Mbosso: Nyumba ni yangu / Mwijaku ni wanaume Kweli?

  Рет қаралды 132,285

Bongo5

Bongo5

Күн бұрын

Пікірлер: 190
@erickmushi9293
@erickmushi9293 5 жыл бұрын
Mbosso 🔥🔥🔥🔥🔥 kama unamkubali gonga like hapaaa
@hajipeter175
@hajipeter175 5 жыл бұрын
Erick Mushi Katisha Saana
@amanimlindoko1332
@amanimlindoko1332 5 жыл бұрын
hodari
@eliekayenga6990
@eliekayenga6990 3 жыл бұрын
J'aime bien
@davidmpungu8502
@davidmpungu8502 5 жыл бұрын
#Mbosso achana nao!!,Piga kazi uko fresh uyo mwijaku ni mzee wa kudandia vitu kwa mbele.
@habibajuma1833
@habibajuma1833 5 жыл бұрын
Mboso nyumba ni yako huyo mwijaku fala tu ww ni baba unajielewa Sana mdogo wangu big up sana
@paschalewamtaa726
@paschalewamtaa726 5 жыл бұрын
Kama umecheka neno la ,alafu umenyoa kipara, gonga like
@zililemanyika7349
@zililemanyika7349 5 жыл бұрын
Kabisa baba wachane sana kwamana kuna watu wengine awajui kazi zao kusema maisha yawatu yani kaka basi tuu
@FatmaFatma-kt1or
@FatmaFatma-kt1or 5 жыл бұрын
Nakupenda sanaa mbosso
@phina8058
@phina8058 5 жыл бұрын
MBOSSO UMENIFURAHISHA
@muhangwatv8580
@muhangwatv8580 5 жыл бұрын
Mbosso umeongea vema sana, 🙌
@lilig5959
@lilig5959 5 жыл бұрын
Mbosso umejibu vizuri sana yule mwijako ni pungu anapigwa mashine kwa muhindi kariakoo
@wahedawaheda4307
@wahedawaheda4307 5 жыл бұрын
kaka yangu achananao fanya kazi ukilishe rufiji yetu
@MohammedMohammed-uo5sk
@MohammedMohammed-uo5sk 5 жыл бұрын
Mbosso be smart bro ilove u so fanya bidii umiliki kitu chako .
@princespider5854
@princespider5854 5 жыл бұрын
😂 😂 😂 😂 😂 Blooo mwenye kipalaaa umeskiaa😂😂😂😂
@presenterkabuma1646
@presenterkabuma1646 5 жыл бұрын
Haiwezekani mtoto wa kiume unalishadadia jambo unalidakia dakia halafu umenyoa "kipara".
@cheupestefano5424
@cheupestefano5424 5 жыл бұрын
Eti halafu amenyoa upara na kaachia vindevu kidogo hahahaha hahahaha
@habibajuma1833
@habibajuma1833 5 жыл бұрын
Wasaf mm nampenda mdogo wangu mboso tu
@divadaqueen6558
@divadaqueen6558 5 жыл бұрын
Kbs ukojusan mbosso nakukubari
@missd1828
@missd1828 5 жыл бұрын
Kijana wa watu nakukubai🔥🔥🔥🔥
@fridahbeker200
@fridahbeker200 5 жыл бұрын
HAHAHAHAAAAA....HEEEEEEYAAA......MWINJAKU KUMBE SHIMO LIKO WAZI HUKO NYUMA🙈🙈🙈🙈🙈🙈.....AAAAAH🙊🙊🙊....NDIO MAANA 🙊🙊🙊🙊🙊🙊🙈🙈🙈🙈🙈
@kindandakudingwa7514
@kindandakudingwa7514 5 жыл бұрын
Ni kweli kwani hukumsikia siku ile akielezea zile voice note za Juma Lokole? Kuwa watu wanagongwa nyuma kimya kimya sio kujiweka wazi kila mtu ajue
@zuwenamshana2535
@zuwenamshana2535 5 жыл бұрын
Ana toa TV ya chogo
@chelseafctheblues1870
@chelseafctheblues1870 5 жыл бұрын
Big up a lot Mbosso,jamaa anaumia unavyotusuwa
@rashidchembaxic6879
@rashidchembaxic6879 5 жыл бұрын
Wandengereko woyooooo
@vivianjohn3593
@vivianjohn3593 5 жыл бұрын
I love this guy the way hi talk...big up bro
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 5 жыл бұрын
Nakupenda mbosoo
@opajumaismail8621
@opajumaismail8621 2 жыл бұрын
Safi mbosso. wcb tuna wapend
@ashulamusin9811
@ashulamusin9811 5 жыл бұрын
Hahahahaha eti kiparaaa mwijaku unalo uyo ndo mndengereko
@cheupestefano5424
@cheupestefano5424 5 жыл бұрын
What's mtengereko?? Ps someone tell me what it means hahahaha
@mariamkingu9577
@mariamkingu9577 5 жыл бұрын
Mbosoooooooooooooooo👏👏👏👏👏👏
@rashidmohamedi1495
@rashidmohamedi1495 5 жыл бұрын
Ninyi wasanii mnapenda kufeki maisha mnapenda kujifanya mnamaisha mazuri lakin hakuna kitu
@mammyshayo1982
@mammyshayo1982 5 жыл бұрын
😂😂😂mbosso bhana ety kiparaaaa😂😂😂😂😂
@tuwajafar5687
@tuwajafar5687 5 жыл бұрын
Safi sana. Mwijaku anamichongo ya kiseng................
@cheupestefano5424
@cheupestefano5424 5 жыл бұрын
This is the best interview and the best ever replies from this young man MBOSSO ooooh MG ati a man holds his two fingers like a woman while talking...... and also we need to check hizo ngumi alikuwa anazikunja na Juma Lokole eeeh my grandson Mbosso reached the end of his patience sina mbavu jamani I miss Africa yetu huwa na vitimbwi .
@camillas.edrees6155
@camillas.edrees6155 5 жыл бұрын
💯,,, umeeleweka mbossooo
@erickbahitijakobo5160
@erickbahitijakobo5160 5 жыл бұрын
utapata vingizaidi ninampinzani hapanae niwareware t wenyeromboya ningekuana nauwezo ningewainyesh munguakubaliki
@stumaiali2092
@stumaiali2092 5 жыл бұрын
sema kweli mbosso
@deomichael3081
@deomichael3081 5 жыл бұрын
Haiwezekani mwanaume mzima unashabikia mambo ya watu Afu umenyoa kipara 😀😃😃😃😂😂
@user-ik3ey9cs9e
@user-ik3ey9cs9e 5 жыл бұрын
Welcome tutakupa na mchumba mbosso.
@hassankitengule6273
@hassankitengule6273 5 жыл бұрын
Ukweli cjawah kumckia mondi aki haribu mda wake kuchunguza fulan ana nn au kafanyaje. Naamn wote wenye vpaj vyao wakimuiga Simba watafika alipo. Sifa za mwanaume wa kweli zna kuja kwa kazi na juhud kubwa anazo zifanya na xio maneno,tena anajicfia kua amechunguza kiundan ndo mana anaongea. Pour Mwijaku Kipara Moto.!!!
@twahazakumba5914
@twahazakumba5914 5 жыл бұрын
mbosso kavurugwa kweli hahahahahah
@eddybayzor5072
@eddybayzor5072 5 жыл бұрын
Mwijaku sio riziki
@kobajumakuziwa9976
@kobajumakuziwa9976 5 жыл бұрын
Sawa sawa kabisa hata mimi nahisi 👌👌👌👌
@HermanMchome
@HermanMchome 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 blaza mwenye kipara
@bugaman2121
@bugaman2121 5 жыл бұрын
kwahiyo mwijaku sio mwenzenu daah dogo umemtusi mwijaku
@munashabani1376
@munashabani1376 5 жыл бұрын
Mbosso Khan leo kavurugwa hahaha sijawahi kusikia ana mtukana mtuuu yoyote kweli wa mekuudhiii
@twahazakumba5914
@twahazakumba5914 5 жыл бұрын
muna shabani dah kaongea kwahasira sana
@cheupestefano5424
@cheupestefano5424 5 жыл бұрын
This is a very polite young man but has been pushed to the wall lazima aongee mwacheni apangishe asipangishe ni pesa zake
@hamishalidy5696
@hamishalidy5696 5 жыл бұрын
Mwijakooooooo acha usengeeee mamamamamamkoooo
@carinembombo8806
@carinembombo8806 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mbosso umemalizaaaa😂😂😂😂
@faridahangedo5554
@faridahangedo5554 5 жыл бұрын
Habari ameipata mwijaku.
@dramataizaplatnumz
@dramataizaplatnumz 5 жыл бұрын
Mwijaku sio mwenzutu ila anajinsia kama yutu mbwa yule
@abrahimali3628
@abrahimali3628 5 жыл бұрын
Huyu Mwinjaku mbea sana
@halimaaa3860
@halimaaa3860 4 жыл бұрын
Mboss 🙏🙏🙏🙏
@josephmlelwa4780
@josephmlelwa4780 5 жыл бұрын
Nimependa majibu yake mbosso 😂😂
@twahazakumba5914
@twahazakumba5914 5 жыл бұрын
joseph mlelwa hahahahaah kavurugwa kweli
@fredykasege7652
@fredykasege7652 5 жыл бұрын
sana yanii
@rashidmohamedi1495
@rashidmohamedi1495 5 жыл бұрын
Umeyataka mwenyewe usingepost yangekukuta hayo dogo! Mnapenda kuishi maisha Ambayo sio yaenu
@abdallahjumannekisalo8699
@abdallahjumannekisalo8699 5 жыл бұрын
Konki sna ila co master
@huserehema8618
@huserehema8618 5 жыл бұрын
Karibun. Oman. WCB. 968
@chiefkaitaba.m.9466
@chiefkaitaba.m.9466 5 жыл бұрын
😂😂😂 #Mwijaku naye ni Shoga kumbe hata hivyo anaonekana maana siyo kwa umbea hule wa kifara fara.
@rashidihassani1998
@rashidihassani1998 4 жыл бұрын
Mboso piga kazi ,achana na choko yule kipara,
@sazafsuma7542
@sazafsuma7542 5 жыл бұрын
Khakhakhakhakhakha mwijaku wamekushika pakunyea mdengereko hatar kwakuongea
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 5 жыл бұрын
Hahahha þkama umesukia ai mwezetu gonga luke hapa😂😂😂😂😂😂
@browntiger4849
@browntiger4849 5 жыл бұрын
Wah nakuelewa sana mbosso khan
@hamadsaidi4902
@hamadsaidi4902 5 жыл бұрын
Mbosso ww ni hatarrrreeee unajua hata masong yako ni nouma
@hopedaniel7844
@hopedaniel7844 5 жыл бұрын
Mboss
@belindabarasa5410
@belindabarasa5410 5 жыл бұрын
Ndio maana napenda Mbosso pure kapatie lile mwanaume kofi moja nikama halina kazi linakuhoji kama nani sasa. busulu (stupid) kabisa. Mbosso imba kaka achana na hawa wanaume kama mabinti .
@galogalo8469
@galogalo8469 5 жыл бұрын
Mueleweni mboso,kasema mwenyewe hajanunua nyumba lakini pale ni kwake
@obbymwakasoke9842
@obbymwakasoke9842 5 жыл бұрын
mwijaku ni mwanamke mrembo sana
@suzybeda2941
@suzybeda2941 5 жыл бұрын
mwaka wako huu mboso.
@erastotoshz4672
@erastotoshz4672 5 жыл бұрын
Huyo Mwijaku sio mwanaume ni mwanamke ambaye amenyoa upara sio mwenzetu
@nickalreadyknows
@nickalreadyknows 5 жыл бұрын
Kidole kimekaaje na kanyoaje🤣🤣🤣
@twahazakumba5914
@twahazakumba5914 5 жыл бұрын
Nickson Daniel kanyoa kipala
@batulijuma2999
@batulijuma2999 4 жыл бұрын
Wasaf tv namba yasim yamO(≧▽≦)Obosso
@ahmedameir2500
@ahmedameir2500 5 жыл бұрын
Hhhhhhh broo aaaa so homan bn ni Oman brother
@scollorpatrick7214
@scollorpatrick7214 5 жыл бұрын
Duh acha majigambo bas mdogo minapenda kaz zako sana
@haudhatiadam6206
@haudhatiadam6206 5 жыл бұрын
Welcome to mascat oman
@alhajimbaga4062
@alhajimbaga4062 5 жыл бұрын
Pambana ya hela yote chaliii yangu
@hawamohd8215
@hawamohd8215 5 жыл бұрын
Karib omn
@makamesalim8349
@makamesalim8349 2 жыл бұрын
Dah broo trueee
@graysonaloyce3023
@graysonaloyce3023 5 жыл бұрын
Kunawengine walizaliwa kwajiliyakuwafwatilia wenzao kamahuyo mwenye kipalaaa
@deborakamsi
@deborakamsi 5 жыл бұрын
Kwanini usimshukuru Mungu
@kitoynnko993
@kitoynnko993 5 жыл бұрын
deni ilo umejiwekea wiki ijayo naisubiria kwa amu wcb amjawai niangusha mm shabiki enu hadi pmzi ya mwisho
@abdulyayubu7447
@abdulyayubu7447 5 жыл бұрын
Wabiye kilugi
@allytz4765
@allytz4765 5 жыл бұрын
Kweli nimekuelewa sana mbosso
@swaleheahmady357
@swaleheahmady357 5 жыл бұрын
Mnafiiiiiiiiiik huyo
@elpinarichard1884
@elpinarichard1884 5 жыл бұрын
Chukuwa hii👊🤛 wakukome
@jumbebakari128
@jumbebakari128 5 жыл бұрын
Yan mwijako mwikajo mbon choko
@onesmosaimon6719
@onesmosaimon6719 5 жыл бұрын
broo mwenye kipala kuma kweli
@saidasimba9979
@saidasimba9979 5 жыл бұрын
Mboso unakosea kujibizana na watu.. Unatakiwa kuwapenda watu wote.. Nakuhakikishia unapendwa na wote
@bwerumaster6691
@bwerumaster6691 5 жыл бұрын
Mbosso acha povu!!!! Nyumba yako au siyo yako? sio swala la nyumba ya kukaa!
@michaelliungo7811
@michaelliungo7811 5 жыл бұрын
Mwijaku ni sawa na mwanamke mdangaji
@ashamecky7772
@ashamecky7772 5 жыл бұрын
Toba
@florambwambombwambo1322
@florambwambombwambo1322 5 жыл бұрын
mwijagu anawivu
@chelseafctheblues1870
@chelseafctheblues1870 5 жыл бұрын
Sure
@chicharitoronaldo5950
@chicharitoronaldo5950 5 жыл бұрын
Kweli hio huyo mwijaku anaongea sana utajua kama yy ni msenge...Mana masenge ndio wana tabia za kuchunguza watu wana miliki nini ama wanafanya nini!!!
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 5 жыл бұрын
Mnataka kujua nyumba yake au si yake ili iwe nn? Mkisikia hasada ndo iyo
@cheupestefano5424
@cheupestefano5424 5 жыл бұрын
Love your answer young man God bless you this is grandma. Wa tz wadaku mno hadi wanaudhi DON'T MIND THEM THEY ARE IDIOTS.
@elpinarichard1884
@elpinarichard1884 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣😂achukunguze ngumi zake🙆‍♂️
@mwajumajuma3334
@mwajumajuma3334 5 жыл бұрын
Acha nao fanya yako bab kaza boti
@sofiaasukuku8238
@sofiaasukuku8238 5 жыл бұрын
Lazima mtafanya vizuri tu wcb
@saidnzowa2770
@saidnzowa2770 5 жыл бұрын
Ww kaongo sana
@captenndunga9385
@captenndunga9385 5 жыл бұрын
Dogo anajilambalamba.. ingekua ya kwake angefunguka tuu ninavojua wasanii wa bongo wanavopenda misifa!!! Nyumba sio yako hata mi hapa nilipopanga ndo kwangu ila nyumba sio yangu... kitu kikiwa chako unajiamini bwana ila wee umeonyesha dalili zote kua ni mpangaji mwenzangu tofauti we umepanga nyumba nzima.
@nuhumtali8782
@nuhumtali8782 5 жыл бұрын
Nisehemu yakupunzika Inamaana sio kwake kapanga
@anthonyfaru9908
@anthonyfaru9908 5 жыл бұрын
Tatizo ni wcb nw huwezi toka bila kuwtaja
@dogobyalimasilubunga5110
@dogobyalimasilubunga5110 5 жыл бұрын
Kweli wanaume wengine wachunguzwe mwijaku kiki mpaka Kwa dogo
@hamishalidy5696
@hamishalidy5696 5 жыл бұрын
Dogoby Alimasi Lubunga mwijaku ana dinywa so mzma
@railamypresidentrailamypre629
@railamypresidentrailamypre629 5 жыл бұрын
Dogoby Alimasi Lubunga kuna mange mwanamke na mwanamume sasa mwijaku n mange mwanamume😀😀😀
@bigbossmanbossman6946
@bigbossmanbossman6946 5 жыл бұрын
Nenda Oman nenda kafanye kazi inshaallah utamiliki tu!umri unao bado na kipaji kipo
@salimkhamis3638
@salimkhamis3638 5 жыл бұрын
Waandishi wa Tanzania Bara asilimia kubwa kama sio wote hawakifahamu Kiswahili Fasaha, yaani ni aibu mpaka unakosolewa na 'interviwer' wako. Mnapenda kupachika herufi au maneno ambayo sio yenyewe, kwa mfano kuweka herufi H sehemu ambayo haistahiki, Homan badala ya Oman pia matumizi ya 'R' na 'L' hilo ni janga sugu kwao. Mnakwama wapi?
@user-oq3dd5xj9m
@user-oq3dd5xj9m 5 жыл бұрын
Bhanaaaaaa weee kichefu chefu hatareee. Halafu wizara husika imeoza hatareee. Jamaa anataka Urais wizara imejaa vihiyo
@batulijuma2999
@batulijuma2999 4 жыл бұрын
Vp mbosso
@anaupendo8751
@anaupendo8751 5 жыл бұрын
Nyiye wenyewe mnatafuta kiki mkipewa ya sawasawa mnaanza ku haha tulia umetafita sifa umezipata ukikosorewa kosoreka acha unafiki nyumba upange harafu uvimbe mtaani 😂😂 huyo Juma mwenyewe mbona hujamuongelea amekaaje kuanzia kutembea mpka kukaaa 🤪😂😂😂
@thomasponera6018
@thomasponera6018 5 жыл бұрын
Acha ujinga mbona mshikaji kaongea poa
@mohdeddy123
@mohdeddy123 5 жыл бұрын
Huna moja wew sema tu kama unamtangazia mtu iyoo nyumba au umepangiwa na mabos zako na mwenye nyumba ataweka hazarani
@controlTheoryChamps
@controlTheoryChamps 5 жыл бұрын
Eti "Bro mwenye kipara"...!!!
@sippyanajr1387
@sippyanajr1387 4 жыл бұрын
Fresh bro mjengo ni wa kwko
@winfridajosephat7443
@winfridajosephat7443 5 жыл бұрын
Jamani like zangu wakwanza kukoment
@aishasalimaishasalim1323
@aishasalimaishasalim1323 5 жыл бұрын
Karibuni oman.?
@marynjeri562
@marynjeri562 5 жыл бұрын
Kabisa watu hawapendi maendeleo umbea siku hizi tumeachia waume
@delabossreizer9471
@delabossreizer9471 5 жыл бұрын
😂😂😂mwinjaku shikamoo baba uku naona maelezo yameanzaa kunyooka watu wanalewaa haha ila mm simo sio mm jmn ni mwinjaku kasema 🙌🙌
@salumabdallah5529
@salumabdallah5529 5 жыл бұрын
mwijaku mpuuzi
@adammuki2831
@adammuki2831 5 жыл бұрын
Nimekuelewa dogo vizuri kuna wanaume wengine sio wenzetu
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 100 МЛН
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 47 МЛН
HOTUBA YA MWAMBA IBRAHIMU TRAORE NI YA KUWAKERA MABEBERU
15:11
UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Рет қаралды 64 М.
18 Years Old Cristiano Ronaldo was INSANE
15:48
VALENTINO PRODUCTIONS
Рет қаралды 7 МЛН
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Cinewatch
Рет қаралды 7 МЛН
MWIJAKU:MBOSSO NYUMBA SIO YAKE/MAKONDA ATABAKI JUU
10:28
Cheni tv Online
Рет қаралды 48 М.
MBOWE AELEZA MAZITO KIFO CHA MOHAMEDI ALLY KIBAO
11:55
JAMBO TV
Рет қаралды 25 М.
Diamond BBC Interview- URBAN PULSE
10:03
urbanpulsecreative
Рет қаралды 48 М.