No video

Mbarikiwa Video music. Ebeneza Mungu wetu mahali hapa ni wewe tu. usyele gwimwene tata

  Рет қаралды 69,815

Kikosi kazi cha injili🎖

Kikosi kazi cha injili🎖

Күн бұрын

Пікірлер: 80
@joyceseguni2038
@joyceseguni2038 2 ай бұрын
Napenda sana nyimbo zako mtumishi wa Mungu,ubarikiwe sana
@nasembakihara3024
@nasembakihara3024 23 күн бұрын
Mungu akutunze na kukulinda Mbarikiwa kuna kusudi la Mungu juu yako
@user-ii2vm5vv1b
@user-ii2vm5vv1b 22 күн бұрын
Mungu aendelee kuwalinda watumishi wa Mungu aliye HAI
@lubashajohn-jc1go
@lubashajohn-jc1go Ай бұрын
Mungu akutunze daima mkuuu npo sumbawanga
@IreneSilayo-hb6sd
@IreneSilayo-hb6sd Жыл бұрын
Dear Lord 🙏 napata amani sana naposikiliza nyimbo zako za wokovu
@user-cc2mw8bm5o
@user-cc2mw8bm5o 9 ай бұрын
NI kweli mahali himegikia NI Mungu to
@user-zv9gx7jq6x
@user-zv9gx7jq6x 5 ай бұрын
Mungu akutunze mwakipise
@HalimaHinga-zs1hq
@HalimaHinga-zs1hq Жыл бұрын
Pamoja Na changamoto zote Nakupenda Mtumishi Usikate tamaa Songa mbele
@user-cc2mw8bm5o
@user-cc2mw8bm5o 9 ай бұрын
Napenda nyimbo za mbarikiwa Sn namuombe uzima Kwa Mungu
@user-ct7br6jj6k
@user-ct7br6jj6k Жыл бұрын
Mungu akutunze mtumishi
@jacquelinemassengo5466
@jacquelinemassengo5466 7 ай бұрын
Amen ye ye Mungu wetu
@mtumishiDanny
@mtumishiDanny Жыл бұрын
Ladha ya wokovu kamili wa Kristo Yesu Umeufunua kupitia maisha yako Nabii wa Mungu .
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 11 ай бұрын
Amina
@jmrecordstz
@jmrecordstz 21 күн бұрын
Amen pastor mooo 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@vestinamwita6474
@vestinamwita6474 9 ай бұрын
Kuna wakati nilikua nasikiliza wimbo huu kutoka kwa waimbaji wengine bila kuelewa maana yake! Lkn kwa Mbarikiwa nimeelewa sanaaa, Mungu hatakuacha
@meshackkarani8519
@meshackkarani8519 Жыл бұрын
Mungu akubariki,pamoja na misukosuko yote ya kanisa ,hujaacha kuimba ,God bless you baba
@ugalidona-cs2yn
@ugalidona-cs2yn Жыл бұрын
Kweli Ahinuliwe MUNGU wako Aliekutuma kuja huku Duniaani; Pembe kuu Nne(4) za Dunia, kwa haya yote tuyaonayo kwako na kwa wengine NYUMA YAKO,Amina.
@aminajuma1156
@aminajuma1156 10 ай бұрын
Hallelujah ni wewe tu😭😭
@dianalondon28
@dianalondon28 Жыл бұрын
Amina ,,,aminaa Mungu anaanzia tulipo ishia,,,,,Mungu akutie nguvu mtumishi
@bonifacegasper9508
@bonifacegasper9508 Жыл бұрын
❤ niwewetu baba unatoa faraja ambayo mwanadam ambayo hawez kutoa Fanya mambo ambayo mwanadam hawez kufanya.
@hoseamwampeta240
@hoseamwampeta240 Жыл бұрын
Great, powerful and strong 🎵 🎶 🎵 🎶 usyele ghwimwene Kyala 💪💪💪💪💪💪💪💪amen amen ameen.
@jacksonmbena5410
@jacksonmbena5410 Жыл бұрын
Mapito yako yanatupa nyimbo za uwepo..🙏🙏
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 Жыл бұрын
Ukiunganisha mapito ya mtumishi huyu wa Mungu na wimbo wenyewe unatapa maana halisi ya kumwabudu muumba wetu ndiyo hii, kamwe hatustahili kumwabudu mwanadamu!
@sarifusteven4634
@sarifusteven4634 Жыл бұрын
Songa mbele BABA USIKATE TAMAA SHETANI ANACHUKIA UKWELI MAANA UNAWASAIDIA WATU KUINGIA MBINGUNI MAFREEMASON WAMEJIGEUZA BINADAMU KUKUPUNGUZIA NGUVU
@mtumishiDanny
@mtumishiDanny Жыл бұрын
❤eheee mtu wa Mbinguni tunakuona duniani unapawasha mpto 🔥
@devotasanga9239
@devotasanga9239 Жыл бұрын
Niweeeeeeeeeeeee! Niweeeeeeeeeeee! MUNGU WETU BADO TUNAKUNGOJA HATA KWENYE MAUMIVU MAKALI BADO WEWE NI BABA TU.
@barakacharles3466
@barakacharles3466 Жыл бұрын
Ninauona uwepo wa Mungu juu ya huu wimbo hakika ni Mungu tuu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@user-ho9ji8op1b
@user-ho9ji8op1b Жыл бұрын
Mbaka sasa hakuna kama yeye atatenda tu usiogope watumishi wenye kumjua mungu kama nyie kwasasa tanzania hata Mia hawafiki mingo akutetee
@florapeudy3963
@florapeudy3963 Жыл бұрын
Hakika ni ebeneza so bure na chozi lako limefika mbinguni bado malaika wa bwana tu kukitibua kikombe Cha maombi yako na hakika atajibu kwa Moto blessed
@user-yu3ml1mu2d
@user-yu3ml1mu2d 11 ай бұрын
Mungu akuinue mbarikiwa. Hata gerezani Mungu yupo
@sarifusteven4634
@sarifusteven4634 Жыл бұрын
Hata wakituuua hawatafanikiwa Tanzania nitaifa la Yesu kristo mwokozi UKWELI usemwe tupone songambele Mtumishi
@sayunimkongwa9830
@sayunimkongwa9830 Жыл бұрын
Ameeeeeni. Hakika amebaki ni Mungu tu .
@jofreymbembela7810
@jofreymbembela7810 Жыл бұрын
👏👏👏 HAKIKA BABA, KWA MAMBO YALIVYO MAHALI HAPA NI MUNGU TU.
@caljersilverhabor464
@caljersilverhabor464 Жыл бұрын
Aminaaaaaa. Wa faraja yote ni mungu
@hindahnambela6628
@hindahnambela6628 Жыл бұрын
Powerful 🙏🙏
@jacobmwandenga3364
@jacobmwandenga3364 Жыл бұрын
Mungu ana wakati wake atafanya hakika wanadam wamekuwa wabayav😔😌
@revinaimani6846
@revinaimani6846 Жыл бұрын
Yaan huu wimbo nimeutafuta sana atimeye Leo nimeuona yaan Kuna jumbe nyingi kwenye wimbo huu aleluyaaaaaa
@shukranimpomwa7460
@shukranimpomwa7460 Жыл бұрын
Mungu unaujua moyo wa mtumishi wako huyu. Naomba ujidhihirishe kwake na kwetu watoto wake. Usiache waovu wakashinda,hatimaye wakajitapa/kujiona wako sahihi. NAKUOMBA MUNGU AMUA KATI YETU NA WAO.
@user-es4jv6pb8x
@user-es4jv6pb8x 6 ай бұрын
Mweee Pole Baba yangu MUNGU akutie nguvu
@shalomtv1803
@shalomtv1803 Жыл бұрын
Amen 🙌 Amebaki MUNGU pekee pastor, Barikiwa sana pastor 🙏🙏
@user-bc1fr1ie2q
@user-bc1fr1ie2q Жыл бұрын
Kwa hakika wewe mtumishi mungu akutunze akutoe kwa hayo yote unapitia ni ushuhuda huo baba hutakufa bali utaishi nabalikiwa sana wewe mtumishi
@e-songbeats6453
@e-songbeats6453 Жыл бұрын
Yunampa nguvu Mungu akusimamie ubaki hapo kweye kweli yake❤
@elishakayagwa9371
@elishakayagwa9371 Жыл бұрын
Wimbo mzuri ila Ebenezer siyo jina la Mungu ila ni jiwe lililotumika kama MADHABAHU.
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile Жыл бұрын
Maana ya sentensi ni; Msaada wetu, Mungu wetu mahali hapa ni wewe tu. Hivyo ndivyo inavyotumika hiyo Ebeneza
@isayamwashibanda5819
@isayamwashibanda5819 2 ай бұрын
❤❤❤❤
@ernestmayyo5830
@ernestmayyo5830 Жыл бұрын
Wimbo mtamu sanaa hakika mungu yupo hapa...aleluya
@faidaelifazi
@faidaelifazi Жыл бұрын
Niwewe tu Jehova
@emmanuelmgeni273
@emmanuelmgeni273 Жыл бұрын
Mchungaji mwakipesilee npo zanzbar lakin nataman sikuu mkono wako uniguseeee nipate afyaaaaa ya kirohooo
@jofreymbembela7810
@jofreymbembela7810 Жыл бұрын
Amebaki Mungu tuu 🙏🙏🙏🙏
@jofreymbembela7810
@jofreymbembela7810 Жыл бұрын
Mwee amebaki Mungu tuu.
@EsterSwilah-hv5kb
@EsterSwilah-hv5kb Жыл бұрын
😭😭🙏 mahali apa ni wew tu
@jacquelinemassengo5466
@jacquelinemassengo5466 Жыл бұрын
Jéhova, Ebenezer, Mungu wetu ni wewe tu, apa ni me fika baba ni wewe tu, Mungu amibariki Sana baba Mbarikiwa 🎉🎉🎉
@sarifusteven4634
@sarifusteven4634 Жыл бұрын
Atawakikuua Wanajidanganya yesu anawEza kuinua ATA mawe yakatimaza mapenzi yake
@lilyrose7983
@lilyrose7983 Жыл бұрын
Ni wewe tu Mungu hakuna mwingine 😭😭😭
@tumaininzunda7206
@tumaininzunda7206 Жыл бұрын
Amebaki yy t
@hassanrashid8182
@hassanrashid8182 Жыл бұрын
Ni wewe tu
@jofreymbembela7810
@jofreymbembela7810 Жыл бұрын
Amebaki Mungu tuu😭😭.
@brianshomi722
@brianshomi722 Жыл бұрын
MUNGU akutunze sana jitu la imani
@mwananyamalaz4427
@mwananyamalaz4427 Жыл бұрын
Mungu mbere God bless you 🙏
@jofreymbembela7810
@jofreymbembela7810 Жыл бұрын
Umebaki wewe tuu Mungu kwa hali ilivou.
@zachariasumisumi4907
@zachariasumisumi4907 Жыл бұрын
MUNGU AKUBARIKI SANA JASUSI LA MBINGUNI
@jofreymbembela7810
@jofreymbembela7810 Жыл бұрын
HAKIKA AMEBAKI MUNGU TUU. EMEEEEN
@alpq-sx6sr
@alpq-sx6sr 11 ай бұрын
Hallelujah 🙏🙏
@IreneSilayo-hb6sd
@IreneSilayo-hb6sd Жыл бұрын
Greatfull 🙏
@moseskasereka6834
@moseskasereka6834 Жыл бұрын
Niupate wapi moyo huu ulionao
@stevinedson
@stevinedson Жыл бұрын
Umeniliza kikolo umeniliza 😭😭😭😭
@joshuangonya-jt5dj
@joshuangonya-jt5dj Жыл бұрын
Hakika ni yeye tu.
@petermwasyika
@petermwasyika Жыл бұрын
Umebaki wewe tuu bwana ebeneza usyele wimwene tata
@dannycham-hf8oq
@dannycham-hf8oq Жыл бұрын
Wimbo nzuri
@sans-frontiere
@sans-frontiere Жыл бұрын
Niwewe tuu Mungu wangu.Amen
@abelmwebraniammennonite
@abelmwebraniammennonite Жыл бұрын
Hakika Ni Mungu tu,
@umutesizainabu4828
@umutesizainabu4828 Жыл бұрын
Amen Amen
@Hapomwanzo
@Hapomwanzo Жыл бұрын
Kyala nkota, ulimwene tata.
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 6 ай бұрын
Kwa kweli huyu mama sijui kama amefanya kuomba neno la kwenda kuhubiri bali ni komedi wa kuchekesha hicho kipindi. Watu wanakuja kanisani na matatizo mengi na huwa wanataka faraja. Wakicheka cheka hivyo wanadhani wamebarikiwa kumbe amepokea ya komedi akitoka kanisani anajikuta na moyo wa huzuni kuliko mwanzo. Hata kama unasoma Biblia mwenyewe na ukiwa umeomba Roho wa Mungu utabarikiwa kuliko mafu disho ya ukomedi. Na mafundisho ya namna hiiyako katika makanisani ya waromole jamani tunaenda wapi?
@festokandagila1096
@festokandagila1096 Жыл бұрын
KWELI MUNGU WETU NIWEWE TO HATA KAMA TUKIPITIA MAUMIVU MAKALI YACHOMAYO KAMA MOTO LAKIN BADO TUTA KUTUKUZA TU MAAANA NIWEWE TU MUNGU AKUBALIKI MTUMISHI WANGU JAPO KUWA UNAPITIA VITA KALI SANA
@Amoasimiyu
@Amoasimiyu Жыл бұрын
🙏 Amen
@zawadimwaibako4065
@zawadimwaibako4065 Жыл бұрын
Ni wewe tuuu BWANA
@jofreymbembela7810
@jofreymbembela7810 Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@stevinedson
@stevinedson Жыл бұрын
Nipo nyuma yako nsajigwa
@VIJANANAMABINTITATIZONINIBERTH
@VIJANANAMABINTITATIZONINIBERTH Жыл бұрын
Usyele ghwimwene!! Usyele ghwimwene!! Usyele ghwimwene kang'osi, lutondwa, kipanda bhusiku.
Video music. Naijulikane kuwa uko Mungu wa Eliya. Mbarikiwa Mwakipesile
10:54
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 36 М.
Amen amen| Mbarikiwa Mwakipesile ( video music).
6:42
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 60 М.
Prank vs Prank #shorts
00:28
Mr DegrEE
Рет қаралды 11 МЛН
English or Spanish 🤣
00:16
GL Show
Рет қаралды 8 МЛН
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 168 МЛН
Mbarikiwa ashangazwa na mhubiri mwanamke mzungu kuhubiri Injili ya kuwahurumia Waafrika.
11:53
Nasikia kuitwa,Tenzi no 40. Mbarikiwa Ft Salome (official video music)
10:51
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 51 М.
Mbarikiwa amkemea Masanja kwa sababu amewakemea manabii wahuni (ZABURI 50:16-18).
30:32
WIMBO WA TENZI NO 129..    Na MCH MBARIKIWA MWAKIPESILE
7:52
Mwl. Mussa Paul
Рет қаралды 15 М.
Ni Wewe Jawabu
13:46
MCH. ABIUD MISHOLI - Topic
Рет қаралды 155 М.
MWANAMKE UKIMPENDA SANA NA AKAJUA UNAMPENDA SANA UTANYANYASIKA  "PASTOR MGOGO
36:53
Video Song; Nimeamua kumfuata Yesu. Salome Mwampeta
6:44
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 53 М.
Wanamwabudu Nani? - Kimazi Jean ft Rev. Mathayo Ndamahizi (covered /Official Music Video)
15:10
Chris Gikundiro & Kimazi Jean
Рет қаралды 2,4 МЛН
Prank vs Prank #shorts
00:28
Mr DegrEE
Рет қаралды 11 МЛН