Neyeye MUNGU ndie hakimu wa mambo yote kwa mwanadamu. Baba wewe ni mwamba songa mbele mzee, lije lolote hakuna kurudi nyuma. Aimeeen.
@RAIVONMWAKALANJE16 сағат бұрын
🎉❤🎉🎉 ubalikiwe 🎉❤ mungu akupinga niye usikate tamaha baba mungu yupo nawe utashinda katikayote nimekuombeya usiongope chochote aowamisili unaowaona auta waona tena wataaibika waho wenyewe
@MkoiTvTz7 сағат бұрын
AFICHUA SIRI JINSI MADHABAHU NYINGI ZA MANABII ZIMEUNGANISHWA NA UCHAWI, SASA ROHO YAKE. kzbin.info/www/bejne/pJizYaqYetKmgdk AFICHUA SIRI NZITO JINSI MADHABAHU NYINGI ZA MANABII NA MITUME ZILIVYO NA UHUSIANO NA USHIRIKINA. SASA ROHO YAKE INAWINDWA KWA KUTOA SIRI HII, AUGUA MAGONJWA YA AJABU MWILI MZIMA. ASEMA VIDEO HII ITAKUWA UKUMBUSHO HATA MUNGU AKIRUHUSU AFE MUDA HUU MAANA HALI YAKE KIAFYA NI MBAYA KWANI MARA VIPIMO VINAONESHA MOYO WAKE UNA HAMA TOKA KUSHOTO KWENDA KULIA. MAAJABU MENGINE AMEGUNDULIKA HANA FIGO KABISA HALI INAYOMFANYA SUMU KUSAMBAA MWILI MZIMA KILA WIKi ANATAKIWA 300,000/: YA KUTOaa SUMU. ALIKUWA NA MAGARI, NYUMBA ZOTE AMEUZA KUJIUGUZA LAKINI WAPI SASA AWAOMBA MSAADA WATANZANIA DUNIANI WALIPO KUMSAIDIA. ONYO: AWAOMBA WATU WASIRUHUSU KILA MTU KUWASHIKA MIKONO KICHWANI WAKATI WA KUWAOMBEA KWA KAWAIDA TATIZO HUANZIA HAPO. PIGA SIMU HII KWA MSAADA ZAIDI, 0713575718, MUNGU YUPO KAZINI SHETANI PIA YUPO KAZINI APATE WA KUWAPELEKA JEHANAM UWE MAKINI BADALA YA WEWE KUCHUKIA YANAYOSEMWA JUU YA NABII WAKO.
@bcozhenry269816 сағат бұрын
Mbarikiwa ulishashinda tayari ila basi wamebaki kuonesha ushetani wao! Kila mwenye akili ya utu anajua unaonewa
Jaji sio sawaaaaaaaaaaaaa Mungu akulipe kwa hatua uliyochukua isahaulike hata milele
@ugalidona-cs2yn56 минут бұрын
Jera haina mateso kuliko JEHANAMU.
@AlumanaPilla18 сағат бұрын
Mungu Mungu Mungu mkuu naludia tena Mungu Mungu Mungu mkuu nakuomba uonekane wewe ni mwanzo na mwisho hakuna mwingine zaidi yako Amina
@AnaniaKyando18 сағат бұрын
Mungu yupo aliye kuokoa ulivo pelekwa gelezan na kkurudisha hata Leo Bado yupo atakupigania na wote tuseme Amina
@obedimunguachiza843416 сағат бұрын
@@AnaniaKyando Amen.
@AnastaziaMakanta16 сағат бұрын
Mi nachoona baba wanataka wakupoteze ila awajapata njia nzuli ila watakukumbuka sana siku ikifika watajuta sibule wanavyokutsa ila itafika mwisho watajuta tu kwamba wewe unafa sana katika katika Dunia hii inauma sana kwakua maakama imekua kipofu MUNGU akulinde baba ameni
@komandowainjiliyayesu19 сағат бұрын
Mungu ni mshindi milele namilele Ameen
@wokovummilla503417 сағат бұрын
Eee Mungu tunakungoja tuvushe na hapa Bwana uliye muhukumu wa haki
@UAMSHOTV18 сағат бұрын
Mungu utusaidie
@kamandapendo80216 сағат бұрын
Hii serikali niyakipumbavu sana mahakama zinaongozwa kwa simu.
@wokovummilla503417 сағат бұрын
Ni kweli baba mateso ya jehanamu ni zaidi ya mateso ya jela, Yesu Yuko mbele tumwandame tuu
@JosephMwamalumbili17 сағат бұрын
Pole sana Baba yangu Mungu akusimamie na upate kuvuka japonais pia
@AyubuChacha-u6u15 сағат бұрын
Mungu akutie nguvu kubwa tunakuombea Sana usichoke kusema kweli utapaka haki kutoka kwa Mungu hii ndio serikali ya CCM kweli hukumu yao ipo kwanani na wataendelea kulaaniwa sana amina.
@alunekyusa490519 сағат бұрын
Mpaka hapa namngoja Mungu tu Hakuna haki kabisa iliyotendeka Pilato kashika faili😢😢
@RamadhaniRamadhani-yd4hq17 сағат бұрын
Wanatapatapatu hawanajipya ni rohozao mbayatu
@SeverinaNgema18 сағат бұрын
Ninamin ushindi wa Hali ya juu sana Amina
@denismlwati328516 сағат бұрын
Duuu ama Kweli Dunia hii ya tz yetu hakuna Sheria
@UAMSHOTV18 сағат бұрын
Inauma Sana
@alunekyusa490519 сағат бұрын
Hakuna hakiiii hiiii sio sawaaaaaa kabisaaaaa😢😢😢😢
@ThulaniPrince19 сағат бұрын
Tutende kazi kungali mchana
@ChazMakavu-f9w3 сағат бұрын
Mungu Yuko pamoja nawe, haijarishi wataweka vikwazo kiasi gani Ila mwisho wa ubaya ni aibu naamin mungu mwenye haki ata waibisha tu wabaya wako
@fabianbukuku16 сағат бұрын
Mungu yupo
@cathelinematondo399214 сағат бұрын
Mungu utabaki kuwa MUNGU wa Nyakati zote na majira yote yawe ya furaha ama huzuni 😭😭😭
@cathelinematondo399214 сағат бұрын
😭😭😭😭😭😭😭
@MariamCleinance2 сағат бұрын
Hakika mbarikiwa huna hatia kazi uliyoitiwa na mungu umeifanya haya ni maombi yangu kwa yeyote anayepanga kukudhuru au kukutabisha na jopo la wote watakao shiriki kupindisha haki juu ya mbarikiwa mungu ukawalipe sawasawa na lile wanalodhamilia kulitenda na yeyote atakayetumia madaraka yake kuumiza mtumishi wako uliyemtuma dunia kwa ajili ya kupigania haki mungu mwenye nguvu kuanzia sasa asipate amani kwenye hiko cheo asikie kufakufa na kuchanganyikiwa na nia yake anayoipanga juu ya mbarikiwa na mke wake ikashindwe kwa mamlaka yako yesu yenye nguvu kilio na misiba, mateso vikawageukie wote waliokusudia kuyatekeleza awe yeyote yule kama ni. Mauaji yakageuke kwao wote
@wilfredlukowo94766 сағат бұрын
Watumishi wa serikali mnatuaibisha kwenye sheria lawama hizi zote zinaiangukia serikali yetu ya chama cha mapinduzi.
@KeshenKalengela-oy1ku15 сағат бұрын
Ee Mungu ijulikane kwamba wewe upo
@jofreyfumboonline486613 сағат бұрын
Sheria ifuate mkondo..
@AGATHACLAVERYMAKANTA18 сағат бұрын
Hakika MUNGU atabaki kuitwa MUNGU TU.
@JosephAkida18 сағат бұрын
Muhukumu wa haki atajahukumu tu,yeye hapindishagi kama zinazopindishwa za mahakama ya Duniani hii
@MariamCleinance2 сағат бұрын
Mbarikiwa wewe huna kosa kinachofanyika ni ujanjanja usilopenda kutendewausimtendee mwenzio waachewakuumize wakidhani wanatengeneza furaha yeyoteatakayejaribu kupindisha moto ulao ukamlambe na atakaehukumu kwa kupindisha na yeye moto ukalambe na maneno Yao watakayofoji. Yakafutike na kuandika ukweli mtupu na akafuwafunge ufahamu wao mkata rufaa na jopo lake lote na mbinu yeyote watakayo ipanga kukuua mungu ukamfiche mbarikiwa popote pale watapolenga mauaji mungu wakauwame wenyewe mtumishi wako akawe salama milele
@anthonybenedict544412 сағат бұрын
Wewe ni mshindi itoshe kusema hilo.
@EsterSwilah-jv6ns19 сағат бұрын
😭😭😭😭
@cathelinematondo399214 сағат бұрын
MUNGU tusaidie ktk hili
@barakahhawu232418 сағат бұрын
Watu wa haki wa Zama hizi Ni Kama Hawa . Mungu simama na kanisa lako . Mpaka hapa Ni miamba waliojikana katika dunia ovu Kama hii. Utuhurumie watoto wako Mungu.