Moto wa Bwana umewaka, dunia nzima itashuhudia Mungu wa Israel, Mungu wa Isaka na Yakobo, uwe hodari dadangu Solome Bwana yu pamoja nanyi.
@medardtaligilsa8938 Жыл бұрын
Pole sana mke wa mwakipesile ninachoweza kusema kwa roho ni hiki watoe vinywani mwenu wapakwa mafuta wa bwana.ongoza watu ktk utakatifu hiyo tu ndo muliyoitiwa namuombea mwakipesile akiwa gerezani awaombe radhi watumishi wa mungu anaowaita panya nk
@adorchmassimba4413 Жыл бұрын
Mama m,barikiwa Mungu akutie nguvu ya imani na akupe moyo wa uvumilivu kwa magumu unayopitia
@Mathiasamani202 Жыл бұрын
Samia usicheze na watumishi wa Mungu haswa waktisto hutakufa tu Bali utateseka sana kabla ya kufa kama una skio sikia utajutia siku Moja,poleni sana kikosi KAZI ❤
@HamisMghuna-fj3vz Жыл бұрын
Asante Moseskita hii Farao alishindikana,hii nimeipenda zaiiidi lakn Farao Firaun alizamishwa katka Bahar ya sham na MUNGU WA MUSSA sante mama MBARIKIWA dua za wa Tanganyika mungu atusaidie kuazibu,
@perucebuhomaosward8512 Жыл бұрын
Pole sana Dada, machozi yako yatalipwa na Mungu. Mungu akutie nguvu🙏
@EnockFumbuka Жыл бұрын
Serikali kufunga watu wa Mungu inajidhalilisha na kuwapa maarufu wenye Haki.
@RoseMayige-gn9qb Жыл бұрын
Yesu yupo kazini mama mchungaji, atafanya njia pasipo na njia....Yesu Kristo akupe moyo mkuu.
@violetnasiche3535 Жыл бұрын
Hahaha mko na kelekele muñgu nyinyu hii ni Dunia mhubiri injili kushugukika na sirikali ni nini hiyo
@MagufuliKamsamba-qq4ck Жыл бұрын
Mmechokoza nyuki kwenye mzinga wake wauaji mmewafumbati
@EsterNdalu7 ай бұрын
Wewe msicheze na Mwenyezi Mungu wa haki atayanyosha mapito yake
@frankraphael7546 Жыл бұрын
Pole sana mama mungu yupo Samia Samia Samia watanzania tunakuona
@noeleliasi8401 Жыл бұрын
Dah nafurahi kwa sababu Mungu ameenda kuongeza jeshi la kikosi kazi cha injili kutokea gereza la Tanzania..nasema hivi kabla na baada ya miaka 3 kikosi kazi cha injili kitawatoa povu saana, maaana upuuzi wote wa gerezani unakuja kuwekwa hadharani sasa Mungu awatie nguvu saana
@moseskita4251 Жыл бұрын
Farao alifikiri ameshindikana sana kwa sababu alikuw anaitwa mfalme na kulindwa sana lakn saa na wakati Mungu alipoamua kuwaokoa watu wake walokuwa wakiteswa katika nchi ya misri na huyo mfalme na watumishi wake,wote waliangamia.Yuleyule Mungu aliyetenda kipindi kile hajafa na wala hajapungua nguvu na uwezo wa kutenda na kuwaokoa watu wake,bado anaishi Namwomba asiyaache machozi ya wenye haki yakaendelea kutililika.Nakuomba Mungu usimame uwatetee watu wako.
Nimeangalia hii video Imeniumiza sana. Ukweli kama ningekuwa peke yangu ningelia sana.. Yeyote anayejitokeza kupinga uovu anakuwa mbaya, vyombo vya dola vinamuandama, haijalishi ni mwanachama wa ccm au laah! Dunia iko hiv, kwenye hili la kumfunga mtumishi wa Mungu tena anayehubiri haki ni kumdhihaki Mwenyezi Mungu mwenyewe.
@josiacharles2778 Жыл бұрын
Pole sana mama Salome, Mungu awatienguvu kikosi kazi wote katika kipindi hiki kigumu, ila Mungu bado aweza kufanya jambo jipya.
@thomastarimo Жыл бұрын
mungu awatie ngufu ila yupo mungu
@thomastarimo Жыл бұрын
yupo mungu mwenye haki anayesimamia haki
@thomastarimo Жыл бұрын
uyo hakimu ipo siku atasimama mble za mungu ata toa esabu mble za mungu
@nurutakatifu Жыл бұрын
Africa hakuna jipya, unyanyasaji tu hakuna haki yoyote. Ila mtu mwovu hawezi baki salama. Serikali hizi za kidunia ndiyo chanzo kikubwa cha uovu wote unaotokea hii leo haswa Bara letu la Africa. Watumishi wa Mungu wa kweli lazima kukemea maovu mana hii ndiyo kazi katika ufalme wa Mungu.
@jurdanforwardersltd1460 Жыл бұрын
TATIZO UNAKEMEAJE,HATA WEWE UKIAMBIWA JAMBO KWA UZALILISHAJI UTAKUBALI KWELI/KUA MKWELI JUU YA ILI.KAMA KIONGOZI WA KIRORHO UNATOKA NA KUWASEMA WENZIO ADHARANI TENA KWA KUWADHALILISHA NI SAHIHI?MBONA HAYA USEMI.HATA MUGU AKUTUFUNDISHA HIVYO TUACHE UBINAFSI KWA KUA UNAPENDA SEHEMU KWA HIYO ILI AKIFANYIWA MWINGIE WEWE UNAHONA SAWA.
Pole sana mama Mbarikiwa Mungu wetu ni mkuu sana Atatenda jambo Ila nao hawa waovu Mungu atafanya jambo kwao.🤔🙏🙏
@gadimbajo Жыл бұрын
Kiukweli huyu mama namkubali sana kuliko mbarakiwa, Mungu akusaidie sana.
@monicarobert7053 Жыл бұрын
Pole sana mamchungaji,Mungu ajachoka wala hajakusahau ipo siku usiyoijua miujiza itatendeka juu yako,
@June-dq6pr Жыл бұрын
Let mbarikiwa Preach the gospel in those prison God has a purpose for him to be there let the gospel go on
@turi386 Жыл бұрын
Poleni sana wandugu katika Kristo .Musiwe na wasiwasi Mbarikiwa anaingia kazini kuliko mbele. Muwe na nguvu Yesu ni mtawala wa milele
@Titusdickson1 Жыл бұрын
Kinachoendelea hapa ndicho kile kilichopo kwenye ufunuo 12:17 ,Joka kufanya vita na kanisa
@YohanaMathayo-r7p Жыл бұрын
Poleni watu wangu hayo no mapito msiogope mungu you pamoja nanyi pole salome
@zuwena2997 Жыл бұрын
Mungu atawashugulikiya serikali ya Tanzanie kumfunga mtumishi wa Mungu bila kosa maombi ni silaha kubwa
@zuwena2997 Жыл бұрын
Munaliza watumishi wa Mungu
@zuwena2997 Жыл бұрын
Mungu atafanya kitu yupo kazini na malipo ni hapa chini ya juwa
@abinussamba6718 Жыл бұрын
Pole sana mama mchungaji na washirika wote, hakika Mungu yupo upande wenu kuwapigania.
@samwelilulandala2384 Жыл бұрын
Wamepisha uchaguzi usiharibika! Niseme mungu awe pamoja nanyi na kamwe hatawapungukia wenye haki! Amina
@rachelkihaka9204 Жыл бұрын
😢😢😢😢😢😢 Mungu simama mwenyewe katika haki hii tetea kanisa lako tetea wanao baba hakimu mkuu niwewe tu haya yote angekuwepo magufuli yasingekuwepo haya Ila Mungu ni miuu zaidi Kuna sababu juu ya hili atafanya Jambo kwa wakati
@veronicanzingula5426 Жыл бұрын
Mungu ni mwema Mama yangu Mungu atakupigania wew n mshind mama.
@medsonulendo4221 Жыл бұрын
Mama mubarkiwa Pole ni jambo rahis kutendewwa ila unae tenda tafakar kbla hajatenda kwa mwingine mungu simama na mioyo na wenye haki na sio uson petu mungu anaish na mioyo yetu na atalipa kadri ya ukweli uliopo mioyon mwetu
@dignakanje4508 Жыл бұрын
Duu hii tanzania inawatu wenye rohoo mbaya kma pilato .Mungu atusamehee ampe nguvu namoyo wakumwamini Mungu hko magereza
@fatumatandika6220 Жыл бұрын
Pole sana mzazi Mungu anaona na halali tuvute subirà
@DivaMsukuma3 ай бұрын
Pole mtumishi wamungu
@CleyKobelu-j8n Жыл бұрын
Mbalikiwa ni mtu wa mungu .mungu ameona mateso shida ziki huzuni mioyo ya watu inaumia . Kwaiyo mungu ameona bola ampeleke mwakipesile kule gelezani ili akawakomboe watu wa mungu . Kwaiyo kwangu siwezi kuuzunika hata kidogo wala kuumia kwani mageleza yanaitaji huduma kama ya mwakipesile .
@muchirihenry37325 ай бұрын
Pole sana,Mungu atatenda maajabu na adui wote wataangamia
@anethkalinga8160 Жыл бұрын
Dada Salome mungu akutie nguvu pamoja na kikosi kazi Kwa ujumla mungu wetu ni mkuu hajawah shindwa rohon tunaumia sana Kwa haya unayo yapitia mungu akutie nguvu mama
@MariaMsigwa-bh7tk Жыл бұрын
Mwache mungu akupiganie mama pole siraisi kutokuwa nahasira
@ScollahYohana-nf9sb Жыл бұрын
Mama nakwamini sana funga mkanda twende mbele mpaka kieleweke na twaweza kuabudu na kuacha uovu unaendelea napo hatuwezi kuwa salama bora tufe tukikemea uovu pole sa mama
@sarahkeivaly3351 Жыл бұрын
Poleni kwa ajili ya kiongozi wenu Mbarikiwa. Lkn naona pole hazijawa nyingi sana sababu ya kumu-atack mtumishi mwal Mwakasege
@washingtonngullo1988 Жыл бұрын
Mungu awatie nguvu na muendelee kumtevemea ktk jina la yesu kristo
@fridamwakipamba42922 ай бұрын
Jaman mnamaneno tulieni Bas mumuombe Mungu achen maneno maneno muhubilli Neno la Mungu .
@patrickmathiasnsalanga3401 Жыл бұрын
Ee Mungu tunakuomba usikie maombi na dua za watoto wako. Tumekuwa kama watu wasiokuwa na haki. Lakini tunaamini utakuwa pamoja nasi katika kipindi hiki ambacho tunakuhitaji zaidi ya kipindi chochote. Baba maumivu yetu ni makali sana hata wewe unajua,. Tutawezaje kuvuka hapa bila wewe? Mungu tunaomba utukumbuke. Tutaendelea kuliitia jina lako hata kwa kugugumia, . Asante Mungu kwasababu bado tunaishi.
@simonkipondo1453 Жыл бұрын
Hii ni laana Kwa watawala, maana Hawa watu maisha Yao wamemkabizi Mungu, Sasa Mungu lazima atawaonekania tu
@YonaCharles-or6px Жыл бұрын
Ee Mungu wa mbinguni nyoosha mkono wako haya mateso ya watu wako nimechoka kuyasikia naomba palipo na haki usiwaache manyanyaso yakome kwa jina la yesu na iwe kwel
@ndukulusudikucho_ Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 Chokoza wote usichokoze Kitengo, imeisha hiyo Sasa itabaki yeye na Familia yake tu Mashabiki wote watapotea, tusubirie mropokaji mwingine Sasa, mshaambiwa uhuru una mipaka, kwa yeyote alieshiriki kutekeleza Hukumu Abarikiwe saana , mshukuru saana awamu hii hakuna mambo mengi ni vufungu vya sheria tu
@deniseliuter3002 Жыл бұрын
Muovu kama wewe hautosimama unafurahia uovu na uonevu
@melki-kabalu759 Жыл бұрын
Umefurahi nini sasa? Ujinga mtupu
@mamaboizpure842 Жыл бұрын
Ujafa haujaumbika wacheka nini wafurahi ninii
@odilomwemeziernest646 Жыл бұрын
Soon mama nawe utafata,ila jipe moyo kuna wasagaji na mashoga huko Mungu anawataka waisikie Injili.pole mama,pole kwa kanisa, baada ya hapo ni Yufu ajaye.mzee atatoka tu soon na mijamaa itaingia jela soon
@mikbete Жыл бұрын
Mtumishi you are great, keep moving.
@JacobMoris-m2k Жыл бұрын
Pole sana mama MUNGU akutie nguvu utayashinda
@yoshubikalizi4185 Жыл бұрын
Poleni sasa Mungu atatenda kazi
@obedwilliam5906 Жыл бұрын
Duhuuuu mpaka nakosa Cha kukoment
@nellykanyiki4365 Жыл бұрын
Mzee wngu babangu role model wng Mimi aliko nimeumia sana Tena San Mungu yupo anaish Tena Yu hai ata Kama mtakuwa washind kwa mti huyu huyu bas tuonane bandarini kila tone la haki litalipwq ss tu watu was Mungu had kutufanyia haya hi nch niyamajitu
@hassanyohna6121 Жыл бұрын
Mtoto Yuko wapi Mchungaji yuko Wapi Inauma sana basi kuokoka ni dhambi....Mwakipesile hawezi nyamaza Mtoto anauma sana ..Mtoto aliandaliwa kiroho awe nabii na kuhani wa mataifa Sasa yupo kaburini Mungu Ukowapi😭😭😭😭😭😭😭Wajibu wewe sisi Hatuna Jeshi Wala wapanda farasi Wala Mahakama .....Macho yetu ni kwako........Dunia hii Watu hawakuogopi Mungu wanatesa wanadam wenzao ...Mungu ingilia Kati wakiwa kwenye Meli wakuone ,Wakiwakwenye Ndege wakuone Mungu wa Mtoto wa Mwakipesile Wokovu Wakiwa kwenye Ndege wakuone Mungu wa Wokovu Wakiwa kwenye Nissan patrol V8 Wakuone Mungu wa Mtoto wa Mwakipesile Wokovu Wakiwa....Baba Nimeomba nikiamini Ameni .....nyie Mtoto anauma 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@RevnaPeter-uf5cc Жыл бұрын
Mungu Awafanyie wepes
@christophercostantine7497 Жыл бұрын
@@hassanyohna6121 pole Yao Ila Nabii aandaliwi na Mwanadamu Bali anaandaliwa na Mungu pekee,pia hizi sio Zama na unabii Maana ahadi zote za Mungu zimetolewa na Sasa zinatimia ,hizi ni mbwembwe tu za wanadamu .
@josephinmwanibanza6001 Жыл бұрын
😭😭😭Amina🙏
@kilumiletvonline2001 Жыл бұрын
Pole saana ni hivi kila jaribu Lina mlango wa kutokea,yajayo ni mazuri,atatoka na injili yake tunaielewa,nyimbo zake zinatubariki saaana hata Kama yupo huko anaendelea kuhubili hata sasa.
@MTONDOZINESAEED Жыл бұрын
Pole sana, MUNGU tupo nanyi
@PeterStephano-u3u Жыл бұрын
Polen sana kikosi kazi injili mungu yupo kila mtu anayehusika atalipa
@RehemaAdamu-xu8xv Жыл бұрын
Daah imeniuma sana jamani poleni sana ila naamini mungu hawezi kumwacha mtumishi wake ila mhhh hii sirikali
@gililwise Жыл бұрын
Mama salome.aishivyo Mungu atasimama na hao watesi wa mbarikiwa.tuvae magunia na kuomboleza na tusimamie zaburi 109.
@annybalenga69084 ай бұрын
Pole sn mama Mungu atatenda haki tu.
@FelisterNicholaus-i2iАй бұрын
YESU bado yu hai watumishi wa Mungu
@TrezyadhiamboOkal-h3c Жыл бұрын
Ooh ni kweli mnyonge hana aki ila kunaye Mungu wa binguni anayeona haya yote na atasimama mwenyewe
@EwardWilbroad Жыл бұрын
Trials and afflictions are part and parcel of the righteous. As the Lord lives, nothing by any means shall hurt you.
@gwantwajoseph5564 Жыл бұрын
Pole sana MUNGU yupo habadiriki ni yeye yule
@asubisye16 Жыл бұрын
Poleni sana haya yatapita. Nadhani hapa ukombozi ndipo utakapoanzia
@JosephSibonike Жыл бұрын
Pole sana mama mbarikiwa malipo ni hapa hapa duniani we subili tu
@musa-v3f Жыл бұрын
Tanzania ni nchi ya ajabu sana yaani Mchungaji anafungwa miaka mitatu kwa kuanzisha kanisa bila usajili?? ni ajabu sana lazima hpo kuna mkono wa mtu kutoka juu kwani si kosa la kifungo ni civil disobedience ni kosa la kupigwa faini tena ndogo tu halafu afuate utaratibu wa kusajili kanisa lake. kateni rufaa haraka sana tumeni namba hapa ya kuchangia pesa za kukatia rufaa please.
@zawadiluvanda8162 Жыл бұрын
poleni sana ila hayo ni.mapito Mungu wa mbinguni yu pamoja nasi tupia namba ya kukataa rufani hapo hamna kesi
@hildandumbalo5827 Жыл бұрын
Poleni sana mdogo wangu Salome Mbarikiwa ni shujaa tu Serikali hii ukatili umezidi
@nebortshango728 Жыл бұрын
Pole mama ila kateni rufaa tu mapema hakuna sheria hiyo
@LastdayJesu4153 Жыл бұрын
Yohana mbatizaji alifugwa wakamkata kichwa hayo ni sehemu ya maisha ya ushindi tunapanda na kuvuna
@venancenkoronko92507 ай бұрын
Na nyie muwe mnafuata uataratibu ,. Shida ya hata madhehebu madogomadogo hata elimu dunia hawana wanafanya vitu kienyejienyeji
@nicolaskalunde Жыл бұрын
Dunia ni mapito hiki ni kipindi Mungu ametaka kiwepo. Poleni sn watu wa Mungu.
@ShearthielMayala Жыл бұрын
Pole sana mama ,pia na watumishi wote
@faustinemavere1450 Жыл бұрын
Mungu akutie nguvu mama mchungaji hebu mwachie Mungu ndo ajuaye Mungu akufute machozi hebu ongea na baba wa mbinguni pole sana mwombee mmewe mkono wa Mungu ndo wenye haki acha kulia jamani
@RaheliRicardoDamiao-ov3ou Жыл бұрын
Poleni sana wana WA kikozi kazi
@ebenezerchurchsupremetv9490 Жыл бұрын
Ila mlipowaonya sana na mkaona hawageuki ilibidi muwaache na muwe salama mbele ya Mungu na wanadamu,na hapo unapolia inamaana umeumia Sana kwa haya mnayopitia! Na mzazi wako hawezi kukuponda Kwa wale unao watuma wakawaulize.
@amoniTv1148 Жыл бұрын
Kufungwa kwa kamanda sio mwisho wa mapambano
@BotulphusAugustine Жыл бұрын
Mungu yu hai anajua acha awezi aibika atajibu tu kufunga si mwisho wakusudi la Mungu
@FilbertKalembe-fy4oq Жыл бұрын
Mama nakuomba mjatahidi kufunga ilikuomba malipizi haiwezekani mambo haya mungu wa mbinguni ayafumbie macho kama hawa wawili aliye uliwa na aliyefungwa kama wana haki mbele za mungu mungu ni mwema atajibu emungu anaye tulinda siku zote za maisha yetu ya tabu na yaraha umefika wakati wa kuwaibisha hawa maherode bila kuficha kwa wamevaa mamlaka mpaka wamekuzidi ww uliye waumba kanisa sema eime
@theodosigeorge8089 Жыл бұрын
Pole my mother,mungu yupo nasi ,na atajibu kwa wakati kwa haya waliyokutendea
@IreneMwanaa-zo2wz Жыл бұрын
Mwenyehaki wangu ataishi kwa Imani mungu awakumbuke
@ahadibenno9756 Жыл бұрын
Poleni Sijafurah kabisa Jaman
@yoshuasalum8623 Жыл бұрын
Daaa,nimejisikia kutokwa machozi. Lakini Mungu mwema atajibu, haiwezekani wenye haki ndio ndio wawe wa kuteseka na waovu wafurahiye maisha, ipo siku Mungu atageuza
@juliusgitonga363 Жыл бұрын
Pole sana Mtumishi kwa kweli mwenye haki ako hatarini kubwa
@neemanziku5403 Жыл бұрын
Jmn jmn mtumishi wa Mungu anafungwa kweli? Mungu tusaidie
@Mathiasamani202 Жыл бұрын
Samia usicheze na watumishi wa Mungu haswa waktisto hutakufa tu Bali utateseka sana kabla ya kufa kama una skio sikia utajutia siku Moja poleni sana kikosi KAZI Cha injili majaribu kama hayo mbona ni mepesi tu tutashinda
@samoramussa5336 Жыл бұрын
Unafugwaje kwakuto sajili tu kanisa wakati baa zinafunguliwa hovyo tu mitaani? Lakini tushukuru kwakila jambo kwakua yote nimapenzi ya mungu, poleni sana kikosi kazi imalikeni kwa hili.
@NassorSalumMengi-jj1nf Жыл бұрын
Fuaten Sheria achen ujanjaunja,
@WitnessMtokoma-mu1qr5 ай бұрын
HYO N DHAHABU INAPITISHWAA KWENYE MOTO 🙏🙌 NA KUSUDI LA MUNGU HALIWEZI KUZUILIWAAA NA SHERIA ZA WANADAMU 🙌🙌🙏WACHA MAPENZI YAKE YATIMIE🙌MTUMISHI ATAITENDA KAZI HATA AKIWA GEREZANI KUNA NAFSI YA MTU INAENDA KUOKOLEWAAA KULE JELA, NA KUNA USHUHUDA MPYA UNAENDA KUTENGENEZWAAA
@ziadasadiki81965 ай бұрын
Mimi naona Viongozi wa Dini watusaidie sisi Waumini wao kutukea maadili mema kutuombea kwa MUNGU, ( WAACHE SIASA ZA CHUKI, HAYA MAMBO YA MUUNGANO WAWAACHIE KINA LISU, MBOWE NK.). Mtoto kafa kwa Maradhi dadake Kasema na mmempeleka Hospital, sasa mbona mnatudanganya ameuliwa tena jamani?? * Hichi CHUKI miyoni zitatuumiza Wenyewe. MUUNGANO ALIUTAKA NYERERE, TANZANIA BARA. ZANZIBAR NDOGO SANA HAINA MADHARA KWENYE MUUNGANO, TUACHE CHUKI DUNIA TUNAPITA. *
@saigonernest7631 Жыл бұрын
Mungu atawatia nguvuni simuda mahakimu wote walioahiriki na serikali motoulao unakuja son
@johnmalembo6464 Жыл бұрын
Kwa hili wememgusa mboni ya jicho la Mungu.... Subiri siku 7 tu Mungu atajitokeza kama mtetezi wetu. Nina hakika na hakika ya Mwenyezi Mungu.
@PeterNkilijiwa-ij3rw Жыл бұрын
Niko juu kwenye mlima Kilimanjaro juu sana,naitazama nchi hii naona Kila kitu kwa yanayoendelea naona mengi ,Mimi sijui hii nchi inaelekea wapi,ila kuwafunga watu Mungu inashangaza sana , hahahaha 😆😆😆😆
@bigirimanairad2883 Жыл бұрын
Tunaye Mungu asiyeshindwa, yote anayaweza. Pia Mungu yupo pamoja nanyi.
@HellenShonza Жыл бұрын
😊😊
@AbdulAzizMohammedHussen Жыл бұрын
Nyie munguwenu hakuwa ndisha kuheshim mamlaka? Kwa utovuhuo wa nidham mtapatataabusana
@Vivia-m7g5 ай бұрын
Watu tulieni.Hubirini tu mambo ya MUNGU maisha yaendelee.
@augustinokaungo9473 Жыл бұрын
Pole. Mamamunguyupo pamojanawewe
@PatricisAmani-ip4pm Жыл бұрын
Poleni sana sana Mungu awatie nguvu
@kuryatvfilm1161 Жыл бұрын
Zaidi ni kuzidi kuombeana watakatifu wa Mungu mwenyezi Mungu awape wepesi na pia mbegu haliwezi kuzaa mpaka ikifa so naamini sasa itakuwa level nyingine kiiman
@JuneJune-xf4pc Жыл бұрын
Mungu akitie nguvu mtumishi wewe simama na msimamo wa haki Mungu atajibu
@Lupamwakyoma Жыл бұрын
Huyu ame ingia katika historia ya mashujaa wa Imani katika dini ya ukristo tuka Zane kumwomba Mungu amtoe gelezani
@MM-Advanced Жыл бұрын
"Kila mtu atakifia kitu fulani. Sisi tumechagua kufia haki"......maneno yanye nguvu sana. Mungu yupo na anaona kila jambo!
@denismugisha2 Жыл бұрын
Doh kwa mtu mwenye kutafakari yanachoma mnoo
@emiltonmartin4399 Жыл бұрын
Roho imeniuma sana kusikiliza kilio cha mama mchungaji mimi naamini bwana wetu Yesu kristo awezi kukaa kimya lazima atajibu maombi ya wanao simama na haki
@kassimualli1755 Жыл бұрын
Endelea kuchonga tu we mama muhuni kuma nina zako na huyo bwege wako mbarikiwa,mnaunda vikundi vya kihuni,washenzi nyinyi na wew unatakiwa kutolewa marinda kenge wew
@daviesoscar1603 Жыл бұрын
Kawaida,hakuna jipya chini ya Jua haya unayoyaona yalikuwepo.angalia ujidhaniaye umesimama usianguke.
@evangelistericknyakundi265811 ай бұрын
Mungu wa Wakati wa Elijah ashuke na awatendee Wacha wake jambo
@nicholausrwezaura197111 ай бұрын
Yesu alitabiri haya jipe Moyo kwa ajili ya Kristo
@barnaba3037 Жыл бұрын
Kama Mbarikiwa alikua ni Mtumishi wa Mungu bila shaka Mungu mwenyewe atainuka