Reinhard bonnke ,Mungu alimtumia kwa kiasi kikubwa sana nami nilimfatilia hakika MUNGU anawatu wake
@light-global2 ай бұрын
Nilikuwa kwenye huu mkutano na ndiye niliyeshika hiyo bendera so this was powerful prophetic word for our nation tunahitaji kuomba ili idhihirike, na Mungu aliwahi kusema na mimi kwa habari ya Rais anayekuja so I real grateful to God for our Nation
@IbrahimKamwela-vp8nd22 күн бұрын
Ameen PASTOR shetani nikufanya kinyume na ilivyotakiwa kufanya
@PeterMahona-zd3ozАй бұрын
Amina mtumishi mungu akusaidie
@GodfridMbele-sb1ksАй бұрын
Mimi namwamini Mungu kwa kila jambo, siwezi kumwekea Mungu mipaka, Maana yeye anaweza yote hata kama hauna vigezo, ni kweli kabisa pia anauwezo wa kuponya magonjwa ya aina yeyote, fanya kazi kwa bidii yote, mwombe Mungu kwa kila jambo, ukiwa mwenye haki Mungu hawezi kukuacha
@LydiaMuhoja2 ай бұрын
Amina Mtumishi wa Mungu
@pauloropian2367Ай бұрын
Kuna uwepo wa Mungu ndani yake
@piusgadau63282 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤ nakuelewa sanaasssa
@sifawayesu70792 ай бұрын
Mungu na aikumbuke TANZANIA TANZANIA TANZANIA kama alivyosema mama huyu wa kizungu Haya ni maneno adimu hata kama hatuoni mwanga lakini walau tunaambiwa tusimame imara na MUNGU
@simonIbrahim-hc8vm2 ай бұрын
Mimi nakukubali sanaa mtumishi 📚🙏🙏🙏🙏
@AlfredZacharia-of3je2 ай бұрын
Abarikiwe Kwa kutimiza maagizo ya Yesu katikaMathayo 28 : 18 Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na Dunia.19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; 20 Na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.
@MeshackNgereja2 ай бұрын
Ww ni hadhina katika taifa letu hongera sana kwa kutoa elim hii
@AlfredZacharia-of3je2 ай бұрын
Asante ndugu yangu katika kristo Mungu akubariki pia.
@jeanmusamba84482 ай бұрын
leo umeongea kisomi sana mbarikiwa
@miriamwangari74172 ай бұрын
Marehemu Reinhard Bonke alikuwa na upako wa kuhubiri wokovu wa Yesu. Yupo ma masjahidi wengi. Pia alisimamia mikutano yake kifedha kupitia makanisa yake kokote alihubiri umarekani na afrika. Acha tusimame na ukweli... Mungu hutumia mwafrika pia mzungu haana upendeleo na mwanadamu yeyote... Alituumba wote na mafuta yake haichagui yeyote.
@EmanuelStart-jd1vr2 ай бұрын
@@miriamwangari7417 Amina Mimi nakubaliana na Hilo Mimi mwenyewe ni mdau wa kufatilia mahubiri mbalimbali kwa Reinhard bonnke mwendo aliumaliza huduma zake hazina mbwembwe kama za siku hizi,
@jastinejackson99422 ай бұрын
Wazungu baadhi wanahubiri kweli ya Mungu. Biblia inasema kila taifa, lugha na rangi zote kuna watakatifu wa Mungu. Namfahamu Bonkhe, Kenneth Haggin, Smith , Endrew Murray wengi sana ndio waliofundisha viongozi wetu wa kiroho akina Korola wamejifunza kwao. Naamin na wewe yapo mambo baadhi ya kimahubiri umejifunza kwa wazungu akina Paulo ( mtume).
@Mbarikiwa_Mwakipesile2 ай бұрын
Ungejua injili ni zaidi ya makelele matupu ya viwanjani na ni zaidi ya miujiza ya kipumbavu ambayo Ulaya na Marekani wanaponya watu. Na si kuponya tu bali huzuia magonjwa mengi ya kimaabara ambayo Afrika tunasema ni mapepo au mashetani.
@sifawayesu70792 ай бұрын
Hatuna ugomvi wala hatuwachukii wazungu waliokuwa na nia njema kwa AFRIKA ila waliolaza akili zetu
@samwelombeni68502 ай бұрын
Aliyekuambia Mtumishi wa Mungu alifundishwa na hao ulio wataja hapo juu ni nani? Mosses kolola hakuwa kama wengi wa watumishi wa leo; Alijitahidi kuishi na kuihubiri injili halisi ya Mungu kwa Uaminifu;
@aaaaaah2902 ай бұрын
MBARIKIWE Ndo MCHUNGAJI WA KWELI NILIYEPATA KUMUONA KTK KIZAZI CHANGU,, Nabarikiwa na kweli ITOKAYO KTK KINYWA CHAKE. Ukimpinga MBARIKIWA bila shaka ni KUTOKANA NA USHABIKI TUU WA KIDINI AU KIDHEHEBU.
@juliuskitaluka12062 ай бұрын
Nikweli muujiza wa kwanza ni kufanya kazi kwa bidii maana MUNGU ametupa uwezo huo
@swahilimagnet2 ай бұрын
Jamani mkalimani wetu jamani 'verse five and six' - mstari wa sita na wa saba
@JosephLadisilaus2 ай бұрын
Sauti ya Mungu inasema hapo sio bure
@ustawiwetuАй бұрын
Ni kweli ukiwa na degree ya udaktari ya Tanzania ukienda Marekani, hauitwi professional doctor, bali inakuwa ni qualification ya kusoma udaktari
@PaulLucaslusafijaАй бұрын
Wewe usiwa seme wazungu nawewe hao ndio wanahubiri kweli sio kama wabongo nimefatilia Sana wazungu sio injili za wabongo chenga Sana
@johnkaliwanje4342 ай бұрын
nimekuelewa kiongoz Mbarikiwa, mfano naona kwao ulaya, rais anasimama mahakaman kujibu tuhuma hii inaonyesha uwajibikaji, umakin, je! vp Tanzania umeshawai kuona ? mm sijaona. Uko sahihi kiongoz. Mungu akubariki kwa mafundisho mazur.
@GeofreyMwandanji-ot2lf2 ай бұрын
Nakubalina nawewe kabisa lazma kunakitu
@Jordanmwakalebela2 ай бұрын
Hata unayoyapinga Mungu anaweza kufanya kwa sababu akili yako imekata utayoona kwa wengine na pengine utakuwa kipofu wa kiroho
@elijahaywago72742 ай бұрын
Wazungu wengi na teknolojia yao hawaabudu ata mungu. In fact, hawaamini ata kama yuko mungu. Africa tuko nyuma ki teknolojia kwa sababu wazungu walitangulia kwa uvumbuzi ila tunaelekea uko. Usisahau kwamba ni dini za wazungu ndizo zilijenga mashule mingi na kufadhili waafrica kimasomo. Tusichukie wazungu bure jamani ata kama walituweka mateka enzi za ukoloni.
@Mbarikiwa_Mwakipesile2 ай бұрын
Sasa wazungu ndio wametuweka kwenye mateka mabaya kuliko hata ule wa kikoloni kupitia dini, siasa na hicho unachoita elimu.
@EvangelistJsolomonMkwata2 ай бұрын
Mbarikiwa kwa wewe unachangamoto gani kila mhubir hajui angalia maana umezidi sana kunihesabia haki
@naomifrancis631Ай бұрын
hatimaye kampumzisha kwa Amani Mwamposa😆😆
@jescarwegoshola17542 ай бұрын
Unahitaji,kuwa mfuatiliaji,injili walileta aki na nani? Makanisa yooote,likiwemo kanisa Mama wazungu ndio walitutoa matongotongo , tulikuwa na Madhabahu zetu
@Mbarikiwa_Mwakipesile2 ай бұрын
Ni wazungu wachache sana walihubiri kwa nia njema zaidi ya wengi waliokuja kutulaza akili. Ni kwa sababu hujui injili ni nini.
@sifawayesu70792 ай бұрын
Kama walitutoa matongotongo iil kisha walaze akili hivi bora wangetuache tuuuuu!!!!
@jescarwegoshola17542 ай бұрын
Waliandaliwa kwa kusudi la Mungu,sio wao walio jituma ni Mungu mwenyewe aliwatuma, km kuna walio kuja kufanya kinyume ni nguvu ya dhambi, sisi wenyewe tulio pokea kila mtu anaruka na chake,anajiona imani yake bora kuliko ya mwenzie,wakuongeza chumvi haya, uzuri ni memjua Mungu wa kweli,so ya mzungu na mweusi hayana mbingu yakunipeleka,ninamjua niliye mwamini aliko nitoa najua,naishi maisha ya ushindi sitikisiki n'go.
@Revocatusfeli2 ай бұрын
Mafanikio yote yadunia mwanzo wake nimuujiza, ata kuokoka ukapata uwezo wa kuongea hayo mwenyewe nimuujiza. Jitihada uhaminifu matumizi mazuri ya pesa vinakuja badae nayo nineema ya mungu
@Mbarikiwa_Mwakipesile2 ай бұрын
Acha ujinga wewe. Kanuni, utaratibu, mipango, umakini (matumizi mazuri ya akili) huwezi kuita miujiza. Muujiza ni kufanyika kwa kitu kwa njia ambazo kibinadamu isingewezekana.
@sifawayesu70792 ай бұрын
Kama ni hivyo kwanini haujaacha komenti iwepo kumuujiza ili uwe mwalimu kwa mfano wa kuigwa??
@RaphaelBasso-x4p2 ай бұрын
Uchambuzi wako una udhaifu fulani.... Na tatizo lako ni chuki binafsi za kimtazamo, aidha ni Mahali pa kiwango Cha juu uliojiwekea katika haki. Haki uliyojitengenezea.
@Mbarikiwa_Mwakipesile2 ай бұрын
Amegusa miungu yenu lazima mlipuke
@sifawayesu70792 ай бұрын
Malizia wewe kuchambua huo uchambuzi Kwanini umeshindwa wewe unawasukumia wengine
@pauloropian2367Ай бұрын
Channel yake huyo mtumishii ukitaka kuifatilia mahubiri yake.
@JUSTNEMITOMINGI2 ай бұрын
Ayo ni maono yako huwezi kupima imani ya mtu kama unavyo dhani
@davidmalogo71002 ай бұрын
Yani wewe unaelim kubwasana elim yamatendo unafaasana kuwepo Tanzania nakuombea kwa mungu usiludi nyuma kwa unayoyasema ambayo yanafungua uelewa wawatu
@ELGIUSKELAMIYE2 ай бұрын
Acha ujinga mzungu gani anahubili watu wawe kinyume na muda..hujafatilia sio wazingu WOTE.
@leonardchoma37652 ай бұрын
Wazungu kuhubili injili Afrika ni utapeli mtupu.Kati ya sisi na wao nani anahitaji injili?
@bcozhenry26982 ай бұрын
Mbona ujinga inaonekana ni Mali yako unayoimiliki kihalali? Huna akili ya kusikiliza na kuelewa lakini ubongo wa kutukana ndio unafanya kazi haraka sana eee?
Biblia inasema BWANA mmoja, imani moja ubatizo mmoja, hakuna injili ya mzungu wala mwafrika injili ni ya Yesu Kristo, wachungaji jifunzeni kuacha kuchanganya chuki binafsi na imani ya Kristo. Hizi ni nyakati za mwisho tujikite kuhubiri injili na sio kuendekeza utaifa.
@Mbarikiwa_Mwakipesile2 ай бұрын
Elewa. Hatujamaanisha kuwa Waafrika ndio wanahubiri injili ya Yesu Kristo, bali nao wengi wao wanahubiri injili ya miungu wazungu. Ni kweli Mungu ni mmoja ila hana hila kama wafanyacho wazungu.
@sifawayesu70792 ай бұрын
Ama kweli akili ni nywele!!!! Yaani wewe hauwaoni wazungu wanaolaza akili za Waafrika kwa kuwatazamisha miujiza na wakati wao wenyewe hawaitegemei hiyo miujiza??
@protasdismas5162 ай бұрын
Mimi binafsi nakuunga mkono, injili ni moja tu, hakuna injili ya mweusi wala mzungu.
@barakakagoma95222 ай бұрын
Nini maana ya injili Naomba kusaidiwa
@Mbarikiwa_Mwakipesile2 ай бұрын
@@barakakagoma9522injili ni habari njema zilizo kinyume cha habari mbaya. Ni kusema kinyume cha ubaya. Kuwapinga na kuwakemea wabaya ili watende mema.
@DirectorOchuboyАй бұрын
E😂
@apostlemayungakanuda48982 ай бұрын
This man needs spiritual assistance
@Mbarikiwa_Mwakipesile2 ай бұрын
Amekugusa miungu yenu.
@sifawayesu70792 ай бұрын
Bila shaka jiwe limekukuta gizani ndio maana unasema hivyo Niambie msaada upi wa kiroho anataka mtu huyu kwa mfano
@HekimaSalama2 ай бұрын
Akuna jema linalofanywa na mzungu au jema linalosemwa na mzungu likawa na matokeo mazuli kwetu wanajifanya wema lakini ni wanafki tu
@wilfredmlaki822Ай бұрын
Mtu mweusi ndio mnafiki kuliko wote duniani .
@GtrudaUtenga-es4pq2 ай бұрын
Jamani mtumishi mbalikiwa sionagi mahubir yakanisa laki uko wap tuje tusali uko