KUOTA VIONGOZI WA NCHI NA WAFALME.

  Рет қаралды 30,775

OPTIMIST: Maalim Abalhasan

OPTIMIST: Maalim Abalhasan

Күн бұрын

Пікірлер: 107
@OtiliaPius-dr1be
@OtiliaPius-dr1be 4 ай бұрын
Asante sanakwatafsiri mana ilikua inanipa shida sana kuitafsiri hii ndoto ya viongozi Mwenyezi Mungu aendelee kukulinda Maali wetu akuepushe na kila shari akupe kila lenye kheri 🤲🏾
@khadijaangore4408
@khadijaangore4408 4 жыл бұрын
Waalykum msaalam waramatulah wabarakatul. Shukran jazakaallah kheir. Kwa tafsiri nzuri Alhamdulillah Allah barik.❤👍
@MAALIMish
@MAALIMish 3 жыл бұрын
Aamiyn yaa Rabb
@adanmaalim2888
@adanmaalim2888 2 жыл бұрын
@@MAALIMish ty
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
​@@MAALIMishshekh ukiota unaongea na msanii maarufu sana nini maana yake
@jacksonbiswalo8360
@jacksonbiswalo8360 3 жыл бұрын
Kelele sana shekh hyo filimbi.
@halimaally4769
@halimaally4769 3 жыл бұрын
Ahasante ata mimi naota sana nikikutana nao allah atubariki nawe piya nshaallah
@jamalabbas492
@jamalabbas492 Жыл бұрын
Hiyo sauti ya background inasababisha mtu asisikie kinachongelewa
@MwajumaBakar-b7f
@MwajumaBakar-b7f Жыл бұрын
Mziki uko juu
@williamwekesa7065
@williamwekesa7065 Ай бұрын
Ukioda unasalimiana na raise wa ichi president anakwambia hongera hongera kwa kasi
@lilianmuhochi1152
@lilianmuhochi1152 4 жыл бұрын
Punguza back ground ya saut ni kubwaa kuliko saut yako. Asante
@MAALIMish
@MAALIMish 3 жыл бұрын
Soma maelezo tu. Hiyo saut itakua mambo ya ufundi wa wataalam. Pia Tuwasiliane :+255 713 351781
@reen_yamagucci
@reen_yamagucci 9 күн бұрын
Nimeota nipo kwenye mkusanyiko mkubwa wasiasa nimeona viongozi wa nchi wakubwa (nyerere) Na nikaona pia nimemuona marehem (baba) yangu wote wapo hai nilipewa kiti nikae Karibu Na nyerere lakini kwasababu ya watu wengi nikambiwa nikae chini pembeni baadae nikaona nime simama Na nikaenda upande mwingine kukaa na baba yangu alikuwa ananitafuta nilipoenda lkn nimesahau mwisho
@nuruabdullah7814
@nuruabdullah7814 3 жыл бұрын
Background yasauti imezidi sauti yako Sheikh halafu number ni ndogo Sana sioni vizuri ziweke kwa ukubwa nami nizipate sheikh macho yangu sioni vizuri
@MAALIMish
@MAALIMish Жыл бұрын
+255 713 351781
@ebrahimabdi2924
@ebrahimabdi2924 Ай бұрын
Daaah icho kinanda kinakera asaa
@nyirandagijimanashamila6230
@nyirandagijimanashamila6230 3 жыл бұрын
Asalamu alaykum warahmatullah wabarakatu mziki umezidi sauti
@MAALIMish
@MAALIMish 3 жыл бұрын
Mtaalam atarekebisha wakat mwengine... Inshaallaah
@moussadunia
@moussadunia Ай бұрын
Nisha ota naongeya na rais wetu wa Congo mara sita tukila pamoja, tukizungumza na hata tuki lala nyumba moja. Hapa siku zilipita nili zungumza na rais wa Rwanda tuki tembeya naye pamoja na watu wengi kutu sindikiza wakati tuki tembeya tuki ongeya
@arjenarjen6718
@arjenarjen6718 2 жыл бұрын
Mziki umekithiri sana
@MAALIMish
@MAALIMish Жыл бұрын
Poleni sana. Wakat mwengune watapunguza sauti ya back ground
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
​@@MAALIMishshekh ukiota unaongea na msanii maarufu nini maana yake
@williamwekesa7065
@williamwekesa7065 Ай бұрын
Umefalia mavazi ya jeshi kubwa
@biramsakh9212
@biramsakh9212 3 жыл бұрын
Tatizo ilo zumari duh subhanallah
@mamiyfeiy
@mamiyfeiy 2 жыл бұрын
Halina hata faida hilo firimbi
@mswakisaid2320
@mswakisaid2320 Ай бұрын
Background tafadhal iwe kwa mbali maalim wangu
@fatmaabdalla8543
@fatmaabdalla8543 2 жыл бұрын
Mm nimemuota mh. Samia kaja nyumbani na tukazungumza
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 10 ай бұрын
Sauti ya kinanda iko juu sana uwe watoa ili tuende sawa apo tunakua tunasikiliza mziki tu..
@RAHIMULEMU
@RAHIMULEMU Ай бұрын
Makelele tu
@Sarahsaid2648
@Sarahsaid2648 2 жыл бұрын
Ya pili nimemuota mh rais Samia akirushiwa mawe na watu sasa Mimi nikawa namtetea nikapigwa baadhi ya mawe zen nikampeleka sehemu iliyo salama zen nikarud kuja kushambulia wale watu lkn walikuwa wengi tena wakati nawarudia walikuwa na silaha Kali Sana ikabidi nirudi ili nijipange....mh rais Samia akasema inabidi niende nukajifunze mafunzo ya kupigana ili nije nimlinde hii maana ake nin jmn.....na huu mwezi naota viongozi wakubwa wakubwa tu🙄🤔🤔
@gracejonh4022
@gracejonh4022 Жыл бұрын
😁😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣 yaan nimecheka
@HabibaLukinga
@HabibaLukinga 3 ай бұрын
@@gracejonh4022Unacheka nini🤣🤣🤣wallah me akuuu😆😆
@sashatom9463
@sashatom9463 Жыл бұрын
Mimi nimeota tunaenda kumzika Rais wanchi fulani na tunenda na kuimba nyimbo zaknaigeria tupo watu wengi mpaka namtoto wangu ma watoto wengine nawatuniwengi sana...hii inamaana gani
@MAALIMish
@MAALIMish Жыл бұрын
Tuwasiliane humu ndugu yangu... +255 713 351781
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
​@@MAALIMishshekh ukiota unaongea na msanii maarufu huku mmeshikana mikono nini maana yake
@aishabakar796
@aishabakar796 3 жыл бұрын
Hii video isiwekewe mluzi km huo hupati kuyasikia maneno
@AhamadChitanda
@AhamadChitanda 3 ай бұрын
Mim nimeota nipo na raisi yeye alikuja kukagua miladi mbalimbali
@patricksindakila1909
@patricksindakila1909 11 ай бұрын
mimi nimeota président tunaongeya naye kisha anipa baasha ya pesa kisha akaniita tena walikuwa na papa wa kanisa ya catholiki !! Président alinipa pesa nyingi Sana
@avalonking1655
@avalonking1655 Жыл бұрын
Hufahamiki bora upige uwo mziki utaeleweka kwasabu mm naona naskia mziki tu cskii kitu
@mrishomatwiga7780
@mrishomatwiga7780 2 ай бұрын
Naam khaji namba yko iko wp
@Sarahsaid2648
@Sarahsaid2648 2 жыл бұрын
Juzi kuamkia Jana nimeota mwamposa amejenga daraja lkn halijaisha na sehem aliyojenga pana tope Sana na hapapitiki hiyo ya kwanza
@akidanyanje9072
@akidanyanje9072 3 жыл бұрын
Toa sound ktk nakala zako mana hatukuelewi huku unaongea huku sounds ndio vp
@williamwekesa7065
@williamwekesa7065 Ай бұрын
Ukioda unapewa mavuno ndizi Mali lindi hiyo Mali
@francinechirezi506
@francinechirezi506 3 жыл бұрын
Mbona kelele nyingi
@nabirabakary4209
@nabirabakary4209 3 жыл бұрын
Asalaam alykum Sheikh mimi nimekuota Rais Samia ananipa pesa
@MAALIMish
@MAALIMish Жыл бұрын
W ssalaam ndugu yangu. Ni vzuri ukataja na muda wa ndoto hiyo.
@KeyanChamp
@KeyanChamp 2 ай бұрын
Acha story ndefu kaka towa nasaa
@fatmahraseid7019
@fatmahraseid7019 Жыл бұрын
Sasa ndo na huu mziki jamani eh
@sahimnei7235
@sahimnei7235 4 ай бұрын
Kelele 😢
@patricksindakila1909
@patricksindakila1909 11 ай бұрын
kisha tukapiga pisha pamoya na président wetu wa congo
@hafidh571
@hafidh571 Жыл бұрын
Sh mm nimeota nip na rais na kanipa nafas ya kukaribisha wageni kw ajili ya kusoma maulid ya mtume
@seifsalum8693
@seifsalum8693 3 ай бұрын
Hyo filimbi shekh tafuta mtu anaejua ku edit unaeleza vizur ila hyo sauti ya filimbi Ina keraa
@mussajalufu8910
@mussajalufu8910 3 жыл бұрын
Kaka sauti lakinanda kubwa mno mbaka hatukusukii vizuri zaidi ya makelele ya filimbi.
@MAALIMish
@MAALIMish 3 жыл бұрын
Poleni sana wapendwa. Wataalam w atarekebisha hilo.
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
​@@MAALIMishukiota unaongea na msanii maarufu huku mmeshikana mikono nini maana yake
@TpPt-do5vg
@TpPt-do5vg 8 ай бұрын
Pia naongea Sana kuliko point yenyew mie huyu hanifai
@hafidh571
@hafidh571 Жыл бұрын
Natak nijuw inamaana gan
@MichaelMartine-u8s
@MichaelMartine-u8s 4 ай бұрын
Hiyo filimbi ya Nini mbona hivyo hata hatusikii
@hawahawa4976
@hawahawa4976 3 жыл бұрын
Alhamdulillah
@MAALIMish
@MAALIMish 3 жыл бұрын
Karibu sana. Tuwasiliane +255 713 351781
@alisayyidahmedmohamedalisa736
@alisayyidahmedmohamedalisa736 2 жыл бұрын
Hiyo kasida ndiyo imenifanya nisisikiye vizuri yataka uizime unapo tufasiriya ndoto
@MAALIMish
@MAALIMish Жыл бұрын
Sawa ndugu yangu. Nmeshafikisha malalamiko ya dsut ya mziki kwa wataalam wetu. Watarekebisha.
@rufusmusa
@rufusmusa Жыл бұрын
Huo mziki unatatiza mazungumzo, na unakera Sana.
@avalonking1655
@avalonking1655 Жыл бұрын
Wewe fani yako ni huo mziki shehe wng
@peshngugi8701
@peshngugi8701 4 жыл бұрын
Niliota kiogozi wa nchi yaani first president but alikufa wakiwa na viongozi wengine sijui kuliedaji tukasemezana ikatokea vita nikachukua panga nikamkata kichwa wakanikimbiza mpaka ma askari wakanizunguka wakaninyoshea pistol hao askari nikasimama na pia hao askari nawajua iko na maana gani hii ndoto
@khadijamussa2081
@khadijamussa2081 3 жыл бұрын
Nimecheka hahahahaaa
@hamidaomarykondo2389
@hamidaomarykondo2389 3 жыл бұрын
Kazi nzuri ila punguza au ondoa kabisa sauti ya zumari.
@subiramohd1895
@subiramohd1895 3 жыл бұрын
Ndoto hiyo inaashiria maadui uchawi kurogwa askari ndotoni ni ishara ya kurogwa askari kila siku ni adui kwa watu jiombee dua
@jacklinemawe7078
@jacklinemawe7078 3 жыл бұрын
Aiseeee saut rafiki imezidiwa na filimbi
@allanmbilinyi4826
@allanmbilinyi4826 Жыл бұрын
Niliota nilikuwanimechukua gest ,gest hiyo na Rais M7 aliniuliza unapenda KUWA Tajiri nikajibu ndiyo?ukalete dumbo hapo NJEnikafuatia dumbo akasemasema maneno AMBAYO sikujajua.Mh.nini maana yake ?
@allanmbilinyi4826
@allanmbilinyi4826 Жыл бұрын
Aliniambia nikalete fimbo nje
@nassorkhamis4737
@nassorkhamis4737 3 жыл бұрын
Na ww unataja jina la Allah apo na zumari hio vipi sheikh wangu unakwama wapi
@yassinkimaka2
@yassinkimaka2 2 жыл бұрын
Niliota nimekuwa Raisi
@mzeeyahya2516
@mzeeyahya2516 3 жыл бұрын
Nzumari
@allysele4265
@allysele4265 3 жыл бұрын
Punguza sauti ya mziki
@MAALIMish
@MAALIMish Жыл бұрын
Watafanya hivyo wataalam wetu .
@elizabethndunge204
@elizabethndunge204 3 жыл бұрын
Niliota nikilala raisi but alikuwa amen lewa
@WentExtinct
@WentExtinct Жыл бұрын
Kimapenzi au kawaida
@maryammarjan4015
@maryammarjan4015 2 жыл бұрын
shukran
@oman1oman179
@oman1oman179 11 ай бұрын
Tatizo mziki hatuelewi
@avalonking1655
@avalonking1655 Жыл бұрын
Hapo huo mziki ata hauna haja shehe wng amua moja kama unataka kupiga mziki bx piga mxiki
@zureashomari2408
@zureashomari2408 4 ай бұрын
Fulimbi za nn Sasa
@RosemaryLema
@RosemaryLema Жыл бұрын
Juzi nmeota tulia Ackson amefariki nn maana yake
@MAALIMish
@MAALIMish Жыл бұрын
+255 713351781
@RamadhaSeleman
@RamadhaSeleman Жыл бұрын
Vipi Ukiota unafanya mapanzi na mtu unae mjua
@khadijaamour7654
@khadijaamour7654 4 жыл бұрын
Mziki umezidi
@nassorkhamis4737
@nassorkhamis4737 3 жыл бұрын
Zumari ni haramu
@aishasaid9110
@aishasaid9110 3 жыл бұрын
ukisimulia toa hicho kinanda hauskiki kwa ajili ya kinanda
@barakamungah5552
@barakamungah5552 3 жыл бұрын
Mbabaishaj ww
@MAALIMish
@MAALIMish 3 жыл бұрын
Basi ww utakua mtaalam zaid.
@fatmaissa5685
@fatmaissa5685 3 жыл бұрын
Nimemuotea kiongozi mkuu anafanyiwa birthday lakini yuko kitandani
@MAALIMish
@MAALIMish Жыл бұрын
Ilikua muda gan? Ukiota ndoto hiyo
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 6 ай бұрын
​@@MAALIMishkuota uko na kiongozi wa wayahudi nini maana yake
@samayraaliy1198
@samayraaliy1198 2 жыл бұрын
Mziki mkubwa kulik saut.inaumiza maskio
@deogratiasassey6872
@deogratiasassey6872 4 жыл бұрын
Acheni kuingilia kazi za watu basi
@zubedarichard2311
@zubedarichard2311 2 жыл бұрын
Yaani wakristo bhana Kila Jambo ubishi tuu lkn mkiletewa mitume fake hamchukii eeeh em mpunguzegee bna.
@ramlahmohamed6465
@ramlahmohamed6465 Жыл бұрын
Kiukweli mfasiri wetu umekua una maneno mengi hauendi kwenye point hivyo unaboa
@MAALIMish
@MAALIMish Жыл бұрын
Ha ha JAHILI anamfunza mjuzi. Ilipofika Dunia.
@halimakihame1744
@halimakihame1744 3 жыл бұрын
Hii nai ya nn SASA inaleta zogo
@MAALIMish
@MAALIMish 3 жыл бұрын
Ndio utaratib wetu mpendwa. Kuhus saut wataalam watawapunguzia saut... Next time.
@subirakwandu9562
@subirakwandu9562 2 жыл бұрын
Mi nimeota nimechumbiwa na mfalme tena naheshimiwa sana nini maana yake
@MuhinaAMwangoto
@MuhinaAMwangoto Жыл бұрын
Wewe ni tajiri wa baadae, nitakupa namba zangu ucnishau ndugu😁😁🤝
@gracejonh4022
@gracejonh4022 Жыл бұрын
😁😁😁😁😁
@patricksindakila1909
@patricksindakila1909 11 ай бұрын
mimi nimeota président tunaongeya naye kisha anipa baasha ya pesa kisha akaniita tena walikuwa na papa wa kanisa ya catholiki !! Président alinipa pesa nyingi Sana
@babulovakizazi5619
@babulovakizazi5619 7 ай бұрын
Shukran
Aliyemuona Rais katika ndoto Sheikh :Jafari Mtavassy                        mfasiri bingwa wa ndoto
14:20
Vampire SUCKS Human Energy 🧛🏻‍♂️🪫 (ft. @StevenHe )
0:34
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 138 МЛН
Air Sigma Girl #sigma
0:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 45 МЛН
УЛИЧНЫЕ МУЗЫКАНТЫ В СОЧИ 🤘🏻
0:33
РОК ЗАВОД
Рет қаралды 7 МЛН
UTABIRI WA MATUKIO YA MWAKA 2025 KWA KILA NYOTA ZETU 12.
23:55
OPTIMIST: Maalim Abalhasan
Рет қаралды 7 М.
UKIOTA NDOTO HIZI UJUE DUA ZAKO ZISHAJIBIWA
13:07
Mponda Media
Рет қаралды 19 М.
UTABIRI WA MATUKIO YA DUNIA KWA UJUMLA MWAKA 2025
17:09
OPTIMIST: Maalim Abalhasan
Рет қаралды 2,1 М.