USITOE FUNGU LA KUMI POPOTE PALE // HAKUNA FAIDA

  Рет қаралды 37,678

SIRI ZA BIBLIA

SIRI ZA BIBLIA

Күн бұрын

Kwa maana dunia itajazwa maarifa ya utukufu wa BWANA, kama maji yaifunikavyo bahari.
Habakuki 2:14
Maarifa ya Ki-Mungu
@SIRI ZA BIBLIA
www.sirizabiblia.com
+255 758 708 804
linktr.ee/siri...
Instagram Account
/ siri_za_biblia
SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

Пікірлер: 300
@mariadagobert2406
@mariadagobert2406 9 ай бұрын
Zaka ni ulinzi. Mtu anayetoa zaka maisha yake ni tofauti na asiyetoa.
@estermkoma4246
@estermkoma4246 Ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi somo zuri nazidi kupata maarifa
@marymchina6557
@marymchina6557 9 ай бұрын
Watumishi wafundisheni watu kuhusu kutoa Zaka, watu wengi wanapigwa kwasababu ya kutokutoa zaka, ndio maana kila mtumishi anapofundisha kuhusu kutoa zaka wanainuka watu kupinga, Mungu tusaidie, Zaka ndio Ufunguo wa kila kitu katika maisha yetu.
@user-ye1dt2eb8u
@user-ye1dt2eb8u 9 ай бұрын
Mi nauliza katika neno la Mungu linatuambua, maombi ya mwenye dhambi ni kelele mbele za Bwana, je na sadaka, au zaka ya mwenye dhambi zinakubalika, au pengine mtu hajaokoka, Bado Yuko katika mambo mengi machafu, na uwa yualtoa zaka yake inakubalika machoni mwa Bwana, mniwie Radhi.
@evancekomba3907
@evancekomba3907 9 ай бұрын
Pastor nashukuru sana kwa maharifa haya Mungu azidi kukupa maono na mafunuo zaidi, vilevile nauliza kwa wafanyabiashara zaka unatoa katika jumla ya mauzo uliyouza au katika faida uliyopata kwenye mauzo
@adkajisi4536
@adkajisi4536 9 ай бұрын
@@evancekomba3907 kwenye faida mpendwa
@Prosperkisama
@Prosperkisama 9 ай бұрын
Mie najua zaka ilikuwa kwa Wanaisrael
@trophywilson7211
@trophywilson7211 9 ай бұрын
​@@user-ye1dt2eb8uzaka ya mwenye dhambi ni uchafu tu
@julaynicholaus
@julaynicholaus 9 ай бұрын
Acheni kumtania Mungu ukibipu anakupigia chapu, Mungu ninae kuabudu ulie hai nakuomba ubaliki kila anae kutorea zaka na sadaka❤❤
@OG_The_King
@OG_The_King 8 ай бұрын
Amina 👏
@northkilimanjaro3025
@northkilimanjaro3025 5 ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe hili somo ni zuri na limenibariki na kunifungua sasa kwa mfano mimi ni fundi ujenzi na napatana kazi kwa kiwango fulani lakini hapo kwenye hicho kiwango natakiwa nigawie vibarua nitakaofanya nao kazi mwisho wa kazi nabaki na sehemu yangu ya kutimia na familia yangu je nitoe fungu la kumi kwenye pesa ya kuendeshea kazi au ile ya kwangu ya familia
@MattSusan-ko8is
@MattSusan-ko8is 3 ай бұрын
Yakwako
@MattSusan-ko8is
@MattSusan-ko8is 3 ай бұрын
Kama umepata 20000ya kumi ni 2000
@SARAHMLELWA
@SARAHMLELWA 2 ай бұрын
Kwa mfano umepewa hela sio uliyoitafuta wewe unaweza kutoa zaka au funguo la kumi ikakubariki?
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 2 ай бұрын
Ile iyo baki baada ya kuwalipa vibarua Kama una laki moja 10000 katoe fungu la kumi
@ReyMichael-y1x
@ReyMichael-y1x Ай бұрын
Amen Ameen namshukuru Mungu kukutana na madhabahu hii
@SarangeWilter-k6m
@SarangeWilter-k6m 9 ай бұрын
Mungu nisamehe nimekuibia pakubwa sina moyo wa kutoa naomba unijaze roho na mimi😢😢😢
@RoseKageha-kn1uh
@RoseKageha-kn1uh 9 ай бұрын
Amen mtumish nishukurani kwa Mafundisho mbora umenifanya nimeokoka kwasababu Mafundisho nzuri .Mafundisho yafugolakumi hiyo nilazima Mimi ni mushiriki mungeni kutoka Nairombi .Asante ubarikiwe amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 in Jesus mighty names amen.
@user-ye1dt2eb8u
@user-ye1dt2eb8u 9 ай бұрын
Me too, from nai, napenda hii channel more than
@davidmwaikokoba2974
@davidmwaikokoba2974 9 ай бұрын
Mungu Akubariki mtumishi wa Mungu, Naomba niongeze point hapa zaka tunalipa sio kutoa. Kulipa ni Amri Kutoa ni hiari. Wewe usielipa zaka unajichelewesha funguka acha kushindana na Neno.
@lucymwaseba281
@lucymwaseba281 9 ай бұрын
Amina mtumishi nisomo muhimu sana songa mbele watu wengi hawapandi kutoa wanapenda kuambia pokea Mimi nimemuona mungu kupitia zaka .
@user-ye1dt2eb8u
@user-ye1dt2eb8u 9 ай бұрын
Niambie Siri mpenzi, from kenya
@OG_The_King
@OG_The_King 8 ай бұрын
Amina 👏
@vivianvianney3256
@vivianvianney3256 9 ай бұрын
Naomba baba uniombee nipate KAZI nami no toe sadaka kama wengine😢
@mkundeferuzi8186
@mkundeferuzi8186 9 ай бұрын
Mungu akuonekanie sawa sawa na mapenzi yake ukarudi na ushuhuda ktk jina la Yesu AMEN
@marymchina6557
@marymchina6557 9 ай бұрын
Nimefunguliwa na vifungo vingi kupitia madhabahu hii, Axante YESU kwa neema hii ya kuijua madhabahu hii Amen
@WahindikwembeAloyce
@WahindikwembeAloyce 9 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi kwa mafundisho ya madhabahuni, nilikua sikui kama Zaka na Fungu la kumi ni kitu kimoja nilikua najua ni sadaka mbili tofauti.
@jacklinegatwiri635
@jacklinegatwiri635 9 ай бұрын
MARKO 1: 1- 44 : akamwambia, Angalia, usimwambie mtu neno lolote, ila enenda zako ukajiongeshe kwa kuhani, ukatoe alivyoamuru Musa kwa kutakasika kwako, iwe ushuhuda kwai.🙏🙏🙏
@KeruboIrene1333
@KeruboIrene1333 9 ай бұрын
Yaani nimesaidika kiwango kikubwa chenye siwezi nikaelezea Asante MUNGU kwa kunijibu mambo na maswali nimekuwa nikijiuliza na kutaka kujua🙏🙏🙏 🙏🙏🙏
@gakniv9020
@gakniv9020 9 ай бұрын
Amen 🙇‍♀️🙇‍♀️🙇‍♀️🙇‍♀️🙇‍♀️🙏
@Judith-mw4ys
@Judith-mw4ys 5 ай бұрын
Umekuwa wa baraka kwangu 🙏nimekuelewa thank you so much the man of God 🙏
@user-fh5kq7fn3e
@user-fh5kq7fn3e 9 ай бұрын
Eee Mungu nisaidie niwe mwaminifu
@evelynekomba7216
@evelynekomba7216 9 ай бұрын
Ukiijua kweli, na kweli itakuweka huru, utaweza tu
@NannyNanny-fo9yh
@NannyNanny-fo9yh Ай бұрын
Amen nabarikiwa sana,endeleza pliz
@Neemaa098-yf9os
@Neemaa098-yf9os Ай бұрын
Mimi nakushukuru mutumishi
@kingsleymwatati5350
@kingsleymwatati5350 9 ай бұрын
Bwana yesu asfiwe, Naitaji maombi ninasumbuka na madhabau ya kifamilia
@malijawille452
@malijawille452 9 ай бұрын
Karibu kanisani jumapili by mchungaji I E c
@TusekileNgosi-hh3ed
@TusekileNgosi-hh3ed 9 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi asante kwa somo zuri, swali langu je nikimpatia hiyo zaka mchungaji wangu nitakuwa nimekosea?
@marcomtenga5395
@marcomtenga5395 9 ай бұрын
Kuna mahali tunateleza na tunakosea kama wanadamu na kujikuta hatutoi kabisa zaka, je napaswa kulipia kuanzia ambapo sijatoa au napaswa kuanzia nilipoguswa natamani nilijue Hilo kibiblia na swali la pili kwa wafanyabiashara wanalipa wafanyakazi kutokana na faida wanazopata kweny biashara zao je wanapaswa kulipia zaka pamoja na kile wanacholipa wafanyakazi wao au kile kinachobaki baada to ya kulipia wafanyakazi wao?
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 9 ай бұрын
Asante kwa somo nzuri kuhusu zaka pia leta kuhusu mapambo
@sarangwaru6416
@sarangwaru6416 9 ай бұрын
Somo nzuri sana .nimejifunza kitu leo. Kutoa kwenye madhabahu inayokukuza kiroho. Na sio madhabahu yoyote
@LoFi_120
@LoFi_120 9 ай бұрын
Zaka ni moja ya kumi ya unachokipata, kwa kujibu swali lako; assume hio elfu 25 yako umeisha itolea zaka alafu umeiwekeza ukapata 150,000, ukitoa mtaji Elf 25 utabaki na faida ya 125,000, moja ya kumi vya ya faida yako ni 12,500 na ZAKA. ikumbukwe tunatoa tunacho pata, ukipata mtaji utolee zaka kabla ya kuwekeza ukifanya hivyo hauto pata tabu kujua ZAKA ni ipi. I hope nimeiweka clear. Amani ya Bwana wetu Yesu iwe na wewe amina.
@magrethmkemwa9287
@magrethmkemwa9287 9 ай бұрын
Ooh,Mungu anirehemu kwakutoa iliyokatwakatwa,Najua Mungu utanifungulia Milango,Nikupe nini Maana hata pumzi yangu ni yako😭😭😭😭😭😭😭
@vivianvianney3256
@vivianvianney3256 9 ай бұрын
Amina kweli nilikuwa nasaidia wasio jiweza au naipeleka kwenye ujenzi wa madhabahu ya Mungu
@MarcelBlessing-ef7rz
@MarcelBlessing-ef7rz 6 ай бұрын
Shukrani papa mtumishi kwa kunifunguwa tena , ila nikiwa na kaz kwa kwli Ndakuwa namtolea Mungu wng kwa kwli inaniumaka kwa kuona wengine wanatowa Mimi tu njo siko mtowaji wa zaka kwa anae nifadha niishi na furaha mble zake .
@FeiPina
@FeiPina 5 ай бұрын
Ee mungu wa Mbinguni naomba unijaalie moyo wa ibada ..moyo wa kutoa sadaka na zaka na zaidi sana moyo wa kutoa kuliko kupokea
@jifunzetv7790
@jifunzetv7790 9 ай бұрын
Asante Mungu kwa kunipa kibali cha kuwepo madhabahuni pako.🙏🙏🙏
@JacksonFrances
@JacksonFrances 3 ай бұрын
Hii Madhabau ipo Sehemu Gani ?"
@LucasEzekiel-fw5yz
@LucasEzekiel-fw5yz 5 ай бұрын
Dhaka si kwa ajili ya kanisa,,wachungaji acheni kudanganya watu wa mungu,,Dhaka ni kwa ajili ya washika torati,,msichanganye ,Sheria za agano la kale na jipya
@espoirbatumike2518
@espoirbatumike2518 9 ай бұрын
Nashukuru kwa mafundisho haya, kweli naguswa, Mungu anisamehe kwa kumuibiya moja ya kumi, Mungu anijaliye niwe mwaminifu
@nurubernard6731
@nurubernard6731 9 ай бұрын
Nasema asnte sn kwa kuniungamanisha na hii mathabau.baba asnte
@JacksonFrances
@JacksonFrances 3 ай бұрын
Hii madhabahu ipo sehem gani Hapa Dar ?"
@williamntungilahe5598
@williamntungilahe5598 9 ай бұрын
Nimelindwa kazini kwasababu ya kutoa zaka.Ni SoMo mhimu sana
@florencendatila9183
@florencendatila9183 8 ай бұрын
Mungu nisamee sana mm na nina mifano mingi nimetoa nimeishimishwa sana na Mungu nabado namuibia eeh Mungu ni rehemu mm na nisaidie niwe mtoaji
@truphenakhagori9387
@truphenakhagori9387 2 ай бұрын
Amen Amen Amen 🙏
@LuandaBushashire
@LuandaBushashire 3 ай бұрын
Mungu wetu asifiwe sana unani saidiya mutumishi wa mungu
@LailaMwinyi
@LailaMwinyi 9 ай бұрын
Ameen 🙏mungu akubariki sana baada ya kutoa zaka nimekitu cha tofauti sana mungu akubariki mtumishi❤
@user-rr4qf4eb7c
@user-rr4qf4eb7c 8 ай бұрын
Ameeen mtumishi wa mungu umenibaliki sana na umenifunza vitu vingi akika Mungu akutie nguvu
@giftgabriel-ol2wp
@giftgabriel-ol2wp 8 ай бұрын
Baba naomba Sana maombi.mimi napokea matokeokwenye madhabau yasiri za bibilia,nilitoa Dhaka sehemu matokeoyake nikashukakiuduma,kiafya nakiuchumi minatamka tangu Leo Mimi nimerudi madhabauni.kweli unachosema nisahii
@Christina-dz7ff
@Christina-dz7ff 2 ай бұрын
Aminaa, mungu akubariki mtumishi wa mungu aki nmebarikawa 🙏🙏
@EmanwelinaAlistides
@EmanwelinaAlistides 9 ай бұрын
Amen ee Mungu baba nisaidie nitoe zaka
@MwajumaSwedi-pe5wz
@MwajumaSwedi-pe5wz 9 ай бұрын
Ameeeeen mungu aniwezeshe kutoa fungo lakumi
@JustinaKambimbi
@JustinaKambimbi 9 ай бұрын
Niko Zambia 🇿🇲 nilikuwa na musiba aksante mutumishi wa bwana yesu amene
@user-kn2cn9ie4l
@user-kn2cn9ie4l 9 ай бұрын
Sorry Mungu 😢wangu nilikuwa na gawa fungu la kumi mara mbili,sikuwa najua
@florencendatila9183
@florencendatila9183 8 ай бұрын
Mungu nina tubu mm nisamee nimetoa mara nyinyi nimebarikiwa vingi ila bado nakuibia Mungu nisaidie mm
@AzizaFuraha-mg8hz
@AzizaFuraha-mg8hz 9 ай бұрын
Asante mtumishi wa bwana kwa Mana na Mimi Nina shiriki mazabau 2 Ivi saa naelewa wapi napaswa kupeleka zaka yangu. Amen ubarikie sana kwa mafundisho
@HusnaSharifu
@HusnaSharifu 3 ай бұрын
Aaamina mtumishi ❤ barikiwa tunapona Sana🇴🇲
@amimurajabu1327
@amimurajabu1327 9 ай бұрын
Mtumishi mimi nina swali kinyume na Mada. Mimi niliitwa na Mungu mchana saa sita nikiwa nadarasisha shuleni (shule la msingi hapo kambini Nyarugusu inchini Tanzania; nilikuwa Muisilam mtoa Adhana msikitini, siku ilipofika nikajikuta nimekuwa mikononi mwa Mchungaji wakanisa kutoka darasani hadi kupelekwa kanisani bila mimi kujuwa! Kwa leo nipo Marekani nikiendelea na kumtumikia Mungu, kinacho nishangaza Mtumishi, napigwa vita vikali sana na Wachungaji kunikatalia eti nisiwe naenda kuhubiri sehemu nyingine tofauti hapa kanisani kwao, Mimi ni Mwinjilisti si Mchungaji mimi nawaeleza bayana na nikaamuwa niheshimu Neno kuliko mtu, nikaendelea nasafari ya kuhubiri popote ila dharahu zilizidi nikaamua kuachana na kanisa hilo. Sasa nauliza mtu akiwa Mchungaji ana haki yakumkatalia Mwinjilisti kutowa Neno kwenye kanisa lingine?
@pastormathiasbuganga5115
@pastormathiasbuganga5115 9 ай бұрын
Enendeni ulimwenguni kote
@shukurusyriack3504
@shukurusyriack3504 9 ай бұрын
Mungu akutie nguvu sana uendelee kueneza injili yakwelii,nimejikuta nalia kwaajili yako mpendwa unapitia hali ya upingamizi kwaajili ya injili.endelea mbele usirud nyuma
@CedricAluma-ww4qt
@CedricAluma-ww4qt 9 ай бұрын
Na wengine ambao tuko kwa madhabahu ya wafuasi wengi na tukituma zaka mtumishi haezi jibu message zote ni hatia
@Peterolengo
@Peterolengo 9 ай бұрын
Amen💞💞 Mwenyezi Mungu akubaliki mtumishi wa Mungu kwamafundisho yako
@mareh18
@mareh18 9 ай бұрын
Kweli kabisa 😢, mimi nilikuwa natoa nikaona hakuna usaidizi yeyote, ikabidi niache,
@malijawille452
@malijawille452 9 ай бұрын
Barikiwa kwa sababu umejua
@revocharl1729
@revocharl1729 9 ай бұрын
Barikiwa mtu wa MUNGU,, Anaye pinga asikukatishe tamaa Baba
@revocharl1729
@revocharl1729 9 ай бұрын
Nisipotoa ZAKA napata tabu kweli Napata mapito ,,, kwaharaka mnoo haichukui muda kiboko kina nipata
@GraceLukindo
@GraceLukindo 9 ай бұрын
Asante. Kwa somo nziri mtumishi. Ukisoma malaki biblia inasema tutoe zaka. Nyumbani mwa mungu. Je mbona watumishi inasimamia kuwa niyawachungaji je nyumbani mwa mungu nikwa watumishi. Au ni kwenye nyumba yake au kanisa kwa ujumla kutoa ni sawa lakini je inalenga kwa watumishi tu na je kama mungu alitaka ile nge watumishi hapa malaki si angeeleza naomba ufafanuzi inalenga kutumika maeneo gani ktk nyumba ya mungu
@evelynekomba7216
@evelynekomba7216 9 ай бұрын
Mtumishi mi niliwahi kufundishwa, ukipata zaka kabla hujaitoa inabidi umuulize Mungu kwanza, akuelekeze au akuonyeshe wapi unapaswa kutoa zaka
@SamsonHezron-cx8nt
@SamsonHezron-cx8nt 9 ай бұрын
Neno litasiamam vitu vyoote vitapita lakin neno litasiamam
@nurubernard6731
@nurubernard6731 9 ай бұрын
Pole sana pastar naona leo sauti yako haipo sawa nakuskiliza kwa umakini sn hd nilijua umetuletea pastar mwengine kumbe ni ww pole sana kwa uwezo wa Mungu utakaa sawa
@user-dt7hp1mm1f
@user-dt7hp1mm1f 5 ай бұрын
Shalom mungu awabariki mume nisaidiya sana kiroho, mubarikiwe sana
@Lizzyktd
@Lizzyktd 2 ай бұрын
Amen
@CatherineLiduke
@CatherineLiduke 2 ай бұрын
Amen 🙏🙏
@senyaelzephania2967
@senyaelzephania2967 9 ай бұрын
Mtumishi ubarikiwe KWA fundisho zuri lenye faida zaajabu maishani mwetu.
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 2 ай бұрын
❤❤Mungu akubariki mtumishi
@kabalizasekanabomarko6063
@kabalizasekanabomarko6063 9 ай бұрын
Omba usaidizi hapa. Je ni heri kutowa zakq tu ya hela?? Ao na weza nikanunuq kitu cha zile zile hela kama camera ao mikrofon nakutumana kwenye ile ile kanisa. Je iyo nayo inaesabiliwa kama zaka?
@adkajisi4536
@adkajisi4536 9 ай бұрын
Sio lazima pesa
@gladysnjeri282
@gladysnjeri282 9 ай бұрын
Ameeeeeen
@alphoncealmack9240
@alphoncealmack9240 9 ай бұрын
Big up barikiwa kamanda wa YESU endelea kuwalisha watu chakula kisichoghoshiwa, maana kuna watumishi wengine sshv, wanalisha watu matango pori kuwapotosha sn kuhusu eneo la zaka na watu wengi wanaosapoti hiyo wengi wao wana moyo wa ubaili wa hali ya juu kwahiyo kwao mafundisha hayo yanawapa ahuen😂. MUNGU atusaidie sn tusimuibie hela yake tukajifungia milango ya baraka
@FaradjaNaomi
@FaradjaNaomi 3 ай бұрын
Asante sana nilikuwa sija elewa mahali pakutoleya zaka ubarikiwe
@kihilamasuke6976
@kihilamasuke6976 9 ай бұрын
Mimi mara nyingi nimekuwa nila Kwa mtandao Kwa wachungaji wengi Kwa mfano pastor George mkabwa nami sijawahi fika kanisani kwake
@kihilamasuke6976
@kihilamasuke6976 9 ай бұрын
Hapo nitolee wapi
@marynyanje3904
@marynyanje3904 9 ай бұрын
Amen jana nilisikiliza nkaishiwa nadata lkn hiv asubuhi nmesikiliza hili neno mutumishi limenigusa sana limenitoa mahali likanieka mahali pengine nmefurahi sana kupata huu ufahamu zaidi Amen kwazaka nmeelewa sana mutumishi Amen mungu akubariki kwahiki chakula chakiroho kwakweli mungu yupo
@jesca.mkony2015
@jesca.mkony2015 7 ай бұрын
AMEN
@SuzanaOlonde
@SuzanaOlonde 9 ай бұрын
Sadaka na zaka zinatolewa sawa au inakuwaje
@user-hf7vg1rs4f
@user-hf7vg1rs4f 9 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu 🙌
@EZRA-b1c
@EZRA-b1c 9 ай бұрын
AMEN AMEN AMEN
@catherinemalikita12
@catherinemalikita12 9 ай бұрын
Neno la mungu litashinda siku zote❤
@SekelaNelsonMwasomola-fe1yx
@SekelaNelsonMwasomola-fe1yx 9 ай бұрын
Mimi paster huwa namtumia mwangu anatuma kwako ila namini unapotamkia wengine nami nabarikiwa niko nnje ya nchi yetu barikiwa
@trophywilson7211
@trophywilson7211 9 ай бұрын
Toa unakosali
@doreentendwa5981
@doreentendwa5981 9 ай бұрын
Amen! Nimejifunza kitu.ubarikiwe mtumishi
@jesca.mkony2015
@jesca.mkony2015 7 ай бұрын
Asante mtumishi nabarikiwa sana na mafunzo yako.
@auleliamngongo2509
@auleliamngongo2509 9 ай бұрын
Nisamehe Mungu kwa kutokutoa zaka kamili nifanye nikutolee kikamilifu Sasa Amina
@alicemwaka3762
@alicemwaka3762 9 ай бұрын
Nashukuru Mungu nimepata kuelewa
@godlovemalekela8575
@godlovemalekela8575 9 ай бұрын
KAMWE Mwanadamu hawezi kutoa fungu la kumi Kwa UAMINIFU ndio maana YESU KRISTO alikufa ili kuiondoa Nguvu ya Torati ya MUSA Ndio maana fungu la kumi sio kigezo cha kwenda mbinguni utoe usitoe Mungu anatazama Utakatifu sio fungu la kumi AGANO JIPYA hakuna cha fungu la kumi YESU alitoa wapi fungu la kumi haya wapi basi amesema tutoe fungu la kumi???? AGANO JIPYA hatutoi Kwa sheria Bali Kwa vile Moyo unamtuma na zaka ni SHERIA mbna mnataka tuishi kama vile YESU hajatukomboa 2 Wakorintho 9:7 [7]Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni, wala SI KWA LAZIMA; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu. Asa kwanini mtuambie fungu la kumi ni lazima,Eleweni vizuri kazi ya YESU KRISTO pale MSALABANI Alisema Torati IMEKWISHA 😭😭😭😭 Tumekumbwa na Giza kubwa sana la kutokujua MUNGU,na hatutamjua KWASABABU tunataka kujifanya tunajua kumbe SIO, AGANO JIPYA AGANO JIPYA AGANO JIPYA ROHO MTAKATIFU UTUFUNULIE SIRI ZAKO
@JeremiahLoserian
@JeremiahLoserian 2 ай бұрын
Mtumishi was mungu ubarikiwe xana
@josemangula8806
@josemangula8806 6 ай бұрын
Ubarikiwe sana sana mtumishi
@NemesiYustina-ye2vs
@NemesiYustina-ye2vs 9 ай бұрын
Ee Mungu naomba unifundishe yaliyo mapenzi yako
@sulemaan8798
@sulemaan8798 9 ай бұрын
Ahsante. Sana. MTUMISHI. wa MUNGU. UBarikiwe
@user-dt7hp1mm1f
@user-dt7hp1mm1f 5 ай бұрын
Mungu anisamehe
@Christina-dz7ff
@Christina-dz7ff 2 ай бұрын
Ameeen🙏🙏🙏
@nurubernard6731
@nurubernard6731 9 ай бұрын
Asnte Mungu kwa kunibariki ktk kazi yangu asante sn baba
@user-uu5fi2zz7h
@user-uu5fi2zz7h 9 ай бұрын
Asante mchungaji kwa kuzidi kutufundisha mungu azidi kukubariki
@chriskgs0130
@chriskgs0130 9 ай бұрын
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏
@Dhore-jb5pb
@Dhore-jb5pb 9 ай бұрын
Asante kwa mafundisho mazuri Mungu akubaliki nami nimejifunza kitu hapo 🙏🙌🙌
@fredymbilinyi6323
@fredymbilinyi6323 5 ай бұрын
Ubarikiwe mchungaji
@florencendatila9183
@florencendatila9183 8 ай бұрын
Its True tutoeni watu wa Mungu
@nicki1885
@nicki1885 9 ай бұрын
Amen Amen , Asante kwa fundisho hili mtumishi wa Mungu 🙏
@malijawille452
@malijawille452 9 ай бұрын
Barikiwa endelea kabisa zaidi Mungu alicho kupa mpendwa
@jacklinegatwiri635
@jacklinegatwiri635 9 ай бұрын
Amen mtumishi wa Mungu Asante kwa mafudisho umeninuwa sana nashukulu Mungu zaidi
@user-zr3tn1ns1e
@user-zr3tn1ns1e 6 ай бұрын
Amen. Mtumishi ni kwa faida yangu
@DominicaNdomba
@DominicaNdomba 2 ай бұрын
Mimi nimetuma hapo kidogo bado hujanipa jibu Kama umepata
@eliamtinda7222
@eliamtinda7222 9 ай бұрын
Asante kwa somo Zuri! Niko na Maswali kadhaa,naomba majibu! 1: Tunasoma KATIKA agano jipya Yesu hajawahi kutoa zaka au kupokea zaka,Mitume akina Petro na wengine hawajawahi kutoa au kupokea zaka,Je hao walikuwa wrong!? 2: Kuna aina tatu za zaka zilitolewa KATIKA agano la kale,Je sisi Agano jipya tunatakiwa kutoa zaka ya aina ipi!? 3:Kwa fundisho la Leo zaka inatakiwa kutolewa mahali MTU analishwa kiroho,Je Agizo la Mungu kuwapa zaka Wajane,Yatima hilo tuache!?
@user-ye1dt2eb8u
@user-ye1dt2eb8u 9 ай бұрын
Toa zaka madhabahuni, na pia utajua vile utasaidie wenye uhitaji, likini sio Kwa zaka
@jeshilayesu1858
@jeshilayesu1858 9 ай бұрын
kwan vigezo vya mjane anastahili kupewa zaka au yatima ni wanamna gan?
@Prosperkisama
@Prosperkisama 9 ай бұрын
Zaka ilikuwa kwa Wanaisrael Sasa inatakiwa sadaka maana maandiko yanasema kuwa kwa kubadilika kwa mfumo wa kikuhani na sheria zilibadilika, kwa hiyo agano JIPYA ni sadaka hata kuwajali wajane na yatima ni sadaka pia. NA KAMA UMEMSIKIA AMESEMA MAMA WA SERAPTA NA NABII ELIYA SASA ALIPOMPA CHAKULA ILE NI SADAKA SIO ZAKA AMEDANGANYA. TOA TUU SADAKA YA KUKUUMA NDIO SAHIHI, SASA KAMA ZAKA NI HADI WATOTO FUNGU LA KUMI WAO WANAKAZI IPI YA KIPATO?
@trophywilson7211
@trophywilson7211 9 ай бұрын
​@@jeshilayesu1858hapewi zaka anasaidiwa sadaka tu zaka ni kwa Mungu tuu kama asante ya vitu ulivyopewa na Mungu
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 9 ай бұрын
Soma Acts5:1-7,watu walitakiwa kuleta thamani zilizotokana na mauzo yao.ndo kilimua Anania na mkewe Safira.
@ElizabethSalama-pg1bq
@ElizabethSalama-pg1bq 9 ай бұрын
Amen,Mungu akubariki sana Mchungaji kwa fundisho hili zito la kubariki lakini linapingwa na wengi
@JOSPHATODERO-up1pk
@JOSPHATODERO-up1pk 9 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa mungu Kwa kutuongoza Kwa neno
@fatumaminyeko1875
@fatumaminyeko1875 9 ай бұрын
Amen Amen
@aminabeatrice7521
@aminabeatrice7521 9 ай бұрын
Ameeen Ameeen nimejivinza kitu asntee mtumishi wa mungu
@eliasilwimba187
@eliasilwimba187 2 ай бұрын
Nimependa hapo ulipo sema somo lolote unapo lileta madhabahuni ni matokeo ya kile umekifanyia kazi.
@veronicahnjoroge3463
@veronicahnjoroge3463 9 ай бұрын
Asanti yesu kwa siku ingine unilinde siku ya leo in Jesus mighty name AMEN 🙏
FAIDA ZA IMANI UNAYOITUMIA KATIKA KUTOA SADAKA
1:00:32
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 148 М.
SADAKA(FUNGU LA KUMI) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
50:40
Reality of Christ Church
Рет қаралды 32 М.
Minecraft Creeper Family is back! #minecraft #funny #memes
00:26
OMBA HIVI, NA TATIZO LAKO HALITAJIRUDIA TENA // UWEPONI MWA MUNGU
17:15
FUNGULAKUMI LIMEPITWA NA WAKATI ?
40:21
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 32 М.
UNAPOCHOKA,NANI ANAKUBEBA KATIKA MAOMBI?? // MUHIMU SANA
37:41
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 95 М.
LIVE:  TAHADHARI NA ANGALIZO KWA MZINZI
1:06:01
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 3,1 М.
PART1:UNAWEZA KUWA MASIKINI KWA KUTOA FUNGU LA KUMI KISHERIA
39:19
Davistar Media
Рет қаралды 7 М.
JIFUNZE KUOMBEA NDOTO UNAZOZIOTA KILA SIKU // DAY 7
35:50
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 25 М.
MAMBO MANNE YA KUFANYA KILA ASUBUHI UAMKAPO Sehemu ya Kwanza - Innocent Morris
42:19
MAOMBI YA KUTOKA KWENYE NYAKATI NGUMU
40:20
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 27 М.
MAOMBI YA VITA YA MKOMBOZI WA FAMILIA // MBINU ZA KUPAMBANA
27:35
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 27 М.
ZAKA (fungu la kumi) HATUTOI ILI TUBARIKIWE
1:31:36
WAPO TV ONLINE
Рет қаралды 15 М.