MBUNGE MUSUKUMA ACHARUANA NA KUNAMBI BUNGENI KISA HOTEL YA DODOMA NA SOKO LA NDUGAI "NDO NINI VILE?"

  Рет қаралды 115,455

Uhondo TV

Uhondo TV

Күн бұрын

#UhondoTV #Uhondo

Пікірлер: 51
@malembelakwiligwa7106
@malembelakwiligwa7106 Жыл бұрын
Nalipongeza sana kusukuma kwa hoja zako nzuri bungeni Mungu akubali sana amen
@malyavenance5197
@malyavenance5197 Жыл бұрын
Mhe king safi Sana taarifa zisizokuwa na mashiko usipokee kabisaaa
@kelvinimasagasi7398
@kelvinimasagasi7398 Жыл бұрын
SAFISANA Rw Darasa la saba king Msukuma Aslmilia 100% Spich yako
@johnsonbagambi1908
@johnsonbagambi1908 Жыл бұрын
Msukumaaaaaa👍🏼👍🏼👍🏼👍🏼
@Nedjadist
@Nedjadist Жыл бұрын
Usidharau elimu. Unatoa dhana mbaya kwa watoto. Dharau 'elimu ya Tanzania' Tatizo ni elimu ya Tanzania, kama tutaiita elimu au ni kujua kusoma na kuandika tu na hata hilo..., si elimu kwa ujumla. Hakuna nchi moja duniani iliyoendelea bila elimu. Tanzania ndiyo iko katika kujaribu!
@neemasazia-vg9sh
@neemasazia-vg9sh Жыл бұрын
Wee noma kaka Msukuma
@lirastanley390
@lirastanley390 Жыл бұрын
Darasa la 7 sio tatizo bali tatizo ni uelewa na utanabaishaji mambo yakinifu yanayopaswa kufikiriwa kwa kina na kufanyika kwa maendeleo ya taifa...safi sana msukuma umekomaa kisiasi na kila unavyozid kuwakilisha wananchi bungeni ndio unavyopanuka kiakil na kuzid kutuonyesha kuwa hata kama usome vp yan ukiwa na akili ni akili tu yani...safiiii...
@jacksonjamesndyabawe471
@jacksonjamesndyabawe471 Жыл бұрын
Msukuma anaongea point sana.. Hila hata vituo vya mabasi.. Sizani kama yanacost pesa nying hvyo.. Hila hospital and hotels ni biashara sio mbaya.. Point kaka
@ZagambaMnubi
@ZagambaMnubi Жыл бұрын
Wewe now umekuwa mchumia tumbo kelo za maji umeme hakuna mazungumzo
@peterpetermdaku1691
@peterpetermdaku1691 Жыл бұрын
Msukuma hatari sana💪💪
@athumanhassani9794
@athumanhassani9794 Жыл бұрын
Huku ccm kuna wajanjawanja wengi sana inabidi tubadilishe chama hakuna kiongozi kilasiku niwizi niwizi tuuuuuu hata haya hamna au amsikilizibungee
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Tunachotaka bwawa la mwalimu nyerere liishe kila kitu kimepanda bei maji hovyo umeme hovyo kila kitu kuhomola tu tumewachoka kabisa wabunge wote hamna kitu hapo
@collinsghambi7315
@collinsghambi7315 Жыл бұрын
Hamna dira nyiie
@mdemualphonce1559
@mdemualphonce1559 Жыл бұрын
Huyu msukuma aheshimu watu wa mbagala yeye mchunga ng'mbe Yuko bungeni Nani anahoji hivi chaurembo tunatukanwa wa mbagala unanyamaza tusemee
@mwassamwassa7264
@mwassamwassa7264 Жыл бұрын
Mnatafunana wenyewe
@ezekiamgimbaofficial5694
@ezekiamgimbaofficial5694 8 ай бұрын
Nikweli itakua shida kubwa pale
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Жыл бұрын
Air Port Chato inaingiza sh ngap we Msukuma au kwa vile hiyo Hotel haikujengwa Shinyanga, biashara ya Hotel sio Sawa na Madini return yake ni polepole , Kwahiyo Mhe Kunambi yuko sahihi alifikiria long term plan Mji au Jiji lazima liwe na vitega uchumi, Serikali inatoa huduma lakini isipo fanya biashara ni tatizo, ndio maana Nchi zilizoendelea Mabasi yote ya Mijini ya abiria ni ya Serikali
@jabarmalid5393
@jabarmalid5393 3 ай бұрын
drop off hotel. ni sahihi.
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 Жыл бұрын
Msu KUMA💪💪
@eddechriss2664
@eddechriss2664 Жыл бұрын
Wakati mwengine daktari wa mchongo apotosha watu sana
@coolruler6820
@coolruler6820 Жыл бұрын
Tatalizo si ujenzi,,,tatizo ni malengo,,,kila kitu kinataka mipango, hivyo basi kinachojengwa kiwe na mipango na hiyo mipango iendelezwe,,,tatizo kila serikali inayokuja inakuja na maono yake,,,nchi inatakiwa kuongozwa kwa mipango endelevu,,,ifike mahali sasa kila raisi anayeshika kiti iwe ni lazima kumalizia ya mtangulia wake ndipo aanze yake,,,sivyo basi mambo haya hayataisha
@lobulumollel9454
@lobulumollel9454 Жыл бұрын
Kabisaaa
@neemamdogo7052
@neemamdogo7052 Жыл бұрын
Msukuma upo sawa hata Mimi huwa naona Kati ya Jambo la ovyo ni ile hotel huwa na soko la ndugai na kituo Cha daladala ni madudu ya Kunambi
@suleimanabdull9069
@suleimanabdull9069 Жыл бұрын
Samahani ivi ni hotel ipi anaizungumzia hapa
@robsonwisdom1994
@robsonwisdom1994 Жыл бұрын
Mlimba to the world 🌎🌎🌎🌎🌎🌎🌎🌎
@emmanueldaudkatinda7096
@emmanueldaudkatinda7096 Жыл бұрын
Wambieee hawaerewi Yan
@timboxlee919
@timboxlee919 Жыл бұрын
Huyu mbunge msukuma ni mnafiki Sana, mkoa wake wa geita ni shida tupu, vumbi kila sehem hata maji hawana
@JumaLulanje-jn7qp
@JumaLulanje-jn7qp Жыл бұрын
Huku morogoro nikituko kimefanyika imejengwa stendi yadaladala polini na haitumiki hii nchi nomasana
@raphaelandrew2708
@raphaelandrew2708 Жыл бұрын
Zungumzeni point bila uoga wabunge msiwe bendera
@allexodongo4505
@allexodongo4505 Жыл бұрын
Mweshimiwa mbunge msukuma nakuelewa sana mchango yako
@edithlameck8170
@edithlameck8170 Жыл бұрын
Huyu professor Msukuma ni nona, yaani angekwenda shule angewakimbiza vilaza wote wavivu wa kufikiri
@crizostomsamson3543
@crizostomsamson3543 Жыл бұрын
Msukuma Ni munomaa
@loner_wolf
@loner_wolf Жыл бұрын
MAISHA YA BONGO - 20% hii hapa >>>> kzbin.info/www/bejne/Y5zQaoCMebGteJI
@emanuel798
@emanuel798 Жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀kingi kama king. Msukuma,👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋💯✔️🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺,inatisha baba lao.
@athumanhassani9794
@athumanhassani9794 Жыл бұрын
Huyu apaswi kuwa waziri
@reganringo9058
@reganringo9058 Жыл бұрын
Darasa la 7 oeeeeeee
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 Жыл бұрын
Bado wanatubomolea.nyumba eti mwendokasi. Wamepima Barabara ya mwendokasi kijijini.kwetu hali hakuna hata abiria wa kupanda bodaboda wameweka vipimo vya barabara ETI ya mwendokasi
@mohdmbarouk8465
@mohdmbarouk8465 Жыл бұрын
Yaaan mtu akichangia au kuongea jambo la msingi utaskia taaarifa Kila muda
@robertmsigwa1448
@robertmsigwa1448 Жыл бұрын
Kunambia nimzigo kwakweli kwenye jimbo mlimba
@ditrammgimba2759
@ditrammgimba2759 Жыл бұрын
I think watu wa huko halmashauri they deserve nice bus terminals too..... Same as watu wa kwenye majiji...hapa kuna vitu viwili, huduma pia suala la mapato kuna vitu ni sehem ya huduma mfano stand even DART yes inabidi ifike mahali mradi ujiendeshe lakini kuwepo kwake tu ni muhimu, wananchi wanahitaji huduma Kiufupi sidhani kama msukuma yupo sahihi sana, sabu huyo Kunambi hakufanya maamuzo peke yake bali kuna wataalam pia walihusishwa,, makosa yapo hasa kwenye uendeshaji wahiyo miradi lakini kwa sehem yake Kunambi alijitahidi kuinitiate miradi kipindi akiwa mkurugenzi wa jiji Dodoma
@MagufulificationOfAfrica
@MagufulificationOfAfrica Жыл бұрын
Rais Magufuli kuhusu Ufisadi na Tanzania kuwa Shamba la Bibi |Mar 20, 2016 | kzbin.infoX8WlqyPevg0
@robertmsigwa1448
@robertmsigwa1448 Жыл бұрын
Kipindi hoteli zinajengwa magufuli naye sialikuwepo ,pia hiyo stendi yambagala naye magu alikuwa fisadi tu
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Miradi yote aliyoiacha hayati magufuli hakuna kinachoendelea mama kazi kuupiga mwingi kwani mabalozi na na wasaidizi wake hawapo aaaaaa tumechoka kabisa na hii hali tunachotaka Rais Hussein mwinyi aje huku mama aende huko zanzibar
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 Жыл бұрын
wote ni wale wale tu
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Жыл бұрын
Kama mradi upi?
@saidmilanzi3788
@saidmilanzi3788 Жыл бұрын
miradi ya upumbavu tu ndo alioacha mwendazake yey ndo chanzo cha kupanda bei kwa vitu alijifanya mungu mtu kwa tabia zake ngumu za ukatili na kuua ndugu zetu alivunja mahusiano mema na mjirani zetu na wafadhili alirundika Mali nyumbani kwake kama nchi ya babaake alifanya atakalo huku wengine akiwakemea ,alidhulumu mpk fedha za watu mabenk,watu wakakimbia nchi na wengine wakauwa anaeona anafaa tafadhali amfuate
@robertmsigwa1448
@robertmsigwa1448 Жыл бұрын
Milady yenye tija inaendelea isiyo natija mama kaitupilia mbali Safi Sana mama
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 Жыл бұрын
Rais aliangakie upya huu.mradi.wa.mwendo.kasi
@JustineNuhu
@JustineNuhu 5 ай бұрын
Msukuma yupo sawa anafaaa kuwa rais wa tzania
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 1,2 МЛН
Throwing Swords From My Blue Cybertruck
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 11 МЛН
So Cute 🥰
00:17
dednahype
Рет қаралды 45 МЛН
What will he say ? 😱 #smarthome #cleaning #homecleaning #gadgets
01:00
MUSUKUMA MBELE YA WANAHABARI, ACHUKIZWA KUMDHIHAKI HAYATI MAGUFULI
14:50
MWANAMAPINDUZI: "TUTAWAPOTEZA, POLISI MSIWATAFUTE..." amtaja spika tulia
13:56
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 1,2 МЛН