu mnashiriki baadae mnararamika
@SaimonSanare
@SaimonSanare 6 ай бұрын
Atupe namba zake tuwashauri maana wanatuchosha wanashiriki uchaguzi huku wakijua tume sio huru alafu wanabaki kulalamika
@rab792
@rab792 6 ай бұрын
ni vichaaa hawa ccm B
@rwakyenderajulius3861
@rwakyenderajulius3861 6 ай бұрын
ACT wakifika kwenye ushiriki wa uchaguzi bila tume huru na katiba mpya !!!!!
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 6 ай бұрын
Kamatume sio huru harafu unashiriki akili yako sio nzuri punguwani
@fadhilahaji7929
@fadhilahaji7929 6 ай бұрын
Nyinyi mnasifia Mabadika hayo yaliofanywa na Bunge hivi karibuni wkti mdoho zte zlifnyika Bara na zanzbr mambo ni yale yale yauchafuzi wa uliopita
@fadhilahaji7929
@fadhilahaji7929 6 ай бұрын
Mh mbona hukutueleza elimu yko na hta umri wako
@omaryidd4373
@omaryidd4373 6 ай бұрын
Ulimwengu hakuelewi huyo mb zangu zinaisha bure
@fadhilahaji7929
@fadhilahaji7929 6 ай бұрын
Hatujakujuavizuri ingawa nakumbuka bilashaka ulijieleza wkti waugombea uwkngozi
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 6 ай бұрын
😮😮😮😮😮😮
@musa-v3f
@musa-v3f 6 ай бұрын
FREE ADVICE to ACT WAZALENDO don't look at WHAT CCM/Kinana/Samia SAYS IN THE PUBLIC look at what they do. actions speak louder than words. Stop complaining UNITE WITH CHADEMA TO FIGHT FOR INDEPENDENT ELECTRORAL COMMISSION AND NEW CONSTITUTION...
@EliakimMollel-r2q
@EliakimMollel-r2q 6 ай бұрын
Ccm. B pumbavu ninyi ACT ninyi ni mamluki wa.ccm
@fadhilahaji7929
@fadhilahaji7929 6 ай бұрын
Nyinyi muko kinyume nawenzenu wa NCC R mageuzi ambao wao hawaungi mkono mabadiliko yaSheria zauchaguzi
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 6 ай бұрын
Hawa.wajinga.wasubili.ushenzi.wa.ccm.na.wasilalamike..au.wawaulize.cuf..serilikali.ya.umoja.zanzibali.mnataka.kujitoa..hivi.mna.akili?
@osodowilberforce2321
@osodowilberforce2321 6 ай бұрын
Generali,tafadhali ushuhulike na mambo ya kisiasa ya kuleta mabadiliko ya kisiasa ya kuleta katiba mpyab ya inchi jirani mwema ya Tanzania.Jumuika na Chadema na Mbowe,Tundu Lissu,na wanasiasa wengine wa maono mengi kama Sugu,Lema,Msigwa,Heche,na wengine.Kwa hivi sasa,na ujasiri wako wote umebaki mwanahabari tu,si mwanasiasa unoyojali hatma ya Watanzania.Nimesikitika sana na wewe.Please,Generali as you age like all of us,display your political/social wisdom and stop these journalitic tendancies of interviewing mediocres.You are displaying political cowardice to the Tanzanian people who respect you so muchfor your previous political stands.Remember you were a DC-Beurucrat,an MP,not sure,above all you are a Lawyer/Jounast.Get to the Forefront and fight for a new CONSTITUTION FOR THE PEOPLE OF TANZANIA,Dont hide your cowardice in Journalism.Pole sana ndugu.
Makuadi  wa Soko Huria - Jenerali Ulimwengu na Gululi Kashinde
22:27
Jenerali Online
Рет қаралды 3,6 М.
А что бы ты сделал? @LimbLossBoss
00:17
История одного вокалиста
Рет қаралды 9 МЛН
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 127 МЛН
KUMBE MWALIMU J K NYERERE  ALIKUWA MSIKIVU SIKILIZA SHUHUDA HIZI
8:08
Historia Tanzania
Рет қаралды 123
KUOTA VIONGOZI WA NCHI NA WAFALME.
9:09
OPTIMIST: Maalim Abalhasan
Рет қаралды 29 М.
ALIEJIFANYA KATIBU WA ACT MTAMBWE AOMBA RADHI
10:29
ACT Wazalendo Digital
Рет қаралды 8 М.
Mtoto Yohana Tumpongeze Rais Magufuli wimbo wake mpya akiimba Mito ya Baraka Church
8:31
А что бы ты сделал? @LimbLossBoss
00:17
История одного вокалиста
Рет қаралды 9 МЛН