Mch. Magembe kuvilipua vyuo vya Biblia kuwa vinatengeneza Mafarisayo, Mbarikiwa agongomelea msumari

  Рет қаралды 5,029

Kikosi kazi cha injili🎖

Kikosi kazi cha injili🎖

Күн бұрын

Пікірлер: 28
@asamwklkw
@asamwklkw 9 күн бұрын
Mungu akusaidie Mwakipesile ufahamu wako ukomae
@EmeliaKasanga
@EmeliaKasanga 13 күн бұрын
Ameeni
@EmeliaKasanga
@EmeliaKasanga 13 күн бұрын
Naam
@EmeliaKasanga
@EmeliaKasanga 13 күн бұрын
Kweli kabisa
@RehemaMoses-w3m
@RehemaMoses-w3m 15 күн бұрын
Ni sahihi kabisa Mtumishi wa Mungu Bila roho wa Mungu sio rahisi
@jonathankessy9615
@jonathankessy9615 16 күн бұрын
Aminaaa Let the truth be .....
@EmeliaKasanga
@EmeliaKasanga 13 күн бұрын
Naamu amina baba
@LameckMjwanga-g9g
@LameckMjwanga-g9g 16 күн бұрын
❤❤Ameen amen baba🙏🙏🇹🇿🇹🇿
@eedialexalex6287
@eedialexalex6287 15 күн бұрын
Ni kwali kabisa mtumishi, mahana yesu amesema atatupelekea roho atakae tufundisha inamana roho ndio mwalimu wa biblia
@eedialexalex6287
@eedialexalex6287 15 күн бұрын
Naomba namba zenu ili Nami nijifunze
@JamaRamadhan
@JamaRamadhan 2 күн бұрын
Safi sana bro
@AsheryShadrack
@AsheryShadrack 16 күн бұрын
Nikweliii wanalewa sanaa
@arbogastmramba5987
@arbogastmramba5987 15 күн бұрын
Sio vyuo vyote vina shida, ni kweli vipo vyenye shida lakini ni baadhi siyo vyote.
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 16 күн бұрын
Ndio maana watumishi wapo aina.tatu wateule waliofundishwa waliotamani kuwa watumishi chuo kinapokea wote watatu na ndio maana wengine hawaoni shida la kanisa kwamba lina wakati gani saizi kanisa linavaa linavotaka linakula linavotaka linakunywa linavotaka mikopo ya liba imejaa makanisani.mwote hii inaonyesha jinsi vyuo vya biblia vilivosomesha watumishi wateule wamezuiliwa kuhudumu.Mungu awapenyeze wateule walihurumie kanisa
@gitongatitus1553
@gitongatitus1553 16 күн бұрын
Why can't people attend Jesus Christ's school according to the book of Luke chapter 6:40.
@LeonardNhonya
@LeonardNhonya 16 күн бұрын
Na swali Je ninani mwalimu sahihi ambaye ana uwezo wakulifundisha neno la Mungu kwa usahihi,mpaka kuamini ukweli wake wa biblia unavomanisha ndo huu ,kama Mungu anavyo taka?
@ugalidona-cs2yn
@ugalidona-cs2yn 15 күн бұрын
Kupata cheti cha kusomea Biblia ni Ushetani Tu.
@SamoraTabaga
@SamoraTabaga 16 күн бұрын
Ndio hata mimi naamini chuo tosha duniani ukitaka kujua habari za MUNGU mkuu bibilia nitopu, ndomaana ukisoma kitabu chochote cha habari za MUNGU lazima upate uharali wahayo unayosoma unarudishwa kwenye bibilia .
@happymuro7785
@happymuro7785 13 күн бұрын
Kwa hiyo mpaka hapo huna kitu kivhwan mpaka mtu aseme .ninaninalikuweka msemaji mkuu au mtafsir wa maana ya maneno ya watu??
@JohnEliakim-g5n
@JohnEliakim-g5n 16 күн бұрын
Vyuo vya biblia havitengenezi watu wasumbufu, ila usumbufu wanatoka nao huko kwao.
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile 16 күн бұрын
Ila vinatengeneza Mafarisayo
@GwakisaMwaisanga-th7uz
@GwakisaMwaisanga-th7uz 15 күн бұрын
Shida yako ni kwamba unamsikiliza mbarikiwa ila humwelewi,, ukitaka umwelewe magembe na mbarikiwa ni mpaka uache ushabiki
@GoodluckTumaini-o7p
@GoodluckTumaini-o7p 14 күн бұрын
Hawa niwatumishi wa kweri
@joshuanelson6558
@joshuanelson6558 14 күн бұрын
Wapo waliosoma vyuo vya biblia na wako vizuri sana tuu, wapo wachungaji na watumishi ambao hawajasoma vyuo hivyo na ni watu wa hovyo sanaa, kiufupi mimi sikubaliani na hizi ABSOLUTE statements mnazotoa. Ni kweli mtu anaweza kufaulu akitumia biblia tuu, lakini kusoma vitabu vingine ili mradi sio uovu ni kujifunza yale watu wa Mungu wengine walijifunza kutoka katika biblia, ni sawa na mtu anaye soma biblia ila ana vitabu ulivyoandika, kwanini asisome biblia tuu ?
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile 14 күн бұрын
Hatukatai kusoma vitabu vingine ila kuamini kuwa ukipata cheti cha ufaulu wa kupotoa maana ya ubinadamu
@joshuanelson6558
@joshuanelson6558 14 күн бұрын
Hapo ni sawa mtu wa Mungu.​@@Mbarikiwa_Mwakipesile
@EmeliaKasanga
@EmeliaKasanga 13 күн бұрын
Naam
@EmeliaKasanga
@EmeliaKasanga 13 күн бұрын
Kweli kabisa
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
SIRI YA FICHULIWA UONGO WA MIUJIZA WANAYO IFANYA EV PASCHAL CASSIAN
17:24
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 207 М.
Martha kwenda na Joan Congo wakati huu ni ndege wafananao huruka pamoja?
15:16
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 9 М.
Mch Moses Magembe - KANISA LA KIPENTEKOSTE (Alama za Kanisa la KiPentekoste)
3:43:01
UTABIRI HUU ALIO UTABIRI MWALIMU NYERERE UMETIMIA KWA ASILIMIA 100%..?
9:13
Mbarikiwa "amfyatukia" Tony kapola. "HESHIMU WATU KAKA".
18:15
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 26 М.