TATIZO LAKO LIMEANZIA NDOTONI // NDOTO NI LANGO

  Рет қаралды 20,674

SIRI ZA BIBLIA

SIRI ZA BIBLIA

Күн бұрын

Пікірлер: 159
@siliviahmwakalobo5717
@siliviahmwakalobo5717 5 ай бұрын
Amen mtumishi ubarikiwe sana kwa maombi yako nami naenda kinyume kabisa 🙌 na kila ndoto mbaya kwa jina la la Yesu na zifuta zote kwa damu ya Yesu
@SoosanOman
@SoosanOman Ай бұрын
Amen
@marymueni7891
@marymueni7891 Жыл бұрын
Asante mtumishi wa mungu kwa ujumbe huu Kuna. ndoto nimeiota zaidi ya miaka kumi.Inaenda kwa muda kisha hurudi
@CharsMsafili
@CharsMsafili Жыл бұрын
Ni kweli mtumishi,n neema ya Mungu awe nasi maana vita hii ya kiroho n ngumu, Tena sana sana,Ubarikiwe mtumishi.
@janehabakuki4564
@janehabakuki4564 Жыл бұрын
Amen Mungu akutunze tangia nianze kukufatilia huduma zako nabarikikiwa sana
@neemakarisa1496
@neemakarisa1496 Жыл бұрын
Amen 🙏 ASANTE Mtumishi wa MUNGU,ndoto za ajabu ajabu,zimekua sehemu yangu ya maisha,nakila kitu nitakacho fanya sifanikiwi
@usher1094
@usher1094 Жыл бұрын
Baba Mungu wambinguni akuweke maana umesababisha nimemujuwa Mungu Asante Sana 🙏🙏🙏🙏🙏
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 2 күн бұрын
Mtumishi wa Muñgu naomba uniombee nimeota duka langu la dawa napouziaga miaka yote nimeota nimeondolewa nimekwenda kuchanganywa na watu wanao uza dawa za mifugo alafu vichocholoni nikawa nalia Sana duka langu lipo barabarani nimeumiza Sana naomba mambi yako pia Muñgu akubariki ❤❤
@gracedamas5883
@gracedamas5883 Жыл бұрын
Ameni 🙏 Roho zote chafu zilizoniingia kwanjia ya ndoto nafuta kwa jina la Yesu Nimekua nikiota ndoto sikumbuki nanikukumbuka bas ndoto nimbaya tu Bwana naomba unisaidie
@ScholarKadaso-ch3jx
@ScholarKadaso-ch3jx 6 ай бұрын
Amen mtumishi, ninafuta kila ndoto mbaya niliyowahi kuota kwa damu ya Yesu
@nyalusiyusuph-mu2wj
@nyalusiyusuph-mu2wj Жыл бұрын
Nashukulu sana mtumishi .izi ndoto uwa naota sana za mm kuwa darasan ,kijijini
@TukaeSanga-z8q
@TukaeSanga-z8q 7 ай бұрын
Amen. Na Mungu akubariki nimefuguliwa Kwa jina la Yesu
@samikasongwere9163
@samikasongwere9163 Жыл бұрын
Kwa jina la yesu Christo n'a katala ndoto mbaya katika maisha Yangu damu yesu ni safiche Âmen
@lovenesssimba
@lovenesssimba Жыл бұрын
Asantee kwa mafundisho mtumishi Mungu akutunze
@EdithaWilliam
@EdithaWilliam 4 ай бұрын
Asante sana mtumishi wa Mungu hakika umenifungua macho nimekuwa nikiota ndoto nyingi na kuzipuuza na zimenitesa muda mrefu
@ZaituniFikirini
@ZaituniFikirini 2 ай бұрын
Amen ubarikiwe sana mtunishi WA MUNGU
@julianawanjala6495
@julianawanjala6495 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@sabrinajuma3253
@sabrinajuma3253 Жыл бұрын
Yaan Mungu aniponye mm maan naumwa ukienda kupima hamn kitu lakin naumwa Mungu niponye namie
@neemamwaikamila6044
@neemamwaikamila6044 2 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi
@eddygad2858
@eddygad2858 5 ай бұрын
Kwa jina la Yesu Ameeeen
@MuliLiam
@MuliLiam Жыл бұрын
Asante mtumishi,Mimi naota kila mara navuta kamba kwa Meno na kamba iyo ni ndefu Sana iishi na kingine natoa jino kila mara
@tarimodotha3136
@tarimodotha3136 11 күн бұрын
Amen mtumishi wa Mungu
@مريمم-غ3س
@مريمم-غ3س 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mutumishi wa Mungu kwa mafundisho yako Amen Amen 🙏🙏
@joshuamukumbwa7333
@joshuamukumbwa7333 Жыл бұрын
Mungu azidi kukubari mutumishi
@sofiaoman5901
@sofiaoman5901 2 жыл бұрын
Asante mtumishi wa Mungu kwa kuniweka hurukuhsu ndoto nitamuomba roho takatifu aniwezeshe kuelewa ndoto ninazoota
@judithenock2640
@judithenock2640 2 жыл бұрын
Mtumishi ningekuwa niliota ndoto mbaya sanaaa Hadi natamani nisilale
@neemametison1477
@neemametison1477 2 жыл бұрын
Asante yesu, umenikomnoa,sifa na utukufu ni wako juu
@pasyanmwaikimba5616
@pasyanmwaikimba5616 Жыл бұрын
Ameeni mtumishi 🙏❤️
@AnnOpondo-tf3uf
@AnnOpondo-tf3uf Жыл бұрын
Amen nimebarikiwa na kukombelewa kwa jina la yesu kristo
@peninabensonpen870
@peninabensonpen870 Жыл бұрын
Amen Amen nabarikiwa sana na haya mafundisho mtumishi wa Mungu Mungu akubariki na akuzidishie hiyo neema
@beatricekimaro4901
@beatricekimaro4901 2 жыл бұрын
Asante mtumishi Kwa mafundisho haya🙏🙏
@josephinesam6487
@josephinesam6487 2 жыл бұрын
Mtumishi nina imani sana sana na madhabahu hii natamani siku moja mungu anitendee miujiza mikubwa sana kupitia hii madhabahu yaan sijui nisemej ila ur the best mtumishi ww umepewa kibali kwa ajili ya kutufundisha na masomo yako yanaeleweka vizur sana yaan sijui nisemsj ila hii madhabahu imebarikiwa sana
@sirizabiblia5276
@sirizabiblia5276 2 жыл бұрын
Mungu ni mwaminifu sana,ameisimamisha madhabahu hii kusaidia watu wake aliowakusudia, na wewe ni mmoja wao.Mungu akutunze
@josephinesam6487
@josephinesam6487 2 жыл бұрын
@@sirizabiblia5276 amen 😊🙏
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 19 сағат бұрын
❤❤❤❤❤❤ Ameeeni
@hopepauline550
@hopepauline550 Жыл бұрын
Amen Barikiwa sana Mtumishi
@godsgrace4682
@godsgrace4682 2 жыл бұрын
Amen amen 🙏 aki ubarikiwe kabisaa,......mimi nilipata nafukuzwa na askari nikiwa nimebe na mtoto akiwa anekala
@JoyceRuwa-d6q
@JoyceRuwa-d6q Жыл бұрын
Amen nmepokea ukombozi kutoka na ndoto za kunirudisha nyuma
@edakiputa1108
@edakiputa1108 2 жыл бұрын
Asante Bwana Yesu kwa somo hili, barikiwa mtumishi wa Mungu.
@sirizabiblia5276
@sirizabiblia5276 2 жыл бұрын
AMEN
@jenestajose583
@jenestajose583 Жыл бұрын
Amina
@jacksonswai3498
@jacksonswai3498 Жыл бұрын
Roho Mtakatifu amesema nami kupitia mtumishi wake,
@mishikazungu8028
@mishikazungu8028 Жыл бұрын
Bwana yesu asifiwa mtumishi wa mungu nimatumaini yangu uko Salima piya nami nashukuru mungu nko salama uwaponi mwabwana yesu Christ Amen 🙏 Mungu akubariki sana mtumshi wa mungu Kwa mafundisho yako naoni nikifungu Kwa mahali
@Joyyyyyjoy-yo3jj
@Joyyyyyjoy-yo3jj 9 ай бұрын
Nakataa ndoto mbaya ndoto za watu wslio kufa nazikataa kwa jina la yesu Ameen
@dorisbosibori8126
@dorisbosibori8126 Жыл бұрын
Thank you very so mochi ❤️
@bdbdjbdjddjbdbdnkdjdbd104
@bdbdjbdjddjbdbdnkdjdbd104 2 жыл бұрын
Selah, very powerful thank you, long live.
@omanss268
@omanss268 Жыл бұрын
Balikiwa sana mutumishi
@everlynekidiiga
@everlynekidiiga Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏 thanks
@marthamwenda2155
@marthamwenda2155 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mt, endelea kutu fundisha
@thomasdonald4663
@thomasdonald4663 2 жыл бұрын
Barikiwe sana mtumishi
@MpolyaPaulo
@MpolyaPaulo 11 ай бұрын
Oooooo! Asante somo limenigusa mtumishi
@maycongowi7505
@maycongowi7505 2 жыл бұрын
Barikiwa mtumish kazi yako ni njemaa 🙏
@dorisbosibori8126
@dorisbosibori8126 Жыл бұрын
Thank you so mochi good
@dominiclakson6968
@dominiclakson6968 2 жыл бұрын
Nabalikiw San mtumishi mm niko bagamoyo nabalikiwa na huduma yako mtumishi
@sirizabiblia5276
@sirizabiblia5276 2 жыл бұрын
Tunabarikiwa na uwepo wako hapa pia
@jumberichardkilopa6465
@jumberichardkilopa6465 2 жыл бұрын
Kwa jina la yesu kirisito aliye Ameeeen ubarikiwe mutumishi wa mungu
@selyneemali
@selyneemali Жыл бұрын
Bwana yes u hasifiwe mchungaji mm ni selyne ndoto zanisumbua sana sana sana nisahidie please please please 🙏
@benjaminsalumumichinga4089
@benjaminsalumumichinga4089 2 жыл бұрын
Amen amen mtumishi wa Mungu kwa mafundisho na maombi
@mamiimichael3165
@mamiimichael3165 2 жыл бұрын
Kila pakikucha huwa nakumbuka kuhusiana na neno la Mungu kutoka kwako na neno hili la kuhusiana na ndoto nimebarikiwa sana kwan mara nying huwa napata ndoto zenye maono makubwa sanaaa kias kwamb kuna muda napata hofu kubwa sana juu ya mambo yanayotokea katika ndoto zang ila kwa neno hili hakika Mungu atasimama juu yangu
@Aki10Frankly
@Aki10Frankly Жыл бұрын
Amen
@dainesykalinga7133
@dainesykalinga7133 2 жыл бұрын
Barikiwa mno kwa Mafundisho Mema ya ndoto Mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi KATIKA huduma hii njema kwenye Madhabahu ya Siri za Biblia Amen Amen Amen Amen Amen Amen.
@sirizabiblia5276
@sirizabiblia5276 2 жыл бұрын
amina
@EdisaLaurian-gh1op
@EdisaLaurian-gh1op Жыл бұрын
Asante kwa neno lako mtumishi Mimi naotaga nipo shule nikifanya mtiyani nafeli inamaana gani
@jacymueni1671
@jacymueni1671 Жыл бұрын
Amen Amen Amen
@raelsarange638
@raelsarange638 2 жыл бұрын
I'm ever blessed with your teachings na pia prayers be blessed too mtumishi wa Mungu
@nancyikola8153
@nancyikola8153 2 жыл бұрын
Amen mtumishi wa MUNGU
@bonifasilubuye4560
@bonifasilubuye4560 2 жыл бұрын
Ubalikiwe Sana mtumishi wa mungu na mungu akupe upesi na kazi ya mung pia aijaze kalama aitie nguvu daima mlele mpaka milele,
@dominiclakson6968
@dominiclakson6968 2 жыл бұрын
Amina mtumish
@peterodhiambo6648
@peterodhiambo6648 2 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe mtumishi wa Mungu, Mungu akubariki sana kwamafundisho mazuri nmejifundisha mengi kupitia haya
@sirizabiblia5276
@sirizabiblia5276 2 жыл бұрын
Amen
@adnesadnes8268
@adnesadnes8268 Жыл бұрын
Barkiwa sana Mtumishi wamngu
@adnesadnes8268
@adnesadnes8268 Жыл бұрын
Mm nlikua nikiota nikosuleni nasimaramoja nini
@adnesadnes8268
@adnesadnes8268 Жыл бұрын
Mm kabla szakuja huku Lebanon niliota MTU kama Yesu akiongea nasisi maana nilikua siko pekeyangu namm nikawa nabishana akanipaka matope yamacho alafu akanikata mukono alafu akaniambia nenda nkaadza kumuomba msamaa nisamehe masikuieyewa mala sasa
@zainabnamangaya
@zainabnamangaya 12 күн бұрын
Balikiwa mtumishi
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 2 күн бұрын
Nazitipa ndoto mbaya zilikuwa zimekuja nazitakazo kuja zishindwe kwa jina YESU KRISTO
@racheldar1279
@racheldar1279 2 жыл бұрын
Amina mtumishi Mungu azidi kukutumia
@rhabrhab1797
@rhabrhab1797 Жыл бұрын
Amen amen
@jackiemaggy2484
@jackiemaggy2484 2 жыл бұрын
Ameeeeeeeeeen
@monicahmwalozi
@monicahmwalozi Жыл бұрын
Ndoto niliyoota ndio chanzo cha misukosuko ninayoipitia 😢
@sadikipierremasumbuko3740
@sadikipierremasumbuko3740 4 ай бұрын
Ubarikiwe pasteur
@victoryndugutse296
@victoryndugutse296 Ай бұрын
Amina❤
@siliviahmwakalobo5717
@siliviahmwakalobo5717 5 ай бұрын
Nafuta kila ndoto mbaya ninazo zikumbuka na nisizo zikumbuka na futa kwa damu ya Yesu na kwa jina la la Yesu
@sally2014
@sally2014 2 жыл бұрын
Amen and Amen thank you Jesus Christ. Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu
@الحمدلله-ذ7م7د
@الحمدلله-ذ7م7د 2 жыл бұрын
Ameen ameeen 🙏🙏🙏🙏🙏barikiwa sana mtumishi Wa MUNGU
@JacklineAtieno-wi9yn
@JacklineAtieno-wi9yn 8 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@loycejoshua531
@loycejoshua531 2 жыл бұрын
Mungu akubaliki mutumishi wa mungu nimejifunza sana Amen!
@evalynependo3824
@evalynependo3824 2 жыл бұрын
amen and hallelujah Hallelujah Hallelujah
@jameskapesa9699
@jameskapesa9699 Жыл бұрын
Ee mungu nisaidie naota mengi sana juu kurudi kijijin hapa ukweli upo kwan nilikua na biashara lakni mtaji unaenda kukata na nataman kuliuza duka kwa sasa nibaki hiv hiv
@dorisbosibori8126
@dorisbosibori8126 Жыл бұрын
Yes
@latefalatefa2664
@latefalatefa2664 2 жыл бұрын
Ameen ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu 🙏 🙏
@alistidesalistides1071
@alistidesalistides1071 Жыл бұрын
Asant Sana Mungu akubariki
@mercykoech1487
@mercykoech1487 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi pia
@sarahyusuph3269
@sarahyusuph3269 2 жыл бұрын
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏
@yassintaibrahim24
@yassintaibrahim24 2 жыл бұрын
Ameen 🙏🙏🙏 Mtumishi Wa MUNGU Ubarikiwe Saana
@judithomumasaba5208
@judithomumasaba5208 2 жыл бұрын
Bwana asifiwe Mtumishi wa Mungu ninafwatilia sana mafundisho yako n yana nijenga sana kwa imani mm ni ule nilikuwa napenda sana kuota mauti kila mara n ndoto y kurudi nyuma lakini lipoanza kufuatilia mafundisho yako sioti tena mauti ila tu mnisaidie kukemia ndito za kurudi nyuma
@sirizabiblia5276
@sirizabiblia5276 2 жыл бұрын
tupo pamoja mpendwa,tunakuombea msaada wa Mungu zaidi juu yako
@judithomumasaba5208
@judithomumasaba5208 2 жыл бұрын
@@sirizabiblia5276 nashukuru sana
@samanthaneemmishi2767
@samanthaneemmishi2767 2 жыл бұрын
Mungu azidi kuktia nguvu mtumisha uendele kutufundisha
@sirizabiblia5276
@sirizabiblia5276 2 жыл бұрын
AMEN
@loraumuhire4755
@loraumuhire4755 Жыл бұрын
Asante sana Mungu akubariki
@BettyBellah510
@BettyBellah510 2 жыл бұрын
Ningependa munisaidie na maombi naota vitu vya ajabu.naanguka chooni,naota na babangu na aliaga,namwona mwanamke flani mwenye nguo nyeusi na nikiamka anapotelea alafu nyingine naota na nyoka kwenye kitanda changu
@mathayohongoa1218
@mathayohongoa1218 2 жыл бұрын
Barkiwa Sana mt kz yako inabarki xana
@johnsongoma7778
@johnsongoma7778 2 жыл бұрын
Samahani kaka , mimi niliota ndoto tupo watu wengi Sana tulikuwa sehem yenye jangwa hapan mit wala nyumba,ilishuka minyororo kutoka juu, kwa kila alipokuwa amesimama mtu ile minyororo ukiushika unaanza kupanda juu mbinguni ilikuwa ni minyororo mirefu haikuonkan ilipoanzia,wakati inatuvuta baadhi ya wat walikuw wakianhuka chini
@BMDESIGNZ
@BMDESIGNZ 7 ай бұрын
Naomba unisaidiye tafairi yandoto iyi naotaga Mimi Najiona marapili umojanimnene Sana na mwengine nimwembamba Sana nilikuwa lakini Najiona niilele surayangu iko marapili iyi ndoto inanisumbuwaga sana
@priscashantel421
@priscashantel421 2 жыл бұрын
Amen Amen👏
@prettyh7509
@prettyh7509 2 жыл бұрын
aaamen mtumishi
@reubenlesiae3748
@reubenlesiae3748 2 жыл бұрын
Asanteni sana siri za biblia mumekua mukinijenga sana mungu awabariki sana
@sirizabiblia5276
@sirizabiblia5276 2 жыл бұрын
AMEN
@MutambalaSelemani
@MutambalaSelemani 3 ай бұрын
shukrani sana baba
@rosepeter8996
@rosepeter8996 2 жыл бұрын
AMEN AMEN AMEN🙏🙏🙏asante kwa maombi mr innocent mashauri.barikiwa sana🙏
@sirizabiblia5276
@sirizabiblia5276 2 жыл бұрын
AMEN
@PENDO_JOHN
@PENDO_JOHN Жыл бұрын
Amen👏
@dorisbosibori8126
@dorisbosibori8126 Жыл бұрын
Amen 🙏🙌 thank you
@josephinegravasiano8860
@josephinegravasiano8860 Жыл бұрын
Amina, Asante
@selyneemali
@selyneemali Жыл бұрын
Mm huwa naota Niko shule na mtoto wangu but sio darasani no kusunguka shuleni halafu pia kijijini naota sana mm Niko Saudi Arabia sahi
@selyneemali
@selyneemali Жыл бұрын
Haki please please please 🙏 nisahidie kwanza Sahi ndio nikiota sikumbuki chochote haki Niko niko2 jamani pastor 😢😢😢😢😢
@sophiaesmarcharo9775
@sophiaesmarcharo9775 5 ай бұрын
❤❤❤🌷🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@kawiaalex608
@kawiaalex608 2 жыл бұрын
Ameen
MADHARA YA KUOTA UNAKULA CHAKULA NDOTONI - PASTOR SUNBELLA KYANDO
24:41
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 15 М.
ISHARA KUBWA-MUNGU ANAPOTAKA KUKUBARIKI
13:59
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 24 М.
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 72 МЛН
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 34 МЛН
ZIJUE ISHARA ZA ROHO MTAKATIFU KATIKA NDOTO
20:54
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 876 М.
MAOMBI YA ASUBUHI by Innocent Morris
16:53
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 760 М.
NDOTO HIZI '3' NI HATARI SANA!!
4:07
UKOMBOZI TV
Рет қаралды 380 М.
UNAPOCHOKA,NANI ANAKUBEBA KATIKA MAOMBI?? // MUHIMU SANA
37:41
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 98 М.
OMBA HIVI, NA TATIZO LAKO HALITAJIRUDIA TENA // UWEPONI MWA MUNGU
17:15
OMBEA FAHAMU ZAKO
13:27
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 45 М.
KUPAMBANA NA MASHAMBULIZI YA NDOTO NDOTONI // Yohana 10:10
35:22
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 6 М.
MAOMBI YA KUZUIA HABARI MBAYA MAISHANI MWAKO // FUTA KABISA
16:19
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 15 М.
KIRI MISTARI HII KILA USIKU KABLA YA KULALA by Innocent Morris
4:21
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 49 М.
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: TAMBUA NYAKATI NA DALILI ZA  UMUHIMU WA UHARAKA WA KUFANYA KAZI YA MUNGU.
8:07
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 55 М.
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 72 МЛН