nakukubali sana mbosso, kama tupo pamoja achia like tusonge mbele
@issasonco28095 жыл бұрын
Ebhana nakukubali sana presenter sister...U represent gud like Salama Jabir...huko humble sana hauna uwoga upo moja kwa moja ndan ya line ...Respect much very sister.
@sakinaomar3015 жыл бұрын
Mbosso Khan 'Ahsante kwa kuinspire vijina wengi Mshedede we love u 🔥🔥 🔥
@morrismwakoyo20565 жыл бұрын
Aaliyah, you remind me of Salama J......you are very comfortable and relaxed in your interviews 🔥🔥🔥
@jamesmbegeze41225 жыл бұрын
kweli
@obadiagelad11345 жыл бұрын
Morris Mwakoyo
@samsonmusa76265 жыл бұрын
Kwel copy ya salama jabir
@nasonilemabi64315 жыл бұрын
Nassna
@johnohando23905 жыл бұрын
One of the biggest Bongo talent,you can feel he's vocals even when he speaks
@hasnaabduly49455 жыл бұрын
yani nampenda mbosso jamni
@mohamedmkumba21315 жыл бұрын
👍👍👍
@youngramajrtz22155 жыл бұрын
Msanii wa kipekee bongo 🙌🙌🙏🙏👏👏💪💪💪
@ompeshmaya46915 жыл бұрын
Young rama jr tz k
@ompeshmaya46915 жыл бұрын
kwek
@sarahmeshack50303 жыл бұрын
Mboso unawez San nimependa Kama umekumbuk wan mboso unawez
@pp11535 жыл бұрын
Mungu akujalie kk unamawazo mazur san na ekim
@eliswedy32365 жыл бұрын
Huyu dada mzuri sana aise kama wakubaliana na mimi achia like twende pamoja
@bakariurassa46685 жыл бұрын
Eli Swedy kwer kabisa
@husseinmunga95915 жыл бұрын
Anajichubua anakaa kama ngochiro🤣🤣
@mohdfamau74865 жыл бұрын
Betrayal
@melickmnyiheri12935 жыл бұрын
Eli Swedy nice
@mudymtenga71084 жыл бұрын
u
@abdulukwachu44475 жыл бұрын
HUYU NDIO MSANII WANGU TU KUTOKA UKO ANA HESHIMA ZOTE ALLAH AMTUNZE #MBOSSO KANI TEMEKE BOY
@rajabusaid50065 жыл бұрын
namkubali sana yani bosoo
@SSs-tb9yo4 жыл бұрын
Abdul Twaha Aamin Inshaallah yaarab
@lidakasabila26545 жыл бұрын
mboso ni mtu mzur na nampenda sana na napenda hata nyimbo zake nice bro❤❤❤❤❤❤❤❤💖💖💖💖💖💖💖💖
@sifagoddess48555 жыл бұрын
Kama unamkubali mbosso gonga like apa mimi kama muanzishaji wama komment all the way from Sweden 🇸🇪
@happymwakajila4995 жыл бұрын
@@farajijuma9204 haahhahahahaha
@sifagoddess48555 жыл бұрын
@@farajijuma9204 mbwa
@mpapakatani52645 жыл бұрын
Sifa Chawezi 0765273892 nichek
@sifagoddess48555 жыл бұрын
@@mpapakatani5264 👀👀👀
@abedyzzydebroonze8665 жыл бұрын
mbosso
@aggiemwaniki58075 жыл бұрын
Kama wamkubali mbosso gonga like apa 254 register iko apa🔥🔥🔥
@aggiemwaniki58075 жыл бұрын
@@damarismbilu655 yes..
@fredykisanga53955 жыл бұрын
100
@ajoboyprayvat37905 жыл бұрын
Saf* saf* blo ajo hapa dom
@yusuphmzee25405 жыл бұрын
@@dicksonkagoma848 mbosso
@saudatamiry19665 жыл бұрын
😂😂😂 kama unamuona aliegemewa na host km mimi msalimie
@wankyroshna55445 жыл бұрын
Mbka sahv aslay akuwez.. ingawa ni legend kwako. Aslya chal sahv jina tu linamlinda
@fazilially65645 жыл бұрын
godzila
@mythosduncan32034 жыл бұрын
Vlp
@tumafreedom8965 жыл бұрын
Aki mboso mungu akusimamie kwa kila jambo kiukweli umetokabali kakangu good with u
@emmyyahya83585 жыл бұрын
Nakukubal sna mbosso khan unajua sna pia huna mashauz km baadhi ya sanii
kabisaaaa naminampenda pia mbosso bg up ikovizuri sanaa hunaga aibu nakuelezea maisha yako mimi wakibiti mwenzio tukopa1
@aminaabedi53965 жыл бұрын
KURYABOY TV ,,,
@davidmarick42575 жыл бұрын
Mbosso ni miongoni mwa wasani wenye nidhamu ya hali ya juu
@mwitamwita63465 жыл бұрын
I like that
@davidmarick42575 жыл бұрын
@@mwitamwita6346 me 2
@sophicatesalim97575 жыл бұрын
Kbsa
@davidmarick42575 жыл бұрын
@@sophicatesalim9757 kutokana na nithamu yake tuendelee kumsaport sisi kama mashabiki
@monilahcruz72935 жыл бұрын
@@davidmarick4257 sana
@Mohaa43095 жыл бұрын
Sasa Aslay bifu gani tena hilo ,nyny mmetoka mbali sana
@maryangela1075 жыл бұрын
mbosso nani mwenye bifu na wewe nikamkate kichwa chake maana mi nakupenda hata ukiniomba nakupa mpakaaaaaaaaaa uwiiiiiiiiiiiiii mbosso wangu
@abdallajuma90905 жыл бұрын
Hhhhhh wwe jitolee t2 usisubir akuombe
@maryangela1075 жыл бұрын
abdala juma haaaaaaa uwiiiiiiiiii mama nakufa sitaki dodiii
@abdallajuma90905 жыл бұрын
Hhhhhh hauwezi kufa bali utaenjoy
@salumabdul44605 жыл бұрын
acha umalaya unampa mini?
@salumabdul44605 жыл бұрын
@@maryangela107 nipe at a Mimi mbona mnapenda wasanii tu au ndo tabia yako
@silawsang25655 жыл бұрын
*mbosso* you're such a great artist 💥💥bless 🤭
@suleimansaid58833 жыл бұрын
Mmb
@jumbebakari1285 жыл бұрын
Da nakubali show wsftv
@germanageorge3635 жыл бұрын
Me Nampenda SanaMbosso
@sengiyumvasalomo54485 жыл бұрын
Nice one you are best for this
@kingkhanjunior49305 жыл бұрын
hap De king Khan kule Mbosso Khan hatar
@mbossostephanecledia88042 жыл бұрын
Bon travaille mbosso
@herifredrickson20405 жыл бұрын
Mboso katika lile kundi lako la yamoto umewakalisha wote hakuna wakudhubutu kukufikia kabsa kwa Sasa.
@ibrahimjuma38595 жыл бұрын
Nice nampd sana huy kijan
@moudymakoah23515 жыл бұрын
Hope daY 1 NITAKUA MKUBWA KAM #MBOSSO
@godfreyjwambura80095 жыл бұрын
Nakuelewa sana Mboso piga kazi hvyo hvyo mafanikio huja kwa kujituma... MBOSO Hodari....... Hodari wa kuimba....
@obimbomarybenter21655 жыл бұрын
I love that motivation... may God guide you in ua work
@frankkussi85665 жыл бұрын
zuwena love u
@hassanumar52585 жыл бұрын
This is good,Aaliyah good job
@Oo-cc9bw5 жыл бұрын
Kama na wewe unamkubali #Mbosso gonga like 👍 ile lwende sawa
@kerryivana16785 жыл бұрын
Mbosso noma sana...umezagaa bana,you are the crème dela creme kwa wcb..walahi unashinda ata yule anajiita simba though amekusaidia pakubwa pia
@naomidaniel54255 жыл бұрын
Mboso wallah nakupenda tabia yako tu jmn mi hoi
@michaeljimmy73532 жыл бұрын
Namkubali sana mbosso
@mutulehephsiba59615 жыл бұрын
Mbosso nakupenda bure kakangu,una tahadhima,utu,uzuri na unyenyekevu zaidi,kweli we kioo kwa wengi si kwenu bongo tu bali pia nasi huku Kenya na niseme Afrika masharki kwa jumla,,mema yakufuate kakangu,daima uishi kuwa baraka kwa hao vijana wenzio... Mola na akujalie..
@longoempire12465 жыл бұрын
Hustling nikitu kikubwa sana in life
@dogobyalimasilubunga51105 жыл бұрын
Mbosso yamoto band amna kitu apo kweli ,,, na amna Kama wewe mbosso wako wapi sasa aho akina aslay akina beka ,,,, nimchuzi tuu upo kwenye group la mziki jikaze Sana
@barakajastine83005 жыл бұрын
achen kelel nyie sepetuken kama vp
@piliyusuf98392 жыл бұрын
Nakupenda san kaka🥰🥰
@monilahcruz72935 жыл бұрын
Love mbosso unajuwa sana
@ericmoney61125 жыл бұрын
Dada I love your sound❤❤❤
@mabudaniel73495 жыл бұрын
Star Mabu I Am Artst, I Love You All Artsit
@ennerektv3435 жыл бұрын
nakubali bro unawasha moto
@tedyramadhan86005 жыл бұрын
ukovizuli mboso
@mudykpjr72715 жыл бұрын
Nakukubali sna mbosso
@masungadotto90075 жыл бұрын
Uyo Jamaamwenye tishet ya bluu kaabodi gadi duu
@simbavevo73185 жыл бұрын
Kumamake aslay kakuanifollow kwa sababu ww ni noma kuma
@officialtalenttv38825 жыл бұрын
matus
@zakyahya46455 жыл бұрын
Duh
@alexnomba50995 жыл бұрын
Punguza matus mze baba
@husnahassan47714 жыл бұрын
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
@castormuhagama50893 жыл бұрын
😢😢😢
@mapenzitz5 жыл бұрын
Uyu analeta vingereza maskan, wahun wamemkaushia tu
@mohamedsadiki15755 жыл бұрын
hahahahaha
@mariammbughi27025 жыл бұрын
😂😂😂
@queencharles19243 жыл бұрын
😂😂😂
@nadhifajuma64855 жыл бұрын
Mbosso nakukubali sana Broo angu
@selemanimkonga81505 жыл бұрын
Nimetafuta mic sijaiona haya mambo hua wanafanya bbc wasafi mnatunyoosha
@rehemamussa33065 жыл бұрын
mboso hauna kitu kuimba bado hâta enock haumu wezi
@paulovicent16925 жыл бұрын
pamoja Sana jamaangu yagu mboso
@mayamohamad7105 жыл бұрын
Hahahaaaa😂😂😂😂mchezo usiucheze kbs
@mayamohamad7105 жыл бұрын
@@rehemamussa3306 wivu
@sadokimbanila49973 жыл бұрын
Ukwel kwamba asiley ndo kakutoa inapashwa kumshul na kuendelea kmhshm
Nakupenda bule mbosso. Ungejiunga na ALIKIBA. Kuja Canada tutakushabikia
@williammanyama73585 жыл бұрын
We fara nn hyo kiba wako nae ni msanii au kibakuli
@ailodigohagi56195 жыл бұрын
Hahaha we bwege kweli yaaani
@williammanyama73585 жыл бұрын
@@ailodigohagi5619 unagongwa na kibakuli
@ailodigohagi56195 жыл бұрын
@@williammanyama7358 mbona unanitukana mi namwambia aliyesema mboso aende kwa kiba
@williammanyama73585 жыл бұрын
@@ailodigohagi5619 samahan asee Huyo timu kibamia ndo kasababisha
@cbhofficial34325 жыл бұрын
Mbosso nimtu aliepata tabu
@s.pkwigema56423 жыл бұрын
Mboso nazipenda San nyimbo zako
@shedrackmgaya63415 жыл бұрын
Mimi binafs wanasanii ambao wapo wasafi nawakubali San san
@jacobkulwa19355 жыл бұрын
Nice Mbosso
@grnifamgeni13094 жыл бұрын
Mboso mungu akuinuwe zaid usiende kwemakundi mabaya mboso
@denisjolwa8445 жыл бұрын
Huyo jamaa mwenye t shirt ya blue?! Nahis ni mtu wa kanisani mitaa ya kichochoroli lazima akupe neno la mungu
@christinamduma62465 жыл бұрын
denis jolwa ww ulijuaje lazima akupe neno
@denisjolwa8445 жыл бұрын
@@christinamduma6246 😂😂
@kadijahhussen70725 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 lazima akupe loba la mbao sio umetishaa denis
@mathewungani97245 жыл бұрын
Kibaka Mdudu
@bintybinahsiraj94995 жыл бұрын
😂😂wazimu ww
@emmahbishoo73035 жыл бұрын
Huyu Dem amezeeka afu ametumia mikorogo sana
@bibael49085 жыл бұрын
mboossoo u kno wat Eat well
@zakaboy13055 жыл бұрын
nakukubari mbosso
@IbrahimIbrahim-kq3iq5 жыл бұрын
big up wcb wasafi#diamondPlatmz
@chicharitoronaldo59505 жыл бұрын
Sisi kama mashabiki utimu pembeni...Huyo aslay lazima aku unfollow mzee baba...alijiona yeye ndio katanguliaa ila kwa sasa umempitaa mbali sana...kwa mulioko yamoto zamani ww mboso ndio namba moja kwa sasa...Na naongea hivi kwa facts...nyimbo zako zina views nyingi na ume hit kwa muda mfupi sana..Nyimbo zako zinakosha wadogo kwa wazima hilo liko wazi hata umemshinda kiba ambae anategemea busta kutoka kwa simba!!!
@qbonny50345 жыл бұрын
Mbosso hawezi akampita aslay kakangu
@wazirikhamisi48284 жыл бұрын
Ujui muziki ww
@yussufally86683 жыл бұрын
Aslay hodar ww acha kujidanganya
@godfreymalinga14763 жыл бұрын
Aslay chama la mtu mmoja ila balaa lake zito huyo anatembelea lebal broh ya WCB huwo ndo ukwelj kaka
@livinusowoya58665 жыл бұрын
Uko vizur sana brother na kukubali kinoma
@machangomusso1855 жыл бұрын
namkubal cn mwanangu
@ruthmatonange83815 жыл бұрын
Nakupenda mpaka naumwa mboso
@essaumajengo35705 жыл бұрын
Penda sanaa mbosoo 😘😘
@mgudeeone86365 жыл бұрын
Hili Jamaa linasauti nzury sana..kam unaamini achia like yako
@jimmyjamessn66545 жыл бұрын
Huyo jamaa ulie muwekea mkono begani ataota leo hahahah
@khadijaomar32995 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@leahissaya27695 жыл бұрын
jimmy james sn 🤣🤣
@supertal29435 жыл бұрын
😂😂😂
@fainnamvungi43645 жыл бұрын
washikaji zake washamzoea sema akikuwekea mimi na ww ndio tutaota😂😂