Mbarikiwa amwangukia mch Kanemba aliyemrithi Magembe. "UTAPATA LAANA" (Jasho la mtu haliliwi bure).

  Рет қаралды 32,257

Kikosi kazi cha injili🎖

Kikosi kazi cha injili🎖

Күн бұрын

Пікірлер
@Fadhili2024
@Fadhili2024 3 күн бұрын
Weka changizo tumsapoti mzee magembe ni shujaa na mpambanaji wa injili ya kweli hataki kona kona , timu magembe oyeeeeeeee❤🎉
@UswegeJohn-ov3ym
@UswegeJohn-ov3ym 2 күн бұрын
Excellent clarification with a clear seriousness of purpose! May the Almighty God bless you in richly!! Mbarikiwa, barikiwa sana!!
@dismassendeu8042
@dismassendeu8042 Күн бұрын
@@UswegeJohn-ov3ym hili sio la kumsifu MTU maana anawajibika kwa nafsi yake na lisionekane kwamba wote lazima wafanye hivyo
@barakahaule2433
@barakahaule2433 4 күн бұрын
Mchungaji Moses Magembe nami pia nakuombea uso wa Mungu uende pamoja nawe.
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 2 күн бұрын
Pole Mchg. Magembe. Bila shaka katiba imezingatiwa. Kwa kuwa unahubiri injili ya Kristo Mungu akulinde. Mali za dunia tunaziacha hapa duniani.
@MaswekoJackson
@MaswekoJackson Күн бұрын
Magembe ni mwanaume,,, Mungu amtetee na wanaolitumia jasho lake Mungu awabariki!!
@Rehema-t8i
@Rehema-t8i 4 күн бұрын
Asante Saana Mtumishi Huu Ndio Ukweli wa Neno! Shetani Anaalarisha Uongo Wa Katiba Kuwa Ukweli wa Mungu! TAG Kama Mnamuofu Mungu Kaeni Chini Mjilekebishe na Katiba Hiyo ya Kidunia!
@1stladyafrica402
@1stladyafrica402 3 күн бұрын
Yaan wameshindwa kumuachia hata gari alokuwa anatembelea? Kweli wana roho ngumu mno mno mno
@AlexMkwama
@AlexMkwama 4 күн бұрын
Big point Pastor, God bless you about this
@judithmwamakula6535
@judithmwamakula6535 4 күн бұрын
Mungu ni mkuu sana. Maghembe hatapungukiwa kabisa.
@sojipaul5021
@sojipaul5021 4 күн бұрын
Natamani kutoa chochote Kwa ajili ya mch magembe.Fanya utaratibu tumshike mkono.mimi sio T.A.G lakini Huwa napenda mafundisho yake.Mungu atamwinua zaidi maana anasimamia kweli ya Mungu.
@obbynomwa7143
@obbynomwa7143 3 күн бұрын
Mungu akubariki sana
@MwicheGoma
@MwicheGoma 2 күн бұрын
Amen
@Pastorevance
@Pastorevance 2 күн бұрын
Umeongea vizuri mbarikiwa. Sasa hivi watu wanakomaa na vitu wakidai ni mali ya kanisa wakiacha mioyo ya watu ambao ndo kanisa lenyewe na ndo Mungu amelenga wala sio vitu.
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 4 күн бұрын
Yesu wangu nipe uvumilivu nipe uvumilivu kwa kweli kwa jambo hilo la magembe limenifikilisha sana na bila msaada wa mungu kwa kweli linavunja moyo maana sielewi mtumishi aweje au afanyeje ili awapendeze wakuu yaani aweje magembe ameisaidia dunia sana kutambua sula ya mungu iweje kwa kanisa leo anaonekana kadhalilisha katukana kakasfu wakati uhalisia tunaona tupo hali tete visuluali vya kubana washilika wanatia huluma ukiwaona hutaamini waliwahi kuokoka
@michaelmagwaza-bc6mk
@michaelmagwaza-bc6mk 3 күн бұрын
Mbarikiwa Mwakipesle Unakitu kizuri sana na Mungu atakutumia sana , nimependa sana leo umeongea kwa nidhamu sana na Ujumbe Wako umefika kwa kueleweka, kumbe bila Kutumia Lugha tata unaweza Mch.
@victormosses7244
@victormosses7244 Күн бұрын
Point kubwa sana TAG wajitafakari sana namna wanavyo treat wachungaji .
@josephnchalale9285
@josephnchalale9285 4 күн бұрын
Kweri watu wamungu mnashindwa hatakumuachia gari miakayote arioitumikia kanisa kama asante mungu wambinguni atuhurumie
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 4 күн бұрын
Yesu amuinulie watu wamnunulie,Yesu hajaishiwa Kwa umri Ile wanashindwa. Kumpa?
@leahsrath
@leahsrath 3 күн бұрын
@@PaulMwenda-w9vmatahira nyie
@ElizabethMsizio
@ElizabethMsizio 3 күн бұрын
​@@PaulMwenda-w9vKama na wewe ni mtag basi kanisa lenu sasa limekuwa genge la wazi
@dismassendeu8042
@dismassendeu8042 Күн бұрын
@@josephnchalale9285 mali ya taasisi haitolewi kwa kutumia huruma ndugu na hakuna kosa hapo
@stephanSandika
@stephanSandika 20 сағат бұрын
Huyu ni mtumishi wa Mungu kweri
@LightnessEvaristo
@LightnessEvaristo 4 күн бұрын
We magembe anaendelea na kazi ya mungu anakiwasha vilevile namkubali sana mchungaji magembe na lazima nihamie kanisani kwake
@leahsrath
@leahsrath 3 күн бұрын
@@PaulMwenda-w9v😅😅😅jipe moyo mmeshaishiwa makanisa mmeyafanya madangulo ukwel hamtak kuusikia Yesu awasaidie
@martinjohn7854
@martinjohn7854 3 күн бұрын
❤❤❤ UMEONGEA YATOKAYO JUU. WASIKILIZAJI NA WAHUSIKA,KAZI KWAO.
@JosueYouston
@JosueYouston 10 сағат бұрын
Tutapata neema wapi APA Congo kuwapata watumishi WA mungu kama mzehe??fika n'a injili APA Congo papa
@evodiajohn7991
@evodiajohn7991 3 күн бұрын
TAG mmekwishaaa mpaka gari amewakabidhi duuuh kweli pastor magembe ni mtu wa Mungu.
@1stladyafrica402
@1stladyafrica402 3 күн бұрын
Yaan na wao wamelipokea wameshindwa hata kumrudishia ili akalitumie kueneza injili. Kweli kwa kazi yote alofanya hadi gari wamechukua. Kweli TAG wameliaibisha kanisa
@PhilemonKageleja
@PhilemonKageleja Күн бұрын
Imeniuma sana, Mzee Magembe anastahili kitu fulani kwa ajili ya kuanza upya huko anakokwenda. Hata kama ningekuwa mpagani nisingepokea kila kitu alichokabidhi Mch Magembe. Pole sana Baba yetu Magembe. 😭😭😭
@JosephNgasa-j7l
@JosephNgasa-j7l 4 күн бұрын
Magembe alikuwa anakemea uovu,siyo kama wengine wanaotiana moyo wa utajiri tu utafikili kanisani ni chuo Cha entrepreneurship(ujasilia mali)
@dadamuebrania1539
@dadamuebrania1539 3 күн бұрын
Kwakweli hii habari inaumiza sana. Mungu amshike mkono mzee Magembe mtumishi wake. Wanakiri kwa vinywa vyao kanisa la majumba 6 liliasisiwa na Mzee Magembe sijuwi wanajisikiza wallah 😢😢😢
@obedmasaki3565
@obedmasaki3565 4 күн бұрын
Hakika hii ndo maana huwa namuomba MUNGU anijalie kile kilichomfanya Yesu awe maskini.... Ningemnunulia MZEE MAGEMBE GARI JIPYAAA! Nawaombeni mliojaliwa uwezo please mpeni huyu Baba Tena kimya kimya.
@jacklinegodrick2032
@jacklinegodrick2032 4 күн бұрын
Kweli kabsa Mtumishi wa mungu hizi huduma zinawatesa sana Wtumishi Wa Mungu
@obbynomwa7143
@obbynomwa7143 3 күн бұрын
Hakika , dunia yenyewe ina utaratibu , ukiacha kazi wanakupa stahiki zako, lakini kama sisi tunaosema tunamcha Mungu hatuoni dhambi hii sijui Mungu anatuangaliaje. Mungu akubariki mbarikiwa
@DicksonMjema-e4e
@DicksonMjema-e4e 4 күн бұрын
nampenda Sana uyu Mchungaji mung u azid kumuinuia tena
@MrDickson-l7q
@MrDickson-l7q 4 күн бұрын
Baba mchungaji mbarikiwa wewe ni mchungaji wakusafisha dunia
@morisernest6528
@morisernest6528 2 күн бұрын
Mungu asimame juu ya maisha yako
@jacqulinekasondera5326
@jacqulinekasondera5326 3 күн бұрын
Mungu ni mwema mchungaji Magembe atapata maradufu kama mtumishi wa Mungu Ayubu🙏
@boanerge4840
@boanerge4840 Күн бұрын
Amefanya vyema sana kwa mujibu wa sheria na kwa mujibu wa haki ni sahihi pia lkn kwa mujibu wa busara na hekima ametumika kwa miaka mingi sana angeagwa kwa shukrani ya utumishi
@Gervaskinongo
@Gervaskinongo 3 күн бұрын
baba piga injiri vitu vita baki apa apa duniani rohoooo ongera sana magembe MUNGU atakuripa baba kwa kazi uriyo ifanya
@FlavianapauloPaulo
@FlavianapauloPaulo Күн бұрын
Mungu atokuacha baba
@evahaule2396
@evahaule2396 3 күн бұрын
Yaani Mimi ata ikitokea siku nimekengeuka nikiyakumbuka mafundisho ya Moses Magembe huwa napata hukumu sana moyoni mwangu 😢🥲🙆😔 Magembe ni mchungaji mzuri sana na mafundisho yake ni ya kweli 🙏 MUNGU aenende pamoja nae popote aendapo 🙏 pia hongera mtumishi wa mungu umeongea vitu vya maana sana Mungu akubariki 🙏
@malcelalihawa6034
@malcelalihawa6034 3 күн бұрын
🙌🏿🙏🏽
@mpefu_4936
@mpefu_4936 3 күн бұрын
Wanafiki tu
@mpefu_4936
@mpefu_4936 3 күн бұрын
Mungu msimama na mtumishi wako
@DenisMwaibale
@DenisMwaibale Күн бұрын
HUYU Magembe kweli ni Mtumishi WA MUNGU.
@EliaHiluka
@EliaHiluka 3 күн бұрын
Hongera sana kwa uadilifu wako kwakuwa fedha ni vitu vya kupita
@crispakyando8854
@crispakyando8854 2 күн бұрын
Ubarikiwe kwa kutii katiba ya TAG Mchungaji magembe
@VumiliaMichael-e2i
@VumiliaMichael-e2i 3 күн бұрын
Mungu wetu huwainua wanyenyekevu naamin kwa unyenyekevu wa huyu mzee Mungu atamzidisha
@JescaJesca-s3h
@JescaJesca-s3h 3 күн бұрын
Kwakweli Babaangu Mungu akusaidie sana
@KennedyJoshua-cp5li
@KennedyJoshua-cp5li Күн бұрын
Inaumiza sana Kwa kitendo Cha mzee wetu kuondoka na na hiyo
@AshaJuma-s7l
@AshaJuma-s7l 4 күн бұрын
Umeongea hoja sana mtumishi wa Mungu. Mimi mchungaji wangu wa TAG. Amenunua uwanja kwa pesa yake. Na ametoa matofali yeye mwenyewe. Maana washirika kipato ni kidogo. Baadae ataambiwa akabidhi vyote😢
@michaelkibiki3309
@michaelkibiki3309 4 күн бұрын
@@AshaJuma-s7l Kama hutaki kutoa kwaajili ya Mungu kaa na mali zako kwani unalazimishwa
@JohnLugola
@JohnLugola 4 күн бұрын
@@michaelkibiki3309 Kwani Mali zimebaki kwa Mungu au TAG? au TAG ndo Mungu wako?
@luganomunuwavanu9369
@luganomunuwavanu9369 4 күн бұрын
Yaaani katiba yao ndiyo inasema hivyo. Na serikali ndiyo inakubali huu unyang'anyi maana wachungaji wanaosajili makanisa kwa kukiondoa hicho kipengele cha unyang'anyaji wanakataa kuyasajili. Mojawapo ya kanisa walilokataa kulisajili ni la Mbarikiwa kisa amesema ikiwa mtu atahama kutoka kanisa lake hatachukua chochote kutoka kwa huyo mtu. Wakamkatalia kumsajili.
@ModaMaro-i4l
@ModaMaro-i4l 4 күн бұрын
Kama hutaki mwongozo wa Tag nenda kwingineko
@damiankilyenyi5367
@damiankilyenyi5367 4 күн бұрын
Huo ndio utaratibu wakanisa mtu kama hawezi aanzishe hudama yake ambayo itakuwa Mali yake na familia yake kama zilivyo ministry na kujiunga TAG hajalazimishwa ma dhehebu yapo mengi.
@ruthaloyce1012
@ruthaloyce1012 4 күн бұрын
Mzee anajua anachokifanya, muacheni afanye kusudi la mwito wake . Mungu atamtokea magembe huko aliko, kama ni mali, Mungu atamrudishia kwa viwango vya kufurikishwa
@MaryTemba-z2l
@MaryTemba-z2l 2 күн бұрын
Yesu aende nawe baba❤
@deusmasalyuka7683
@deusmasalyuka7683 4 күн бұрын
Ameen, ubarikiwe baba!
@getrudeegervas6694
@getrudeegervas6694 2 күн бұрын
Mhhhh! Msiamini kila roho ilq zijaribuni mpate kujua kam zimetoka kwa Mungu au lah!
@Charlotteiyungu
@Charlotteiyungu 4 күн бұрын
Mtumishi wa Mungu akubariki sana kwa kazi unayofanya baba ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@bahatimshali2731
@bahatimshali2731 4 күн бұрын
Kazi ya kupingana na watumishi wenzake?
@dominickmassi7821
@dominickmassi7821 3 күн бұрын
“Yeye mwenyewe alizichukua dhambi zetu katika mwili wake juu ya mti, tukiwa wafu kwa mambo ya dhambi, tuwe hai kwa mambo ya haki; na kwa kupigwa kwake mliponywa. ” - 1 Petro 2:24 (Biblia Takatifu)
@yohanaGabriel-bt2jc
@yohanaGabriel-bt2jc 3 күн бұрын
Hivi wewe ndugu MUNGU amekupa kuchambua watumishi au kuhubiri injili maana naona umekuwa ukichambua watu tu,. Hongera utapokea ujira huo nawewe lakini kama umekuwa ukiona maovu Kwa Watu mbona waovu ni wengi tu waseme na wengine mbona umekuwa ukisema wenzako tu. Hongera mtakatifu.
@simonlabia3877
@simonlabia3877 2 күн бұрын
Kwa mwenendo atafeli huyu
@AbdinegoNoel
@AbdinegoNoel 2 күн бұрын
Mbarikiwa tag inakuuma sana kashitaki mahakamani,, nawewe sio mungu, unajisumbua tuu
@merumount5988
@merumount5988 2 күн бұрын
Kama si Mbarikiwa unataka Mungu am tume nani kuwaambia TAG na makanisa juu ya madhaifu yaliyopo? yeye anakosa nini asiposema?
@PhilemonKageleja
@PhilemonKageleja Күн бұрын
Waweke namna ya kumchangia huyu Mzee! Hata nyumba ya ibada anakokwenda tutachanga.
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 2 күн бұрын
Kanisa sio la Magembe ni la Yesu,badili kauli tafadhali,
@respiciussamba4135
@respiciussamba4135 3 күн бұрын
Jamaniiii mi nafikiri zilizo kuwa Mali zake binafsi alichukua lakini Mali za kanisa aliziacha kwa kanisa,teachable siasa kwenye mambo ya Mungu.
@peacelaity8104
@peacelaity8104 3 күн бұрын
Magembe ksnibariki sana ikiwa mimi nimkatoliki
@MisheckNgapulila
@MisheckNgapulila 4 күн бұрын
Hilo nalo neno. TAG ijitafakari maisha ya wachungaji nimabaya sana na Mungu inapo fika mahara ana mwinua mchungaji mwisho wake nikama huu.
@bahatimshali2731
@bahatimshali2731 4 күн бұрын
Unafahamu kwamba wachungaji sasa hadi wanawekewa NSSF?
@ezekiambwambo4969
@ezekiambwambo4969 4 күн бұрын
Hiii nimekubali asilimia moa moja yan hii kitu itapeleka wengi san moton kwasababu huwez kula josho la mtu eti tu anahama rejesta yan unakabidhi vitu kama vile unaenda kuacha wokovo na hii inaonyeshe ni kias gan watu hukomoana kwa kuhama rejesta moja kwenda ingine
@RaphaelMbughi-n1g
@RaphaelMbughi-n1g 4 күн бұрын
Hongera sana Mchungaji maana Waswahili wanasema Hasidi hana Sababu!!
@imaniselya3651
@imaniselya3651 3 күн бұрын
Angalia msije mkafa kama kuku maana Mungu hasira yake juu ya uovu wenu it's Kaa juu yenu kama Kaa la moto.. Mrudishieni Mari za huyo mzee.Kwani alikuwa anafanya kazi ya Mungu siyo yake
@barakamwasenga-n5v
@barakamwasenga-n5v 4 күн бұрын
Wewe mbarikiwa mda mwingine huereweki ameaga na ameacha sawa
@richardmwambene3366
@richardmwambene3366 4 күн бұрын
KWANZA WEWE KANISA LAKO LINAITWEJE?
@FrankMsangi-y9s
@FrankMsangi-y9s 3 күн бұрын
Mungu wetu sio maskini ni tajili bac mchungaji wetu atabarikiwa mambo mengi
@thebabilon7
@thebabilon7 4 күн бұрын
Kwajina la Yesu Mch Magembe Atafanikiwa kwa damu ya mwana kondoo aliye Hai mana mijitu wa tag Ni wanyan'ganyi bwana Msimamie Moses Magembe mana wengi tunazidi kulisikia jina lako kupitia yeye
@Edwin-tw3yj
@Edwin-tw3yj 2 күн бұрын
Kakabidhi kikatiba liko mikononi mwa maaskofu nyote wekeni midomo chini😮
@mussayosia7752
@mussayosia7752 2 күн бұрын
Nafikiri ni vizuri kutafakari upya ,,kama miradi ilikuwa mpango wa kanisa husika cdhani kama ni sahihi anayeondoka aondoke na alichochsngia ,,,,utaratibu ni muhimu ufuatwe ,,,,pili kama unataka kumshauri mtu hasa kiongozi specific unapaswa kumfuata binafsi hii kuweka kila kitu public cdhani kama ni sahihi sana ,,,,
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 4 күн бұрын
TUNAUMIA MAGEMBE KUONDOKA T.A.G TUNAMPENDA NA BADO TUTAENDELEA KUMSIKILIZA AKIHUBIRI. TUNAMUHITAJI BADO. KABADILI TU TAASISI ILA BADO MLOKOLE
@bartonlesilwa2153
@bartonlesilwa2153 3 күн бұрын
Haya makanisa ya kipentekoste yanapoelekea sio kuzuri inahitaji Msaada wa Mungu
@princejoshuamushi8396
@princejoshuamushi8396 4 күн бұрын
Unaufahamu mdogo sana mtumishi usioyajuwa usiangaike nayo... Umeacha kusudi unapambana na TAG...nakushauri rudi kwenye lengo ambalo Mungu alikuleta nalo duniani..
@GodfreyChitanda-u2p
@GodfreyChitanda-u2p 4 күн бұрын
Mushi ndugu yangu na wewe haujui lolote, magembe anajua anachokifanya na huyu mbarikiwa anasema ule ukweli,
@leahsrath
@leahsrath 3 күн бұрын
@@GodfreyChitanda-u2phawa hawautak ukwel kama viongoz wao🙌🏽
@SubiraLamsi-dc1kr
@SubiraLamsi-dc1kr 3 күн бұрын
Waache wamalizane nayeye mwenyewe usiwaingirie wa tag kwani magembe amekuomba kuwa mc mtandaon ?
@herielkishimbo9052
@herielkishimbo9052 2 күн бұрын
Walitakiwa wampe vitu vingine, kama gari nk. Kumzawadia Magembe.
@MosesCheketela
@MosesCheketela 7 сағат бұрын
Hapa ndipo watumishi munapoushangaza ulimwengu kwamba swala mhimu ni kula.
@ladslausnkanabo4991
@ladslausnkanabo4991 4 күн бұрын
Kwa kweli inamaaña hata kumpa mkono wa kwa heri hakuna miaka yote nibure?
@rhodasamuel8334
@rhodasamuel8334 3 күн бұрын
Mbarikiwa kweli huna akili unapenda sana kuongea yasiyokuhisu
@ElihurumaMshangila
@ElihurumaMshangila Күн бұрын
Hiyo laana itaanzia kwenye Hilo gari ngoja wafurahie tu
@ModaMaro-i4l
@ModaMaro-i4l 4 күн бұрын
Ndugu acha uchonganishi angalia kazi yako acha kujishughulisha na Tag .
@moshiwasua5749
@moshiwasua5749 2 күн бұрын
TAG muogopeni Mungu ,,, mmechukua Kila kitu maana hata vijiko na vikombe. JEE huyo mzee katika hizo Mali hakuna pesa yake hapo JEE nyinyi. hakuna zawadi mlizopewa kwa kivuli cha TAG mmkaweka kwenye miradi yenu JEE hujawahi kutumia gari la kanisa kwenda shambani kwako Eleweni Mungu hana upendeleo. JEE hujawahi kuchagiwa nauli na washirika halafu ukaenda kumtazama mwanao shuleni na ukampa pesa ya matumizi HIZO sheria mziangalie vizuri
@enocklugwe513
@enocklugwe513 4 күн бұрын
Wewe huleleki, ila shida ni shule. Umeshindwa hata kuishi na mzazi, utaweza kuishi na jamii?
@MtotoWamadhabahuni
@MtotoWamadhabahuni 4 күн бұрын
Upo sahihi kabisa.
@loyilangakakijohn980
@loyilangakakijohn980 3 күн бұрын
Kwani Wana TAG wao wanasemaje Magembe yuko sawa au sio sawa kuacha mpaka Gari Nipeni ushauri
@peterboaz3592
@peterboaz3592 4 күн бұрын
Hakika umenena Mtumishi Kuna mchungaji wa full Gospel naye anakesi mahalamani kesi kama hii
@RachelMligwa
@RachelMligwa 3 күн бұрын
Wanaompenda mchungaji magembe naomba muweke mkeka tumchangie
@NaftariJoel
@NaftariJoel 3 күн бұрын
Haya Maneno aliyoyasema Mch Magembe kuwa Mungu anajua yatawagharimu kabisa
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 4 күн бұрын
Ubarikiwe baba
@OlivaryKavishe
@OlivaryKavishe 2 күн бұрын
Acha kutudanganya ,waambie watu habari ya kwenda mbinguni
@NoahMadali
@NoahMadali 4 күн бұрын
Lililofungwa duniani na mbinguni limefungwa kadhalika na lililofunguliwa mamlaka zimewekwa na Mungu ziheshimike
@victormosses7244
@victormosses7244 Күн бұрын
Mtokambali amechemka hapa
@AwaziRajab
@AwaziRajab 17 сағат бұрын
Waumini Wa Kanisa Ilo Ndo Wajue Kama Apo C Pa Kuendleea Mana Wanaubili Mali Magembe Aliubili Neno Apo Kanisa Jina2
@mosesmligo9614
@mosesmligo9614 4 күн бұрын
Itawafaa nn muupate ulimwengu mzima Muikose Mbingu? Mungu atusaidie.
@johnmayunga4445
@johnmayunga4445 3 күн бұрын
Huyu jamaa naye changamoto, mali ni za kanisa na siyo za mtu hapo ndiyo tunakwama, na mambo ya malimali haya yanafanya wachungaji kuwa na viburi sababu nao ni binadamu. Pia duniani hakuna sehemu salama mpaka ukamwamini binadamu.
@davidmdadila4080
@davidmdadila4080 4 күн бұрын
Aaaaà wewe unamfundisha magembe vibaya hapo magembe amefanya vizuri alipokuwa majumba sita alimtumikia MUNGU kwahiyo amemwachia MUNGU na watu waliopo hapo
@ArcadoMrema
@ArcadoMrema 4 күн бұрын
Taratibu zilizotumika sio zilitumika kwa ajili ya mch magembe bali ni katiba ambayo magembe alisaini au kukubali kufanya kazi chini yake sasa isitafsiriwe kama amedhulumiwa maana hata yeye alijua sio mali yake na pia ana vitu vyake ambavyo kanisa la haliwezi kumuuliza na wala yeye hawezi kuvitoa kanisani hivyo alivyotoa sio vyake na anajua
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 күн бұрын
Watu wote ughaibuni tumfikirie huju baba yetu, a Hana tofauti.na KimA RIO W WA KKKT KULE DSM
@hurumakisingaernest1293
@hurumakisingaernest1293 4 күн бұрын
Wewe jamaaa ungenyamaza tu ...bado sana akili za uongozi , ingenyamaza itakusaidia
@JosephPSoka
@JosephPSoka 3 күн бұрын
Ww ni nani hapa TAG?
@OlivaryKavishe
@OlivaryKavishe 2 күн бұрын
Mbarikiwa hauweleweki wewe ni nana mwanasheria au muhubiri wa injili
@markobukuku3841
@markobukuku3841 3 күн бұрын
Mchungaji mbarikiwa mbona unadakia sana masuala ya waumini wenzako juzi umeenda na swala la Martha leo tena magemba duuu Mungu akutetee sio hari ya kawaida
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile 3 күн бұрын
Kila siku na dili na maisha ya watu sio jana na juzi tu. Hata wewe kujua kuwa nadili na maisha ya watu ujue unanifuatilia.
@JacksonMbites
@JacksonMbites 3 күн бұрын
MAGEMBE MUNGU ATALIPA MARA MIA ATABARIKIWA HADI UZAO WAKE WOTE, MAGEMBE AMEWACHIA TAG LAANA KUBWA SANA KUFUTIKA SIYO RAHISI...
@valelianonyato-gx5bq
@valelianonyato-gx5bq 3 күн бұрын
Unachokiongea na unayo mshauli ni sahihi kwasababu nihatali sana na mtu anae weza kuigundua hiyo hatali ni mtu alie rohoni kwelikweli na anae mjua nyema MUNGU wambinguni ila kwa wanao penda maisha mazuli wataona sawa na kufulahiya hali hiyo yenye hatali kubwa maana inakumaloza kabisa unapaki kopo lenye sula nzuli ya uhai kumbe halifai kwa chochote
@JoshuaKakobin
@JoshuaKakobin 3 күн бұрын
Mbalikiwa uko vizuli wamepokea moto hata Gali wamechukia heee
@EBENEZEREMMANUELtv
@EBENEZEREMMANUELtv 4 күн бұрын
Nikweli kweli kabisa unachosema uko sahihi kabisaa
@GRACEMGOWOLE
@GRACEMGOWOLE 4 күн бұрын
Mbalikiwa wewe sio mtawala wa makanisa yote kila kanisa na katiba yake magembe anajua katiba yake we ni nani? We ni kibaka kama vibaka wengine hayakuhusu.
@GRACEMGOWOLE
@GRACEMGOWOLE 4 күн бұрын
Wachungaji sio mashabiki kama wewe
@GRACEMGOWOLE
@GRACEMGOWOLE 4 күн бұрын
Wewe nani Mungu wa mbinguni akurehemu fanya yako
@GRACEMGOWOLE
@GRACEMGOWOLE 4 күн бұрын
Wewe acha uongo mchungaji kwa nini unaongea uongo magembe hajanyang'anywa anajua utatatibu ndio sababu akakabithi mbona unafanya tuone utumishi wako ni wa mashaka umelogwa au una uhitaji
@florencengwavi6939
@florencengwavi6939 4 күн бұрын
Kwa hili sikubaliani na wewe mtumishi wa Mungu, Mchungaji Magembe yuko sahihi kulingana na katiba ana ukomavu wa uongozi na imani na sio mpenda mali isiyokuwa halali kwake, kwa hili hauko sahihi mchungaji
@charlesseba2000
@charlesseba2000 4 күн бұрын
Mnapokea Laana, cha kwanza jiulize kwa nini magembe aondoke. Kutengeneza figisu alafu mtu aondoke ili mpate Mali jueni kuwa hukumu IPO mbele
@VailethKombe-h5m
@VailethKombe-h5m 4 күн бұрын
hakuna hukumu watu wengi wanapiga pesa tu sio maghembe Wala mwakipesile Wala pasko kinachosakwa ni
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 4 күн бұрын
Kwahyo nikama anakomolewa,,,,,wamechukua Hadi gari😁
@MilikiSebastian
@MilikiSebastian 4 күн бұрын
Daaah
@bahatimshali2731
@bahatimshali2731 4 күн бұрын
Kwahiyo, anayekuja atatumia usafiri gani?
@EliaHiluka
@EliaHiluka 3 күн бұрын
Ebrania 10:25 Ezekiel 3:18-20 Ezekiel 3:8-9
@GraceNgwanda
@GraceNgwanda 3 күн бұрын
Mch Magembe kweli unaenda mbinguni Hawa ndio wachungaji tunaowataka.
@BakoPoultry
@BakoPoultry 3 күн бұрын
Hauko sawa lakini kwa ujumla wake nikuweke sawa unajua mchungaji akiwa vizuri akanunua vitu kwa pesa yake maana yake akiondoka vinabaki kanisani ili kanisa to liendelee na pia anakuwa anafanya kwa MUNGU sio kwa wanadamu.
MCHUNGAJI WA TAWI LA MOSES MAGEMBE AFUNGUKA
11:03
NY TV
Рет қаралды 17 М.
Magembe amjibu Mbarikiwa kwa kutoa tamko kali la utakavyokuwa utaratibu wa kanisa lake
40:50
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
ASKOFU TAG ATOA TAMKO JUU YA MOSSES MAGEMBE ADAI HAKUFUKUZWA TAG
26:02
TUJIFUNZE ONLINE TV
Рет қаралды 209
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН