Asante kwa ufafanuzi wako nami pia niliota nafanya mapenzi na mchumba wangu kwa kweli uhusiano haupo tena
@carolineOdenyo-yz1tz2 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏 in Jesus name mtumishi wa mungu ubarikiwe kwa neno
@amaniboniphace58694 ай бұрын
Asante kwa somo zuri. Ninaomba kujua jina la wimbo unaoanza kabla ya kuanza mafundisho haya.
@maikojohny3453 жыл бұрын
Asante kwa kutuma, mahalifa, Mungu akubark
@emilypatrick5509 Жыл бұрын
Asante sana nimkua nikisubuliwa na ndoto fulani bt ashukuriwe MUNGU nimejua vyakufanya..thank you JESUS🙏
@julianawanjala6495 Жыл бұрын
Amina barikiwa sana mchungaji
@josephinegravasiano8860 Жыл бұрын
Amen , Mungu akubariki mtumishi baada ya kujikita kwenye maombi ndoto zangu zimebadilika zimekuwa za faraja zaidi.
@Juliusinkwabi6 ай бұрын
Amen 7:57
@sharonbhussein5517 Жыл бұрын
Amina
@rebeccarebecca3641 Жыл бұрын
MUNGU kuzidishiye mafuta sana
@janengaga2928 Жыл бұрын
Asante MUNGU ❤️ kujua siri mbalimbali za neno lako.Barikiwa mtumishi wa Mungu🙏🌺
@kadcoclinic2442 жыл бұрын
Duuu uko vizuri mtumishi barikiwa sana masikio yanatamani kuendelea kukusikiliza tupe mwendelezo tafadhali
@peninabensonpen8702 жыл бұрын
Amen Amen Mungu akubariki mtumishi na pia akuzidishie hiyo neema ya ufahamu
@zuenaezekiel9519 Жыл бұрын
Shaloom mtumishi wa Mungu Leo nimeota ndoto ya nyoka mzuri Sana ana rangi za pink na nyeupe yaan n mzuri kwa kumuangalia lakn alijibadrsha akawa mwanamke mzuri Sana... mzuri kweli kweli.. lakin baadae alkuja nyoka mweusi na wakawa wanagombana baadae niliingilia ule ugomv nikaanza kupigana na yule nyoka mweusi...ilvyokarbia asubuh nmeota nnanyoa sehem zangu za Siri huku nikijiandaa kwenda kukutana na mwanaume kimwili lakn nilistuka kabla cjaenda kuonana nae. NISAIDIE MTUMISHI 🙏
@jackiemaggy24842 жыл бұрын
Ameeeeeeeeeen
@leahwainaina4396 Жыл бұрын
Amen
@AgnesNeme2 жыл бұрын
Naomba unisaidie na maombo nko inje
@danfordmwangosi1806 Жыл бұрын
Ameni
@judithnjunwa6668 Жыл бұрын
Naotaga napaaa au naomba nyimbo za kumtukuza MUNGU kwa sauti,,,,, MUNGU nisaidie
@kipendwabwira32992 жыл бұрын
Asante
@AgnesNeme2 жыл бұрын
Asante mutumishi kwa ujumbe wako mungu azidi kukuongoza
@vosgeniustv49273 жыл бұрын
Hakika umekuwa shahidi wa Mungu na neno lake, utukufu ni kwa Mungu aliyehai
@rosepeter89962 жыл бұрын
Kuna kitu nimekigundua kupitia ndoto mbaya,unapo omba kuanzia saa sita za usiku lisaa lizima hadi saa saba karibia na nusu hata ukiamua chukua lisa na nusu kwa maombi kamilifu na kuangamiza kila aina ya mapepo na ndoto mbaya,hakika hua unalala peacefuly sana mpaka hasubuhi.hakika tunapo jitolea kwa mungu na kumuomba anatusikia na kutujibia.tukiomba ulinzi anatupa latika jina la YESU.🙏
@elijahekay44222 жыл бұрын
asante sana mtumishi
@stevendaud22642 жыл бұрын
Asante kaka god blees you
@changejohn90552 жыл бұрын
Unani faridi kwaimani Mimi change John kutoya pa Zambia chiengi district
@justinetimothy10262 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@sirizabiblia52762 жыл бұрын
amen
@leonardobulalu Жыл бұрын
Amen ❤
@talal-uf6ni Жыл бұрын
Amen ❤❤❤❤
@مريممريومه-ض4ذ2 жыл бұрын
Asant saaaan pasta ubarikiwe🙏
@sirizabiblia52762 жыл бұрын
amen
@neemaneema68252 жыл бұрын
Amina.kaka.mungu.akubari.sana.sana🙋♀️🙋♀️
@peacefulkariuki66303 жыл бұрын
Mafundisho mazuri ya nimejifuza,, God bless u na uendelee na ngoja
@stanleymwaingwa15132 жыл бұрын
Nabarikiwa dungu katka Jesu ubarikiwe sana amen
@zenataashura7922 жыл бұрын
❤❤❤❤ i love this 🥺
@gracekunambi74382 жыл бұрын
Amen Ameeeen
@innocentcazorla59383 жыл бұрын
Nashukuru kwa mafundisho broo
@sirizabiblia52763 жыл бұрын
amen
@eliasmunoka5183 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akuinue na kubariki Sana,mafunzo yako yamekuwa ya manufaa Sana maishani mwangu....
@sirizabiblia52763 жыл бұрын
Amen,utukufu kwa Mungu Elias. wafahamishe wengine pia tunufaike wengi zaidi
@eliasmunoka5183 жыл бұрын
@@sirizabiblia5276 Naomba Mwenyezi Mungu anikumbushe siku ya maombi kanisani nijulishe wenzangu na kule nje pia.
@mattykenga27553 жыл бұрын
Asante sanaaa kwa mafunzo. Barikiwa 🙏❤️
@aminalimu51503 жыл бұрын
Asante ubarikiwe
@hildaongweny62283 жыл бұрын
Thanks and God bless 🙏
@marymartin1973 жыл бұрын
Amen kaka asante sana Mungu akutunze siku zote.Barikiwa🙏
@sirizabiblia52763 жыл бұрын
amen,Mungu akutunze pia
@merryramadhan77793 жыл бұрын
Amen ubarikiwe
@Boston40943 жыл бұрын
Ubarikiwe
@janetjosephat8093 Жыл бұрын
Asante kwa maarifa mazur ila ombi langu ni moja picha unazoweka zinatisha😮
@sirizabiblia5276 Жыл бұрын
pole
@victorswai18563 жыл бұрын
ameen
@laurdismas17843 жыл бұрын
You are sound good bro.. bless too..
@mariamwaweru60493 жыл бұрын
Amen amen powerful teaching
@elijahkadozz17523 жыл бұрын
Emen
@cecilondego69312 жыл бұрын
Thank you for guidance Amen
@leonardobulalu Жыл бұрын
Kuota ndoto ukiwa nyumbn na ushatoka nyumbn kila mara mazingira uliyotoka
@benadetakalinga84592 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na mahubiri yako.Naomba namba ya simu yako kuna Jambo nataka msaada.
@sirizabiblia52762 жыл бұрын
0758 708804
@ElizabethNaftari Жыл бұрын
Sasa...mm naotaga npo shule tena primary na npo advances lakn cjui namna ya kuombea ndoto
@esterthobias37252 жыл бұрын
Mm nilifanyiwa dawa na mganga na mnyama Kobe nikaambiwa fumba macho akamzogeza sehemu zangu za sili nahitaji kuokoka naomba msaada woko niko ifakala mkoa was morogoro
@sirizabiblia52762 жыл бұрын
Pole kwa tatizo hilo....tuwasiliane naomba 0758708804
@Blessings31762 жыл бұрын
Na nikuulize ukiota unakimbizwa Na babako je
@monicampokwa4412 жыл бұрын
Mimi nimewahi ota ndoto napewa ela kiasi cha elf 10 ya kitanzani na mtu ambaye ni mlokole Ila Mimi si mlokole.Maana yke ni nn?
@leahwainaina4396 Жыл бұрын
Amen
@beatricekimaro49012 жыл бұрын
Amen 🙌
@seebs11563 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@mariamwaweru60493 жыл бұрын
Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu
@fersterkisavel5683 жыл бұрын
Ameni
@leonardobulalu Жыл бұрын
Kuota ndoto ukiwa nyumbn na ushatoka nyumbn kila mara mazingira uliyotoka