Ubarikiwe Sana Mtumishi Mungu Akutunze Kwa Kunyooka na Uendelee kumtumikia mungu wa kweli Pasipo kificho Maana Msema Kweli ni MPENZI WA MUNGU"
@obedimunguachiza84345 ай бұрын
Love you and respect you so much, Mbarikiwa Mwakipesile God bless you and bless Tz wafikie maamuzi aliyoyafanya Farao na nchi ya Misri ikaokolewa..
@MariamCleinance5 ай бұрын
Mbarikiwa mimi ni mwanao sikujui hunifahamu ila nimekuwa nikifatilia sana mafundisho yako nyimbo zinznipa faraja na kupitia clipu zako naogopa sana kuumiza mtu kwenye maisha yangu iwe kazini au majirani
@hatibuexauty40244 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Jehovah
@MjumbeAganoАй бұрын
Anza kuona sasa nuru ya MATAIFA YOTE, MJUMBE WA AGANO DUNIANI JITAHIDI KUINGIA KWENYE UFALME WA MUNGU HAPA DUNIANI uepukane na dhiki kuu inayoujilia ulimwengu wote fuatilia you tube MJUMBE AGANO upate semina ya ukamilifu wa kristo uone jinsi kanisa halisi linavyojengwa na kunyakuliwa barikiwa sana mteule wa Mungu.
@Mbarikiwa_MwakipesileАй бұрын
Una imani ya yesu wa tungaleni
@ugalidona-cs2yn5 ай бұрын
Tanzania itakuja kuumia tu, Kwa kuwa mmezikataa Akili Za Asili Zitokazo juu zaidi ya juu. Tanzania 🇹🇿 Itaumia Tu.
@ugalidona-cs2yn5 ай бұрын
Mkiamini na kujiaminisha kuwa uwo mfumo wenu utakuja kuleta MABADILIKO yoyote. HILO SAAU KABISA.
@noelswai26605 ай бұрын
Kwa iyo unataka nchi yako ije iumie, ipende nchi yako,ombea nchi yako.
@ugalidona-cs2yn5 ай бұрын
@@noelswai2660 Tunaipenda Nchi yetu sana tena sana, Na ndo Maana tunawaambia Wabadilike, kila kona watu wanalia na kumwaga MACHOZI; Wakiwa ndani ya nchi "YAO", Na Maumivu Yote ya kila Namna. AYO MACHOZI SIO YA BURE. (Hakuna chozi linalotoka bure au kudondoka bure kwenye kiumbe "ARDHI" lenye Uchungu wa kuumizwa). Wasipobadilika kwa mwenendo wao wa kidhalimu. Kuumia Nchi Itaumia tu.
@rechokusilimka57395 ай бұрын
Mshindwe na kulegea kwa jina la Yesu kristu wa Nazareti
@rechokusilimka57395 ай бұрын
Nchi yetu italindwa na Mungu
@CharlesAthumani5 ай бұрын
Ubarkiwe Sana mtmishi wa MUNGU
@rastheunique5 ай бұрын
Uko sahihi mtumishi 😭
@Ernestoemiliodalepadalepa5 ай бұрын
Ukweli kabisa ubarikiwe
@obedidamasi35375 ай бұрын
Mimi nakuelewa sana mtumishi kiukweli nchi imetoka kwenye mstari
@LusajoMwajeka-tf1nj5 ай бұрын
Kwel kabisa much mbalikiwa unaelimisha wee lakin wanakuja kugeuka kwamba unaongea vibaya wanataka ukae kimya ndiyo wafulah
@LydiaMuhoja5 ай бұрын
Mmmm!!!
@farajapeasonmagota82265 ай бұрын
Mungu atakulinda
@franseekhanni59205 ай бұрын
Amen .
@tumainjoseph71895 ай бұрын
WJTAKE WASITAKE UKWELI NDIO HUWO
@nicholaussteven31885 ай бұрын
ameen kweli mchungaji umesema kweli
@cathelinematondo39925 ай бұрын
Ameeeeen Ameeeeen Baba
@franseekhanni59205 ай бұрын
Amen father, your are okay.
@King_Of_Everything5 ай бұрын
👊👍✌️.
@gowekogoweko58035 ай бұрын
WE'LL SAID MCHUNGAJI
@VeredianaKalembi-gs4vs4 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi ila nakushauri achana na naombolezo ya gereza maana kuendelea kuvaa nguo hizo huonyeshi ushindi mbele za MUNGU Bali unaonyesha kuwa Bado uko kifungoni KIROHO hivyo nakuomba ufunguke na kumuazimisha BWANA kukuoa gereza sio kuvaa mavazi ya gereza
@Mbarikiwa_Mwakipesile4 ай бұрын
Kuuawa kwa mwanangu, Nilikuwa gerezani kabla ya kuingia gerezani. Niko gerezani baada ya kutoka gerezani. Nasubiri huruma za Mungu tu.
@ugalidona-cs2yn4 ай бұрын
Mfungwa wa KRISTO YESU.
@SokeSongela5 ай бұрын
MBALIKIWA ONGEZA BIDII MAANA ICHI INAENDA PABAYA INANDA KUWA ICHI YA MASHOGA
@tinajoe54874 ай бұрын
Kwakweli umeandika kulingana na Ada yako.
@alunekyusa49054 ай бұрын
Wewe mbona hukemei jaribu na wewe kama utakuwa salama
@ErizicDaud5 ай бұрын
Amina Sana mtumishi wa bwana ❤❤❤❤
@ntamwizanyamwelu70085 ай бұрын
WATU TUNADANGANYWA MAOMBI KUIOMBEA NCHI NA MANABII MAARUFU NA MNAWAONA WAUNGWANA KULIKO ANAE KEMEA YAANI TWAFAA ILI HALI TUNATEMBEA MWENYE HEKIMA AIOMBEE NCHI TUONE MABADILIKO NACHO JUA MUNGU NI BABA NA ANAMAAGIZO YAKE NA ANATAKA TUYA FUATE MUNGU WETU ANAONGEA SIO BUBU HAO WENGINE TUNAPAMBANA NA MUNGU WABAALI NA TUNAJIITA TUNAOMBEA NCHI KUMBE NDO TUNALAANI
@AlexanderMhema5 ай бұрын
Mbarikiwa wako utasimama hata wakukatae vipi ukweli utabaki ni ukweli tu.nakuona kiongozi bora kuliko viongizi wenyewe.
@HABIBHASSAN-wf5mr5 ай бұрын
WW BADALA YA KUIMBEA NCHI UNATABILI MAMBO MABAYA ? TOKA NAZALIWA MPAKA LEO NI MZEE MNATABILI MAMBO YA UONGO MPAKA LEO TZ INASONGA MBELE
@ntamwizanyamwelu70085 ай бұрын
HIVI WATU MBONA TUNASINGIZIA MAOMBI HUYO MUNGU ANAESUBIRI MAOMBI YAKO NASIO WAKE SIELEWI, NDIO MAANA MANAABII WANAWATEKA KWA MAOMBI MENGI
@ndimizarohomtakatifurichar98025 ай бұрын
Emmen
@simongwandu73925 ай бұрын
Madhehebu ya kishetani
@HijaSaid-xd7fg5 ай бұрын
Giza gani wewe njaa tuu ukipewa b 1 kimya
@clarencehilary55885 ай бұрын
Msenge mkubwa wewe
@MariamCleinance5 ай бұрын
Wewe usitukane hujalazimishwa kukoment mungu atabaki kuwa mungu @@clarencehilary5588
@ombendaud59385 ай бұрын
@@clarencehilary5588Unamtukana nani matusi hayo.Hivi wewe mwenyewe wewe na familia yako Mnalia.Huko kijijini KWENU mbona wote wanalia.Amini usiamini utalia
@ombendaud59385 ай бұрын
Una Nuru gani unayoinoa wewe mbele yako.Ukiambiwa ukweli unajua hutaki.Unafikiri ni mchungaji njaa huyo.Fuatilia maisha yake na history yake utajua huyu ni mtu wa Mungu na ametumwa na Mungu