MBUNGE WA NGORONGORO AKASIRIKA ISHU YA LOLIONDO - "MNACHEKA KWA KUWA SIO MAISHA YA NDUGU ZENU"

  Рет қаралды 17,002

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MBUNGE WA NGORONGORO AKASIRIKA ISHU YA LOLIONDO - "MNACHEKA KWA KUWA SIO MAISHA YA NDUGU ZENU"
Bunge la 12 mkutano wa 7 umeendelea leo jijini Dodoma, ambapo wabunge wamepata nafasi ya kuhoji maswali kwa serikali, na kuchangia hoja zao katika bajeti kuu ya serikali kwa mwaka 2022 / 2023.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 11
@peternengoswa6627
@peternengoswa6627 2 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana bungee letu la ngorongoro
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 10 ай бұрын
Hivi wabunge gani tulionao katika bunge hili wanachukia wanainchi na wanaweza kabisa kuanzisha ukabila ambayo Nyerere aliondoa na tuliisha sahau na kuwa na upendo wa kitanganyika. Leo Bunge hili wanaonyesha kabisa ubinafisi makubwa kabisa. Hawajali watu walio karibu na ifadhi bali wangetamani hao watu watoweke wabaki na ifadhi kli wawape warabu kuendesha
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 10 ай бұрын
Mbona ninyi wa Kikwetes hamsumbuliwi mnajua kusumbuwa wengine wamasai tu. Kwanini mnaingia kwenye area ya wamasai?
@wakisobrianbrian6513
@wakisobrianbrian6513 2 жыл бұрын
Ngorongoro tuombe Shanghai tumepata dume
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 10 ай бұрын
Wabunge wengi wao hawanashida na watanganyika bali matumbo yao tu hana shida na wamasai
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 10 ай бұрын
Hao wanaosema ardhi ni ya Raisi wao si wanamashamba? Nani amewang'anya? Mbona wengine haamishwi?
@olenkukuu1666
@olenkukuu1666 2 жыл бұрын
Mkihamisha wanangorongoro Mbunge atatawala kina Nani?
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 2 жыл бұрын
Jembe hilo. Hizo mbwa zinngine shenzi sana.. taaaaaaaaarifa Taaaaaarifaaaaaa. Ilimradi2 kumtoa mwenzao kwenye poit . Yaan bunge limekuwa la hovyo sana . Wàchache sana wapo kwa ajili ya kutetea wananchi
@floradidas1800
@floradidas1800 2 жыл бұрын
Jembe ilo
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Hao waliokula rushwa ya loliondo hao wabunge wenzio unafikiri sasa hivi ni wizi rushwa kila sehemu humo bungeni ndiyo zaidi
@musaalaigatie9684
@musaalaigatie9684 2 жыл бұрын
Oleshangai
БАБУШКА ШАРИТ #shorts
0:16
Паша Осадчий
Рет қаралды 4,1 МЛН
24 Часа в БОУЛИНГЕ !
27:03
A4
Рет қаралды 7 МЛН
| HEKAYA ZA LOLIONDO | Tiba ya Babu wa Loliondo [Part 1]
11:29
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 60 М.
MBUNGE WA NGORONGORO ANG'AKA, ISHU YA LOLIONDO, KIKWETE AINGILIA!
11:19
БАБУШКА ШАРИТ #shorts
0:16
Паша Осадчий
Рет қаралды 4,1 МЛН