Mch. Mbarikiwa, wewe hauna unafiki, hila, wivu wala chuki ndani yako. Wewe ni mkweli, unauishi, unaufundisha na kuusimamia. Mungu azidi kukutunza, kukulinda, kukuinua na kukupigania!
Safi sana mubarikiwa ,unahubili lnjili isiyo goshiwa,
@AGATHACLAVERYMAKANTA2 ай бұрын
Amina amina baba, umeeleweka vizuri sana, MUNGU azidi kukufunulia mengi ili wanyoke ktk hicho wanacho kiita wokovu na kumbe wanafanya uwovu zaidi, barikiwa sana baba.
@Janetjanet-ke9fv2 ай бұрын
Amen amen mchungaji hii ndio injili tunayo ihitaji katika nyakati hizi za mwisho wa kupona na apone na wakukataa na akatae ukweli lazima usemwe🙏 MUNGU akupe maisha marefu 🙏🙏
@ugalidona-cs2yn2 ай бұрын
Naam Naam hakika.
@jacksonnzai15932 ай бұрын
Uko sahihi Mzee na siwewe tu ila Bwana na Rohi wake yu ndani yako
@florasingano58592 ай бұрын
Umenifunza mtumishi wa Mungu, hapo kwenye kuwapinga na kula vya kwao.. Ndio maana tuliambiwa tusifungiwe nira pamoja na wasioamini..
@CalebAmon-d6w2 ай бұрын
AMEN WEWE NI MASHINE YA KUNYOSHA MAWIMBI YA MBAO
@EdwardMwasyamula2 ай бұрын
Amina UBALIKIWE sana baba
@InosentArunaSimba2 ай бұрын
Uko vizuri mbarikiwa Tena Sana ❤
@johnkaliwanje4342 ай бұрын
hongera kiongoz naona uko vzur kitechnolojia, naona mitambo yko iko fit kwelkwel, maana nakupata vzur kabisa, uko kwenye viwango sana boss, Mungu akubariki sana kama jina lako lilivyo
@personalitiesan98062 ай бұрын
Yani masanja anazingua.......safi sana mtumishi kwa kumkemia huyu jamii
@arnoldkisanga2 ай бұрын
Safi, umefafanua vizuri.
@emanuelmargwe70872 ай бұрын
Mbarikiwa ni mtu mwema sana kwenye injili, tatizo kizazi hiki cha nyoka kimeujaza udunia kwenye mioyo yao. Mungu azidi kukutumia mtu wa Mungu
@DaudiMakazaАй бұрын
Amina baba
@EsterMwasandube2 ай бұрын
Baba nimeupenda sana wimbo unaopugwa hapo
@JastiniElishawaokoke2 ай бұрын
Mbarikiwa kemeaSana thambi usiogope mchungaji Hilo niagizo mungu (isaya58:1
@mbelechimakobola88352 ай бұрын
Yes safi kabisa injili iendelee mtumishi wa Bwana, hao wote kina masanja hatuwaelewi
Hakika , unafundisha na kukemea, Naomba MUNGU aniguse Leo hii
@Pihansmo2 ай бұрын
Nadhani kila mtu ana style yake ya kuhubiri 😮😮😮
@RoberthJasesa2 ай бұрын
Saaaf mbarikiwa
@fortuneakankizya53362 ай бұрын
Mi simkubali masanja mkandamizaji
@ThomasMsigala-r1i2 ай бұрын
Mwenye macho ya kuona haambiwi tazama
@YonafikaMtaeАй бұрын
Nadhan Kukemea, kuonya n wajibu wetu sote licha yamadhaifu yetu. Hakika BWANA amsaidie na atusaidie sote kuenende kwa kile neno anasema kwa neno lake yaan maandiko matakatifu
@albertinamichael61232 ай бұрын
Big 🖐🖐🖐 hizo ni taka taka.
@HelbethMlelwa2 ай бұрын
Dunia ilipo iko mbali sana na uhalisia wa imani ulivyokuwa. Sasa hivi kucheka au kuchekesha watu wanaona kama kazi tu, lakini mimi binafsi nimewahi kujiuliza sana kuhusu huyu jamaa kufanya kazi ya uchekeshaji, au nako ndio kuhubiri??. Pili, huyu jamaa alizizoa pesa za hao jamaa, mbona leo anawapinga tena, mimi simuelewi??
@BilihaniAdriano2 ай бұрын
niliwahi kutana namtumishi wa Mungu wale Watumishi wakubwa ambae akifika sehemu watu wanamfwata kwenye maombezi,alikataa kuhubili kwakuchekesha watu unapokuwa unawachekesha, lileneno au mafundisho yanayeyuka mioyoni mwao akasisitza siyo jambo zuri
@gfydfdf88692 ай бұрын
Watu hawajui maana ya wito Nini ,kama umeandariwa ukiwa ,na Mungu Rohomtakatifu,mtakatifu ,atakuwa anakufunulia ,kwamba ,wewe ni ume umeitwa kuwa mchungaji,,ndio maana Leo hakuna watu wanajiita wachungaji nahari hajaitwa na Mungu ,hakika mbinguni ,sio malekani,,
@DennisMungai-pf6rb2 ай бұрын
Wewe je u mkamilifu....
@petermwasyika2 ай бұрын
Twende twende
@m.m.tvmbebamaono2 ай бұрын
Mbarikiwa umepigaje hapo???😊
@saidimgawe6548Ай бұрын
🎉
@davidmwasonya27182 ай бұрын
Mi nakuunga mkono mtumishi wa Mungu Mbarikiwa hata kama na yeye ni binadamu kama wengine na inawezekana kbs naye akawa na mapungufu mengi lkn mimi naamini mbarikiwa yupo kwa sasa na anafanya kazi ya Mungu na maadamu anahubiri au kuelezea au kukosoa wengine ni sawa tu naye mbarikiwa amewekwa kwa wakati huu au nyakati hizi kwa kusudi fulani la Mungu kwa utumishi huo.
@GOODLUCKGodwell-bm4br2 ай бұрын
Furahini katika Bwana tena nasema furahini
@Mbarikiwa_Mwakipesile2 ай бұрын
Hiyo furaha katika BWAWA maana yake sio cheka, bali ni furahi UKITENDA MAPENZI YA MUNGU. Na furaha ni zaidi ya kicheko.
@GOODLUCKGodwell-bm4br2 ай бұрын
@@Mbarikiwa_Mwakipesile ni zaidi ya kicheko ila kicheko kipo Mengine ni tafsiri yako kwa akili yako
@GOODLUCKGodwell-bm4br2 ай бұрын
Unapoishi kwenye ufalme wa MUNGU unakuwa ni wa furaha kila wakati maana ufalme wa MUNGU si kula wala kunywa Bali ni haki, Amani na furaha katika Roho Mtakatifu
@ngosicheleso57452 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@shila98872 ай бұрын
100% correct..
@DennisMungai-pf6rb2 ай бұрын
Mhhhhh walokole kucheka ni dhambi????😂😂😂😂 mbarikiwa bana unatuchoshaa!
Ofcourse yes!to me mbarikiwa he is right kwa mfano Ulimuelewaje Yesu aliposema "Mtu yeyote akitakakunifuata na ajikane mwenyewe" au maandiko yanayose "Msiipende Dunia na vitu vilivyomo katika Dunia kwani mtu akiipenda Dunia kumpenda mungu hakupo ndani yake" eee! Unayaelewaje haya maandiko? So Dear beloved the spiritual matters are not smoothly.
@SafariforumTvАй бұрын
We siulienda kwa masanja ww jmn
@GideonMnzava2 ай бұрын
Inawezekana unachokisema kiko sawa lakini njia unayoitumia kuwasilisha ujumbe wako sio sahihi muombe Mungu hekima Huna hekima hata kidogo
@Mbarikiwa_Mwakipesile2 ай бұрын
Ila njia tunayotumia wewe kuandika comment hadharani ndio hekima?
@VictoriaKapwepwe2 ай бұрын
😅😅jibu amazing@@Mbarikiwa_Mwakipesile
@vaskosamweli3556Ай бұрын
Wanao halibu ukristo lazma wanyooshwe
@musampayo7216Ай бұрын
NADHANI WEWE NDIO HUNA SIFA ZA KUWA MTUMISHI WA MUNGU. 1. UNAMPINGA YESU ALIYESEMA USIHUKUMU UTAHUKUMIWA. 2. UNAPINGANA NA MAHUBIRI YA MTUME PAULO YA WAFILIPI 4:4 KUWA TUFURAHI WAKATI WOTE WEWE UNATAKA TUNUNE . 3. HUJUI YESU KWANINI ALIKUWA MWENYE HUZUNI KABLA YA KUUENDEA MSALABA AFU UNAJIITA MCHUNGAJI?!?! 4. HUBIRI INJILI SIO WATU HUBIRI NENO LA MUNGU SIO WATU!!!! 5. UNATAKA WASINYOE DENGE HUTAKI USASA HUKU UMENYOA SALUNI NA KUVAA SUTI SI UNGEVAA KAMA AKINA ELIYA!!?!!!! - WEWE NI FALISAYO USIPOBADILIKA. - NAITWA DR. MUSA - MWALIMU WA NENO LA MUNGU LA KWELI.
@DamasKamakumbi-yc3te2 ай бұрын
Baba mbalikiwa tunaomba ufatilie upotoshaji wamwanamke kuvaa suluhali kwa mtume na nabii Mwingira jince alivyo toa arufumbaya jamani amepotisha
@ThomasMsigala-r1i2 ай бұрын
Masanja mhuni TU kama wahuni wengine
@sarahkeivaly33512 ай бұрын
Zidi kubarikiwa Mbarikiwa wa Kristo, ni kweli kabisa Biblia inasema tusiifuatishe namna ya Dunia hii bali tufanywe upya Nia zetu tupate kumtii Kristo
@barakanatus56762 ай бұрын
Kweli ni mjanja mjanja
@samuelErnest-s9qАй бұрын
Kuna upande ana hoja ila pia mbarikiwa inaonekana hana uelewa ulio sawa wa neno mwonekano upi kavaa mlegezo,kuvaa hzo kaunda ndo mwonekano wa mbinguni This man has pride kama una access naye ni umtafute ,Unasoma torati unatafuta vifungu vinavyojustify point zako wewe unajua torati ilikuwa inasomwa jumapili o jmosi inabidi uwe na uelewa mpya wa neno hiyo walawi ina sheria nyingi wewe huzikamlishi nilijua unaongea valid points 😂😂😂😂acha utoto wa kiroho wakati ni mzee
@bartinkahenga119616 күн бұрын
Wewe nae hulijui Neno. Bora ungekaa kimya ukamsikiliza vizur Mbarikiwa
@samuelErnest-s9q16 күн бұрын
@@bartinkahenga1196soma hyo torati kma wewe na yeye mnaifata yote basi mnajuwa neno😄😄😄
@bartinkahenga119616 күн бұрын
@@samuelErnest-s9q kipi hatukifati hapo kwenye torati?
@AmyeSanga2 ай бұрын
Yaani siku hizi watu wanasimamia ushabiki sio ukweli wa neno la Mungu mtu wa Haki lazima awe msumeno ukatao kuwili bila kupepesa macho Wala kujali ni nani hii ndio kweli ya Biblia. Wengi tunaishi wokovu wa kishabiki bila kuuishi ukweli hata Yesu alikuwa na mwanafunzi anayempenda lakin alipokosea hakumnyamazia alimwambia.kwanza kumwambia mtu ukweli wa makosa yake ndio upendo maana unamtengeneza kuliko kuona mabaya yake ukamuacha akiharibikiwa uanze kusema nilijua haisaidii.
@cleartzboyАй бұрын
Mimi iman yngu nimuislam siend mskitin lkn kiukwel mbarikiwa uwa unakuabmkweli bila kujal
@martinjohn78542 ай бұрын
❤❤❤
@martinjohn78542 ай бұрын
YANI, LEO UMESEMA KAMILIFU MNO KIONGOZI.
@moseshaule5862 ай бұрын
Kwenye andiko la kunyoa hapo pagumu,hivi denge ndo nini hasa? Ni mtindo gani huo wa kunyoa, tuna uhakika na kile tunachofikiria kuwa ni denge?
@josephifanda5626Ай бұрын
Kila mtu anajiona yupo sahh, ila ww mbarikiwa hujawahi kukosea kila kitu unajua,
@benjaminlijongwa37152 ай бұрын
ILA JAMANI WANYAKYUSA MBONA MNATUSUMBUA SANA WAKRISTO WA NCHI HII? KWA HIYO HUZUNI NA U HUNGU MUDA WOTE NAO NI WITO?
@Mbarikiwa_Mwakipesile2 ай бұрын
Kwani nani kasema huzuni au uchungu ni wito? Tumesema Yesu alitaka tumuige kwa kila kitu.
@righitkileo2 ай бұрын
Hivi kumbe hawa ndo wale waliozunqumziwa kwenye maandiko,kazi kuzodoana ..Mipasho imekuwa minqi,Hata inatisha sana makanisa ya leo ni Hatari sana, Muoqopeni Munqu,
@Mapitoyazamani-y7n2 ай бұрын
Kwahiyo wewe hapa sio hauzodoi!, hivi unaelewa kweli unachokifanya?
@BilihaniAdriano2 ай бұрын
au umelewa kama ubini wa baba yako ?
@liberatusmathias2112 ай бұрын
Ukweli ukweli ukweli
@ThomasMsigala-r1i2 ай бұрын
Uyo masanja ni mwigizaji TU
@martinmligo3022 ай бұрын
Mtumishi Yesu alibeba huzuni zetu na masikitiko yetu pale msalabani ili sisi tuwe na furaha na amani tele so na sisi tulio ndani yake naye ndani yetu tukiishi kwa huzuni na masikitiko kama yeye tutakuwa tunaidharau kazi ya Msalaba.
@martinmligo3022 ай бұрын
Isaya 53 4. Hakika ameyachukua masikitiko yetu, Amejitwika huzuni zetu; Lakini tulimdhania ya kuwa amepigwa, Amepigwa na Mungu, na kuteswa.
@Mbarikiwa_Mwakipesile2 ай бұрын
1 Yohana 3:16 Katika hili tumelifahamu pendo, kwa kuwa yeye aliutoa uhai wake kwa ajili yetu; IMETUPASA NA SISI KUUTOA UHAI WETU KWA AJILI YA HAO NDUGU. Ikiwa tunatakiwa kutoa uhai kwa ajili ya hao ndugu twawezaje kukosa huzuni katika tendo lenye maumivu ya kifo?
@AlexMkwama2 ай бұрын
Upo sahihi . Ni uelewa tu hapo mbarikiwa ameteleza ila mengine namuunga mkono
@martinmligo3022 ай бұрын
@@Mbarikiwa_MwakipesileKWA KUPIGWA KWAKE SISI TUMEPONA.🙏🏻
@GOODLUCKGodwell-bm4br2 ай бұрын
@@Mbarikiwa_Mwakipesile je wewe unajua na kuutwa tena ili ukiutoa uweze kushinda na zaidi ya kushinda Tafakari!
@BarakaMwakalinga-sn5sp2 ай бұрын
Wivu utakumalizia siyo muda mrefu.
@vicentmapunda3146Ай бұрын
Kwan kuvaaa ndio kumjua mungu?😅😅
@neemanziku54032 ай бұрын
Baba mbarikiwa lakin hata ww wakat mwingine huwa unatamka maneno yasio faa sisi wote Ni wadhambi, bas anapokosea mpigie cm mwelekeze
@Mbarikiwa_Mwakipesile2 ай бұрын
Wewe hapa ndio umepiga simu? Mimi si mdhambi. Neno lipi lisilofaa? Ukisema wote ni wadhambi maana yake hakuna watakatifu? Imeandikwa hivi katika ZABURI 16:3 Zaburi 16:3 Watakatifu waliopo duniani ndio Walio bora, Hao ndio niliopendezwa nao.
@charlesnyanhanga43822 ай бұрын
MUNGU akutunze jemedali wa kizazi hiki
@EsterWilliam-cv2jb2 ай бұрын
Injil ya mwakipesile ni yakwel
@GabriellaWiseman2 ай бұрын
😅😅😅
@ThomasMsigala-r1i2 ай бұрын
Nikweli mtumtumishi uyo masanja anajifanya TU
@davidandrew63322 ай бұрын
Nyie endeleeeni kukosoana tuu Mbinguni inawezekana wote tusiwaone Huko..... Baada yaa kua busy watu waokoke mpo busy kukosoana watumishi na watumishi,,, Hakuna aliyekamilika kila MTU ana maoungufu yake.. Tatizo kubwa Ni Wivu kwa watumishi
@Mbarikiwa_Mwakipesile2 ай бұрын
Kama wanaokosoa hawataingia huko usemako mbinguni hata wewe huendi kwani hapa hata wewe unawakosoa wanaokosoana.
@e.a.g.tjerusalemchurchomur23152 ай бұрын
Ee
@raphaelmramba45732 ай бұрын
Kila mtu anawito wake , na kila Mtumishi kuna namna ambavyo Kaja kwa Namna yake ya kufikisha Neno kwa Namna yake ili kila mtu Neno limfikiee
@Mbarikiwa_Mwakipesile2 ай бұрын
Sikiliza mpaka mwisho wewe. Utajua kuwa maandiko sio neno. Wala kusoma Biblia sio ndio kuhubiri neno. Bali kuyaishi yaliyoagizwa na Biblia ndio kunafanya uwe na neno.
@olipamkuyu5149Ай бұрын
Watumishi hubirini neno acheni kusutana mnawachanganya watu nini shida? Kusutana kumekuwa kwingi badala ya kukemea dhambi😂😂😂
@johnbundala75962 ай бұрын
Lile lipumbavu lililokua linaongea badala yake limenikera sana.
@boanergeministrytanzania85222 ай бұрын
Mbarikiwa huna baya,hiyo ndiyo injili siyo uadui
@josephifanda5626Ай бұрын
Kwani kutokucheka ndo unaonekana umeokoka, ww bado unahitaji shule,
@GideonMnzava2 ай бұрын
Don't judge
@ElliottBurton-fv3gi2 ай бұрын
sema mbalikiwa
@babagwamaka1105Ай бұрын
Wewe una sifa?
@Mbarikiwa_MwakipesileАй бұрын
Ndio maana umemsikiliza
@yusuphmdemu49422 ай бұрын
Nikweli mbarikiwa uko sahihi kunamambo mengine inatakiwa yakemewe kwa nguvu zote.... Ili yasichafue misingi ya kimungu na Wala hakutuagiza hiyo
@islandinsuranceagency8008Ай бұрын
Sasa hivi mnagbana wenyewe kwa wenyewe, halafu umebarikiwa nini shekhe
@Kefa6492 ай бұрын
Ifike wakati tuwembie ukweli mwenyekujua anahukumiwa abadilike Na kuhukumu tunahukumu kwani haujui tumepewa malaka?
@EmmanuelMwanza-k5m2 ай бұрын
Hao ni mataperi tuuu
@JoyFull-w1l2 ай бұрын
Aiseee...usihukumu mzee...
@musajulias33922 ай бұрын
Kwani kaukumu apo?
@JoyFull-w1l2 ай бұрын
@@musajulias3392 hapana kampaka mafuta🙄🙄
@mestonisimzosha2032 ай бұрын
@@JoyFull-w1lunajuwa maana ya kuhukumu??
@frenkfarm11392 ай бұрын
mbon ajahukumu hukumu anayo mungu pekeeee
@abisairobert4864Ай бұрын
Mbarikiwa yuko sawa
@eliabbanyikwa87162 ай бұрын
Huyu naye ni mipasho kuna namna haeleweki
@johnkaliwanje4342 ай бұрын
tiba au uponyaji una gharama, waonaje sindano au vidonge ? Kama tunataka kupona ni lazima tukubali kusemwa.
@MfiriFulgensi2 ай бұрын
Anakemea nini wakati ndowalio mpa mabulungutu ya mamilio tukiona hadharani?kwasababu hawezi kufanya yalewanayofanya lakini anayatamani
@KaviniMwaisa2 ай бұрын
We nikundi la hao unatumia kifungu mwache mtumish awalekebishe walukia huduma et kisa wanawashwa nawe unawasihi njoo nikukune
@vicentmapunda3146Ай бұрын
Kil mtu aamini anacho kiamini... iishie hpo!!man kil mtu anaongea lake
@ernestsinje97002 ай бұрын
Usihukumu maana utahukumiwa ,mbarikiwa wewe ni Binadamu mwenye dhambi kama binadamu wengine ,usijione ni mkamilifu isipokuwa hakuna mkamilifu alive just isipokuwa nibyeye tu .kwa hiyo usipende kuhangaika na ya watu unachosha mnakosoqna kosoana udhaifu wewe je mtu Akita udhaifu wako utakisikia Sawa?
@Mbarikiwa_Mwakipesile2 ай бұрын
Kwa hiyo hapo haujajua kuwa na wewe unamkosoa Mbarikiwa? Na wewe unahukumu kufanya hiki ulichofanya hapa?
@beatricesamwel81612 ай бұрын
@@Mbarikiwa_Mwakipesilehalijui neno achana nae huyo.mtu kuongea ukweli wanasema unahukumu ni nani atasema maovu yao
@manaseliberatus13472 ай бұрын
CHUMA HUNOA CHUMA
@yusuphmdemu49422 ай бұрын
Anacho kifanya nisahihi kabisa hata ww ipo siku mungu atakutumia kwaviwango kama hivyo ko sidhani kama anahukumu kwenye ukweli wa kimungu,,,,, tatizo miaka yasahizi mnataka shetani ajitwalie wafwasi weng.... Hata ww usihukumu basi Baki hivo hivo ila kweli isemwe watu wapone wakamuone mungu
@stellatimoth35492 ай бұрын
@@Mbarikiwa_Mwakipesile watu kama hawa Huwa hwafai kujbiwa, eti hakuna mkamilifu duniani yani kwanza anapingaña na Neno la Mungu. Maana Neno la Mungu linasema Kuna watakatifu wangu duniani.
@PaschalJohn-d9j2 ай бұрын
Hukemei Wala huonyi ila ni ugomvi tu mtandaoni sio mahaki sahihi pa kuwakosoa watumishi Waite au wafuate ongea nao
@Mbarikiwa_Mwakipesile2 ай бұрын
Ila mtandaoni ni mahali sahihi pa wewe kuandika comment ya kumkosoa unayemuona kakosea.
@frenkfarm11392 ай бұрын
mbon ye ajakupigia simu akwambie msg yake inasomwa nakila mtu
@martinmligo3022 ай бұрын
Pia watu wa Mungu tukumbuke kuwa Mungu alimkataa Eliabu mtoto wa Yese kuwa mfalme alipotumwa Samweli kumpaka mafuta DAUDI japo ELIABU alikuwa na muonekano wa kufaa kuwa mfalme kwa nje lakini Mungu alimkataa na akasema hivi: KWA MAANA BWANA HAANGALII KAMA BINADAMU AANGALIAVYO;MAANA WANADAMU HUITAZAMA SURA YA NJE,BALI BWANA HUUTAZAMA MOYO.So you dont judge by looking outside ya mtu yeyote sio MASANJA TU.....AMEN.
@mestonisimzosha2032 ай бұрын
Mtawatambuwa kwa matendo yao sasa wewe unatakatuangalieje Moyo ulio katikati ya kifuwa kwa ndani?
@martinmligo3022 ай бұрын
@@mestonisimzosha203 Ndio mana humhukumu ni kazi ya Mungu sio yako mana wewe huwezi jua kilichopo ndani ya moyo wa mtu so kinachotakiwa nikumuonya mtu na sio kumhukumu mana wew mwenyewe unayo mengi ya siri tusiyoyajua Wanasema:MOYO WA MTU KICHAKA hata kama amevaa suti na hajanyoa denge kama Bishop Emanuel au Masanja. Warumi 2 3. Wewe binadamu, uwahukumuye wale wafanyao hayo na kutenda yayo hayo mwenyewe, je! Wadhani ya kwamba utajiepusha na hukumu ya Mungu?
@frenkfarm11392 ай бұрын
duuu tuangalie moyo so matendo uyo moyo mpelekee mungu si tunaangalia matendo tutakujua
@martinmligo3022 ай бұрын
@@frenkfarm1139Tangu Kristo aingie ndani yetu hatumtambui mtu kwa jinsi ya mwili bali kwa jinsi ya roho.
@chandarotv76492 ай бұрын
Mbarikiwa Kwa upande wake anajiona Hana ovu lolote yeye Yuko tuu kupigaa,mipesa yao mbona hata ww unakula mipesa yetu
@Mbarikiwa_Mwakipesile2 ай бұрын
Mipesa yako ipi ambayo kala Mbarikiwa?
@ugalidona-cs2yn2 ай бұрын
Tembea taratibu, ili uepukane na unafiki.
@avelinaluoga91412 ай бұрын
Umeweka namba za nn mtandaoni eti za kuchangia kana penda Sadaka haka ndomana muda wote kakiguswa kanalalamika kwel mitandaon kanahis kuonewa mkuki kwa nguruwe
@ugalidona-cs2yn2 ай бұрын
@@avelinaluoga9141 Ukimaliza sema.
@Mbarikiwa_Mwakipesile2 ай бұрын
@@avelinaluoga9141 Namba zipi za kuchangia? Hizo zimewekwa kwa ajili ya wanaotaka kujua zaidi. Zaidi ya hayo hatumlalamikii shetani kama wewe unayefurahia mateso ya watu. Ila subiri na kwako yanakuja punde.
@PaschalJohn-d9j2 ай бұрын
Nikweli ila ni vema na wewe ujitafakali inawezakana una mapungufu makubwa japo watu hayajui na hakuna mwenye haja ya kuyaweka mtandaoni kama unavyo fanya Kwa wengine pia mara nyingi hutumii busara kwenye kuongea
But kwani masanja ni mchungaji? Mm ninajuaga ni comedian!,kama ni mchungaji basi huu ni mwisho wa dunia!
@emmanuelpius-it6of2 ай бұрын
Kwahyo we ndio unasifa ya kukemea
@emmanuelpius-it6of2 ай бұрын
Bibilia ina sema kila ilitiaye jina la bwana atakolewa unaposema Hana sifa yakulitaja jina kumbe wanatakiwa kuwa na sifa
@Mapitoyazamani-y7n2 ай бұрын
Wewe unaonaje??.
@LadislausOdilo2 ай бұрын
@@emmanuelpius-it6ofkiukweli uelewa katika habari za Mungu ni kazi Sana yaani hujaelewa ni Nini anachokisema mchungaji ata hivyo na we ni walewale tu
@ugalidona-cs2yn2 ай бұрын
Moyo wako Ukushuudiavyo ndo hivyo hilivyo.
@JoshuaLeonard-s3y2 ай бұрын
Lakin mbarikiwa uko vizur sana ,lakin mimi sijawahi kuelewa vitu hivi kwenye Biblia, kwamba mwanamke asivae vazi la mwanaume na je! Wapi kwenye biblia kuanzia mwanzo mpaka ufunuo pameandikwa aina ya vazi la mwanamke na mwanaume na pia swala la unyoaji Iilisisitizwa sana kwenye agano la kivuli
@HappyFlowers-ee8ru2 ай бұрын
Ktk kitabu Cha matendo dorcas au Tabitha alikuwa mshonaji kanzu za wajane na wajane huwa ni wanawake na sio wanaume kwa hyo kanzu ni ambayo kwa Sasa pia tunaweza kusema ni haya magauni ndio vaz hasa la mwanamke kwa upande wa suruali ktk agano la kale alipewa haruni maagizo ya kuwafanyia watoto wake ambayo walichaguliwa kutumika hekaluni mwa MUNGU kwa kuwafanyia kanzu na suruali fupi na watoto wale wote ni wakiume pia wakawa na kanzu kwa juu means kwamba mwanaume avae suruali ndani na kanzu juu au shat kubwa la kumstr na mwanamke avae gaun kama gaun hajatamkiwa suruali hata kwenye kitabu Cha Daniel meshak shedrack na abelnego walitajwa wamevaa suruali walipokuwa wametupwa ndani ya tanuru la moto na hao wote walikuwa wanaume so hakuna kabisa sehemu iliyotamka suruali kwa mwanamke ila kwa mwanaume imetamkwa kwa hyo tunatembea na ushahidi wa maandiko hayo
@HappyFlowers-ee8ru2 ай бұрын
Na pia kuhusu kunyoa mtumishi ni kweli imetamkwa ktk agano la kale but YESU KRISTO akisema hakuja kuitangua torat Wala manabii kwenye agano jipya ikasisitizwa kuwa tusifuatishe namna ya Dunia hii means kwamba ukiangalia hiyo mitindo yote inabuniwa na watu walioko duniani mkristo kuiiga haipendezi kabisa sisi ndio tuwavute wao sio watuvute wao lazima tuwe tofauti ndio maana ktk wakorintho akasema Paulo token kat Yao mkatengwe nao maana sio tuwakimbie au tusiishi na watu wasiokoka no Bali tusifanye wale wanayoyafanya watu wa mataafa wasiokoka
@AidansimwanzaАй бұрын
Wewe na ww huna sifa kabisa Muongo wewe Hakuna mchungaji hapo
@BarakaMwakalinga-sn5sp2 ай бұрын
Africa yote wewe ndiye unajuona muhubiri wa Mungu na ndiyo una watakatifu kwenye hilo genge lako unaloliita kanisa.