No video

Video music-Kama wamezikataa nyaraka zao, maneno yao, Hawatakubali chochote kutoka kwangu.

  Рет қаралды 98,163

Kikosi kazi cha injili🎖

Kikosi kazi cha injili🎖

Күн бұрын

Пікірлер: 259
@NancyAwuor-iq4kg
@NancyAwuor-iq4kg 5 ай бұрын
Neema kuu iwe juu yako mtumishi..... Mungu 🔥 mwenyewe awe hakimu mkuu kwako🔥🔥🔥🙏🙏🙏
@piuslugata4931
@piuslugata4931 3 ай бұрын
Ubarikiwe zidi kumwinua kristo Kama John hasi. Mfia ndini siku ya mwisho watakuja kutoa esabu na unyanyasaji wao
@clemenceparokola
@clemenceparokola Жыл бұрын
Kwa wimbo huu wengi tumejuwa kinachoendelea barikiwa sana baba
@NancyAwuor-iq4kg
@NancyAwuor-iq4kg 5 ай бұрын
Isaiah 60:22 itimie kwako mtumishi wa Mungu 🔥🔥🔥 atakapo jidhihirisha wazi kwa kesi yako🙏🙏🙏🇰🇪
@hellenngwilla550
@hellenngwilla550 Жыл бұрын
Ndio Serikali yetu ya Tanzania Mchangaji wangu pole sana 😢
@laurentngussa1735
@laurentngussa1735 Жыл бұрын
Salute kwako baba kwa ujumbe uliosheheni tafakari nzito, huu ni mhuri mwingine usiofutika uliouandika ndani ya mioyo ya waliohusika, wasipotubu utaendelea kuwasemesha mioyoni mwao milele.
@abedysteven4930
@abedysteven4930 Жыл бұрын
Aisee mchungaji siku zote nakuckiliza unalalamika kwa uchungu Huwa sikwelew lakn kwa kupitia hii nyimbo nmekwelewa mpendwa wa mungu! Amin mungu atakujibu maombi kwa kuua mtoto wako pole mpendwa mpendwa! Samia angalia nafs za wa2 zinavyosononeka juu Yako serekali Yako mbovu inatesa wa2!!!
@florapeudy3963
@florapeudy3963 Жыл бұрын
Kama Kuna dhiki kuu itakayo likumba kanisa hakika kwako imeanza mapema na umeshachujwa kwamba huwezi kumuacha MUNGU ata iweje Ila nakuombea kwa Mungu neema iwe kubwa juu yako blessed
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 Жыл бұрын
MUNGU asimamie mahala hapo
@mengindegeya2780
@mengindegeya2780 3 ай бұрын
Ni kweli unapita shida taabu na manyanyaso ila mungu ni mwema kwa watu wake igive you big up.
@devotasanga9239
@devotasanga9239 Жыл бұрын
SHUJAAAAA WA AFRIKA! Hii ni mbegu ambayo itakumbukwa daima vizazi na vizazi.
@shukranimpomwa7460
@shukranimpomwa7460 Жыл бұрын
HAKIKA
@mch.deosinkala3120
@mch.deosinkala3120 Жыл бұрын
Injili isiyo ghoshiwa ndo hii, tupo wengi nyuma yako Baba. Siku itafika utatuona
@SylvesterKing-pc3ku
@SylvesterKing-pc3ku Жыл бұрын
Wimbohuu ningependa upigwe nawalewote wanaopiganiahaki katika taifahili inaumasana ilaubaya haudumu Munguyupo atasimama.
@MusaLaizer-wc9lm
@MusaLaizer-wc9lm 9 ай бұрын
Ni mungu wa shedraka meshack na abedinego hata Hilo jela Kwa jina la mungu wetu anayesikiaga maombi yetu utatoka hiyo ni Historia tu kesho Yako ni nzuri mungu wetu anakupa ushuhuda tu Wakati nzuri inakuja
@NestorGurtu
@NestorGurtu 6 ай бұрын
Mungu ni mwema kwa watakatifu wake🙏🙏
@raphaeledson2002
@raphaeledson2002 Жыл бұрын
Mungu ni mkuu, atakukumbuka shujaa mtenda haki
@jilugalamarco9308
@jilugalamarco9308 Жыл бұрын
Wimbo wa Ushujaa Sana, Mungu akupiganie katika yote, na hakika neema ya Mungu iwe juu Yako katika mapito haya.
@gib3888
@gib3888 11 ай бұрын
Kwa kweli inauma lkn kwa mungu inawezekana my God my father fanya jambo moja tuh oh my God 😭😭😭
@user-vc2dm1og2p
@user-vc2dm1og2p 6 ай бұрын
Mungu hajawahi mtupa mwenye haki hapo ktk Ulimwengu wa roho lipo jambo zito kwa Taifa
@user-fw8bk3bc2p
@user-fw8bk3bc2p 10 ай бұрын
Baba mchungaji pole Sana .zimebaki siku chache Sana aliye Juu ya vyote ajibu. Naona ANGUKO KUU MBELE
@caljersilverhabor464
@caljersilverhabor464 Жыл бұрын
Kweli baba umeyaeleza yote kwa wasioelewa giza hili....Imebaki ni mungu tu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@mamaboizpure842
@mamaboizpure842 8 ай бұрын
Nikama ni vita za kuangamiza wakristo duniani
@marieconnect6389
@marieconnect6389 11 ай бұрын
nimeusikiliza huu wimbo zaidi ya mara 20. unasikitishavsana lakini mtumishi una sauti nzuri sana na kipaji cha kuimba na kutunga wimbo unacho. wimbo mzuri sana
@restituta5206
@restituta5206 Жыл бұрын
Yesu anaweza yote
@tumainiisrael8481
@tumainiisrael8481 8 ай бұрын
Mungu kwanini unaruhusu haya kutokea ndani ya taifa la tanzania watu wanasononeka kwenye nafsi zao ,mungu tunaomba nyoosha njia pasipo na njia maana ww hushindwi na lolote mtumishi wako apate haki yake
@mackjonathan1005
@mackjonathan1005 Жыл бұрын
Usikate tamaa mtumishi wa mungu malipo ni hapa hapa duniani, na pole kwa kuuliwa na mtoto wako hakika ww unaesikiliza huu wimbo huu unasikitisha sana na unatia nguvu sana lkn tujue mungu yu mwema kwa yuke amtegemeae.
@paitomsuva3817
@paitomsuva3817 9 ай бұрын
Aisee! Huyu Mungu siyo WA kumtania. Huyu mtumishi WAke wameamua kumzuia kuwahubiria watu neno la Mwenyezi Mungu. Ipo siku
@petermwasyika
@petermwasyika Жыл бұрын
Tumebaki na ushahidi.injili ya haki inapingwa Tanzania mi nasema Mungu atatulipia
@adammjomba5814
@adammjomba5814 Жыл бұрын
Mbarikiwa hiyo sio vita yako ni vita ya Mungu nahao watu kama waliomba mpaka mlungula kwa kazi ya Mungu basi hao ni makatili mkono wa Mungu utawafikia .big up mbarikiwa good songs
@luganomunuwavanu9369
@luganomunuwavanu9369 11 ай бұрын
Kwa mazingira haya inaonesha waliosajili wengi wametoa mlungula
@eligiuselias4469
@eligiuselias4469 Жыл бұрын
Ni hakika wewe umesimama kwa wakati huu kwa gharama kubwa ya damu ya wokovu kuirekebisha katiba mbovu na vifungu vibovu vya usajili wa makanisa na kuisimamia haki iliyopotea wengi tutapita kwenye njia iliyokwisha tengenezwa na wewe. Maana ata injili ina walioifia mpaka ikatufikia sisi hapa Mungu ajitukuze ili dunia yote ijue kwamba udharimu hauwezi kuishinda hakiii💪
@simonlaizer6261
@simonlaizer6261 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 neno nxito sanaaaa Mungu akutie nguvuuuu
@sayunimkongwa9830
@sayunimkongwa9830 Жыл бұрын
Pamoja na hayo mimi nakuona shujaa na una heri Sana mchungaji.
@fatemajohn3195
@fatemajohn3195 Жыл бұрын
MUNGU yupo pamoja naww Mtumisha wa MUNGU endelea kuchapa kazi ya MUNGU
@eligiuselias4469
@eligiuselias4469 Жыл бұрын
Aaay Kumbe video imeshatoka ahsante sana Mtumishi wa Mungu
@frenkfarm1139
@frenkfarm1139 Жыл бұрын
kweli wewe ninguli au mwana falisafa wa mungu 💪 kupitia wewe Jehova ninamuona
@keziakisaka4212
@keziakisaka4212 Жыл бұрын
Pole Baba Mungu atakupa wepes
@joshualwinga
@joshualwinga Жыл бұрын
Eeeh Mungu umebaki we we katika maisha ya huyu Mtu wa haki Ipo siku watakuja kutafuta kwa kulia na kusanga meno ili wapate msamaha kwake na watakua wamechelewa
@user-im3id8xy2v
@user-im3id8xy2v 5 ай бұрын
Mungu akubali sana
@zawadimwaibako4065
@zawadimwaibako4065 Жыл бұрын
Neno moja ninalojuwa ni kwamba "shangwe ya waovu ni ya kitambo". Wanapotekeleza uovu wao, wajue yupo mhukumu wa haki saa wasiyo zani atatokea na kuhukumu. Vyeo vyao vitageuka na kuwa majuto.
@mackjonathan1005
@mackjonathan1005 Жыл бұрын
Hakika mungu ndie mhuku wa mwisho, binadamu tujue kuwa baada ya maisha ya hapa duniani kuna maisha mengine na ndiko huko tutakutana na mhukumu mkuu wa ulimwengu ambae ni moja tu MUNGU.
@willysiame2117
@willysiame2117 Жыл бұрын
Mungu Ni mwema Atatoa hukumu ya haki
@user-kj2ng9hn9l
@user-kj2ng9hn9l 8 ай бұрын
Pole ndugu yangu tumtegemee mungu tu anatoshq
@williamgeorge-hd2tn
@williamgeorge-hd2tn Жыл бұрын
Ila kwa vyovyote vile binafsi naumia sana watumish wa Mungu wanaposumbuliwa
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 Жыл бұрын
MBARIKIWA WEWE NI SHUJAA. IMANI KWA YESU MWANA MUNGU, AKUOKOE
@GabrielPetro-qj2mk
@GabrielPetro-qj2mk Жыл бұрын
Hongera sana shujaa wa mungu kabisa
@gasparyephraimmwakatuma9542
@gasparyephraimmwakatuma9542 8 ай бұрын
Kumtumikia Yesu kuna gharama nawe unajua na Mungu anajua yote yaliyotokea , Bado kidogo tu itajulikana, Ukweli wakati wote unashinda.
@mackrankagenzi5236
@mackrankagenzi5236 11 ай бұрын
Eee Bwana Yesu sikiliza kilio cha watu wako ,Amina 🙏😢😢😢😢
@user-bw5gy2qx9j
@user-bw5gy2qx9j 11 ай бұрын
Mungu yupo nawe cc hatuna nguvu teyote ila wangojee kiboko kutok mbinguni
@paitomsuva3817
@paitomsuva3817 9 ай бұрын
Najivunia kua Mkristu. Mungu nyoosha mkono wako kwa watesi dhidi ya watumishi WA Mungu kama huyu Mbarikiwa
@Hapomwanzo
@Hapomwanzo Жыл бұрын
Hii Tanzania ya sasa hiii !!,mmmmmmm!!,
@MrMachume
@MrMachume Жыл бұрын
Pole sana Mbarikiwa. Ibilisi hatuwazii mema hata siku moja. Lakini haya yatafika mwisho tu ipo siku, KWELI maisha haya bora kumtegemea MUNGU maana yeye anatuwazia mema na habadiliki na sio mnafiki wala mwenye hila kama wanadamu.
@mnyakyusambunifu143
@mnyakyusambunifu143 6 ай бұрын
Bonge la Wimbo Mzuri Saana Hakika Ulituliza Akili Saana Kuutoa Huu Wimbo Mungu Akutetee Mtumishi
@centrinenasambu2422
@centrinenasambu2422 Жыл бұрын
Mungu ni mkuu sana 🙌🙌😢 wacha asimame mwenyewe kwenye pengo😢😢😢🧎🧎🧎🙇🙇🙇🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@user-ll4vi4oz2n
@user-ll4vi4oz2n 11 ай бұрын
Ni heri kung'ang'ania kwa YESU TU hongera sana mtumishi .
@piusgadau6328
@piusgadau6328 Жыл бұрын
ila Mwamba kipaji Cha kuomba ndo unacho aisee that is the good song, Mungu akubariki
@mwassamwassa7264
@mwassamwassa7264 Жыл бұрын
Hakuna kipaji cha kuomba,kila mtu anaweza kuomba,kadri unavyofanya bidii sana ndivyo unaongezeka
@piusgadau6328
@piusgadau6328 Жыл бұрын
@@mwassamwassa7264 nimekosea kuandika maananisha kuimba huoni unachosema na alichofanya mtumishi viko tofauti kabisa baba?
@AlithaSima
@AlithaSima Жыл бұрын
mungu asimame nawe
@mariamndelwa
@mariamndelwa Жыл бұрын
MUNGU akusaidie baba
@hellenngwilla550
@hellenngwilla550 Жыл бұрын
Pole sana SHUJAAA wa Mungu hakika Mungu yupo nawe
@michaelmagwaza-bc6mk
@michaelmagwaza-bc6mk Жыл бұрын
Mchungaji nimekuelewa Sana
@ebronsanga8726
@ebronsanga8726 Жыл бұрын
Kwa wimbo huu ni ushaidi tosha lolote likukuta tumesha jua ukweri mungu yupo amini hilo
@simonlomayani5743
@simonlomayani5743 Жыл бұрын
MUNGU akutie nguvu mtumishi
@kanutikawau440
@kanutikawau440 11 ай бұрын
Atukuzwe Mungu katika watu wanaomuabudu katika Roho na kweli
@josykogei7647
@josykogei7647 10 ай бұрын
Mungu atabaki kuwa mungu andiko imedhitisha yamkini watainika adui kwa ajili ya kupandikiza wafalme wao ndani na kubomoa ila kwa hilo halitadhibitika wala halitasimama ubaya wauu dont worry siku inakuja wa wahalifu hawatapenya waoo
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 10 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu Mbariķiwa Bwana yuko nawe barikiwa sana. Umefungwa lakini bado ni mshindi
@user-my2hn5is3g
@user-my2hn5is3g 10 ай бұрын
Mungu nimwema kwakila mwenye haki mungu akupiganie mchungaji wetu site pole kwayote 😊😊
@anyosisyedaniel1790
@anyosisyedaniel1790 Жыл бұрын
Wewe ni baba tu hata wapinge mmoja baada ya mwingine watakuelewa tu
@gwakisaedson1806
@gwakisaedson1806 10 ай бұрын
leo nacoment huyu mtumish ni wa mungu c wamuachia tu kama serikal c imuelekeze nn afanye kwenye ibada zake mm naona wanadam simuingilie mungu kwenye huduma zake
@user-rv6ce2ex8j
@user-rv6ce2ex8j 11 ай бұрын
Pole Sana mtumishi wa mungu. Nenda kaokoe roho za watu gerezani mungu you pamoja na wewe Wala hajakuacha.
@eligiuselias4469
@eligiuselias4469 Жыл бұрын
Niko kwenye hatua za mwisho za kuanza huduma chini ya dhehebu langu fulani lakini natamani kujua yanipasayo kufanyi ili ikiwezekana niwe chini ya nguvu na neema hii kubwa sana. Naombeni mwongozoo
@sifawayesu7079
@sifawayesu7079 Жыл бұрын
Wameyakataa maneno yao watawezaje kuyakubali maneno yako?? Ameeeeeen
@user-ll4vi4oz2n
@user-ll4vi4oz2n 11 ай бұрын
Hongera sana shujaa wa BWANA YESU na pole sana hakika inauma sananinakufatilia sana kiongozi Yoshua 1:5-6 amina
@makejamaduhu7618
@makejamaduhu7618 11 ай бұрын
Duuuu. Mungu tusaidie tuu sasa.
@RaphaelDotto-yl2rr
@RaphaelDotto-yl2rr 10 ай бұрын
Ujumbe kwa wa Tanzania mungu ni mwema utatoka jela kimiujiza ya yesu
@christinemuhonja8823
@christinemuhonja8823 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu awatetee watumishi wa Mungu🙏
@hilaliusjohn8386
@hilaliusjohn8386 Жыл бұрын
Mungu yuu pamoja nawe, tutawaombea Dua wanoa kwamisha kazi ya Mungu wakione Cha moto
@jasminseleman-uw5oh
@jasminseleman-uw5oh Жыл бұрын
Wewe ni shujaaaa Wacha Mungu apigane naoo Naumia sanaa jamaniii kuwaona unayopitia
@Michaelshirima-fw1gg
@Michaelshirima-fw1gg 10 ай бұрын
Ubalikiwe kwa huduma nzuri mungu akupiganie
@ShedrackBonifas-ih4ut
@ShedrackBonifas-ih4ut 10 ай бұрын
Pole Sana mutumishi jipe moyo
@user-vk2du5xt4u
@user-vk2du5xt4u Жыл бұрын
Mbarikiwa wew nimtu unaemtumainia mungu nakuomba songs mbele na tumain la mungu taifa hili na viongoz wake wako busy na mgao wa pesa za bandali zimekuwa nyingi xana had hawaelew wazifanyie nin ndomana hawana Mda wakusikiliza shida za wanyonge wataifa hili na ndo kundi kubwa mshitakie mungu atajibu Kwa wakat naamin hivyo
@johnsonjohn-qz7cq
@johnsonjohn-qz7cq Жыл бұрын
Umebaki wewe tu Mungu tusaidie sana Baba
@neemarabani
@neemarabani Жыл бұрын
Hakika Mungu aturehemu WATANZANIA na VIONGOZI wetu kwa Yote Yanayotokea kwenye nchi yetu
@ezekielmatondane714
@ezekielmatondane714 Жыл бұрын
Watumishi wA mungu wote wangekua kama ww hii nchi igekua vizuri sana
@barikimollel7890
@barikimollel7890 Жыл бұрын
Shida wengi Ni Wapiga Dili Hapa ilitakiwa watumishi waungane watafte suluhu Sio kumwangalia mwenzao anapitia mazito na wasimsaidie Leo kwake kesho Kwako
@user-zu2dc2bj6z
@user-zu2dc2bj6z 6 ай бұрын
Umebaki wewe bwana utende🙏🇰🇪
@Truthteller1985
@Truthteller1985 11 ай бұрын
Mbarikiwe sana wana wa Mungu
@manenoeliassimkoko4607
@manenoeliassimkoko4607 Жыл бұрын
Mungu akusaidie Sana mtumishi wa mungu
@sifawayesu7079
@sifawayesu7079 Жыл бұрын
Wameyakataa maneno na nyaraka zao watawezaje kuyakubali maneno yako?? Ameeeeeen
@noeleliasi8401
@noeleliasi8401 Жыл бұрын
Mungu hata sasa ni EBENEZA kwako baba. Ni ombi langu yote Bwana ayafunue.
@meshackkiselema1349
@meshackkiselema1349 10 ай бұрын
HATA YOHANA mbatizaji alifanyiwa hayahaya
@user-ft9ho6yd7f
@user-ft9ho6yd7f 10 ай бұрын
Achia mungu atembee tu
@nsimirenshokano6169
@nsimirenshokano6169 9 ай бұрын
Ameen nine barikiwasante
@BenjaminAmanyaAmanya-qn4rh
@BenjaminAmanyaAmanya-qn4rh Жыл бұрын
Tunakuitaji hapa Kenyan mtumshi wa mungu
@marieconnect6389
@marieconnect6389 11 ай бұрын
pole mtumishi yote hayo yataita mungu atakupigania sana
@mamaboizpure842
@mamaboizpure842 8 ай бұрын
Kwakweli huu wimbo unaumiza sana umenitoa machozi nikama ni mda wa wakristo kuteswa ulimwenguni 😢😢😢
@BenjaminAmanyaAmanya-qn4rh
@BenjaminAmanyaAmanya-qn4rh Жыл бұрын
Wow thanks for that good song my brother
@mestonisimzosha203
@mestonisimzosha203 Жыл бұрын
Huu ni Unyanyasaji😢😥😳
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 Жыл бұрын
NCHI HII WACHUNGAJI KAMA HUYU NI WACHACHE SANA WENYEMSIMAMO. HAPA NAWEZA KUSALI HATA MIMI, KULIKO MAKANISA YA WAOGA NA WAGANGA NJAA
@daudirubibi9601
@daudirubibi9601 Жыл бұрын
Inawezekana kabisa CCM wote na TRA wakaenda jehanamu
@kiazikitamu3985
@kiazikitamu3985 11 ай бұрын
Kila ofisi ya umma ni machawa wa mama utaenda wapi umewekwa mtu kati😢😢 amri inatoka juu damu ya mwanao itawalilia kwenye masikio yao na Mungu asiwape utulivu mpaka waropoke wasipate usingizi mtoto awatokee kila wanapokwenda akidai uhai wake 😢😢
@user-xx6fq4xt2p
@user-xx6fq4xt2p 7 ай бұрын
Kwa staili hiiiii kuna mtu atajua kujibu kwa Mungu pole
@user-dm5vu7pe1g
@user-dm5vu7pe1g 10 ай бұрын
Mwacheni mtumishi wa mungu mnataka lananyinyi
@phabianmelitha8198
@phabianmelitha8198 11 ай бұрын
Ila mbarikiwa uko vizuri sana, hakuna ajuae wewe ni msemaji wa wengine......Naamini hii kesi yako itawapata Akina Nebukadineza wengi....Watu watakula majani ili wapate akili
@nassorosadiki7920
@nassorosadiki7920 Жыл бұрын
Yeyote Alie beba Agano. La mingu nivigum aganola mungu likafa bila kutimia Ayubu alitolewaacho nywere zikayolewa ilanywele ziliota mungu apunguze maumivu Yako
@noelmwembe
@noelmwembe Жыл бұрын
Ni kweli kabisa kama wanazikataa nyaraka zao sio rahisi kukubali maneno yao ,sielewi hawa ni wanadamu kweli kwsb hamuwezi KUKATAA mihuri yenu wenyewe
@MamyWangesh-kx9tq
@MamyWangesh-kx9tq Жыл бұрын
barikiwa baba mungu atafungua milango😭😭
@destosolomoni8544
@destosolomoni8544 11 ай бұрын
Kumbe hili timbwili limeanzia mbali daaaah
Video music. Naijulikane kuwa uko Mungu wa Eliya. Mbarikiwa Mwakipesile
10:54
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 36 М.
Joker can't swim!#joker #shorts
00:46
Untitled Joker
Рет қаралды 41 МЛН
Oh No! My Doll Fell In The Dirt🤧💩
00:17
ToolTastic
Рет қаралды 11 МЛН
Incredible Dog Rescues Kittens from Bus - Inspiring Story #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 29 МЛН
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 17 МЛН
Mke wa mbarikiwa ala kiapo juu ya wimbo huu
11:58
Yusufu Mahendeka
Рет қаралды 1,4 М.
NACHOTAKA NIWE / NIKIWA NAWE NITASHINDA/ MUNGU MWENYE ENZI/USINIPITE MWOKOZI #subscribe #GuzaTv,
1:01:53
𝗚𝘂𝘇𝗮 𝗧𝘃. (𝑻𝒐𝒖𝒄𝒉𝒊𝒏𝒈 𝒍𝒊𝒗𝒆𝒔)
Рет қаралды 270 М.
Mch. Hananja awavunja watu mbavu ibadani, UDSM CCT CHAPLAINCY.
42:54
UDSM CCT MEDIA
Рет қаралды 1,9 МЛН
Israel Mbonyi - Sikiliza
11:29
Israel Mbonyi
Рет қаралды 11 МЛН
Joker can't swim!#joker #shorts
00:46
Untitled Joker
Рет қаралды 41 МЛН