MBOWE AWEKA MSIMAMO MKALI ,HATUTARUDI NYUMA " HUU NI MWEZI WA MAJONZI"

  Рет қаралды 54,882

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►KZbin: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Пікірлер: 310
@andrewmushi8274
@andrewmushi8274 10 сағат бұрын
Mungu akutunze na kukulinda Mh.Mbowe na viongozi wote wenye mtazamo chanja juu ya nchi yetu
@phillipmasungwa7365
@phillipmasungwa7365 11 сағат бұрын
MBOWE UPO SAHIHI KABISA.
@Hashimu-e2i
@Hashimu-e2i 11 сағат бұрын
Mungu akubaliki mbowe
@jongosalehe1036
@jongosalehe1036 11 сағат бұрын
M4C congratulations sana lazima watu waishi vzr kabisa serikali ya sasa inadidimiza sana wananchiiii
@binseif2216
@binseif2216 11 сағат бұрын
Magufuli 4 change
@Zuwenamachela
@Zuwenamachela 10 сағат бұрын
Imedidimiza wananchi Kwa lip
@mynameisindicated
@mynameisindicated Сағат бұрын
​@@binseif2216😂😂😂😂😂
@saigurannekoren7522
@saigurannekoren7522 9 сағат бұрын
Mbowe n genius wa siasa, a very humble Man
@ireneshao7950
@ireneshao7950 11 сағат бұрын
Mbele kwa mbele na Mungu tusaidie
@plujoncylugano4611
@plujoncylugano4611 9 сағат бұрын
Mh.Mbowe Rais ajae hakika anaweza sana
@abouAtqaah
@abouAtqaah 7 сағат бұрын
Atafika kufa hawezi kuwa raisi
@onlythestrong8659
@onlythestrong8659 2 сағат бұрын
Hawezi kugombea tena. Sheria ni kwamba ukisha gombea mara mbili huruhusiwi tena. Kwahiyo alie baki ni yoyote katika chama chake. Lissu❤
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 7 сағат бұрын
Mbowe tuvushe, unapigwa mawe sana, kwa kuwa una matunda. 🙏🏽
@mohoniajoseph9067
@mohoniajoseph9067 9 сағат бұрын
Mzee Mbowe ana hekima kubwa sana, basi tu CCM ni kichwa ngumu wangeshikamana
@LazaroMwakasege
@LazaroMwakasege 11 сағат бұрын
Ongera sana kamanda mungu akulinde na udhalimu unaoendelea kwa tunao mujua mungu hatupaswi kutenda mabaya
@Zuwenamachela
@Zuwenamachela 10 сағат бұрын
Lazima umpongeze kafiri mwenzio Maana yeye ni askof naww ni mfuas wake Kwahyo sawa lkn fahamuni kuwa muda utaongea Inshaallah mnapitia Kweny kisingizio cha siasa kumbe Nyuma ni kanisa na ukafiri kwani ni mara ya kwanza watu kutekwa nchi hii mbn waislam walruseswameuawa Zanzibar kipindi cha Mkapa na kipindi cha magufuli huyo aaskof alikuwa wap au muislam akifa sawa ila mtu wa chadema anathamani kuliko wengine wanaokufa et kisha unasema demokrasia anzia kwako umetawla. Miaka mingp Kama mwenykiti wa kanisa la chadema mbwa foolish
@CollinsMacha
@CollinsMacha 11 сағат бұрын
Mungu tu saidie Tz
@rajababrahman4365
@rajababrahman4365 2 сағат бұрын
Mungu akubariki sana Akutumze na kukuweka salama Hila za machawa ziparaganyike Mungu tusaidie Tanzania 🇹🇿 Mungu tumevamiwa na machawa tunaomba tusaidie
@LeonardEdward-fb2bn
@LeonardEdward-fb2bn 7 сағат бұрын
Binafsi mbowe namwelewa saaaana,, very Smart
@hoseanobocka7140
@hoseanobocka7140 46 минут бұрын
Mbowe ana uwezo mkubwa mno wa kufikiria Yuko smart sana kichwani
@iddiakule7844
@iddiakule7844 10 сағат бұрын
We ndio mwamba wa demokrasia nchi hii
@anicetnhegetela
@anicetnhegetela 8 сағат бұрын
A very nice,and confident speech
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 8 сағат бұрын
Uyu mmama awezituongoza Bali anaweza kutuondoa katika urithi wa aridhi ya nchii ambayo Mungu alituweka😢😢😢
@nyembobea7285
@nyembobea7285 3 сағат бұрын
Mbowe hazungumzi kwakejeli kama wewe unavyomuita rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania daktari samia suluhu hassan mitano tena umelaaniwa wewe na mwalimu wako lisu jinsi anavyo muita rais wa nchi huyu mama kingine hivi katiba yenu chadema ni mbowe kukaa kama chairman maisha huu mwezi ni wa majonzi kwenu chadema vipi asiimwe kule bukoba na wale watu watatu dodoma nyinyi hawawahusu ccm walikuwa wanauliwa kibiti hamkuomboleza mlikaa kimya sasa uchaguzi ukaribia mmeanzisha siasa
@jacksonrange3926
@jacksonrange3926 9 сағат бұрын
Inauma sana kumteka na kumuua mtu et..kisa yy ni chama tofauti na ww inauma sanaaaaaa
@user-yp9qh6cb7q
@user-yp9qh6cb7q 9 сағат бұрын
Mbowe ww ni kiongozi makini sana Mungu wa mbingun akubariki sana
@gililwise
@gililwise 4 сағат бұрын
Asante.sana kaka mi siyo mpinzani ila uhai wa mtu ni zawadi binadamu anayopewa na Mungu naomba uheshimiwe.ameen
@hoseanobocka7140
@hoseanobocka7140 45 минут бұрын
Safi sana wewe unajielewa sana kaka big up
@ntegrity277
@ntegrity277 8 сағат бұрын
Freeman as your name! Very smart man
@NicIbrahim
@NicIbrahim 11 сағат бұрын
God 🙏 be with you
@salamwajeka-yo6su
@salamwajeka-yo6su 10 сағат бұрын
Mungu akubariki akupe ulinzi imara
@ntegrity277
@ntegrity277 8 сағат бұрын
HUYU SIO MTU WA KAWAIDA, MBOWE IS SMART KIKUBWA NI KUWA NA KIONGOZI WA UPINZANI AMBAYE HANA NJAA
@DorkasKamau
@DorkasKamau 11 сағат бұрын
God bless you
@JacobMbosalee
@JacobMbosalee 10 сағат бұрын
Mr MBOWE well said
@hoseamwambambale3503
@hoseamwambambale3503 11 сағат бұрын
Ukweli wako we mzee nacho kukubali maneno yako yamejaa busala na hekima ukweli we unafaa kua kio cha jamii mzee
@eatlawe
@eatlawe 9 сағат бұрын
Huyu mtu ni kiogozi bila maswali!
@josephmallya5525
@josephmallya5525 8 сағат бұрын
Asante kaka wa Taifa
@salvatorymushi2038
@salvatorymushi2038 8 сағат бұрын
Mzee upo smart sana Natamani nijiunge kwa hiki chama
@neemanziku5403
@neemanziku5403 7 сағат бұрын
Jiunge Kaka toka huko kwenye chama Cha shetan ccm
@salvatorymushi2038
@salvatorymushi2038 7 сағат бұрын
@@neemanziku5403 fanya namna nijiunge
@HappyKate-jv6ge
@HappyKate-jv6ge 5 сағат бұрын
Karibu kaka salvatory mlango upo wazima CHADEMA ni chama Cha watu, people's power
@salvatorymushi2038
@salvatorymushi2038 4 сағат бұрын
@@HappyKate-jv6ge 👍👍
@prospermsemwa1433
@prospermsemwa1433 6 сағат бұрын
Hotuba ya mbowe ni zaidi ya hotuba ya presdent😊
@helencyprian8745
@helencyprian8745 5 сағат бұрын
Kabisa kabisa
@zaherashamte1058
@zaherashamte1058 9 сағат бұрын
❤nakupenda
@Ars-t2k
@Ars-t2k 10 сағат бұрын
Pole sana mkuu. Tupo pamoja
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 4 сағат бұрын
Nice speech CHAMP. ✌️
@JoelRichard-hj3bi
@JoelRichard-hj3bi Сағат бұрын
Thanks a lot genius mbowe.
@alexanderchacha8585
@alexanderchacha8585 5 сағат бұрын
Mbowe ni mtu Makini sana Mungu akutunze
@Mrkigoma
@Mrkigoma 5 сағат бұрын
Mbowe mkarimu saaaaaana ❤🎉
@sixberthcostantini9290
@sixberthcostantini9290 5 сағат бұрын
Mungu azidi kukupa hekima siku zote Nimeskiliza unavyoongea kiukweli umeonyesha kuongea kwa uchungu sana MUNGU azidi kukutunza
@happymrema7487
@happymrema7487 10 сағат бұрын
Ccm must go
@shaibushalo9805
@shaibushalo9805 6 сағат бұрын
Very nice speech
@GodfreySospeter-f7r
@GodfreySospeter-f7r 11 сағат бұрын
Tuna kuunga mkono japo ss sio chadema.
@drisakamwakitalima1937
@drisakamwakitalima1937 9 сағат бұрын
😂 Sawa ACT
@nnanikakwambiaukristonidin3236
@nnanikakwambiaukristonidin3236 8 сағат бұрын
Exactly ​@@drisakamwakitalima1937
@yaronaWilliam
@yaronaWilliam 4 сағат бұрын
God be with you Mbowe!.
@selemankishema5780
@selemankishema5780 6 сағат бұрын
Naona umetumwa na maadui wa nchi hii inshallah utakufa na fitna yako inshallah
@faustinedeogratias4337
@faustinedeogratias4337 5 сағат бұрын
Umechagua kukoment pasipo kumsikiliza
@dionismutayoba3542
@dionismutayoba3542 5 сағат бұрын
Wewe uliyetoa comment kichwa chako ni sufuli kinalinda meno tu.
@emmapaul1766
@emmapaul1766 5 сағат бұрын
Wewe kuma jiangalie na maKuma wenzio watekaji na wauwa watu.
@gililwise
@gililwise 4 сағат бұрын
Utakufa kwanza wewe mpumbavu ambye humjui Mungu.
@haikaelkiwia9705
@haikaelkiwia9705 3 сағат бұрын
Mikenge ipo mingi waache watu wenye busara waongee, ww ni mmojawapo wa wauaji
@DormanDorman-jm3dz
@DormanDorman-jm3dz 11 сағат бұрын
ALIEKUFA NI MUISLAM MWENZETU NA ALIEMDHULUMU ROHO YKE TUNAMUACHIA MUNGU NA KWA IMANI YETU YA KIISLAM HATUNA ZAIDI ILA NI KUSEMA INNA LILAH WAYNA ILA HI RAJ OUN.. HAYO MENGINE MALIZIENI WENYEWE LKN MAMA YETU MSITUNYANYASIE HUYO ANA KWAO KUZURI TU.. .
@gwajimagwajima
@gwajimagwajima 8 сағат бұрын
Mpuuzi ww si mwislam Acha kuongea ujinga ,kisa mwislam ndio aachie watu wauliwe na mfumo,kama kashindwa aondoke anajua kila kitu kwani anatetea ,hakuuliwa Baba yako ndio maana huna uchungu Acha uchoko ww
@LemaRapoi-np2gs
@LemaRapoi-np2gs 4 сағат бұрын
Wewe mbowe tunakuombea mungu akulinde mpaka mtuvushe wewe ndio kiongoziebora
@EmmanuelJoseph-mn9jr
@EmmanuelJoseph-mn9jr 10 сағат бұрын
❌❌❌HOTUBA YA RAIS SAMIA NILIOGOPA SANA ALISEMA KIFO NI KIFO TU HIVI AKIJA KUPOTE MTOTO WAKE AU MME WAKE AU MAMA AKE JE ATAKUJA JUKWAAN NA KUSEMA KUWA KIFO NI KIFO TU AISEE BADARA
@DAVDChalse-db6tz
@DAVDChalse-db6tz 6 сағат бұрын
Samia hatufai hata kdogo Watanganyika. atatupeleka pabaya Tumuomben Sana Mungu atuondolee huyu Shetan ikibd tufanye kila linalowezekana ili kuinusuru Nchi Yetu
@helencyprian8745
@helencyprian8745 5 сағат бұрын
Maandiko yanasema kiburi huleta magomvi
@fraickobatista8021
@fraickobatista8021 Сағат бұрын
Mambo
@MkingaJulius
@MkingaJulius 10 сағат бұрын
Kwani CCM ni mungu hata kuongoza daima hatutaki imetosha
@mussakingazi8875
@mussakingazi8875 8 сағат бұрын
Mungu haandikwi kwa herufi ndogo, badilika
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq 7 сағат бұрын
Kwa upole hatuwezi kufika inchi ya ahadi razima tuonyeshe makali pale tunapo onewa huku wengine wakichekelea huku sote tuna haki lazima tuzungumze ukweli hivi vyombo vya Dola vinalinda chama tawala
@EdwardKwiyanga
@EdwardKwiyanga 6 сағат бұрын
Kwa kweli inauma xn ktk taifa letu la TZ
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 11 сағат бұрын
Alie mchagua Muñgu kwa haki anamjua Alie wake kila chenye hakikitabaki haki
@ShehaHaji-k8t
@ShehaHaji-k8t 11 сағат бұрын
Hahaha Kawa mpole kisa pana wachunguzi ktoka nje,, Nyoka wa taifa uyo hana wema na ruhusa imetoka ata katika vitabu ukimuona nyoka muuwe,,
@MweraRiro
@MweraRiro 11 сағат бұрын
Bora ya nyoka kuliko kinyonga maana ukimuona nyoka Leo ,na kesho ukimuona atakuwa Yule Yule lakini kinyonga Leo ukimuona kesho ukikutana nae hutaamini kama ni yeye maana mwendo na rangi yake sivyo alivyokuwa navyo jana
@israelfutte214
@israelfutte214 10 сағат бұрын
Unamusemo yenye afya kwa wasiyo na afya ktk akili
@levissanga8867
@levissanga8867 10 сағат бұрын
Ukweli siku zote damu na uongo. Mungu ibariki Tanzania tuondokane na umwagaji damu zisizo na hatia
@MasterPetro-oj1fd
@MasterPetro-oj1fd 10 сағат бұрын
Kwanini?
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo 9 сағат бұрын
@@MweraRiroSahihi
@JosephTarimo-c5h
@JosephTarimo-c5h 9 сағат бұрын
Hongera baba kwa hekima uliyo nayo
@yousuphnzira3209
@yousuphnzira3209 11 сағат бұрын
Hivi haya mazungu mbona sisi waafrika hatuendi kuchunguza kwao wapuuzi hawa.Waache tuchunguze wenyewe vifo na utekaji wa ndugu zetu kwasababu kifo cha Ally Kibao Kimeniuma sana aisee.Ila haya mazungu ukiona sehemu yoyote yenye machafuko kuna fitna zao.
@peterjosephat6685
@peterjosephat6685 11 сағат бұрын
Achaujinga hakuna uchunguzi wajambo lolote uliowai kufika mwisho na majibu yakapatikana
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc 10 сағат бұрын
​@@peterjosephat6685kabisa yaan hii tz
@josephlorri431
@josephlorri431 10 сағат бұрын
Kwa nini kifo cha kibao tu kikuume.. vipi kuhusu mwangosi, kuhusu Ben saanane,nk.. tupiganie maisha ya kila mtu,tusilete ubaguzi..kila mtanzania anayo haki ya kufurahia maisha ndani ya nchi yetu
@emanueldunia0014
@emanueldunia0014 10 сағат бұрын
​@@josephlorri431hao uliowataja uchunguzi umetoka Hadi Leo??
@josephlorri431
@josephlorri431 10 сағат бұрын
@@emanueldunia0014 Bado... viongozi tuliowaweka madarakani wafuate utawala wa sheria
@matiredms917
@matiredms917 10 сағат бұрын
Nimemshangaa sana Mh. Sinde Warioba anasisitiza umuhimu wa amani bila kuzungumzia upande wa pili wa amani ambao ni HAKI ambayo ni nguzo muhimu ya AMANI!
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 11 сағат бұрын
Nyie mafisiemu muulizeni farao na mungu kati yao nani alishinda endeleeni tuone nani mshindi
@Samuelmanga-r7z
@Samuelmanga-r7z 11 сағат бұрын
Namkubal mbowe kama ww ccm acha tufanye tunaloweza
@AbdallaMwagora-sm1rj
@AbdallaMwagora-sm1rj 11 сағат бұрын
Huyu ndie mwenye hadhi ya kua rais.
@neemamdami7466
@neemamdami7466 11 сағат бұрын
Rais wa Nchi gani ikiwa kwenye chama chake tu hataki kuachia uwenyekiti
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 10 сағат бұрын
Katika nchi ya awagagigikoko
@Zuwenamachela
@Zuwenamachela 9 сағат бұрын
Huyu nae karogwa mbowe awe rais kwa lipi mfano huyu ni zaid ya jambaz we muone hivoo anaudini mwingi mno naanaichukia hii serikali kwa kuwa inatawaliwa na muislam
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 9 сағат бұрын
RAIS gan ASE hatutak kwenye CHAMA hatak kuachia MADARAKA je akipewa NCHI itakuwaje
@Don.26Alien
@Don.26Alien 9 сағат бұрын
Mbn at kwa Magful alkua ivo tu... Acha udini ww...​@@Zuwenamachela
@richardgervas2310
@richardgervas2310 Сағат бұрын
Mbowe akili nyingi sana ,,wewe ndio kiongozi
@BungeyiSaiboku
@BungeyiSaiboku 9 сағат бұрын
Xafii sana mboe
@neemanziku5403
@neemanziku5403 7 сағат бұрын
Mbowe una akili hata maneno yako unapohutubia yanaleta raha ya kuendelea kuku sikiliza
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 9 сағат бұрын
ILA MSIJE MKA WAZA KWAMBA UDHAIFU WA CCM UNAWAPA NYIE UHALAL WA KUSHINDA HIVYO N VITU VIWIL TOFAUTI
@mahinyakeelvin2196
@mahinyakeelvin2196 4 сағат бұрын
Sio kwamba ni wazaifu Bali wameamua kuondoka na roho za watu
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 5 сағат бұрын
Ndio maana maccm yote yanaomba ufe ama uachie chama ili yakivuruge mungu akusimamie zaidi akupe umri wenye afya njema tuko pamoja sana watakufa wao washenzi hao
@pendobruno111
@pendobruno111 8 сағат бұрын
Mungu weka wazi wewe unaona pote jihirishe Bwana ili mioyo ifurahi kuwaona wenzetu
@godfreymjuni6752
@godfreymjuni6752 6 сағат бұрын
Safi sana , shida itakuja kwenye utendaji
@hajisaid2252
@hajisaid2252 10 сағат бұрын
True story
@praygodelisante6940
@praygodelisante6940 8 сағат бұрын
mh mboweee hotuba yako imenitoa machozi sana na kwakweli nimeumizwa na mambo yanayo endelea nchini kwetu kweli tunasema tuna uhuru na tuna amani ila hatua aman kwenye nchi yetu
@amanmalima940
@amanmalima940 9 сағат бұрын
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni HEBU mwamini YESU na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
@helencyprian8745
@helencyprian8745 5 сағат бұрын
Kuuwa ni jambo baya sana
@AbdallaMwagora-sm1rj
@AbdallaMwagora-sm1rj 10 сағат бұрын
Kama serekali haijui wanaoteka na kuua na vyama vya upinzani havijui Kila mtu hajui wahusika ni akina nani basi waje wachunguzi huru kama FBI au SCORTLAND YARD
@EliasPaul-qs2ib
@EliasPaul-qs2ib 9 сағат бұрын
Ujinga
@عمرانالحجري
@عمرانالحجري 10 сағат бұрын
Uyu mama mnaipoteza asili ya amani ya tanzania.
@AnnaFelix-p1z
@AnnaFelix-p1z 5 сағат бұрын
Tunaliya wenyewe wanacheka lakini mungu anajuwa atakavyofanya
@DaurdCharles
@DaurdCharles 9 сағат бұрын
Mtengenezee njia kiongozi ajaye mungu anakulinda hakuna atakaye kuweza maana uko mikononi mwa mungu aliyekuumba wewe nalema nguvu yamungu imewazunguka nayeyote atayeinuka juu yenu ataanguka yy
@AbdallaMwagora-sm1rj
@AbdallaMwagora-sm1rj 11 сағат бұрын
Tunalazimishwa kusahau watu waliotekwa ,tukilalamika tunasmbiwa ni kawaida hufanyika kila nchi .je Tanzania tupo kwenye mashindano ya upotezaji watu na nchi zingine?
@helencyprian8745
@helencyprian8745 5 сағат бұрын
Yaani inasikitisha sana jsmani
@PrinceByarugaba
@PrinceByarugaba 10 сағат бұрын
Nakupenda sana mbowe ❤
@mathayomwashambwa1238
@mathayomwashambwa1238 3 сағат бұрын
Mh. Mbowe umejaa utulivu, nadhani ulijifunza kwa Mwenyekiti mwenzako wa CCM, alighadhibika sana
@AkidaDaudi
@AkidaDaudi 11 сағат бұрын
Mbowe jisachi hapa je upo sawa kweli we .
@evansokemwa6587
@evansokemwa6587 11 сағат бұрын
anapendwa na wengi
@desmondchelango
@desmondchelango 10 сағат бұрын
Kiongozi hekima yako mikubwa natunaimani na viongozi wote wa chama cha demokrasia na maendeleo tutafuteni mabadiliko tuachwe kutekwa kamanimaandamano yafanyike kama watazuia maandamano basi tutafanya maandamano ya kuilinew Tanzania ili Tanzania ianze upya
@CalistusTitus-s5o
@CalistusTitus-s5o 11 сағат бұрын
Angalia waislam wasiojitambua mnavyo koment, shida waislam wengi shule hamkusoma. Mnachuki na mbowe katka lipi? Mbowe anatetea maslahi ya taifa. Kumbuka mzee kibao aliyeuwawa ni muislam pyua. Lakini aliuwawa. Ebu baadhi ya waislam kuweni na upeo wa elimu. Shida akitokea shekhe ubwabwa akasema kwamba samia anapingwa kwa sababu ya uislam wake, swali je CCM ni chama cha kiislam? Mbona viongozi wengi wa CCM ni wakristo? Kuweni na ufahamu kama wa mzee ama shekhe ponda
@saidkhelef4601
@saidkhelef4601 11 сағат бұрын
Kuma la mama yako
@MaulidiIddi-s2y
@MaulidiIddi-s2y 11 сағат бұрын
Achana na waislam we ndio hujitambui na huyo jambazi wako mbowe
@saidkhelef4601
@saidkhelef4601 11 сағат бұрын
Tutu
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 11 сағат бұрын
Kuku jike huyu unamtetea Ni mwenyekiti Kwa miaka 22 haiwezi kuwa kiongozi waislam Hawajaenda shule ndiyo wanailisha TANZANIA mkundu wako
@hopefully7090
@hopefully7090 10 сағат бұрын
Mnawalisha kwa lipi?​@@aediayumgo8546
@AbdulyMajaliwa-v4r
@AbdulyMajaliwa-v4r 9 сағат бұрын
Mbowe kichwa sana
@mwaamwetahussain9947
@mwaamwetahussain9947 11 сағат бұрын
Wazee wakupanick nko wapi
@AnnaFelix-p1z
@AnnaFelix-p1z 5 сағат бұрын
Mbowe tusaidie tuvushe baba wewe umebeba dhamana ya inchi semtu Samia hajuwi angejuwa angejiuzulu2 hafai kwakauli hata kuongoza wake alionao
@wisdomfolks
@wisdomfolks 7 сағат бұрын
Busara imetosha tunahitaji vitendo tu maana hawatusikii kabisa nakujiona wao ndo wanahaki kwenye hii nchi
@pendobruno111
@pendobruno111 8 сағат бұрын
Mungu ikiwezekana mapenzi yako yakatimizwe
@helencyprian8745
@helencyprian8745 5 сағат бұрын
Kabisa
@user-xi2mf4xh7r
@user-xi2mf4xh7r 6 сағат бұрын
Watanzania wengi hawaelewi kuandamana siyo uvunjifu wa ama ni ni kupaza sauti
@paulremigiuspaul3293
@paulremigiuspaul3293 9 сағат бұрын
Stand up with Justice being witnesses for God. And then even if it is against your own people. (Qur'an 4:135)
@AnnaFelix-p1z
@AnnaFelix-p1z 5 сағат бұрын
Kwanini wasiwateke na wengine? Nisisi2 chadema Nye mnaojiita Dola mtalipa
@MnubiMm
@MnubiMm 11 сағат бұрын
Mwenyekiti Kama unatenda haki na unazingatia katiba ya chedema na unatawala kwa haki bila ubabe Wala vitisho UTAFAULU lakini Kama wewe mbabe Kama wanavyosema HUTOBOI
@AbdallaMwagora-sm1rj
@AbdallaMwagora-sm1rj 11 сағат бұрын
Hizo ni fikra potofu zenye kejeli za KISIASA huwezi Kila mwana siasa ana lengo na lengo la mwenye kiti halitatimia mpaka mabadiliko ya kweli yapatikane nje ya ccm
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 7 сағат бұрын
Mbowe uko sahihi ila hayo Mazungu hayo sio majitu hayo hatuyataki yatatuhalibia nchi hayo ndio matekaji kunawatu yanawatumia hayo hatiyataki hayo yanachungulia mali zetu magufuli angefufuka angeyaona hayo sio majitu mazuri hayo
@jamesukombozi5216
@jamesukombozi5216 10 сағат бұрын
Kweli kabisa unajua sana kuongea, kumbuka maneno matupu hayatoshi kulisaidia TAIFA letu
@HassanNdauka-x1z
@HassanNdauka-x1z 5 сағат бұрын
Shika nae bunduki
@KhamisBoss
@KhamisBoss 11 сағат бұрын
Nakubal kipngoz
@nanubob1969
@nanubob1969 10 сағат бұрын
Kwa kweli hatudanganyiki!!! Tumekwisha kuelewa vizuri sana kupitia uongozi wako ktk chama chako! Is he really genune???
@yosephatMasanyiwa-oh1rl
@yosephatMasanyiwa-oh1rl 7 сағат бұрын
Mbowe hana tamaa na madaraka, wengi wao hawamzidi hata Mali alizo nazo ila yupo kwa ajili ya kuwapigania watanzania wanaoteseka ndani ya nchi Yao.
@SarahEdithchambo
@SarahEdithchambo 11 сағат бұрын
Sisi tunachoitajibamani jyiw tamilia zenu zote zipo ugaibuni
@HamzaHeri
@HamzaHeri 5 сағат бұрын
WEWE MUONGO MKUBWA MNAFIKI MUNGU ATAWAUMBUWA TU NINGE KUWA KIONGOZI WEWE MBOWE NINGE KUCHAPA MAKOFI TU
@mussamapesa8863
@mussamapesa8863 2 сағат бұрын
Mbowe hufai wewe kumbe na ww una kibri hujali watu wakiumua hujali unataka nn nchi iko poa imetulia kabisa acha uhuni wako
@abdulseif4093
@abdulseif4093 8 сағат бұрын
Ccm nchi imewashinda
@OmbeniShoo-kg8dr
@OmbeniShoo-kg8dr 9 сағат бұрын
Msingi wa Taifa lolote Si mtu Nini anataka kufanya akiwa na utawala Bali ni miungozo ya maandishi ya yaliwekwe kwenye kitabu kiitwacho KATIBA ndio msingi. Mfano tunaamini Mungu panashaka kupitia kilichoandikwa na kuishi Kwa tafisri sahihi
@ramadhanishabani807
@ramadhanishabani807 8 сағат бұрын
Lissu hana usmart wakua rais yeye apewe tu uwaziri lkn mweny sifa za kua raisi mbowe chadema
@mussamapesa8863
@mussamapesa8863 2 сағат бұрын
Naona wazungu wapo hapo nyuma wanakusikiliza kwa makini kama utakiuka makubaliano ya kuivuruga nchi
@melichmahingule2896
@melichmahingule2896 9 сағат бұрын
Acheni siasa mbakishe chama kimoja, mnasababisha watu kufa , kwani siasa ni lazima! Waachieni ccm watawale milele,, acheni tamaa
@MbeshiPaulo-b5o
@MbeshiPaulo-b5o 8 сағат бұрын
Unajielewa kweri wewe ulie sema waache ccm itawale milele wambie ccm wakatawale nyumban kwenu mbwa wewe
@babuDingi
@babuDingi 10 сағат бұрын
Ongela mbowe ongela chadema
Остановили аттракцион из-за дочки!
00:42
Victoria Portfolio
Рет қаралды 3,1 МЛН
Bend The Impossible Bar Win $1,000
00:57
Stokes Twins
Рет қаралды 49 МЛН
"WANAJIANDAA KUTUUA, TUNAJIANDAA KUFA!"
5:03
SK Media Online TV
Рет қаралды 5 М.