MBOWE AFUNGUKA WENZA WA VIONGOZI KULIPWA, MISHAHARA YA WABUNGE KUONGEZWA, GHARAMA ZIMEPANDA

  Рет қаралды 42,120

Millard Ayo

Millard Ayo

3 ай бұрын

Пікірлер: 216
@DoctorRengeda
@DoctorRengeda 2 ай бұрын
Mungu ibariki sauti ya chadema ✌️🇹🇿 wa Tz tumechoka sana
@allytv1714
@allytv1714 3 ай бұрын
Yaan hii nchi masikini ni wengi wenye ziki ni wengi na wasiyo jua haki zao ni wengi lkn hayo makundi yote ndo yananunulika siku za uchaguzi na kupewa kanga na kofia na sukari ,mchele pia pesa wanauza haki zao wanateseka miaka 10 na shida zao
@DeficitNuts
@DeficitNuts 3 ай бұрын
Hongera kwa kupewa kazi ya kubisha kuwa kweli ile SIO MAITI 🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜
@DeficitNuts
@DeficitNuts 3 ай бұрын
Hongera kwa kupewa kazi ya kubisha kuwa kweli ile SIO MAITI 🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜
@ANRAHIMKADUMA
@ANRAHIMKADUMA 3 ай бұрын
Kwa hiyo hizi nyumba za viongozi familiya yote inalipwa mishahara Jamani Mrudieni Mungu hii dhuluma ya hali juu kesho mtajibu mmepeleka wapi Jasho la Watu
@babalao910
@babalao910 3 ай бұрын
Dhuluma tunaichagua wenyewe.
@user-eo4bl3do8k
@user-eo4bl3do8k 3 ай бұрын
Watanzania bado wamelala fofo,ukija uchaguzi wanakwambia ccm mbele kwa mbele, HAKIKA INASIKITISHA ,,,CCM HAIFAI INATUFANYA WATANZANIA KUWA MAFUKARA
@DeficitNuts
@DeficitNuts 3 ай бұрын
Hongera kwa kupewa kazi ya kubisha kuwa kweli ile SIO MAITI 🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜
@StephanoMoses
@StephanoMoses 3 ай бұрын
NDIO MAANA DENI LA TAIFA LINAZIDI KUKUA NA LINATUUMIZA SISI WANANCHI MAANA WALAJI NI VIONGOZI NA WENZA WAO ILA WALIPA DENI NI WANANCHI. TZ TZ Nakupenda kwa moyo wote
@DeficitNuts
@DeficitNuts 3 ай бұрын
Hongera kwa kupewa kazi ya kubisha kuwa kweli ile SIO MAITI 🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜
@LucasNtalima
@LucasNtalima 3 ай бұрын
Jamani kama ni kweli wabunge mwogopeni Mungu waangalie idara ya afya puguzeni mishahara muwaogezee kama mnautu hao ndio wanahangaika na uhai wenu.
@adkajisi4536
@adkajisi4536 3 ай бұрын
Kuna Walimu pia
@DeficitNuts
@DeficitNuts 3 ай бұрын
Hongera kwa kupewa kazi ya kubisha kuwa kweli ile SIO MAITI 🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 3 ай бұрын
Wanasiasa nyie ni wapumbavu sana. Hamna uwezo wowote wa kubadilisha maisha yetu sisi tunamtegemea Mungu 2
@LuganoPondo-km8ub
@LuganoPondo-km8ub 3 ай бұрын
Acha ujinga kijana,mungu alishakupa akili, tumia akili vizuri
@user-eo4bl3do8k
@user-eo4bl3do8k 3 ай бұрын
​@@LuganoPondo-km8ubhilo jamaa sijui limeenda shule au halijenda,,nafikiri darasa LA 3 ,nafikiri ni chawa LA mama
@ngamugamahonzelosanga3316
@ngamugamahonzelosanga3316 3 ай бұрын
Mbowe upo sahihi unaongea ukweli baadhi ya viongozi wameziba pamba masikio lakini ukweli tunataka katiba mpya CCM wasikikilizeni wananchi acheni kupuuza puza kizazi hiki sio cha lipite bila kupingwa wala ndio mzee ni kizazi cha wasomi wanaohoji pia acheni kupeana vyeo kwa kujuana au wale wale miaka yote ni vibaya sana Hongera sana Mh Mbowe unatufungua masikio
@DeficitNuts
@DeficitNuts 3 ай бұрын
Hongera kwa kupewa kazi ya kubisha kuwa kweli ile SIO MAITI 🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜
@oklahommy9838
@oklahommy9838 3 ай бұрын
Mulipokuwa wabunge mulileta hoja za kupunguziwa mishara yenu bungeni ...hebu acheni hizo zenu hata kama ni kutafuta huruma kutoka kwa wananchi lakini sio hivi 😂😂😂
@Mumewangu
@Mumewangu 3 ай бұрын
Wameishiwa hawa
@mgoamkiza1117
@mgoamkiza1117 3 ай бұрын
Muongo huyo mbowe😂😂😂😂
@LusajoKabuka
@LusajoKabuka 3 ай бұрын
Wewe jee!!!msitundanganye acha tuishi mungu ndie msaada wa kututoa kwa yeyote anatuonea kwenye pesa wote mmepotea
@richardmbasha1411
@richardmbasha1411 3 ай бұрын
Tumia akili kidogo bana na wewe..ah
@allytv1714
@allytv1714 3 ай бұрын
Mungu anasema jisaidie na mimi ntakusaidia
@EdwardJohn-xz5oi
@EdwardJohn-xz5oi 3 ай бұрын
Kitabu gani hicho??​@@allytv1714
@herybertsabai6503
@herybertsabai6503 3 ай бұрын
Lakini sio kwa chadema ​@@richardmbasha1411
@peterdeus6093
@peterdeus6093 3 ай бұрын
Huu ndo ujinga wa waafrika sasa hapa MUNGU anahusikaje
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui 3 ай бұрын
Kuna wajinga wanasema Mbowe ana njaa, knina zako, huoni alivyonenepa mbwa wew
@DeficitNuts
@DeficitNuts 3 ай бұрын
Hongera kwa kupewa kazi ya kubisha kuwa kweli ile SIO MAITI 🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜
@augustinesombi6285
@augustinesombi6285 3 ай бұрын
Sasa kwann mlikuwa mnamtukana JPM,,, mzee wangu nakuombea Sana, ulivyofariki,, na mm kama mjasiriamali mdogo nikafilisika, love JPM, R.I.P my president
@user-jc8vi7hm6e
@user-jc8vi7hm6e 3 ай бұрын
Wewe ni kama mimi ndugu yangu toka pale kila kitu kimefilisika
@josephmantago2837
@josephmantago2837 3 ай бұрын
Hoja yko nn
@ramadhanmwandambotuntufye5972
@ramadhanmwandambotuntufye5972 3 ай бұрын
Hata yeye hakuwa na jipya hata huyo anayepiga kelele akipewa nchi naye atakuwa ni wale wale tu.
@user-oh6pc7zd4s
@user-oh6pc7zd4s 3 ай бұрын
Muuaji yule aliepoteza roho za wanyonge kibao duu bado mnamkumbuka yule dictator?Aaaa ok kwa sababu hawajauliwa baba zako,wajomba zako,ndugu zako wala kutekwa na kubambikiziwa kesi za uongo wewe ni aina ya watu wabinafsi na wenye roho mbaya ya wengine hayakuhusu.Una roho kam ya Magu ukikosolewa kixogo tu umeondoka na roho ya mtu.Poor on uuuuu.
@aishaabrahaman9957
@aishaabrahaman9957 3 ай бұрын
​@@user-oh6pc7zd4sweweee mavuzi kweli
@silivestatesha9262
@silivestatesha9262 3 ай бұрын
Unapesa sana mbowe mungu kakubariki sana nautajiri naumarufu watu wamachame tuna kukubali sana kaka yetu mboe
@DeficitNuts
@DeficitNuts 3 ай бұрын
Hongera kwa kupewa kazi ya kubisha kuwa kweli ile SIO MAITI 🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜
@JacksonMartin-pb2vq
@JacksonMartin-pb2vq 3 ай бұрын
Mlikuwa wabunge mbona hamkupeleka hoja bungeni mpunguziwe ni unafiki tu
@StevenGendo-vx9jo
@StevenGendo-vx9jo 3 ай бұрын
Nyambole ww
@StephanoMoses
@StephanoMoses 3 ай бұрын
Mkumas ww
@boniventurehussein7276
@boniventurehussein7276 3 ай бұрын
😢eh mungu tusaidie maskini wa Tanzania maana ya mke.nini? Nikumhudumia mumeo analipwaje tena? Da😢😢😢😢
@DeficitNuts
@DeficitNuts 3 ай бұрын
Hongera kwa kupewa kazi ya kubisha kuwa kweli ile SIO MAITI 🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 3 ай бұрын
Tangu dunia iumbwe maisha hayajawahi kuwa rahisi! Sema sera mzee Acha kukauka koo bure!😂😂
@Mumewangu
@Mumewangu 3 ай бұрын
Kweli kabisa anapandikiza chuki kwa police
@luckiiinuswe1725
@luckiiinuswe1725 3 ай бұрын
Nyie n mitapeli mnaopinga​@@Mumewangu
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 3 ай бұрын
​@@luckiiinuswe1725tena yakupindukia
@AdenAdiliano-rh8zf
@AdenAdiliano-rh8zf 3 ай бұрын
Hata wewe mwenyewe ungekua Rais haya tusingeyasikia Mimi siko na Chama ila Wana siasa waliowengi ni kujali familia zao to
@user-ox4fv4cf5l
@user-ox4fv4cf5l 3 ай бұрын
NA YEYE ATWAMBIE YALE MABILIONI YA RUZUKU WALIYOPEWA NA MH.SAMIA YAKO WAPI??
@timcee2670
@timcee2670 3 ай бұрын
ni kodi za wananchi sio pesa za Samia, kwenye demokrasia ni lazima na sio ombi kila chama kipewe ruzuku
@peterjengela1770
@peterjengela1770 3 ай бұрын
Ruzuku ya chama wamenunulia jengo ambalo sasa ni OFISI YA CHAMA DAR NA TAIFA
@simonitaagesti4765
@simonitaagesti4765 3 ай бұрын
mbona kipindi upo mbunge ukuleta izo hoja ndugu yngu kwani miaka yako hao walimu awakuwepo
@augustinesombi6285
@augustinesombi6285 3 ай бұрын
Waambie kabisa,,kelele tu leo
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 3 ай бұрын
Nikweli, Ila alichosema pia nikweli
@AugustKisaka-qy7kl
@AugustKisaka-qy7kl 3 ай бұрын
Nikiwa raisi ya nchi hii mbuge atalipwa kama walimu wa kawaida ,shule zimechakaa ,azina rangi mnalipwa Hela kibao
@DeficitNuts
@DeficitNuts 3 ай бұрын
Hongera kwa kupewa kazi ya kubisha kuwa kweli ile SIO MAITI 🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜
@user-gc5vf8sh7f
@user-gc5vf8sh7f 3 ай бұрын
Yaan mda mwingine unawezasema "mimi si M tz,mana hatuelewi, Najua kuna viongoz wa upinzani wanatufungua masikio, Asante kamanda Mboe🎉
@abbassaid9305
@abbassaid9305 3 ай бұрын
Mbona kipindi upo bungeni ulikua hulalamiki upunguziwe mshahàra mzee acha unafiki
@godfreyvedastus4329
@godfreyvedastus4329 3 ай бұрын
Kwani kipindi kile yy akiwa bungeni ww chakula ulikuwa unanunua bei geni? Je, mishahara ya Walimu na police ya kipindi kile na leo imebadilika kama ilivyo ya wabunge wa leo?
@dignakanje4508
@dignakanje4508 3 ай бұрын
Yesu kristu mbinguni,kweli alisema magufuli hii nchi inshla narisilimali kubwa,sasa kwahyo baba yngu lazima umasikini uwepo mkubwa,hli yamaisha IWE ngumu kuliko,vitu virakuwa juu sana,mabando ytakuwa juu sana,kwasababu tu wameamua kujilimbikizia Mali nafedha.Hawezi kukubali kubadilisha katiba miaka mia.Kwapesa hizo wanazopkea,nastarehee hizo turasali jmn.Duuu mpka moyo unagonga
@thomasmichaellukumai-ny7se
@thomasmichaellukumai-ny7se 3 ай бұрын
Mbona ukuongea ukiwa uko ukusema hayo
@DeficitNuts
@DeficitNuts 3 ай бұрын
Hongera kwa kupewa kazi ya kubisha kuwa kweli ile SIO MAITI 🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜
@user-fn1iv1hk6h
@user-fn1iv1hk6h 3 ай бұрын
Wa600
@user-bm4nu8xp4t
@user-bm4nu8xp4t 3 ай бұрын
Hawa wanafki tu. Kama mlkuwa mnalipwa mil.13 hamkuona tatzo kipndi hicho mkaibua leo hii mpo nje ya system ndo mnajifanya kuongea. Mungu atusaidie sisi watanzania
@godfreyvedastus4329
@godfreyvedastus4329 3 ай бұрын
Gharama za maisha za kipindi kile na sasa zimebadilika sana, kama wao wamejiongezea mishahara kulingana na Hali ya maisha je hili kundi lingine linaishije? Kuweni welewa basi mbona mnafikiri kwa chuki na kuchukulia mambo kirahisi?
@rukiauwonde7062
@rukiauwonde7062 3 ай бұрын
Leo ndo mnasema kwa kua hampo mafarakan mbona mlivyokuwepo madarakan hamkusema?
@Enugundani8299
@Enugundani8299 3 ай бұрын
Hapo ndiyo unasema nn dada?
@monicamwita7865
@monicamwita7865 3 ай бұрын
Kwa taarifa yako. Alipokuwa bungeni, wabunge wa upinzani ndiyo wanaotutetea.
@ezekieldeus6022
@ezekieldeus6022 2 ай бұрын
Hivi nikwanini, watz, wale wanaopata nafasi za ajira serikalini wanajipa haki zaidi ya gawio la keki ya nchi hii kuliko hili kundi la watz, wa nchi hii?. Je hiyo ndiyo haki?.
@zakariamachinga151
@zakariamachinga151 3 ай бұрын
Mwenyewe mwizi wa Madini Tanzanite ndiko umepata fedha mboe tunakufaham sana, Dawa yako alikuwa Magu.. katiba ya Watanzania na sisi wenyewe inatutosha sana , sehemu ya kubadili ni hakuna vyama vingi kimabaki chama kimoja
@amoslameck2601
@amoslameck2601 3 ай бұрын
Mhhh kumbe nayeye ana serikali
@KamwandaNzowa-eo4ur
@KamwandaNzowa-eo4ur 3 ай бұрын
Kama kweli Kuna serikali isiyo na huruma ni hii ya ccm
@patriciamuganda4498
@patriciamuganda4498 3 ай бұрын
Ni uchoyo, ubinafsi na roho mbaya. Ina maana mtu katokea kwenye background ya kimaskini hajali watu wengine wanaoteseka. Wao wanaona kuwa nchi hii ni Yao tu na kila resources belongs to them. "Its I, Me And Myself". Lakini hiyo ni mentality ya watu waliotoka kwenye background ya umaskini kawaida wanataka ku grab kila kitu as if there is no tomorrow.
@AyubuMwalongo
@AyubuMwalongo 3 ай бұрын
Siku moja nikifa niende mbinguni. Amen 😭😭😭😭😭
@DeficitNuts
@DeficitNuts 3 ай бұрын
Hongera kwa kupewa kazi ya kubisha kuwa kweli ile SIO MAITI 🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜
@rev.livingstoneelihuruma-fk7es
@rev.livingstoneelihuruma-fk7es 3 ай бұрын
MUNGU atuinulie viongozi wazalendo watakaotuongoza kuijenga nchi yetu kwa moyo.
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 3 ай бұрын
Wanasiasa ndio munaoongoza kuila Nchi Wewe Mbowe mwenyewe hapo Na CHADEMA yako Munakula mamilioni ya Ruzuku kutoka ktk kodi za wananchi maskini
@StevenGendo-vx9jo
@StevenGendo-vx9jo 3 ай бұрын
Kamwambie baba ako nae ale
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 3 ай бұрын
@@StevenGendo-vx9jo Mdingi ni Mkulima maskini Bahi hapa Analima alizeti tu Sio MWANASIASA kama Mbowe
@hamidumpiga6283
@hamidumpiga6283 3 ай бұрын
Ulipokuwepo bungeni ulipokea na ukakataa,umetoka leo unatomboka tombola acha unafiki
@DeficitNuts
@DeficitNuts 3 ай бұрын
Hongera kwa kupewa kazi ya kubisha kuwa kweli ile SIO MAITI 🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 3 ай бұрын
Raus kapata wapi pesa ya kumpa mbowe ameuza karafuu huko zanzbar acha ujinga pesa zote ni za kwetu. Walipa Kodi kakojoe ulale
@V24hrs
@V24hrs 3 ай бұрын
Mwenyekiti wa milele .
@DeficitNuts
@DeficitNuts 3 ай бұрын
Hongera kwa kupewa kazi ya kubisha kuwa kweli ile SIO MAITI 🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜
@allytv1714
@allytv1714 3 ай бұрын
Watanzania awawezi elewa unachoongea kama siyo mzalendo jamani mbn izo pesa za raia wanagawana ivo na family zao
@stephenwakunyala4004
@stephenwakunyala4004 3 ай бұрын
Kweli Imekuwa Selikali ya Matapeli kwa Mishahara hiyo
@kingmpeto4510
@kingmpeto4510 3 ай бұрын
Kumbe mbowe nae unasauti ya kike mzr kiasi icho kwa Nini usingekua mtoto wa kike tu tujue 1😂😂
@user-mm6fe9vz2p
@user-mm6fe9vz2p 3 ай бұрын
Unastahili kuwa raise wa nchi hii
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke 3 ай бұрын
Jidanganye
@nabimanyafesto5014
@nabimanyafesto5014 3 ай бұрын
Ndiyo maana tunaumizwa sana, na deni la Taifa kupanda.
@AdamSaffi211
@AdamSaffi211 3 ай бұрын
Watu tuna akili ya nzi, hawakuelewi hao, CCM watakula mpaka waharishe na kutapika
@methewbuzuruga-eg8oz
@methewbuzuruga-eg8oz 3 ай бұрын
Yaani ndugu yangu mbowe maneno hayo maneno yako yanatuumiza sana sisi wanyonge ila maneno hayo kwa jamaa zetu ndiyo kabisa hawakubali katiba kabisa
@ramadhanmwandambotuntufye5972
@ramadhanmwandambotuntufye5972 3 ай бұрын
Hapo tu kwenye pensheni ya ya maraisi waastafu, 80% na wake zao 60% , du inatisha!! Na mbunge naye mshahara million 18?kwa wengine nchi hii ni maskini , pesa hakuna , hali ikiwa nzuri , utasikia wakisema. Haya bana yetu macho. Haki iko mbinguni tu .
@saidabdus9014
@saidabdus9014 3 ай бұрын
Mlipokuwa mkilipwa mlikua mnapokea au mliacha?
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 3 ай бұрын
Zito Kuna kipindi alitoa hoja wapunguziwe mshahara hao wakiwa wabunge walitaka wamtenge wapuuzi sana hao
@paulmadundo8084
@paulmadundo8084 3 ай бұрын
miCCM MITUPU MBOWE HATARI
@TECHEASY101
@TECHEASY101 3 ай бұрын
👉kwakua uchaguzi unakaribia ningependa kuuliza .Hivi kipi kianze kati ya katiba mpya na uchaguzi.👉Je tuchague viongozi kwanza ili waende kutuongoza jinsi wanavyojua wao kwakua katiba ya sasa wananchi hawaitaki!👉.Au tuandike kwanza katiba mpya ambayo viongozi watakaoteuliwa baadae wawe na mwongozo ambao wananchi wameuchagua ya namna ya kutuongoza?. 👉Na kama tutaamua kuanza na katiba mpya kwanini uchaguzi usisogezwe mbele ili kuepusha kisingizio cha mda? Maana Uchaguzi ni kwaajili ya wananchi na katibampya ni kwa ajili ya wananchi kwaiyo wananchi si wanatakiwa waamue mambo haya wapate kwa mda gani? 🙏🙏
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 3 ай бұрын
Raia wa Tanzania wanadanganywa ka hawa wanasiasa. Wapi ambapo mfumo wa maisha haujapanda duniani? Wapi wabunge wanalipwa Mishahara midogo? Angasema kua anakwenda kurudisha sehemu ya pesa alizopewa bungeni
@Mumewangu
@Mumewangu 3 ай бұрын
Wameishiwa hawa
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 3 ай бұрын
Hatukatai wao kulipwa, tatizo kubwa wanajilipa wao Tu, wengine wanawalipa kidogo Hilo ndio tatizo
@user-hh3hu4eg1z
@user-hh3hu4eg1z 3 ай бұрын
Inawezekana Kodi yangu inawafanya watu wavimbe
@DeficitNuts
@DeficitNuts 3 ай бұрын
Hongera kwa kupewa kazi ya kubisha kuwa kweli ile SIO MAITI 🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜
@noelmaro7456
@noelmaro7456 3 ай бұрын
mbona walivyo kua bungen awajawai kulalamika wametoka ndo wanaanza kelele ambazo azina afya
@kelvinryoba779
@kelvinryoba779 3 ай бұрын
Hakika mwenyezi Mungu akupiganie tutakuwa mengi
@DeficitNuts
@DeficitNuts 3 ай бұрын
Hongera kwa kupewa kazi ya kubisha kuwa kweli ile SIO MAITI 🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜
@tabiasaidi2931
@tabiasaidi2931 3 ай бұрын
Ivi kweli huo ni mkutano wa hadhara au kikao cha familia
@ANRAHIMKADUMA
@ANRAHIMKADUMA 3 ай бұрын
Familia zinashindwa kusomesha watoto kumbe kuna mafedha yapo majumbani kwa viongozi punguzeni hizo zisaidie wengine
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 3 ай бұрын
Sija ona shida iko wapi ata wange kua wana lipwa mabilion si wame tumikia nchi pasavyo wacha waleo pesa zao.mpaka kufa
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 3 ай бұрын
Lakin kweli hii sawa aisee izo pesa ni Bora hata watoe mikopo isiyo na vikwazo kibao Hadi kuipata kwa mwananch mmoja mmoja sio had vikundi ili wafanye biashara lakn leo hii hata kuipata mikopo TU ni tabu wakat Kuna watu wanachezea pesa za nchi
@DeficitNuts
@DeficitNuts 3 ай бұрын
Hongera kwa kupewa kazi ya kubisha kuwa kweli ile SIO MAITI 🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜
@hamidumpiga6283
@hamidumpiga6283 3 ай бұрын
Kwanza mnaudini sana natulisha washtukia
@Enugundani8299
@Enugundani8299 3 ай бұрын
Anaesema udini ndiyo mdini, acha udini ndugu
@EdwardJohn-xz5oi
@EdwardJohn-xz5oi 3 ай бұрын
​@martinsindani8299Na ww umeona ehee
@efrahimphilipo4337
@efrahimphilipo4337 3 ай бұрын
Yaani tanzania rahisi sana kuongoza we tumia2 dini au ukanda unawaburuta kama kondoo waendao machinjioni hawana ata uwezo wa kufikiri hata kidogo oooh may lord have mercy on us
@erastomathias911
@erastomathias911 3 ай бұрын
Ni kweli kabixa
@DeficitNuts
@DeficitNuts 3 ай бұрын
Hongera kwa kupewa kazi ya kubisha kuwa kweli ile SIO MAITI 🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜
@AugustKisaka-qy7kl
@AugustKisaka-qy7kl 3 ай бұрын
Nawe mbowe kuwa mkweli mbona wakati ukiwa bungeni sijawahi sikia nondo kama hizi,ok tume amka katiba ni ya muhimu
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 3 ай бұрын
Leo maskini wanaletewa mchele wenye sumu na Marekan, watafanyaje, huku viongozi wa serikalini wanatafuna Mitaji ya maskini?
@DeficitNuts
@DeficitNuts 3 ай бұрын
Hongera kwa kupewa kazi ya kubisha kuwa kweli ile SIO MAITI 🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜
@noelmaro7456
@noelmaro7456 3 ай бұрын
wangeongea walivyo kua bungen ningeona ni akili
@AntonyDova
@AntonyDova 3 ай бұрын
Inatisha sana dah
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 3 ай бұрын
Kama kwel haya ni ya kwel badi ccm ni zaid ya shetan aliyeko dunian,
@user-le2ep5nq8c
@user-le2ep5nq8c 3 ай бұрын
Sawa sisi wastafu Wacha tufe na kikokoto
@katapaj2336
@katapaj2336 3 ай бұрын
Mboe ni ccm kubali kataa😂😂😂
@zakariamachinga151
@zakariamachinga151 3 ай бұрын
Mboe si masikin ni mwizi wa madini
@rizikifungo8717
@rizikifungo8717 3 ай бұрын
Miladi onesha uhalisia wa hadhara usidanganye
@husseinothman1257
@husseinothman1257 3 ай бұрын
Kwakuwa tu haupo mjengoni.
@edsonpetro3754
@edsonpetro3754 3 ай бұрын
Niatali
@ashahania5207
@ashahania5207 3 ай бұрын
Mhhhh! Ayaa!
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 3 ай бұрын
Hata wewe asali ya ubunge ulilamba na hukulalamika! Mbowe bwana! Toa sera zako! Wewe utafanyaje???😅😅😅
@Mumewangu
@Mumewangu 3 ай бұрын
Wameishiwa tu huyu
@amanmaleko3085
@amanmaleko3085 3 ай бұрын
Wambia maana watanzania sikiolakufa
@nicebatare2737
@nicebatare2737 3 ай бұрын
Ukapeleka wapi😂😂😂😂😂
@hemedisalim5522
@hemedisalim5522 3 ай бұрын
Wewe unataka apeleke wapi?
@user-xc7qj7ze7m
@user-xc7qj7ze7m 3 ай бұрын
Kweli blo kitaa kwa moto
@DeficitNuts
@DeficitNuts 3 ай бұрын
Hongera kwa kupewa kazi ya kubisha kuwa kweli ile SIO MAITI 🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜
@jafaryshuigwa9162
@jafaryshuigwa9162 3 ай бұрын
Wewe mwenyewe mchumia tumbo tu kama wachumia tumbo wengine na hauna hoja yoyote ya msingi zaidi ya kupiga kelele tu
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 3 ай бұрын
Nahamia Senegal soon
@DeficitNuts
@DeficitNuts 3 ай бұрын
Hongera kwa kupewa kazi ya kubisha kuwa kweli ile SIO MAITI 🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜
@mgoamkiza1117
@mgoamkiza1117 3 ай бұрын
Mboye unasera jamaangu bali huo ni uchonganishi
@kedricksiame6167
@kedricksiame6167 3 ай бұрын
Mpiga picture mbona kama wewe ni mwana CCM unavo piga huzingatii
@user-nz9eb4ud6y
@user-nz9eb4ud6y 3 ай бұрын
Hapa wanaotuangusha ni vyombo vya dola pindueni vitu ebo
@deodathsilayo3639
@deodathsilayo3639 3 ай бұрын
Bas akitusanua hiv mamwijaku yana mchukia
@DeficitNuts
@DeficitNuts 3 ай бұрын
Hongera kwa kupewa kazi ya kubisha kuwa kweli ile SIO MAITI 🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜
@Mumewangu
@Mumewangu 3 ай бұрын
Millard ayo umelipwa bei gani
@user-hi3ri5yc1r
@user-hi3ri5yc1r 3 ай бұрын
Wekula ugali tu hujielewi
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 3 ай бұрын
Hapo mbowe umeongea kama kamanda kwel
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 3 ай бұрын
Hii nchi tunakoenda sivyo jamani
@Mumewangu
@Mumewangu 3 ай бұрын
Hana lolote alipokuwopo Bungeni mbona aliluwa kimya
@youngchezo2744
@youngchezo2744 3 ай бұрын
Duuu!
@hamidumpiga6283
@hamidumpiga6283 3 ай бұрын
Kodi za ruzuku wanachukua ambazo ni kodi zetu wapumbavu
@gwamakagwamaka
@gwamakagwamaka 3 ай бұрын
Mungu akutunze mbowe ila watranzania baadhi yao in mazuzu wew tunakuombea kila itwapo leo
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 ай бұрын
Gwamaka Siasa mchezo mchafu je yeye kama angekuwa Rais angekataa mkewe asilipwe mshahara halooooo ya Ccm kila mtu anakula urefu wa kamba yake
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 3 ай бұрын
​​@@margarethpolepole7438Akili mbovu hio Bibie
@DeficitNuts
@DeficitNuts 3 ай бұрын
Hongera kwa kupewa kazi ya kubisha kuwa kweli ile SIO MAITI 🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜🚜
@yohanaisayasimoni
@yohanaisayasimoni 3 ай бұрын
Mishahara ya wabunge ipunguzwe hii itagarim taifa yetu
@user-oh6pc7zd4s
@user-oh6pc7zd4s 3 ай бұрын
DICTATOR WA DEMOKRASIA MNGANGANIA. MADARAKA JEE UKIPEWA NCHI WEWE UTAKUAJE?DU MINGU ATUNUZURU KWA MBALI KABISA.HUFAI HUNA DEMOKRASIA NA HATA HUIJUI.
@JosiaWmela
@JosiaWmela 3 ай бұрын
Mungu akupe neema uzid kuwapigania watanzania
@bundalaizina652
@bundalaizina652 3 ай бұрын
Mbona wafanyakazi wengine hawafanyiwi hivyo
@tabiasaidi2931
@tabiasaidi2931 3 ай бұрын
Ww una huruma na nan
@AugustKisaka-qy7kl
@AugustKisaka-qy7kl 3 ай бұрын
Katiba mbovu imepita muda wake
@laiserkuyan6075
@laiserkuyan6075 3 ай бұрын
Waaaaa mungu tunakuomba uikopoe nchi yetu sisi wananchi wa chini tunatezeka juu serikali ya uyu mama samia kila kitu imekua juu uko vizuri muechimiwa mbowe Taifa letu imeuswa na samia na kikwete na mkewe
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 3 ай бұрын
Hayo ni mazungumzo ya siasa, Mbowe akiwa Rais mpaka kuku wake atalipwa. Aache hizo, anaing'ang'ania IKULU kwa ajili ya tumbo lake na sio wananchi.
@Jal210
@Jal210 3 ай бұрын
Shukuru mungu Tanzania maendeleo mazuri nenda KENYA uone economic growth two chini
@Jal210
@Jal210 3 ай бұрын
Mbowe huna lolote umepotea mwelekeo
@StephanoMoses
@StephanoMoses 3 ай бұрын
Unagongwa na popo
@kingmpeto4510
@kingmpeto4510 3 ай бұрын
Kengeza wewe 😂😂😂 unaitfuna Chadema husemi umewaharibu vijana apo Chadema wengi wao hawana tofauti na Afande Rama wa Zanzibar ayo hamsemi. Chadema ni chama Cha udini na ukabila hamsemi mpo kim'ya chura nyinyi mwananiliwi ckuiz anapaka mkorogo ushamwaribu
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 ай бұрын
Mbowe ungekuwa wewe ndiyo Rais ungekataa mkeo asilipwe mshahara acha hayooo kila jambo na wakati wake mbona wewe ulikuwa unakunywa Faru John kuwatsfuna wabunge wako wa Viti maalum
@yuzotv458
@yuzotv458 3 ай бұрын
SHKAMOO SIASA,UKIIJUA HII HAIKUPI SHIDA😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.use your brain.
@marceljohnkimaty4986
@marceljohnkimaty4986 3 ай бұрын
Hata mlipokuwa mnakula milioni 13 hazikuwa chache. Za sasa 18 zinawauma kwa sababu mmezikosa. Shame on you!
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 3 ай бұрын
Ingawa na wewe ulikula ule mpunga, bado wenye busara tunakubali kuwa maneno yako ni mazito na ya msingi, ni wakati sasa wa kuamka,,,,ingawa tunashindwa sasa tumpe nani ikiwa wewe mwenyewe ulikuwepo bungeni na ukala mpunga mkubwa huku polisi, walimu na watumishi wengine wa serikali wakilipwa kiduchu
@joojombi2341
@joojombi2341 3 ай бұрын
Mbna duniani kote maisha yamepanda mpuuzi wee
@stevenmariwa5197
@stevenmariwa5197 3 ай бұрын
Kakojoe ukalale wew Bado hujui maana halisi ya maisha ya mtanzania
@joojombi2341
@joojombi2341 3 ай бұрын
@@stevenmariwa5197 hakuna chochote maisha magumu duniani kote c Tanzania tu nenda Kenya Uganda ukaone. Wamekosa hoja now ni kubwajaja tu hata hawaoni aibu mafatani na waongo wakubwa hata dini zao hawaziogopi kwa maneno ya uongo ufatani mtupu
@joojombi2341
@joojombi2341 3 ай бұрын
@@stevenmariwa5197 wee c mkenge tu fatani mkubwa kama wao mlokosa issues mnahangaika na uongo mtupu. Njoo Zanzibar tukulee Maandazi wahed
@allymahiyo2464
@allymahiyo2464 3 ай бұрын
Mjomba hauna point sikuiz umekua kama mbwa Koko.
@joojombi2341
@joojombi2341 3 ай бұрын
Fatani mkubwa mchochezi mkubwa huna hoja mkenge mkubwa
@joycerichard9274
@joycerichard9274 3 ай бұрын
Kama wewe ni kiongozi jibu Kwa hoja
LIVE: YANGA WANATOA TAMKO MUDA HUU
1:34:32
Millard Ayo
Рет қаралды 137 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 28 МЛН
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 138 МЛН
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН
Каха и суп
00:39
К-Media
Рет қаралды 5 МЛН
#LIVE: FREEMAN MBOWE ANAZUNGUMZA MUDA HUU
32:25
Millard Ayo
Рет қаралды 6 М.
THE GHOST IN THE MACHINE
3:36:55
Machine Learning Street Talk
Рет қаралды 866 М.
HATMA YA TRUMP BAADA YA KUKUTWA NA HATIA
6:13
VOA Swahili
Рет қаралды 1,2 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 28 МЛН