Kama mtu anakupenda kiukweli hawezi kuwacha kwa jambo lolote,pesa sio kila kitu huwezi nunua mpenzi,may God send u a woman who truly deserves u Clamvevo much love from Kenya ❤❤❤
@MpembaMbasa8 күн бұрын
Mbona wana endana Kwan yeye nnan
@aishaomar2287 Жыл бұрын
Clam relax mkeo mwema yupo mahali Mola kakuekea in shaa Allah 🙏 🙏 🙏
@OmanAl-s9l Жыл бұрын
Kaka uyo kwa sasa sio wako waachie wenye ela jitaidin kupambana na maisha kazi zako nzuri utapata umpendae
@MariamMbaruk-rk3vj11 ай бұрын
Clam sikiliza brother, zuhura alikiwa ameletwa kwako kukufungulia maisha yako 2 pengine mungu hakupanga uishi nae
@OmaryMashimango-jd5jd11 ай бұрын
Hahahahahaha..!
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM Жыл бұрын
Clam Kiana mpambanaji ,nakupenda sana from Burundi ,tunakufatilia sana
@SharonChepngeno-d7e Жыл бұрын
Clam vevo you still have time relax God know more about your life,,,, MUNGU amekuwekea mke anayekukufaaa mahali pambana na Kasi yako❤❤❤ love from Kenya ❤❤
@sayhaanqudqud5799 Жыл бұрын
Ukimpata mwanamke wa hali ya chini mnyenyekevu mwenye bidii na upendo atakufaa. Zuchu angekupenda angekua naye hata kwa success yake. Kisha mwanamke mzuri ni mwenye dini na msimamo. Unajipa maisha ya kukukimbiza moyo mbio bure
@BosangoferuziPierre-x6h Жыл бұрын
Nakubali sana kazi zako utafika mbali kisha mwika
@Mtazyinstrumental Жыл бұрын
Clam kubali maisha yanapita tafuta watoto acha kulilia mademu
@gogoloveofficial5666 Жыл бұрын
Clam pambana na maisha ma binti ni mengi utapata wa kwako.love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI
@KwizerJackson-is7fh Жыл бұрын
Nikweri mwezangu Mimi napenda watuwanasema kweri mimi piya ni wa Burundi rakini niko Zambia
@gogoloveofficial5666 Жыл бұрын
Hapo Sawa my brother.ama tujipendanie ega na mimi Niko star in Burundi🤦.tena nacheza filamu kama yeye
@KwizerJackson-is7fh Жыл бұрын
Hapo sawa nakaribia kurudi kuona wajajiwangu vip ukowapi
@KwizerJackson-is7fh Жыл бұрын
Kumbe urinimano ukinaneja naje sami me love you somuch musohohe imba ndayibonye kubera atamugore fise movie mukina nizo mugorewaje
@komlaakomlaa7465 Жыл бұрын
@@gogoloveofficial5666 gogo reka kuntwenza🤣🤣🤣
@fideliswambua3346 Жыл бұрын
I like the way u answer the questions Clam
@PiliNgolanga Жыл бұрын
Clam sijapenda🏃we pambana wifi yetu tutampata....mzuuuri tu umeandaliwa na Mungu
@BryanKilavo11 ай бұрын
Chukua mtt yule mondi ana wengi.... ......appreciate brother 🤐🤨🎧🎧🎧🔥🔥🔥🤑
@MpembaMbasa8 күн бұрын
Mbona wana endana
@Alibabason Жыл бұрын
CLAM VEVO really you inspire me to hustle and not going back again. May God bless you ❤❤❤
@muhammedkhamis2566 Жыл бұрын
Wa kwanza leo like japo 5 jamani😢
@samirshabani-yu4xu Жыл бұрын
Wacha ushamba wewe mbona unaishi kishamba like uzipeleke wapi
@muhammedkhamis2566 Жыл бұрын
Nataka nimpelekee clam vevo mm shabiki yake namba moja❤
@Kipngetich-KE6 ай бұрын
God's time is the best Mr Clam so watch and pray
@Director_tyson11 ай бұрын
Bro don't forget a girl. Am proud of u
@RehemaOmari-yi1io6 ай бұрын
Njoo kenya Clam ❤
@ChancelineCatherine-bj6jd7 ай бұрын
Ooh My Gosh pole sana kbx My friend 😢😢
@maryamhaji-mx8dm Жыл бұрын
moyo ukipenda umependa mungu akipenda utampataa.🖒
@zazalareine257 Жыл бұрын
Kisicho kuwa ridhi hakiliki😢 unaye mpenda hakupendi wanawo kupenda huwapendi😢 na imana kuna wenye wanakupenda clam wang🎉❤
@BizeddOfficial11 ай бұрын
haaa ka nyiimbo yangutu
@NinahFyson10 ай бұрын
Mimi navyo muona zuchu na clam vevo awawez kukaa tena kwenye mpenz.Nakuamba CLAM acha kumufatilia uyo binti na uangalia mkee watayipi yako 👍🥰
Achana nae pumbavu atakuja kukufilisi tu endelea na maisha yako usipoteze muda kwa mpumbavu
@elizabethchabluma-zw5qz Жыл бұрын
Mpumbavu wewe mwacheni b zuu
@aleyidukury8333 Жыл бұрын
Hahahaha duuuh hataree
@Malin2001 Жыл бұрын
Clam relax mke mwema mungu hupeana
@SarahMpagaze-fi1sr Жыл бұрын
T'es vraiment décisive, j'aime bien ta réaction 🤗cleam,t'es un homme fort et sage!✨👌
@SaumuZungufya11 ай бұрын
😂😂😂😂
@djafro1 Жыл бұрын
Niko huku leo nampenda Clam vevo pia mimi nifikisheni 1000 subscribers
@alimwadima254 Жыл бұрын
Kavuu sana...Huyo hakuwa anakupenda Ulipokuwa kapuku sasa utawezaje Kumshobokea sai Mambo yako kwenye mstari...Uboya huo Tafuta Changa changa Isiyokuwa Maarufu utulize Boli wewe namna gani vp!!!
@germainfola275 Жыл бұрын
Ndugu yangu clam vevo pambana na maisha achana namambo ya stress uata shuka kiwango cha uigizaji kk
youtube.com/@Peggykid_?si=GjvBgqZ_vemWgDg2 ni sapotini na mimi djamani 😢
@aminaomary5567 Жыл бұрын
Claim ameumia.kama Makabila.Poleni sana.Nassibu Mke wake ni Tanasha na Zari wanawake hao 2 ndio wanawake bora kwake sio zuchu jaman.
@annechichi8574 Жыл бұрын
Diamond ako Uhuru kuoa mtu yeyote yule
@DenisWachira-q9q11 ай бұрын
Thanks vevo mm n fan wako
@Pierjmkakule7 ай бұрын
Dada Mbengo hujambo, from DRC🇨🇩 tunataka Vevo atuburudishe kwa vichekesho(comedy) maana uku nikama amelala, basi naamini langu hili litafika🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@HassanRamadan-f6z11 ай бұрын
pambana kaka Allah atakubariki my brother
@Nimrathshirima2 ай бұрын
Uko vzr Sana clam
@KwizerJackson-is7fh Жыл бұрын
Cram me love you rakini zuchu achananaye hakufai
@BarbaraPatience-qt9cc Жыл бұрын
Fala
@KwizerJackson-is7fh Жыл бұрын
Kudadeki ubwa mnfiki mkundu kenge mchawi
@MustaqimMuhsin Жыл бұрын
Acha usenge ww
@KwizerJackson-is7fh Жыл бұрын
Siongei na ubwa naongea na mwenye ubwa
@MustaqimMuhsin Жыл бұрын
@@KwizerJackson-is7fh mbwa ni baba yako na mama yako fala ww
@RichardKimwer Жыл бұрын
Ww hujui kupenda😊😊😊😊😊😊
@RamaMwendo11 ай бұрын
Bwana mdogo never give up
@HadijaHussein-rt3gm7 ай бұрын
Oyaaaaaaa bro usilazimexhe mapenz tafuta mwingine akupendaye
@channyanjen9047 Жыл бұрын
Pambana kipenzi cangu iko siku utapata inshaalah
@SuleymanMagili Жыл бұрын
Kk love is better than money bas kma mwnamke ulitofautiana nae ksa pesa bas huyo niana true love bas huyo n atkusumbua Sana maisahan ila akae akjua tu ktkt maisha nkunakpnda nakuxhuka .kikubw bloo mim hpo naomba nkushaul kma mwanaume mwzangu kuw tafuta bnti mwingne ambaye ni atkuw nmzul zaid ya zuchu mbna walembo nwpo weng tu hpa dunian.kk najua niunaumia Sana mapenz hakka nyanaumiza Sana ilajtahd kuulazmisha Moyo wko kutokumwihtaj tena huyo zuchu hatimaye utazoea tu maana itafka htua n atakuhalbu ksaikolojia KABISa
@marytemba-c7y Жыл бұрын
Kaka clam nikushauli kitu kama mdogo wako watu huwa tunatafuta wanawake WA shida na raha SASA huyo zuchu ye hata akikubali kwasasa kwanini zamani asinge kuvumilia nakuomba achana nae jalibu kuuzuia moyo Wewe ni mwanaume tafuta make WA maisha
@RabanAmosy-ce7bs11 ай бұрын
Pole xna clam Namm natambua ni jinsi ngan hisia za😢 mapenz znavyo uma Pole xna mwamba clam vevo
@@mudysaid6602 😂🤣🤣😂😅bila kuuliza foleni n ya nn🤣😂😅kwisha Mimi🤣😂clam jaman kiboko
@mudysaid6602 Жыл бұрын
Ok, mariam,pia nifuraha nimekutana nawe online toker's🤗🤗🤗tuko pamoja 😉😊🤗
@soundmale Жыл бұрын
Shenzi sijapenda unajieleza kama umefiwa😂😂
@Spagles Жыл бұрын
UKIACHWA achika rafiki yangu 😂
@ebengapierre8826 Жыл бұрын
ivi WEwe unawaza zuchu kuna pesa apo ya kumleta zuchu kwenye mikono Yako uho ni ujinga kwanguvu unayo wewe unaweza kosa dike apo Tanzania mbona wewe unajina kubwa Fanya kitu ambacho kila mtu atakuelewa akupendi uyo 😭😭😭😭 nakupa pôle sn kwajina kako unafanya vitu vyakijinga tafuta mwamuke ambaye zuchu atashituka lakini wewe bado unashindana ju yamwanamuke
@SarahMpagaze-fi1sr Жыл бұрын
Oooh!!!baba !kunbe wewe ni ex was zuchu?ila diamond hawezi kumu owa zuchu!ça je t'assure bro!🤗✨
@mudysaid6602 Жыл бұрын
Kupenda tabu jamani.🤗
@CarolineNanjala-h2q4 ай бұрын
Clam naomba unipigie🏋️
@roudhamahmoud763 Жыл бұрын
Claim vevo nakuelewa sana na naamini ipo siku zzuhura atakuja kwako
@AmourHaroub-lv8ll6 ай бұрын
Huna hela ya kua na zuchu boss kubwa bdo sana jitafute
Clam ww ni mweh kabisa, me nishabiki ako ila achana na huyo panya tafta mtoto mzuli! 😂😂😂
@elbaricktv1632 Жыл бұрын
Sio lazima kwasababu wewe superstar basi uwe na MWANAMKE superstar kama upo seriously na kutafuta mke mabinti wazuri sana wapo wengi TU unaweza pata hata wa4 kwa mkupuo
@roudhamahmoud763 Жыл бұрын
Asante sana claim vevo upo sawq ila ikishindikana nakuomba claim muoe kim mnaendana kabisa
@SalmaMakilika11 ай бұрын
Kim kampendeza,pia mbona Kim mzuritu
@evansbaya99079 ай бұрын
😂😂😂Vevooo.....Maji hayasahau njia yake
@ZaiduMtame7 ай бұрын
Oya broo pambana hipo siku atakua katika mikono yako tuy
@Zuu673 Жыл бұрын
Jamani kwani lazima?ndio unajiingiza km mtu umeachana nae yann umzungumzie?ushamba kweli😂
Clam utapata mwema na alie na kheri na wewe tatizo la watoto nyie usanii wenu upo mpaka ktk mapenzi
@IddyNgessa-oz3xy Жыл бұрын
Wewe zuhura atakusumbua mzee,,,, piah clam vevo ww sio wakulialia,, focus kazi zako broo 🙏 mapenzi yapo kk na pia yanamudaa, acha dogo simba ale makombo .... Finish
@omarappoul Жыл бұрын
Dah poleni kakayangu clam tuliya utampata wakwako
@WinnieUmanzi Жыл бұрын
Diamond's words vijana tafuteni hela🤣🤣🤣🤣
@vanessaemanuel849 Жыл бұрын
Jamani clam vevo wangu kaongea kwa uchungu hadi nimelia zuchu muhurumiee bxii mwenziyo😢😢
@farajrashidi4010 Жыл бұрын
Tafuta mungine usifosi mapenzi yatakutesa kuwa mkomavu
@Spagles Жыл бұрын
We zuchu mshenzii 😂😂😂
@robertokari3736 Жыл бұрын
Nashndwa kuelewa nan kati ya hawa wawili diamond na clam vevo na mwizi wa mapenzi hasa juu mwingine aliachua juu ya umasikin 😅😅😅 sasa wana pesa wote😂😂😂😂😂 zuchu penda ex wako b4 uwachwe😊😊😊 Kweli mapenz ya pesa yanaumiza na yana raha yake
@Sofiashabani780 Жыл бұрын
Nibora ufanye kazi na upate mwanamke ambae sio maarufu mtandaoni
@mwanahijamaliti8335 Жыл бұрын
😂😂 clam sio mjinga mpaka aongee ivyo kuna kitu anataka