MBARIKIWA URAIANI AONGEA KWA MARA YA KWANZA NA KUWASHUKURU WATU

  Рет қаралды 87,081

Kikosi kazi cha injili🎖

Kikosi kazi cha injili🎖

Күн бұрын

Пікірлер: 1 200
@bernardmushi4869
@bernardmushi4869 11 ай бұрын
Mwabukusi!Mwabukusi!Mwabukusi! You have rendered a precious service to your MASTER JESUS CHRIST in the appeal that yielded this freedom for Mbarikiwa.May OUR GOOD LORD reward u abundantly sir.U are a tool in GOD'S HANDS.JESUS IS LORD.
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 11 ай бұрын
Ameeen
@michaelkitinga9594
@michaelkitinga9594 10 ай бұрын
Vumilia mabaya, fanya kazi ya mhubiri wa injili, timiliza huduma yako.
@ynyynyyny
@ynyynyyny 11 ай бұрын
Siamini kama nimekuona tena Mbarikiwa, sasa ntalala usingizi,pole sana mwana wa Mungu❤❤❤❤❤❤❤
@marcelinasulley5502
@marcelinasulley5502 10 ай бұрын
Usilale usingizi, mwovu shetani yeye Hana muda Wa kulala.... Tuendelee kukesha nakuomba
@abigaillucas1114
@abigaillucas1114 11 ай бұрын
Umeshinda Mchungaji Mwakipesile, Hukumkosea kitu alikuwa anakupima kuona kiasi gani unampenda. Ulikuwa kwenye darasa la Imani, jipe moyo, wewe mshindi na angalia kupandishwa daraja lingine. Kazi nyingine imeanza mwangalie Bwana, Furahini mnapoingia majaribuni, Mungu akutie nguvu. Focus another level of Ministration Mchungaji Mwakipesile,we are praying for the ministry, Jesus is Coming Very soon than we think. Be positive Church in Jesus Christ name. Amen
@obedimunguachiza8434
@obedimunguachiza8434 11 ай бұрын
Napenda uandushi wako, hakika umevuviwa na Mungu huu uandishi, barikiwe brother.
@mfinangaexaud3492
@mfinangaexaud3492 11 ай бұрын
Atulie ahubiri injili...maneno ya kuwaumiza wengine aachane nayo. ..mwakasege walimkose a nn??
@marymwombe-pwonde1442
@marymwombe-pwonde1442 11 ай бұрын
Kweli chuma kimenoliwa Sasa kazi tayari congratulations mchungaji wangu
@marymwombe-pwonde1442
@marymwombe-pwonde1442 11 ай бұрын
Msema kweli
@faidiapanja9557
@faidiapanja9557 11 ай бұрын
Wewe ni shujaa Mungu anajivunia,usione kama Mungu amekuacha,anajua mwisho wa mapito yako kabla ya mwanzo,hata akiruhusu ujaribiwe Bado atabaki kuwa Mungu,kiss Cha Yusufu aliyesingiziwa kuwa mbakaji kikutie nguvu na kukuimarisha zaidi katika imani 12:25
@benjaminjoseph1747
@benjaminjoseph1747 11 ай бұрын
Ahsante Yesu kwa kumtoa mtumishi wako gerezani akiwa mzima. Mungu mtukufu tunaomba uendelee kujulikana na kusifiwa kwa kumtumia mtumishi wako Mwakipesile. Amina 🙏🙏
@MarthaNamvwaya
@MarthaNamvwaya 11 ай бұрын
Sitawahi choka kubakia kwake Yesu maana analo jibu langu jinsi amejibu Baba mtumishi wake nawapenda kutoka Kenya❤❤❤
@emmylitavicent1308
@emmylitavicent1308 10 ай бұрын
Hakika Kwa Yesu Kuna majibi yoote
@frankbutati8343
@frankbutati8343 10 ай бұрын
Hongera sana Mtumishi wa Mungu. Huwezi kuwa Mtumishi sahihi kama haupatwi na hayo, maana dunia haitaki kusikia KWELI YA MUNGU. wewe ni Mtumishi wa Mungu kabsaa
@gradesbenedictor3714
@gradesbenedictor3714 11 ай бұрын
Uchungu wa Mwana aujuaye mzazi na uchungu wa mzazi Mwana aujua. Watoto wa Mbarikiwa hongereni Kwa kuwa pamoja na baba Yenu wakati wote. Mungu aliye baba yetu atawafuta machozi. Kila chozi halidondoki Bure linakuja na majibu. Hongera Mtumishi wa Mungu Mbarikiwa Mwakipesile! Bwana yupo pamoja nawe hata hapa yeye ni Ebeneza Kwako. SHALOM!
@EsterAnord
@EsterAnord Ай бұрын
Mshukuru Mungu mtumishi,jitie nguvu katika Roho wake mtakkatifu,rejea kwenye Nemo lake katika Isaya 43:1-5,hawezi kuwaacha pekee yenu.Utukufu apewe Yesu.
@PaulKaisi
@PaulKaisi 11 ай бұрын
Pole sana askari mwaminifu wa Yesu kristo ,hongera ww siyo wa kwanza hata mitume walikamatwa na kufungwa gerezani
@sophiemwawuganga1833
@sophiemwawuganga1833 11 ай бұрын
Jikaze mtumishi wa Mungu. Ukilia sana adui atafurahi.. wewe ni shujaa zaidi ya Paulo. Glory be to the most high God .. hallelujah 🙏 🙏
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 11 ай бұрын
Hata akifurahi adui ni kwa Muda MUNGU atawapiga milele
@EmerecianaWumbe
@EmerecianaWumbe 10 ай бұрын
Onyo! Usirudie kusema ni zaidi ya Paulo
@emanuelmargwe7087
@emanuelmargwe7087 10 ай бұрын
Unamuongelea paulo wa kinyakyusa au paulo yupi??
@mchungajidicksonluwanda9096
@mchungajidicksonluwanda9096 11 ай бұрын
Kuna mkristo mmoja alikuwa akienda ufukweni kufanya maombi. Akiwa katika maombi akatazama aridini aliona nyayo 4,hivyo akatambua kwamba alikuwa pamoja na Mungu. Siku alipo pitia kwenye magumu akaamua kwenda ufukweni kuomba, kama desturi yake. Lakini mara hii kila alipo angalia ardhini aliona nyayo 2 hivyo alihisi kuwa alikuwa mwenyewe. Tatizo lilipoisha akiwa kwenye maombi tena mara akaona nyayo za watu 2, akaanza kusema mbona Mungu uliniacha katika nyakati zile za shida? Mungu akasema sijawai kukuacha. Akajibu mbona kipindi kile chote niliona nyayo za mtu mmoja? Mungu akasema zile nyayo zilikuwa ni zangu, wala usingeweza kuona na nyayo zako kwani kutokana na magumu uliyokuwa unapitia niliamua kukubeba. Wala hujawahi kuachwa. ❤
@malkiarosemuhando3310
@malkiarosemuhando3310 11 ай бұрын
Eeh umenifunza jambo!! Ubarikiwe
@belithakalinga4263
@belithakalinga4263 11 ай бұрын
Ameen
@gracemwakihaba9353
@gracemwakihaba9353 11 ай бұрын
Amina
@mestonisimzosha203
@mestonisimzosha203 11 ай бұрын
Ameen kunakitu nimeongeza hapa
@Jessy-f9w
@Jessy-f9w 11 ай бұрын
Nimepata kitu kwenye huu ujumbe wako,Mungu atusaidie
@sarahmwasyoge1830
@sarahmwasyoge1830 10 ай бұрын
Namtukuza sana Mungu..tusome matendo ya mitume 4:24...yaani anaye pigwa vita ni Yesu uliyembeba kwa uzito sasa kwasababu ni ninyi membeba Yesu akipigwa vita Yesu lazima nanyinyi mdhurike.hawa wenzetu katika matendo ya mitume walilijua hilo ndiyo maana ukisima kwa makini utaelewa hawakujiangalia kwamba ni wao anapigwa vita hata maombi waliyo omba yana uzito sana tukiyatafakari... Pia tusome kitabu cha warumi choote bila kuchukua baadhi tu ya vifungu itatusaidia kuelewa tabia ya Mungu na utendaji wake...Neema ya Yesu kristo Bwana na idumu nanyi amen.. Mbarikiwa Mungu amekuamini unaweza..umebarikiwa sana kupita njia hiyo kwani Mungu anajivunia sana wewe...si kila mtu anaweza kupita najua taji imewekwa teyari kwa ajili yako..shetani anataka kukutoa ujasiri ili uache kumuinua Yesu..lakini namuomba Mungu akujaze ujasiri na uweza tena na tena..Ameen
@KwiniJoel
@KwiniJoel 11 ай бұрын
Kaka mbarikiwa sina neno zuri la kutumia Moja tu namuomba mungu akulinde na akupandishe viwango vya juu zaidi. Naipenda sana huduma yako. Napenda unavyokemea maovu na ujinga wa serikali
@cassiandomina7183
@cassiandomina7183 2 ай бұрын
nawapenda, na jinsi munamcha Mungu bila kuangalia pembeni, nawatakiamkila la heri, hakika nyiye ni watu wema, ila dunia si lahisi kuwakubali kwani, nuru muliyo iona wengi wawo basi tuu. i love you from Rwanda
@ugalidona-cs2yn
@ugalidona-cs2yn 11 ай бұрын
MUNGU ❤ Muweza Wa yote katika Yote Tunamshukuru kwa Vyote katika Upendo Wake MKUU huu Utokao kwake Yeye MUNGU Baba ❤❤❤ Awezeshaye Yote haya, Amina Amina. ❤❤
@cristianoprincegabrielles3951
@cristianoprincegabrielles3951 11 ай бұрын
Glory Be To The Most High God! Finally Man Of God is out of this Bondage.... kuna Sababu yako Mchungaji Mwakipesile kuenda jela yamkini kuna mtu Yesu amekuwa akimtafuta na wewe ulipaswa muhubiria huko ndani na aokolewe.
@BlessKanyamale-up5pu
@BlessKanyamale-up5pu 11 ай бұрын
Kikosi kazi hongereni sana Kwa ushindi huo hakika BWANA ni mwema
@lilianmbeyu
@lilianmbeyu 10 ай бұрын
Halleluya jina la Bwana libarikiwe sana,kukuona ndani ya nyumba ya Mungu,mshukuru Mungu tuu si kwa kutenda kosa ila ni kwa utukufu wa Mungu,pasipo Mungu nani angewazuia kukutenda uovu mkuu kuliko huo,bila Mungu wangekuua maana umekuwa mikononi mwao,atukuzwe Mungu aliyewazuia juu ya uhai wako,niko pamoja nanyi kanisa la Mungu pamoja na dadangu mama mtumishi,sijawaona uso ila moyo wangu umewaona kupitia kwa msalaba wa Kristo ambapo ndipo lilipotokea tumaini letu ya kwamba akiisha kufunuliwa tutakuwa pamoja mbele zake tukiufurahia utukufu wa nuru yake milele, nawapenda kanisa la Mungu, tuzidi kumtafuta Mungu,ushindi ni sehemu yetu,umeshinda mtumishi Mungu anakufurahia amina amina amina🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@dominiqueharerimana5536
@dominiqueharerimana5536 11 ай бұрын
Namuinulia Mungu utukufu na heshima kuona ndugu yetu kutoka gerezani Yahweh you deserve groly.nyimbo tenzi 67
@mahinyainjili6556
@mahinyainjili6556 10 ай бұрын
Ashukuliwe Mungu wetu aliye hai kwa kukutoa Katika kifungo hicho mtumishi wa Mungu!!! Mungu akufanyie mpenyo mkubwa kuliko matazamio ya adui!!! Barikiwa Sana pastor Mbarikiwa!!!
@noahchepe8036
@noahchepe8036 11 ай бұрын
Amina amina! Umekua Ukimtumikia mungu wa kweli ndio maana hakukuacha mtumishi. Hakika upo huru kwa mara nyingine mungu akusimamie ktk shughuli zako za kueneza injili ya bwana
@mamanbinwashadrack2257
@mamanbinwashadrack2257 10 ай бұрын
BWANA YESU tuna tuna kushukuru sana baba, na hili pia umetenda, maandiko yanasema, sijaona mwenye haki ameachwa 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@MaxwellThepheya
@MaxwellThepheya 11 ай бұрын
To God be glory from South Africa God is always grateful
@floridawilliam4390
@floridawilliam4390 10 ай бұрын
Ahsante Mungu wangu kwa kumtoa mtoto wako endelea kumlinda na mwovu shetani nimefurahi sana maombi yangu umeyasikia kikosi kazi Mungu awalinde na kuwatumia kwa kuambatana na baba yenu kazi yenu sio bure mtalipwa kwa wakati amen
@JuneJune-xf4pc
@JuneJune-xf4pc 11 ай бұрын
Atukuzwe Mungu muumba mbingu na nchi, Ayubu ilifikia mahali akailaani siku aliozaliwa kwa maumivu makali aliopitia lkn Mungu kusudi lake nikumpima imani yake, hata wewe leo Hii mtukuze Mungu kwa kuomboleza kwa sauti na kilio maana Mungu yuko hai, hata ulivyokuwa gerezani Mungu alikuwepo humo unae, aliona mateso unayopitia kwako nakusema kusudi langu litimie lazima upite kwenye mateso, lkn sijakuacha niko nawewe siku zote 12:25
@mwl.benjaminhanthony4231
@mwl.benjaminhanthony4231 11 ай бұрын
Mungu anaye watia Watu katika vipimo vyake, ndiye Huyu anaye jigamba mbele za shetani kwa kushinda kwako. Kamanda move forward hujamkosea Mungu mahala popote Songa mbele Mungu kashangilia kwaajili ya wewe kushinda mtihani huo maana ilikuwa ni Vita Kati ya Mungu na Shetan juu yako Now umemuonesha Mungu kuwa uko rigidity enough. Congratulations and we thank God to have you kamanda. Mwl Benjamin H Anthony
@EdithaPaul-k3c
@EdithaPaul-k3c 11 ай бұрын
Ahsante Yesu kwa kujibu maombi hatimae mtumishi wako ametoka gerezani na Sasa Yuko huru jina la Bwana libarikiwe
@dorahpeter6542
@dorahpeter6542 10 ай бұрын
Ashukuriwe Mungu endelea kulinda kondoo wake
@danifordzebanga3391
@danifordzebanga3391 10 ай бұрын
Mungu anisamehe sana Leo nimeusikiliza ule wimbo wa mchungaji mwakipesile HERI KUNG'ANG'ANIA WOKOVU duh nimejikuta naona kumbe wokovu ni kazi sana siyo jambo la mayai mayai. Mungu akutie nguvu mtumishi wa Mungu kejeli zipo kama ulivyoimba kwenye wimbo ila hiyo ndiyo njia ya kuuendea uzima wa milele. Ni njia ngumu sana ya kuingia mbinguni, mateso ikiwa ni njia kama njia zingine. Yesu Kristo aliteseka sana, mitume waliteseka sana, kuna siri kubwa katika magumu na mateso tunayopitia. Eeh Yesu Uturehemu 🙏🙏
@SadallahedwardBataza
@SadallahedwardBataza 11 ай бұрын
Aleluyaaaaaaaaaaaaaaaaa asante Mungu asante Mungu asante Mungu wangu asante kwa kusikiliza maombi yangu
@nicolausminja689
@nicolausminja689 10 ай бұрын
Najua kwamba kilio hiki ni Cha furaha kwakua Dhahabu lazima ipitishwe kwenye Moto🔥🔥bila shaka Mbarikiwa unayaishi maandiko matakatifu, hata huu waraka wa Yakobo 1:2hadi 4 unayaishi hayo kwa Imani .Nakuonea wivu kwa kupata fursa ya kuonyesha Imani yako kwa Mungu.najua Mungu aliringa juu yako kama alivyofanya kwa mtumishi wake Ayubu.Na imani umeilinda Hongera sana mtumishi.
@mussajeremia8287
@mussajeremia8287 11 ай бұрын
Paulo na. Sila waliomba milango yagereza ikafunguka Mungu alikueko yupo na atakuwepo aminaaa
@florarwegerera8025
@florarwegerera8025 11 ай бұрын
Bwana Yesu Asante kwajili ya mtumishi wako Mbarikiwa hakika tumeuona mkono wako ukitenda kazi, tumetambua kuwa wewe ni Ebeneza. Nakupenda sana baba
@nicholaswaemmanuel7221
@nicholaswaemmanuel7221 11 ай бұрын
MUNGU ASANTE! 😭😭😭KWA YOTE HAYA MUNGU TUNAUSEMA AMEEEEEN🙏🙏🙏. TULITOKA KWAKO, TUTARUDI KWAKO,😭😭😭😭😭😭 AMEEEEEN🙏🙏🙏
@possiepondie6538
@possiepondie6538 10 ай бұрын
Siaminiiii😢😢😢😢Amakweli Mungu hajawahiii shindwa kitu Hongera sana pastor mwakipesile & Mungu akubariki sana chief mwabukusi
@alicebeautiful4114
@alicebeautiful4114 11 ай бұрын
Thank you JESUS this is your cup you must drink it as a beliver HE did not bring PEACE but A SWORD the way HE suffered we must suffer as his disciples
@willtermbeche
@willtermbeche 11 ай бұрын
Usilie mtumishi,sema ahsante kwakuwa Mungu anakujua wewe na alikuwa anakutembelea gerezani,siku moja alikuja akakukuta unaumwa sana,akakusaidia.Akaniambia kuna siku moja atamtuma mtu aje kukutoa gerezan,kumbe tayari ameshatenda anavojua yeye,kwakweli Mungu ni mzuri,usife moyo enndelea nakazi yake kwa ukakamavu,mbingu zinalijua jina lako.
@israelbalagula8613
@israelbalagula8613 11 ай бұрын
Mungu ni mwaminifu hakika kwa kilio hiki lazima ajifunue kilicho baki shukuru na kusamehe mpishe Mungu ashike nafasi yake sasa yatosha
@felisterandrew8741
@felisterandrew8741 10 ай бұрын
Mungu ni mwema wakati wote nililia Na Mtu simjui na Mungu amejibu Ahsante Yehovah kwakumuokoa mteule wako.
@Veromasika
@Veromasika 11 ай бұрын
Hallelujah 🙏🙏 Mungu mwaminifu kweli Mungu asante Kwa mfunguwa mtumishi wako
@ShukuruMwampamba
@ShukuruMwampamba 10 ай бұрын
Ameeeen baba etuu mwendo umeumalizaaa Sasa munguuu akupe kushinda tena Kwa damu hujakosea alitaka kupima Imani Yako kwelii we ni njia ya Paulo na umemalizaaa ubarikiwe baba na wote wa nyumba yakoo munguuu ameaikia kilio Cha kikosi kaziii 🙏🙏acha uitwe munguuu
@mohamedkapunda6421
@mohamedkapunda6421 11 ай бұрын
Mungu ni mwema kwako darasa na mtihani umeshinda uinuliwe na Tena uinuliwe Amen
@israelisponsor8755
@israelisponsor8755 10 ай бұрын
Ushukuriwe Mungu wa mbinguni,maana wewe ni wa ajabu unafanya njia pasipo njia. Umempa Nuru mchungaji WA Mungu alipokuwepo gizani. Tunasema asante Bwana Kwa baraka zako. Amina😢
@HappyPhilly-oq4bs
@HappyPhilly-oq4bs 11 ай бұрын
Asante Mungu kwa ajili ya mtumishi wako
@mashakalonka7767
@mashakalonka7767 11 ай бұрын
Mtumishi pole Sana,usilie sana maana utaliza wengi,tushukuru Mungu kwamba umetoka gerezani!,wengi tuliguswa sana na hukumu ya kesi yako,but maadamu umetoka Mungu atukuzwe Bwana wa majeshi!.
@elishadodi8787
@elishadodi8787 11 ай бұрын
God has released his servant from jail. Glory be to him (God)🎉
@dignakanje4508
@dignakanje4508 11 ай бұрын
Siamini jmn mungu anatenda mungu anajibu,mungu anaunguruma nawenye hki.Ole wao wanaohukumu watu waxio nahtia kwamadaraka,kwarushwa kubwa,kwasifa zaukuu wakitu Fulani.Wabarikiwe walietoa hki,watukuzwe kwenye uflme wambingu.Mungu awabariki mawakili wte waliojitolea kimtetea huyu mbarikiwa.Kapitia magumu namachungu mengi.
@FloridaAdelinus
@FloridaAdelinus 11 ай бұрын
Aliyemhukumu vibaya kwa ajili ya kumfurahishwa mwanadamu shughulika nae Mungu wetu usiyelala, uonaye kila mahali hasa kwa watu wanaodhulumiwa haki zao.
@amaninyambulapi3650
@amaninyambulapi3650 10 ай бұрын
Mungu hamuachi mtu yule ampendaye na kuzishika Amri zake Bali mtu ndiye amuachaye Mungu Kwa uovu alionao. Mungu awe Baraka kwako
@SadallahedwardBataza
@SadallahedwardBataza 11 ай бұрын
Hakika kanisa hili ni kanisa takatifu la Mungu ili ujue yesu yupo mahali hapa lazima haya yatokee njia ya mbingun ni nyembamba na yenye misukosuko mingi ukiona nyinyi mnanenepeana ktk safari ya wokovu jua si njia sahihi MBALIKIWA wewe nakuona peponi hakika
@samwelilulandala2384
@samwelilulandala2384 10 ай бұрын
Hahahaaaa! Hujui makanisa matakatifu
@ERICAIRANEZEZEREJE
@ERICAIRANEZEZEREJE 11 ай бұрын
❤❤❤❤❤ Ameeeeeeeeeeen❤❤❤ Asante sana Mungu wetu ulie simama na mtumishi wako ,tunashukuru sana kwakuona Mungu ametujibu maombi yetu❤❤❤ jikaze Mtumishi wa Mungu ,Mungu ako upande wako hatakuacha kamwe, 😢😢😢
@saturinimushi4746
@saturinimushi4746 11 ай бұрын
Mungu Amekurudisha Uraiani Tena Kwa Sababu Ulienda Jela Kuhubiri Injili. Maombi yangu Mbele za Mungu Kwa Ajili yako ni ISAYA 11:2. Roho ya BWANA atakaa juu yako....... Roho ya Hekima Roho ya Ufahamu. Roho ya Shauri, Roho ya Uweza Roho ya Maarifa ........... Mtumikie Mungu Kwa Busara na Hekima Utaepusha machozi ya Wanawake Hawa.... Lihubiri Neno Achana na Mambo ya Watu .........❤ Mdomo Uliponza Kichwa.......Jihadhari na Ulimi.
@kafulirahillaryhabel6728
@kafulirahillaryhabel6728 11 ай бұрын
Mawazo ya mwendakuzimu haya, tunamtukuza Mungu kwa kujitukuza, nawe waukashifu utukufu wa Mungu.
@saturinimushi4746
@saturinimushi4746 11 ай бұрын
@@kafulirahillaryhabel6728 Mwenda Kuzimu ni yule anayeropoka Ovyo akisahau kwamba Uhuru wake Unapoishia Ndipo Uhuru wa Mtu Mwingine unapoanzia. Mke wa Mbarikiwa ndiye Anaweza kujua Nini? Maana ya Usumbufu aloupata Katika kushughulikia Mashtaka ya mumewe. Mimi Naamini Mbarikiwa atakuwa Bora zaidi katika Discpline ya Kumtumikia Mungu. Muda aliokaa Jela Gharama kubwa sana ya Maombi imetumika ambayo ingeweza Kuombea Mahitaji Mengine ya Mwili wa Kristo endapo angekuwa Kanisa Mbali na Magereza
@mestonisimzosha203
@mestonisimzosha203 11 ай бұрын
Mbona nikama umeshauri utumbo?Au nimacho yangu!!🧐
@ezekielmkinga7773
@ezekielmkinga7773 11 ай бұрын
Heri uponze kichwa uokoke Roho kwaiyo acha kujifanya una hekima kumbe mpumbavu
@saturinimushi4746
@saturinimushi4746 11 ай бұрын
@@mestonisimzosha203 Faini ya Milioni 10 ingeweza kununua Viti vya Kanisa. Wewe Ropoka Kwa Sababu Unao Mawakili wa Kujitolea Kwa Ajili ya kukutetea. Lakini kama Unajua gharama za Kesi utakumbuka Hii Coment. Kifupi ni kwamba Sababu ya Usajili wa Kanisa kwenye kesi ya Mbarikiwa ilikuwa ni chambo tu!. Jiulize ni Makanisa mangapi? Watu Wanayaendesha na bado hayajasajiliwa!!??. Siku Utakapokuwa ndiyo Utanielewa.
@karibunyumbani3824
@karibunyumbani3824 10 ай бұрын
Wanyakyusa shkamoo wakiamua kumshika YESU hawatanii wako tayari kufunga kila kitu kwa ajili ya MUNGU 😢😢😢😢😢😢😢 hii imenifunza mengi
@twahakamugisha6213
@twahakamugisha6213 11 ай бұрын
Wow God is good from Uganda.
@MeckitilidaTushabe-or9hu
@MeckitilidaTushabe-or9hu 11 ай бұрын
Ameen be blessed
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 11 ай бұрын
God is soo good!
@JohnMwakulima
@JohnMwakulima 11 ай бұрын
mungu nimuweza wakila jambo jina labwana litukuzwe
@Adeq724
@Adeq724 10 ай бұрын
Mshukuru Mungu mtumishi kuna siri kubwa katika AHSANTE kwa Mungu we mtukuze tu Mungu usilalamike hivyo mtumishi mwambie Yesu ahsante Pole sana
@LovelyCruiseShip-fr1bw
@LovelyCruiseShip-fr1bw 11 ай бұрын
Uwe hodari,usiogope,piga vita,sema kweli kama TUNDU LISU hutokufa bali utaishi uyasimulie matendo makuu ya Mungu na Mungu akusaidie daima. Amen
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 11 ай бұрын
Sio kama tundu lissu, sijamuona tundu lissu akitetea wanyonge, sema kama bwana yesu na Mwabukusi❤
@Sebastianmangenyi
@Sebastianmangenyi 11 ай бұрын
Mungu akubariki na kukupa baraka tele
@imanhaonga6687
@imanhaonga6687 10 ай бұрын
Tundu lisu hapiganii wanyonge???au unaongelea wanyonge wa namna gani?Siyo huyu Tundu lisu anayewapigania wanyonge kwa kutokomeza udhalimu na ukandamizaji wa haki na ukiukwaji wa sheria kwa wanyonge,?​@@richardboaz-mashagospel2346
@margaritoraphael3805
@margaritoraphael3805 10 ай бұрын
Mshukuru Mungu kwa hili jaribu maana linaemda kukuvusha hatua nyingine kiroho..Mtumishi mbarikiwa ni wakati wa kumshukuru Mungu sio wakati wakulia au kujuta
@christopherbainga1920
@christopherbainga1920 11 ай бұрын
Glory to Living God ❤❤❤
@JanetNjovu-e8s
@JanetNjovu-e8s 10 ай бұрын
Bwana ni mwema daima asante mungu kwa kumtoa kaka mbarikiwa gerezani
@eunicendunge-nb1qq
@eunicendunge-nb1qq 11 ай бұрын
Glory to Jesus
@ZamoMartin-i2e
@ZamoMartin-i2e 10 ай бұрын
Nimelia sana , lakini nimefurahi sana ,namshukuru sana Mwenyezi Mungu , hauewez kukamilika bila kupitia majaribu, leo tumeiyona nguvu ya bwana 12:25
@GetrudemshaiMshaigetrude11
@GetrudemshaiMshaigetrude11 11 ай бұрын
Mungu ni mwema jamani
@isaacmagesa_TZ
@isaacmagesa_TZ 11 ай бұрын
Mtumish wa Mungu pole sana Kwa Pito kubwa ili Ndio Mda wa shukrani sio kumwambia Mungu umekose nini mapito ni sehem ya ushindi mpya kumbuka wewe sio wa kwanza mwangalie Ayubu. Paulo na sila wakiwa gerezani Bado walimsifu Mungu. Pole sana
@ntakilutandato
@ntakilutandato 11 ай бұрын
Nikweli tunampenda Yesu ila mbele ya jaribu la kifo kwanini usiombe powa kwa Mungu utatamani akuoneshe zambi zako zote ili utubu uwe supastaa zaidi ya Yesu aliyetemewa mate wakati alifufua wafu wao. Binafsi nilishashukuru kwa Mungu nikijua walimkamata Mbarikiwa wameshikilia maisha yake tayari. Nimeamini Mungu niwakuimbiwa tu hata kama tunatoa machozi na kuzikwa wazimawazima. Karibu uraiani mtumishi wa Baba..sikupangii staili ya uinjilishaji maana kila mtu ameitwa kwa staili yake katika injili na kusudi la Mungu na kamwe hatuwezi kufanana ila baba kulia mbele ya mtoto hata kama anacho cha kumliza ni fedheha kama ambavyo mke amfokee mume mbele ya watu...wenye mamlaka nao ni watu wenye moyo wa kuona aibu au hasira ukiwatenda mbele ya watu...msizomee barikini wanaowadharau hasa wakiwa wenye mamlaka maana ujumbe hata usipoenda kwa usiriaz basi hata kwa masihala utani na maigizo ukweli unapenya popote na hautapotea daima. Karibu sana uraiani. Wewe mbarikiwa una wito wapekee mno ambao ni wachache kama wewe wakishanaswa na Serikali maisha yao yalibakia...Nakuombea tu imani yako isitindike maana hapo unajiona mwenye hatia kanisa lote kulia kwa ajili yako..Na ushukuru Mungu maana wewe hujakimbiwa kama Yesu alivyokuta kundi lote limetawanyika akatorokea mbinguni ila kazi aliyoifanya kabla ilimtakasa mbele ya BABA hadi kanisa likafufuka baada ya ile miaka 1260AD wanafunzi wake wachache waliendeleza kazi yake..ungekuwa kama umeteketeza wewe kondoo wa Bwana na hatia hiyo ingekunyonga kama Yuda..ila Damu ya Yesu uliyoitumikia baadae itakutetea kama utajitenga daima na faida za muda mfupi zilizompasua matumbo Yuda.
@alexmwalingo5020
@alexmwalingo5020 11 ай бұрын
Mungu mwema sana kwa wenye haki, kila jambo linalotokea kwa watumishi wa Mungu sio kwamba ni baya yawezekana Mungu mwenyewe amefanya kusudi litokee ili kujifunza na mengine upande ambao haufikiki kibinadamu kawaida kuwekwa kwako ndani yawezekana kuna wengine mle ndani wamebadilika au wameokoka, pole sana Mtumishi wa Mungu kwa yote uliyopitia ww na waumini wako wote lakini katika yote Mungu yupo anakulinda na kukupigania na yote🎉🎉🎉🎉
@mourinemukitanga1298
@mourinemukitanga1298 11 ай бұрын
Glory be to God almighty 🙏
@sofiadaniel6381
@sofiadaniel6381 10 ай бұрын
Pole sana kwa vita ya Imani, YESU hakukuacha alikuwa nawe ndo mana amekutoa mkumbuke Ayubu mapito yake, MUNGU ni mwaminifu atakuinua mara mbili
@alice-bs5ny
@alice-bs5ny 11 ай бұрын
Waaaaw glory be to God❤❤❤❤❤
@danielambonisye6261
@danielambonisye6261 10 ай бұрын
Asante Yesu kwaajili ya mtumishi wako utukufu ni wako Bwana hakika kazi ya Bwana Yesu ni nzito mno yapasa kuitafakari vizuri Mungu akutie nguvu mtumishi mwaminifu
@deodatusmagagura6793
@deodatusmagagura6793 11 ай бұрын
GOD is always greatest of all. Glory to him
@beproductive839
@beproductive839 10 ай бұрын
Pole mama kwa wakati uliopitia na kanisa lote kwa pamoja Yesu ni jibu la matatizo yetu kila mtu humpa jaribu na mlango wa kutokea pia Pole pastor mwakipesile kwa uliyopitia "kuishi ni kristo na kufa ni faida"
@babaloisethan7010
@babaloisethan7010 11 ай бұрын
Amen😢😢 Glory to God
@endrewtomasendrewtomas8916
@endrewtomasendrewtomas8916 10 ай бұрын
Jikaze baba wewe nishujaa.
@asminmakoha6889
@asminmakoha6889 11 ай бұрын
Amen Hallelujah MUNGU awabariki MUNGU ametenda🙏🙏🙏🙏🙏
@carolinenjiro41
@carolinenjiro41 11 ай бұрын
Glory to God
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 11 ай бұрын
Namshukuru Mungu kwa uaminifu wake. Nawashukuru wooote tuliokua pamoja kuomba na kwa mchango wa aina yoyote kwa mtumishi wa Mungu, Mbarikiwa❤ Mungu atubariki sote.. Amen
@asiachuma6288
@asiachuma6288 10 ай бұрын
Nampenda Sana Mungu jaman...namtukuza Mungu kwaajili yako mtumish wake wa kweli...yesu aitunze huduma yako na familia yako..amen
@KaseMwaliyoyo-mb3wp
@KaseMwaliyoyo-mb3wp 10 ай бұрын
Umesema shukuru ninakushukuru kumtoa mzima Imani izidi shugulika na madui zake mungu wa mbinguni mbarikiwa hawrzi mpambanie yesu
@Josephinesam4103
@Josephinesam4103 10 ай бұрын
Asante Yesu.Mchungaji Mwakipesile,songa mbele na Yesu.Ameona upendo mkuu ulio nao kwake.
@foundationforcommunityhope7327
@foundationforcommunityhope7327 10 ай бұрын
Mungu sio dhalimu...Bwana Yesu Kristo ni Nuru yeye ni kweli.. Ukweli siku zote unapingwa lakini yupo mwenye Nguvu YESU KRISTO amewashindia.
@mildrednafula3082
@mildrednafula3082 11 ай бұрын
Glory be to God I have been waiting for this 🙏🙏 mungu wewe aki SI binadamu hulali kwa mtu am very grateful to God
@Isayatz
@Isayatz 11 ай бұрын
Amen 🙌 Watumishi Wa Mungu si Wakati wa kulia Ni Wakati wa kumshukur Mungu
@happyiskaka
@happyiskaka 11 ай бұрын
MUNGU AKUTUNZE mno mtumishi wa MUNGU. AKUTUNZE Kwa Ajili ya wengi. Hongera sana shujaa wa Imani. Hongereni nyote wana Kikosi kazi wote kwa moyo mmoja wa kusimama kwa ujasiri kumlilia MUNGU na kuiongelea haki. MUNGU akung'aze ZAIDI....😭😭😭😭😭 Hapana babayangu Mbingu na MUNGU Bado anakupenda mnooo.... MUNGU utukuzwe MUNGU utukuzwe ..utabaki kuwa kuwa MUNGU kwenye maisha yetu
@shangwefisima3993
@shangwefisima3993 11 ай бұрын
Amen Amen! Naanza kuja kusali kwa Mbarikiwa❤️❤️❤️
@İsrafilTuncer
@İsrafilTuncer 10 ай бұрын
Mngu akutie nguvu kwa hata yesu arijarimbiwa akasema baba ikibi kikombe hiki kiniepuke mngu akamtiya nguvu kwasababu arimchangu kuja kutukombowa watoto wake hıvo basi kujaribiwa kwamngu nikujipa utukufu kwe ke kwa sisi wanae hata ayubu arijarimbiwa rakina hakumucha mngu kwa Sasa mngu kakupa nguvu mpya ote wariyo teda mabaya utapona moto wayesu utakavo wachoma amina 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@renaldahinjehu2445
@renaldahinjehu2445 10 ай бұрын
Glory be to God. Nilikuwa nangojea kushuhudia hili pia nikiwa Kenya. Mungu akulinde mchungaji
@iyobozambia2118
@iyobozambia2118 10 ай бұрын
Mungu yupo jamni kwamsioamini Thanks Lord 🙏🙏🙏
@simonIbrahim-hc8vm
@simonIbrahim-hc8vm 11 ай бұрын
Jina na Mungu lihimidiwe hakika Mungu ni mkuu kuliko kitu chochote hapa Dunian Ahsante Mungu ❤❤🙏🙏🙏😭😭😭
@isackanthony499
@isackanthony499 10 ай бұрын
❤️❤️😭😭😭😭 Imenigusa sana. BWANA azidi kujidhihirisha kwako mtumishi.
@JosephLamau-yq1lx
@JosephLamau-yq1lx 11 ай бұрын
Mungu uwalinda watu wake nakuwatoa shimoni Mungu akubariki sana MCH. uwe na moyo Mkuu Mungu yu pamoja Nawe utukufu kwa Bwana ❤❤❤❤❤❤
@lukuyanalaheri4372
@lukuyanalaheri4372 11 ай бұрын
🙆🏾‍♀️Nahisi kulia😢damu ya Yesu ina nena mema. Ona mchungaji na wanae furaha imerudi nyumbani. Sifa na utukufu zimrudi Mungu mwenyezi🤗🇺🇸
@tumainiabel4656
@tumainiabel4656 11 ай бұрын
Asantee MUNGU pamoja na watumishi.wote mlikua na moyo wa huruma Kwa ajili ya mtumishi.na kibali chako.hakipingikiiiiiii
@okokaashery6286
@okokaashery6286 10 ай бұрын
Mungu Atukuzwe kwa Matendoyake juu ya Watumishi wake, Jitieni nguvu kwa Bwana Maana Amejidhihilisha juu pamoja nanyi, Naa Atawakumbuka tena kama Ayubu na Kuwarudishia mara dufu kwa vile mlivyopoteza🙏
@EsterbernardoVumo-kn2xv
@EsterbernardoVumo-kn2xv 11 ай бұрын
Amem Amen Amen Imeshinda Majalibu Mtumishi Wa Mungu.Nimekufatilia Mwanzo Hadi Mwisho Jina La Bwana Kubarikiwe.BayMsumbijiMaputo.
@Satier47
@Satier47 10 ай бұрын
UBARIKIWE MTUMISHI MWAKIPESILE ASANTE MUNGU KWA KUJIBU 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼❤❤❤❤ ❤ 🎉🎉🎉🎉🎉
@MaryTarimo-v5y
@MaryTarimo-v5y 10 ай бұрын
Hakuna mtumish wa mungu ambaye hapiti ila mbarikiwa nakuomba sana sana sana usitoke rohoni pambana na maombi samehe Kuna baraka Iko mbele maana najua jaribu ni mlango wa kuvukia ngambo nyingine ya baraka achana na hivyo vyombo vya habari vinavyokuhoji kukupotezea muda wako mtafiute mungu halafu baada ya mda mfupi utatupa ushuhuda mkubwa sana🎉
@KeflinSingogo
@KeflinSingogo 10 ай бұрын
Nilitumia sana Tena sana cku naona taarifa amehukumiwa mungu aendelee kukupigania mbarikiwa nmefurah San
@BarakaEnockKangoma
@BarakaEnockKangoma 11 ай бұрын
Pole Pastor. Inuka, jikaze na uwe hodari ili kazi ya Mungu iendelee
@marthabenard3723
@marthabenard3723 11 ай бұрын
Utukuzwe MUNGU mtenda mambo ya ajabu, Asante Kwa kumrejesha mtumishi wako
@kosherasengasu5093
@kosherasengasu5093 11 ай бұрын
Asante Bwana Yesu.Nimeuona ukuu wako kupitia Mtumishi wako huyu.
@jolemerci2155
@jolemerci2155 10 ай бұрын
Kipindi chote cha Ushuhuda wa Bwana wetu YESU KRISTO na manabii wake walikosa nini mbele za MUNGU tuishi neno tuwe tukishukuru kwa kila jambo MUNGU ana kijuwa a nacho kifa nya YESU usifiwe milele amina
@kingsonkambey1436
@kingsonkambey1436 11 ай бұрын
Pole sana mtumishi wa Mungu aliye Hai milele hakika Mungu ni mwema sana Sifa na Utukufu twamrudishia yeye Amina
1 IJUE NGUVU YA MUNGU YA MSALABA ITENDAVYO KAZI ILI UNUFAIKE NAYO || Mwl Christopher Mwakasege.
1:19:08
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 62 М.
5. MALENGO MKAKATI YA KUFANIKISHA MIPANGO YAKO || MWL, CHRISTOPHER MWAKASEGE: ARUSHA 2024
3:06:15
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 43 М.
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
Martha kwenda na Joan Congo wakati huu ni ndege wafananao huruka pamoja?
15:16
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 1,3 М.
4hrs 44min Nonstop Best of Guza Worship Mix
4:44:41
𝗚𝘂𝘇𝗮 𝗧𝘃. (𝑻𝒐𝒖𝒄𝒉𝒊𝒏𝒈 𝒍𝒊𝒗𝒆𝒔)
Рет қаралды 1,5 МЛН
MBARIKIWA AKUTANA NA MAMBO MAZITO 27/5/2024 MAHAKAMANI
21:53
Ngome Ya Imara
Рет қаралды 3,6 М.
Kenapa Israel Susah Nak Rampas Palestin
14:13
YouCast Clips
Рет қаралды 58 М.
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН