"MBONA UNATULETEA USHAMBA MJINI | UNASHANGAA MASHEIKH KUMILIKI BASTOLA "SHEIKH ALHAD MUSSA SALUM.

  Рет қаралды 2,153

ZVP ONLINE TV

ZVP ONLINE TV

2 ай бұрын

#ShkAlhadMussa #ZvpOnlineTv #DarEsSalaam

Пікірлер: 30
@MwanaidiJuma-hw8tb
@MwanaidiJuma-hw8tb Ай бұрын
Anapenda sana maneno maneno hebu muache walid wetu
@shabanikitogo6613
@shabanikitogo6613 2 ай бұрын
Wewe ndio mshamba sana tena sana unaukana uislamu kwa ajili ya njaa zako ndio maana ukasema kwa jina la yesu njaa wewe tena mshamba.
@faridubakana6733
@faridubakana6733 2 ай бұрын
Alhadi unakuwaga na kiburi saana wewe...tuachie Walidi wetu ...Shekhe unakosaje darsa kazi kupiga madili tu ..mna nini mpaka mchukue mabodgard ??
@user-bg2zq8lv3d
@user-bg2zq8lv3d Ай бұрын
Innalillah wainailayh rajioun.....mjinga mpe cheo
@emmynoby9806
@emmynoby9806 2 ай бұрын
Sasa we alhadi NI mtoto WA mjini kuliko walidi unamjua vizur walidi alipozaliwa na kkulia na mpka Leo Acha kuleta tabia za kijhili Kweny dini mambo Yakina mwampomsa unatultea sisi
@athumannyungundileki9799
@athumannyungundileki9799 2 ай бұрын
Huyu sindio aliokua inasemekana sio mwislam au Kuna shehe gani mwingine wa mkoa wa dar es salaam aliekua inasemekana sio mwislam
@Gamba177
@Gamba177 2 ай бұрын
Acha Hasira Shehe ongea kitu cha maana acha bangi hizo.
@Gamba177
@Gamba177 2 ай бұрын
Hasira hizo za kukosa cheo
@emmynoby9806
@emmynoby9806 2 ай бұрын
Mjini mjini ndo nni inamaaan walioko kijijini sio watu be humble (huo NI ujinga WA lugha)
@user-kv1yq8cd6h
@user-kv1yq8cd6h Ай бұрын
Kwani alitajwa Mtu pale kwenye hutuba ya shekhe Walid jamaniiii
@HijaSaid-xd7fg
@HijaSaid-xd7fg 2 ай бұрын
TUWE MAKINI NA MASHEIKH WA BIDAA
@khamisomary7428
@khamisomary7428 2 ай бұрын
Tuwe makini pia na nyie mbwa wenye kujitakasa😂😂😂
@Ambeniwatano
@Ambeniwatano 2 ай бұрын
Najiswalia nyumbani na siku Moja Moja nakwenda msikiti sio napenda naepusha maumivu ya moyo wangu nisije nikashindwa kuvumilia ikaja kuwa shida
@yussufrajab9346
@yussufrajab9346 2 ай бұрын
Masheikh mbona dunia inaanza kuwazonga tena???! Mwenye kuamini Allah na kuamini aakhera, bc aseme maneno mazuri au anyamaze kimyaa! Mnaanza kukosa hikma jamani..
@hassanabdalla253
@hassanabdalla253 2 ай бұрын
Mabanati wanaswahibu
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 2 ай бұрын
Huyu sheikh Alhad Musa Salum anaonekana ni mtu mwenye hasad, roho inamuuma hadi Leo kuondolewa kwenye usheikh wa mkoa.Tena ni mtu asiye na adabu aliyevaa kiburi, anawezaje kumtusi sheikh wa mkoa sheikh Walid na kumuita mshamba hajitambui.
@khamisomary7428
@khamisomary7428 2 ай бұрын
Sasa hio hasad hapo imekujaje naww mshamba 😮😂 shee anaongea mengine ww unaongelea mengine 😂 bangi ama nn
@SolomomAdams-pf5zy
@SolomomAdams-pf5zy Ай бұрын
Upo sawaa
@zubeiramlanzi2480
@zubeiramlanzi2480 2 ай бұрын
Acha ugaidi
@mdimistudio6041
@mdimistudio6041 2 ай бұрын
Huyu pimbi ningekuwa karibu anakula kofi
@SeremanGogo-ey5gb
@SeremanGogo-ey5gb Ай бұрын
Wewe shee mbona mapepe una mpa mtu ushamba halafu hujatajwa jina ww ndosonitambua kwan kujibu ulikua la zima ujibu shee wewetu mkoa mzima huu wadaa walid jitu kubwa una pasua kichwaa ee alipewa kapewa shee acha mihemko
@SeremanGogo-ey5gb
@SeremanGogo-ey5gb Ай бұрын
Ww ulifaa uwe wasafi na kina juma lokole mana una penda sana michambo kwan kulitajwa jina lako pale yan una mpa mtu ushamba sasa ww na yeye mshamba nan apo una jizalisha tulia ww kingozi kua na busala toa hoja zenye manaa uleweke walid tushamuliwa mkoa mzima sasa sijui utabadisha nn had tuchukie
@kibwanasuleiman263
@kibwanasuleiman263 2 ай бұрын
Mtu kazaliwa magomeni anakuwaje mshamba?
@SolomomAdams-pf5zy
@SolomomAdams-pf5zy Ай бұрын
Unavimeo kibao bunduki ya nini
@SolomomAdams-pf5zy
@SolomomAdams-pf5zy Ай бұрын
Walid sio mshamba uwe na nidhamu bwana wewe huwa na kukubali but unajiamini halafu unatembea na bunduki ukisali na bunduki ikifuatuka je
@muhsinmakenda-ey2ow
@muhsinmakenda-ey2ow 2 ай бұрын
Sijawahi kumelewa huyu binadamu
@SeremanGogo-ey5gb
@SeremanGogo-ey5gb Ай бұрын
Ww kama.mm ususan huyu hasitahili ungozi mana ana penda sana michambo
@salehislem671
@salehislem671 2 ай бұрын
Sheikh khanithi huyu
@lusamhamanish5486
@lusamhamanish5486 Ай бұрын
Mbn huna kaul nzuri ww ungeitwa hivo unge ridhika
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 110 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 58 МЛН
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
00:16
Mini Katana
Рет қаралды 18 МЛН
SHK.OTHMAN ASIMULIA ALIVYOTUKANWA NA KIJANA BARABARANI MATUSI MAKUBWAMAKUBWA
11:39
KIBARAKA WA DR SULE APELEKWA SHULE //Ust SHAFI
19:27
arkas online tv
Рет қаралды 9 М.
HISTORIA YA SHEIKH MSLEM HADI KUINGIA GEREZANI
31:38
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 86 М.
MAJINI WA DK SULE SIO WEMA USIMTETE || MAJIBU KWA BABA KIR'WASHA || Muhammad Bachu.
1:04:29
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 110 МЛН