Nyie mimi naogopa usiku nimeota iyo gari nyeusi inayoteka watu nikaona ndotoni nimekimbia hizo mbio usiombe waliponifata nimepaa juu hakuna ameweza kunikamata
@chalokalunde94292 ай бұрын
Jamani Hawa wanaotekwa wasiuwawe.Hawa fai Sasa lakini mbele ya safari ni viongozi wazuri kwenye Taifà watu Radical huwa hawakosi labda kama ni Taifa la Matahiira watupu.
@Hussein-gx4qu2 ай бұрын
Mi mwenyewe police walimteka kaka yangu wakaenda kuficha kituo cha police tazara
@juliuszakayo67712 ай бұрын
Huyu mafwere anaishi nasisi familia yake wanaishi nasi watoto wao wanaishi nasi wasipoacha ujinga huu watalia nawao siku sii nyingi
@AlphaBarageti-ru5xj2 ай бұрын
Huu utekaji unaleta shaka. Katika wakati huu ambapo Kuna wimbi kubwa la biashara haramu ya viungo ya binadamu kwa bei kubwa mithili ya dawa za kulevya huko nje ya nchi. Je, wanaopotezwa namna hiyo pasipojulikana wako salama, au ndo wamepigwa bei ?
@abdalahgunda13192 ай бұрын
Chadema disided one way wewe Baki na ugali sisi tunamwaga mbonga