No video

JUMA NATURE AVAMIWA NYUMBANI KWAKE USIKU NA WAANDISHI, CHEKI MAJIBU YAKE

  Рет қаралды 51,112

Mbengo Tv

Mbengo Tv

11 ай бұрын

Пікірлер: 151
@muuminikidunda9214
@muuminikidunda9214 11 ай бұрын
Vizuri sana j nature utakumbukwa hapo kwako sio wasanii wasasa wanapiga picha na kukaa nyumba sio zao wala magari sio yao
@MaryWuantet
@MaryWuantet 11 ай бұрын
Jamani nikiona msanii kama huyu aliyewahi kutamba,Leo hii ndio huyu ameisha kwenye janga la mihadarati ...😢😢kweli nahisi uchungu Moyoni.....swali langu ni ,serikali imetulia tu kuwaona hao wasanii waishe hivyo??this man needs help sio kumcheka...he's a legend.
@kizazisanagang
@kizazisanagang 11 ай бұрын
Cha msingi Yuko vizuri anaishi freshy ana mjengo, studio inshort anakula Bata Hana shida
@rotalykandawale2438
@rotalykandawale2438 11 ай бұрын
Anatakiwa akumbukwe uyo alifanya mziki wa bongo uwendeleee
@MwakaziJanet-qq2be
@MwakaziJanet-qq2be 11 ай бұрын
Najua mungu anaweza hatakama itachukua muda mm najua iposiku utainuka💖💖
@Zaburi-
@Zaburi- 11 ай бұрын
Mungu/MUNGU sio mungu
@user-wz1hz9ut1l
@user-wz1hz9ut1l 11 ай бұрын
We humjui!!!
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 11 ай бұрын
Afadhali hapo kwake hana stress za kulipa rent ❤❤
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 11 ай бұрын
Ila tungi hapunguze inamzofisha
@user-kz7xj9tb1b
@user-kz7xj9tb1b 11 ай бұрын
Mmh mwandishi umekutqna leo swqli jibu tofaut na swali😅😅😅😅
@KingSillah-gx5nv
@KingSillah-gx5nv 11 ай бұрын
Tanzanian artist stop doing hard drugs, from the looks of things this guy (nature) is overwhelmed by drugs💔💔
@primrosehall3112
@primrosehall3112 11 ай бұрын
Anaongea vizuri hadi raha
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 11 ай бұрын
Anajibu tofauti na maswali. Next time Peleka bangi avute kidogo
@abdulyabubakar6247
@abdulyabubakar6247 11 ай бұрын
Majibu yake hayana tofauti na majibu ya cheed benzi
@user-qs4fb5fo5f
@user-qs4fb5fo5f 11 ай бұрын
Yupo bwaa
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 11 ай бұрын
Bangibangi daa Allha tunusulu n watotowwtunnaatupe mwisho mwema
@jumahasani3324
@jumahasani3324 11 ай бұрын
mwandishi uchu na juma nature uchi
@lilhydon452
@lilhydon452 11 ай бұрын
Anaemuuzia pombe akamatwe
@user-us4tg2it5q
@user-us4tg2it5q 11 ай бұрын
😅😅😅😅
@mohdkhalfan1380
@mohdkhalfan1380 11 ай бұрын
😅😅😅😅😅
@othmanhassan5483
@othmanhassan5483 11 ай бұрын
😂😂😂agiza soda
@josephevaristi8923
@josephevaristi8923 11 ай бұрын
😂😂😂
@ibrahimfarha3853
@ibrahimfarha3853 11 ай бұрын
Anatuma watoto😂😂😂😂😂😂😂
@valeriaally6584
@valeriaally6584 11 ай бұрын
yaani anachojibu na anachoulizwa vitu viwil tofaut,maelezo mengi kama anaandika insha
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 11 ай бұрын
😂😂😂 Bangi pombe ukichanya hakunachakueleweka
@valeriaally6584
@valeriaally6584 11 ай бұрын
@@hanifatanzania7258 🤣🤣😂😂😂😂😂
@jackmligo2131
@jackmligo2131 11 ай бұрын
Juma nature bhana anaulizwa swali jibu analotoa ni tofauti kweli pombe na mibangi so poa 😀
@salomewandya7257
@salomewandya7257 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@pcthemaster9096
@pcthemaster9096 11 ай бұрын
Gongo mbaya sana😂😂😂
@shodristvtv6121
@shodristvtv6121 11 ай бұрын
Amelewa
@mayraamon8965
@mayraamon8965 11 ай бұрын
Hahahahahhahaha kama vile yupo usingizini eti hahaha
@mathanikibuti6676
@mathanikibuti6676 11 ай бұрын
UME MZIDI NINI MASKINI WEWE,YAKO YANAKUSHINDA
@patrickmukundichalamila3038
@patrickmukundichalamila3038 11 ай бұрын
Mziki ni hela kwahio hela ilipatikana mziki ukaenda kwao😂 mwisho wa siku hela pia ikapotea😢 ila ma brother's waljua kula raha.
@teedullah5708
@teedullah5708 11 ай бұрын
😂😂😂😂 Ye mwenyewe km ambae yuwaumwa
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 11 ай бұрын
Haaaaa TMK WAPO STRONG 😂 MBAVU ZANGU MIE SAUT SANA MIPOMBE IPO KICHWAN MBWIIIIIIIII😅
@ezekielmichael9431
@ezekielmichael9431 11 ай бұрын
Sas mtu mwenyewe mlevi ajielewi anaweza kuimba kweli
@mzidimfaume1573
@mzidimfaume1573 11 ай бұрын
Huyu mlevi tu
@Thebaddest255
@Thebaddest255 11 ай бұрын
We ambaye unajielewa na si mlevi Mbona hutoi mziki wako ?
@laurian27
@laurian27 11 ай бұрын
Vyombo in bulding legend! Kula matunda mzee bata la mbele tyuu
@saleheabdallah5461
@saleheabdallah5461 11 ай бұрын
Anaongea kama mganga😂
@stellahpaul5624
@stellahpaul5624 11 ай бұрын
,😂😂
@ibrahimfarha3853
@ibrahimfarha3853 11 ай бұрын
😂😂😂😂
@davidcurtis175
@davidcurtis175 11 ай бұрын
Jamaa anaongea kama mimi nikiwa nimechoka sanaaaa halafu ninausingizi, nikiulizwa swali na majibu yake hayafanani hata kidogo na ukiuliza tena unasemaa ndio kabsaaa naongea tofauti mwisho nazima kabisa😂
@chazmoto4230
@chazmoto4230 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@shodristvtv6121
@shodristvtv6121 11 ай бұрын
😂😂😂😂
@ibrahimfarha3853
@ibrahimfarha3853 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@user-fy8jh4vh3m
@user-fy8jh4vh3m 11 ай бұрын
Kiroboto❤
@vumbakingvumbaking9571
@vumbakingvumbaking9571 11 ай бұрын
Kalewa nature
@mcdericktv7298
@mcdericktv7298 11 ай бұрын
Dah! Nimeanza kuyaamini maneno ya Chege...kuna mtu anaendesha account ya Nature. Pole Tanzania
@bahatikulwa56
@bahatikulwa56 11 ай бұрын
muulize temba
@user-qs4fb5fo5f
@user-qs4fb5fo5f 11 ай бұрын
Unge muhoji ajalewa hapo anaongeya kipombe
@salomewandya7257
@salomewandya7257 11 ай бұрын
😂😂😂😂
@user-ts6fh4si3m
@user-ts6fh4si3m 9 ай бұрын
Hivi Hawa jamaa pesa walikuwa wanapeleka wapi? nafikiri matumizi yao yalikuwa mabaya but duu sio powa
@salomewandya7257
@salomewandya7257 11 ай бұрын
Hahaha kweli pombe si chai😅😅😅😅
@zeddymourice4249
@zeddymourice4249 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂huyu mwamba nimecheka Kama fala,maana anaulizwa swali hili anajibu kitu toafauti na anachoulizwa,asamehewe bure😂😂😂😂
@mayraamon8965
@mayraamon8965 11 ай бұрын
Hahahahahahahhahahha nyie embu niache basi
@ibrahimfarha3853
@ibrahimfarha3853 11 ай бұрын
Blazaaa eeeh afazali ungepokea hata zile laki 5 kwakweli
@FrankNgajilo-ip3zq
@FrankNgajilo-ip3zq 11 ай бұрын
Jamaa akatibiwe sauti
@rasvegas8991
@rasvegas8991 11 ай бұрын
Kuongeaaa hawez kuimbaa asingeweza kwa sahv
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 11 ай бұрын
Kwaiyo maneno yote yale my brother
@luc_96
@luc_96 11 ай бұрын
Ivi mnajua uyo jamaa anaongea ivo ila ukimwambie Aimbe kiitikio chochote balaaaa
@EliasJohn-lc8nu
@EliasJohn-lc8nu 11 ай бұрын
Yan msaniii mkubwa ata get hajapaka langi Bora angelamba Hy 500000 akanunie langi
@joycekaguo8476
@joycekaguo8476 11 ай бұрын
😃😃😃 umeona eee
@SophlaJackson-nt1nc
@SophlaJackson-nt1nc 11 ай бұрын
Atye tye tyeee 🤣🤣🤣🤣🤣
@salvatoryboniface1089
@salvatoryboniface1089 11 ай бұрын
Anajitambua ndyo maana amekataa hao wasanii wanaokiki kila leo wengi wao hawamfkii nature kwa maisha mazuri
@salvatoryboniface1089
@salvatoryboniface1089 11 ай бұрын
Jamaa ana studio home tafuta wenye studio nahc utaelewa
@gb-one6435
@gb-one6435 11 ай бұрын
@@salvatoryboniface1089 studio yenyewe hii yakawaida mno ase jamaa Kwa ujumla ana Hali mbaya ya maisha ukilinganisha na jina lake lilivyo kubwa
@Hanifa-xc
@Hanifa-xc 11 ай бұрын
Mbona kama anajibu vitu ambavyo havielewek😂😂
@mansursalim8772
@mansursalim8772 11 ай бұрын
Daah huyu ndio anaifanya bangi iyonekane mbaya
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 11 ай бұрын
Huyu muandi wahabari nikuma kweli sasa kaenda kumuuliza mswaligani yani hizikazi watu wanafositu wala siozao kumanina
@Ibrahim-ne3in
@Ibrahim-ne3in 11 ай бұрын
🤣🤣🤣mibangi mishisha...malejendiiiiiii wanakaaa kwenye maget yamepaukaaaaaa
@fristonactary1371
@fristonactary1371 11 ай бұрын
huyu bhna kalew walahi
@petercostakisoka
@petercostakisoka 11 ай бұрын
Uyu cyo duwanzi kibunda kinasoma
@maspro6294
@maspro6294 11 ай бұрын
Mastar wa mitandao wanatuka njaa tu
@nassoromtondo1421
@nassoromtondo1421 11 ай бұрын
Mh huyu jamaaa anaanzia z amalizia a
@prosperitymaarifa3324
@prosperitymaarifa3324 11 ай бұрын
Kalewa huyu
@salomewandya7257
@salomewandya7257 11 ай бұрын
Saana
@joycemuhoja4729
@joycemuhoja4729 11 ай бұрын
Sir Nature napenda unavyojibu Hadi Raha piga kazi Regend
@shamimageta6651
@shamimageta6651 11 ай бұрын
Chuma kimelewa
@PrinceBonnyTz8
@PrinceBonnyTz8 11 ай бұрын
HUYU NDIO ALIKATAA LAKI 5 😅😅😅
@bonifacewanyonyi3555
@bonifacewanyonyi3555 11 ай бұрын
😂😂😂
@pcthemaster9096
@pcthemaster9096 11 ай бұрын
Gongo mbaya sana
@ZINDUKAMUISILAMU30
@ZINDUKAMUISILAMU30 11 ай бұрын
Mh, wasanii wake wameenda kula bata 🤣🤣🤣 dah wabongo mnambwembwe kweli wameenda kula bata au mavi ya bata
@starfireog8695
@starfireog8695 11 ай бұрын
Apo hakunamsani tatizo lawa sani wabongo waache mihadalat
@cptnbazil6121
@cptnbazil6121 11 ай бұрын
Oya ebu nipigiwe kibao cha mtoto iddi nikitazama hii interview
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 11 ай бұрын
Mungu apendi. Miziki ww muislsm kweri. Udimdjilikishe Mungi kwenye ujinga
@mussamgonola3983
@mussamgonola3983 11 ай бұрын
Point
@ggvv9970
@ggvv9970 11 ай бұрын
Kwani ulevi ndio dawa ya wasanii ama nini mbona sauti sielewi? 😂😂
@wasaficlassicshoes
@wasaficlassicshoes 11 ай бұрын
Sauti ya kilevi
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 11 ай бұрын
😂😂
@aminnoour4788
@aminnoour4788 11 ай бұрын
Anaumwa corona
@tanzaniachannel8519
@tanzaniachannel8519 11 ай бұрын
Nyie wadandiaji treni kwa mbele always juma ndo ongea yake sauti yake ndo ilivyo 😂😂
@gb-one6435
@gb-one6435 11 ай бұрын
Jamaa mbona kama amelewa anavyo jibu nitofaut sana nazani ndio maana mtangazaji Ka katiza mahojiano
@hpmobilephone9951
@hpmobilephone9951 11 ай бұрын
Anasauti kama ya koki Duduubaya
@josephevaristi8923
@josephevaristi8923 11 ай бұрын
Bro ule wimbo wa mtoto iddy kumbe kajiimbia mwenyewe
@manirambonaabdoulaziz8836
@manirambonaabdoulaziz8836 11 ай бұрын
mbona kama maswali anayo ulizwa anajibu sivyo mrorongo mrefu usokuwa napwent
@Mohamedishabani-om8qf
@Mohamedishabani-om8qf 11 ай бұрын
Jamaa anajibu out of points😂😂😂😂
@hamadmohammed9928
@hamadmohammed9928 11 ай бұрын
Nature wacha pombe
@ernestsereli8559
@ernestsereli8559 11 ай бұрын
Hahahahah"jamaa kalewa bn
@zachaamaster5378
@zachaamaster5378 11 ай бұрын
#upuuzi mtupu kweri pombe sio maji
@gb-one6435
@gb-one6435 11 ай бұрын
Dah 🥺 wasanii wa zamani kwani walifeli wapi mtu kama huyu nyimbo zake mpaka Leo ni Hit inakuaje anaishi hivi 🤔🤔
@withowilliam9057
@withowilliam9057 11 ай бұрын
Soko halikuwa kama sahv na mziki unataka uwekeze
@kizazisanagang
@kizazisanagang 11 ай бұрын
Shida n pombe ila jamaa anaishi freshy Hana shida
@bensonmwananchi7701
@bensonmwananchi7701 11 ай бұрын
Nimegundua kwa nn nature aliandika vile
@BarackCharles-vt7kt
@BarackCharles-vt7kt 11 ай бұрын
Mbna interview umerudiwa hii….
@AmiriMalenge
@AmiriMalenge 11 ай бұрын
In dipli😂😂😂
@alidyaya4512
@alidyaya4512 11 ай бұрын
Nimecheka interview nzima😂
@jonathanmwisho2649
@jonathanmwisho2649 11 ай бұрын
Kumanina zenu munae mpinga uyu mwamba usifananshe na mavi ya sasiv machoko nyiee
@jonathanmwisho2649
@jonathanmwisho2649 11 ай бұрын
Uyo mwamba shoooow zake ni zamoto kwanza Ana jua kucheza na jukwaa
@suntzu8959
@suntzu8959 11 ай бұрын
Harafu akatae laki 5 huyu
@aayanmaroba6056
@aayanmaroba6056 11 ай бұрын
YUKO TUNGI YA ATARIIIII
@abdulyabubakar6247
@abdulyabubakar6247 11 ай бұрын
Kweli pombe sio sigara 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 majibu yake 😂😂😂😂😂
@pcthemaster9096
@pcthemaster9096 11 ай бұрын
Mchele koka chapati kongoro😂😂😂😂😂😂😂
@rogerbijisi8465
@rogerbijisi8465 11 ай бұрын
Mbon unaish mqzingir mabay ten wew mkong kweny mzik!? Afu wanakup 500.000tsh unazikataa wakati unaisha na kisamvu uwa umoja😅😅😅
@samwelisack2076
@samwelisack2076 11 ай бұрын
Kamnyweso
@OllerDesononline6333
@OllerDesononline6333 11 ай бұрын
Tungi lake😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@husseinmdwangi8966
@husseinmdwangi8966 11 ай бұрын
MBENGO TV NDO NN KUEDIT HIVYO YAANI MWONEKANO WA JUMA ILA SAUTI SIYO YAKE!!!
@mbengotv
@mbengotv 11 ай бұрын
Punguza wasi wasi, huyo ni nature Og hakuna edit yoyote
@rahimukayela297
@rahimukayela297 11 ай бұрын
Sauti ya Waganga kwenye Bongo Movie
@aminnoour4788
@aminnoour4788 11 ай бұрын
😀😀😀😀 ni mganga yani drogs nyingi
@aminnoour4788
@aminnoour4788 11 ай бұрын
Ndiomana kapewa laki 5
@RobbyAugustine-jd2hd
@RobbyAugustine-jd2hd 10 ай бұрын
Hiv juma nature n mmakonde cio😂
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 11 ай бұрын
Juma watu wafupi wa akili unawaacha kwenye kujibu maswali
@abdulyabubakar6247
@abdulyabubakar6247 11 ай бұрын
AKYU IMEPANDA 😂😂😂😂😂😂😂😂
@robertj.4484
@robertj.4484 11 ай бұрын
😂😂😂🤣🤣🤣🤣
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 11 ай бұрын
Hivi mwandishi unafanya vipi interview na mlevi?
@babiddi8620
@babiddi8620 11 ай бұрын
Ao unaowashabikia ww hawalewi
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 11 ай бұрын
@@babiddi8620 inawezekana ukawa hujui unachosema
@iceplay18
@iceplay18 11 ай бұрын
baba punguza changa na sauti kama chura , wewe sio star ulikuwa star lakini uliponza kuchagua jembe maana mkulima hachagui jembe, ulitwa kazi ukaendla kulewa alafu ukasemba pesa ni kidogo sasa uko hapa unalea lia
@user-ig9rl2hv6h
@user-ig9rl2hv6h 11 ай бұрын
We c wakupewa laki tano wwe elfu20 baba sauti Kama chura kakosa maji
@user-us4tg2it5q
@user-us4tg2it5q 11 ай бұрын
😅😅😅😊😊😊😊😊❤
@abdulyabubakar6247
@abdulyabubakar6247 11 ай бұрын
Mie ningekuwa mwandishi ningeshazima camera na kuondoka maana unaye muhoji hapo Akili yake haipo kabisaaaaaaa pombe ndio zinaongea 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@AyubuMbuba-pu6tf
@AyubuMbuba-pu6tf 11 ай бұрын
😢
@flinchclassic1531
@flinchclassic1531 11 ай бұрын
Kwani hii sauti ya nature haumii akiongea dah
@user-vv1te9fu8q
@user-vv1te9fu8q 11 ай бұрын
Mbona anaongea lafudhi ya kimakonde kwani mmakonde huyu
@MJ-rr6dy
@MJ-rr6dy 11 ай бұрын
umbea kazi sana, yote hiyo kwa ajili ya mond, mond anawatesa wajinga wajinga wengi kwa wivu jamani
@ambokilemussa3518
@ambokilemussa3518 10 ай бұрын
weeee koma na huyo mtu wako
@valeriaally6584
@valeriaally6584 11 ай бұрын
Studio na hzo spika hapo,kaz ipo🤣🤣🤣🤣😂😂😂 duh,hata za watu wa vijijini zina afadhal
@user-kw2or2iy9y
@user-kw2or2iy9y 11 ай бұрын
Wewe una nini hapo
@valeriaally6584
@valeriaally6584 11 ай бұрын
@@user-kw2or2iy9y hata ukijua nina nini na sina nn itakusaidia nn
@RabiaKhalifa-lr8qh
@RabiaKhalifa-lr8qh 11 ай бұрын
Kama haitomsaidia kitu,na hata ya juma nature ww hayatokusaidia kitu
Бутылка Air Up обмани мозг вкусом
01:00
Костя Павлов
Рет қаралды 2,1 МЛН
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 12 МЛН
FIESTA MOROGORO 2012  - JUMA NATURE
16:54
Fiestaconcert
Рет қаралды 98 М.
JUMA NATURE: POMBE IMESABABISHA NIMESHINDWA GAME ''INANIUMA SANA''
8:19
Бутылка Air Up обмани мозг вкусом
01:00
Костя Павлов
Рет қаралды 2,1 МЛН