MBUNGE WA NGORONGORO ANG'AKA, ISHU YA LOLIONDO, KIKWETE AINGILIA!

  Рет қаралды 285,395

Wasafi Media

Wasafi Media

2 жыл бұрын

MBUNGE WA NGORONGORO ANG'AKA, ISHU YA LOLIONDO, KIKWETE AINGILIA!
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 434
@noahorkilidi2359
@noahorkilidi2359 2 жыл бұрын
Uko vizuri sana mbunge wa ngorongoro wanakutisha lakini usiogope Mungu yupo
@neemamaurice171
@neemamaurice171 2 жыл бұрын
Upo vizuri sana mheshimiwa unajua kilichokupeleka bungeni kuwasemea wananchi wako viva aluta continua
@nahashuaka4979
@nahashuaka4979 2 жыл бұрын
Haswaaa Aluta Continuaaa
@abelfrancis8437
@abelfrancis8437 Жыл бұрын
👌yupo vzr
@Bikhafija
@Bikhafija 11 ай бұрын
Waacheni wamasai wakae kwao
@Bikhafija
@Bikhafija 11 ай бұрын
Inatia uchungu sana kwani mienda selikar kutafuta sehem nyingine
@Bikhafija
@Bikhafija 11 ай бұрын
Yani nyie serikar sio vizur mnavyofanya walah angekuwepo magu huu ujinga using fanyika
@williamyouze4396
@williamyouze4396 2 жыл бұрын
dah huyu jamaa anauchungu sana na raia wake na anaakili sana asee Big up mbunge wa loliondo
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 2 жыл бұрын
Basi huyu watamuumiza huyu Mungu akulinde mbunge wetu wameaza kuchukua vitu kidogo kidogo shaulizao
@elijahnkoidela4262
@elijahnkoidela4262 2 жыл бұрын
Wapi kienyeji ingine ilikuwa inaongea hadi inataka kuongea kisukuma, ajibiwe Leo,,,, Ole Mpapa, tanyuaa amu kin'dimie, Enkai,, your are the real hero!!!! 💪💪💪💪
@charlesmnuo3292
@charlesmnuo3292 2 жыл бұрын
Daa bunge la taarifa taarifa mbunge wa loliondo yuko sahihi sana
@justuskirongosi6859
@justuskirongosi6859 2 жыл бұрын
Heko mtetezi wa haki, kila mtu apewe haki yake, wakristo na waisilamu wote tukatae dhuluma.
@sulymaniabdallah7843
@sulymaniabdallah7843 2 жыл бұрын
Huyu mbunge nimependa Sana anajali wananchi wake kuliko cheo chake,na huyu aliotoa taarifa na mzungumzaji akapokea huyu mzee nae kichwa Sana nampenda sana
@ericamwkyokile4681
@ericamwkyokile4681 2 жыл бұрын
tupate wapi wabunge kama huyu? well done ,Mungu akulinde
@maryfranknamkumba9182
@maryfranknamkumba9182 2 жыл бұрын
Huwezi ukamtoa mmasai Loliondo ukampeleka handeni handeni halafu ukaendelea kumuita mmasai. Moja ya kivutio cha utalii na watalii kutembelea loliondo ni pamoja na wamasai. You just can’t move people from their ancestors land just like that. Hiyo ina maana by so doing unabadilisha hata jinsi wanavyofikiri na kadhalika. Waacheni wamasai Loliondo hapo ndipo kwao, full stop
@stanleytabulu4577
@stanleytabulu4577 2 жыл бұрын
Utalii haunogi Ngorongoro bila wamasai. Waacheni wamasai waishi kwenye eneo lao jamani ila muweke udhibiti mazingira
@jrsaid4270
@jrsaid4270 2 жыл бұрын
Ningekuwa gaidi ningefinance silaha za kivita Kwa wamasai ngorongoro waendelee kupigania Ardhi yao
@emmanueldushimimana123
@emmanueldushimimana123 Жыл бұрын
Ingekuwa heri wabunge wetu wa inchi ya DRC Congo waende kuiga masomo ya ubunge Kwa huu mheshimiwa wa Bunge ya ngorongoro anateteya wakaaji wake Mungu amuzidishiye siku zake za maisha.
@elishapalaletlaizer3714
@elishapalaletlaizer3714 2 жыл бұрын
Hongera sana Msalendo wetu Uzichoke kupambania Wananchi wako kwani haki haiombwi bali Inadaiwa
@Globalpeace123
@Globalpeace123 2 жыл бұрын
Watu wanaangalia tu matumbo yao yaani hawa wabunge hawajui wako bungeni kwa ajili gani wanadhani wako pale kuitetea serikali na matumbo yao wakati wapo bungeni kutetea maslahi ya wananchi waliowachagua It’s a shame kwa jinsi wanavyofanya Tunaomba Mungu akutane nao wajue kuwa sio vizuri kuwanyanyasa watu wanyonge kwa kutumia serikali
@wileshirima8688
@wileshirima8688 10 ай бұрын
Mbunge kataa duluma usikubali ww umetumwa na wananchi.
@josephatnyamageu1046
@josephatnyamageu1046 2 жыл бұрын
Hii ndio faida ya Royal Tour Watanzania naliona Giza katika nchi yetu 🙄
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 10 ай бұрын
Giza Ndo tunaiondoa sasa. Hata wakiweka bibi tu. Hawakutegemea wananchi watasimama. They did underestimate wananchi.
@abdulhamis9825
@abdulhamis9825 2 жыл бұрын
Hapa Tunapoelekea Naona Kabsa Tunatengeneza Makundi Na Matabaka Kwenye Nchi Yetu Na Ni Jambo La Hatarii Sana
@frankjohn8706
@frankjohn8706 2 жыл бұрын
C makundi tu na ukabila
@abdulhamis9825
@abdulhamis9825 2 жыл бұрын
@@frankjohn8706 MUNGU atunusuru
@denisnyantori3661
@denisnyantori3661 2 жыл бұрын
Ndio si inasemekana Kuna primitive
@augustinomichael228
@augustinomichael228 2 жыл бұрын
upo sahh kabis kak
@f.a6043
@f.a6043 2 жыл бұрын
Aisee hata mm nakuunga mkono kabisa 🤔🤨
@crisndembwele4016
@crisndembwele4016 2 жыл бұрын
Huyu jamaa ni mbunge wakuigwa anatetea maslah yawatuwake bila kuogopa kupoteza ugali wake... I salute 💯💪💪
@jumangaumba500
@jumangaumba500 2 жыл бұрын
Ndio kazi ta mbunge mzee kutetea maslahi ya watu wake jimbon kwake kana wengine wanavyofanya na kuisaidia serikali kupata taarifa juu ya mapungufu yaliyopo jimbon kwao ili itekeleze mapungufu hayo. Isitoshe mbunge asipowatetea watu wake uchaguzi ujao wapi atapata kura na kula mzee? Anatafuta ugali wake hapo, usije mwagika uchaguz ujao
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 2 жыл бұрын
Mungu atalinda nakila Shari yaarab
@zuhuraamra7354
@zuhuraamra7354 2 жыл бұрын
G. Nn .
@shukurukihwelo3084
@shukurukihwelo3084 2 жыл бұрын
Mbunge anatetea wananchi wake yupo sahihii mungu ambariki kwa kutetea wanyonge
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 11 ай бұрын
Wamasai wanahaki na haki zinawalinda. Pole sana masai. Watanzania ni ccm hawana upendo na wanainchi wanaowatawala, ila ikifika wanako piga pesa wako tayari kutetea hata kwa damu. Shukuru wewe mwenyewe ni ccm mpaka walikuwa wamekuteka, angekuwa ni mbunge chama kingine wangekuwa wamebandika mambo hata uhaini. Lakini walipokuchukuwa wakakuta ni wale wale ingawa ninyi mnapozwa na ifadhibya wanyama wanataka kuwapa warabu. Wanataka ninyi mtoke ili waweze kuweka warabu. Leo namsikia mama bado anawatafuta wawekezaji wa madini kwa faida gani sisi tunapata? Kwa kweli mpaka awamu hii nina wasi wasi kila sehemu mashamba yote yatakuwa yametaifishwa kuleta migogoro kila sehemu.
@patriciamuganda4498
@patriciamuganda4498 10 ай бұрын
Poleni sana Watanzania. Haya yanayotokea Sasa hivi hayakuanza leo. Genesis ya issue zote hizi inaweza kuwa traced miaka kadhaa iliyopita. Lakini nani wa kumlaumu? Ni Wananchi wenyewe na unafiki wao wa kupigia makofi Kila jambo bila kulitafakari. Haya yanayotokea Sasa yangekemewa kwa nguvu zote yasingekuwa yanajirudia rudia. Ulishaona wapi maisha ya wanyama yakawa na value kuliko maisha ya binadamu. Ni ajabu sana. Watu hawasemi ukweli bali kupiga makofi tu na kusubiri bahati ya kuteuliwa. What a shame!
@saderasimore5983
@saderasimore5983 2 жыл бұрын
The Tanzania government is not far to The MAA Community living in Tanzania.President Samia should make orders and stop MAA eviction as early as possible
@edwardbussagwe2044
@edwardbussagwe2044 2 жыл бұрын
Acha kujipendekeza boy,
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 10 ай бұрын
Andika kwa Kiswahili mpumbavu wewe! Habari iko kwa Kiswahili alafu unatuandikia Kiingereza? Pumbavu sana!
@alphoncejmrema7912
@alphoncejmrema7912 11 ай бұрын
Mungu ni mwema sana muachen jaman aongee Kwa niaba ya watu wake hizo taarifa hawez kupokea anaongea Kwa uchungu mkubwa mno
@Worldunite
@Worldunite 2 жыл бұрын
Taarifa zimezidi hadi karaha jmn, mheshimu sheria za bunge
@berthatz
@berthatz 2 жыл бұрын
Yaani zinaniudhi hizo taarifa,.waache mtu aongee 😡
@victaboy7273
@victaboy7273 11 ай бұрын
Huyu kikwete kama baba yake.anakula bure, wananyonya maskini😢😢
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 10 ай бұрын
Entitled
@JosephMsanga-vl3ug
@JosephMsanga-vl3ug 10 ай бұрын
Shetani Anasura Nzuri sana Ni Mrembo Ni Kisura!! Hata Ninyi Wenzangu Mnayo Macho Mnayo Masikio!! Mjapo jua kua Huyu Ni Shetani Mmekwisha!! Poleni sana Watanzania Wenzangu wa Ngorongoro!! Msikate Tamaa Endeleeni kumlilia Rais Wenu na MUNGU PIA NDIYE MWISHO WA MSAADA KWENU.
@abubakarseif6073
@abubakarseif6073 2 жыл бұрын
Kwa swala la loliondo na raisi anausika tena kwa asilimia100, kama aliowatuma wameenda kufanya tofauti na maagizo kwnini asiwachukulie hatua? kanyamaza tu inamaana kapendezwa na ujinga walioufanya watumishi wake kwenda kuwatesa wananchi watakao mpigia kura.
@sarahkelvin4845
@sarahkelvin4845 2 жыл бұрын
Nan ampigh kura
@ngininasungare4186
@ngininasungare4186 2 жыл бұрын
Haswaaa🙏🙏❤
@abubakarseif6073
@abubakarseif6073 2 жыл бұрын
@@sarahkelvin4845 kabisa wajinga ndio watampigia kura
@twahathomas3514
@twahathomas3514 2 жыл бұрын
Yaan hii ni ishu yake kabisa maan haiwezekani watu wanateseka hv raisi anashangilia
@estermpagama9664
@estermpagama9664 2 жыл бұрын
Mh : mbunge wa Roliondo nakukubari we jasiri mpambanaji mzalendo Mungu akulinde
@user-td5ye9zb1l
@user-td5ye9zb1l 10 ай бұрын
Safi sana Mbunge wa Loliondo unajitambua sana wananchi wanakusikiliza.huyo anayetoa taarifa mpuuzeni tu!huyo aliyovaa tay hana jipya,huyo pia kweli hajui ni mnafiki tu hakuna anayehama kwa hiyali.Shangai upo vzr bravo mh.
@Noellaizerkadoko
@Noellaizerkadoko 4 ай бұрын
Asantesana Kiboko Olesendeka kwa kumpashangai taarifa safi hatasisi tunapokea.
@dominicgilisho3605
@dominicgilisho3605 2 жыл бұрын
I feel bad for our Masai's in Tanzania
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 10 ай бұрын
Simama kishujaa saidia kwa namna yeyote ile. Mmchango wako ni muhimu
@Sahra3718
@Sahra3718 2 жыл бұрын
Yes huyo mzee ako sawa👏🏾👏🏾👏🏾
@mudolyomanzil6502
@mudolyomanzil6502 2 жыл бұрын
Daah!! Pole mtu unaongea point katika eneo lako lijitu linakuja na kusema no sense hadi kachkia.
@neemamajana3078
@neemamajana3078 10 ай бұрын
Huyu Kikwete mdogo, hawa ndio wezi wa mali za Tanganyika. Hatutaki hata kukusikia.
@kikongajoel5172
@kikongajoel5172 2 жыл бұрын
Kazi nzuri mbunge imara kbsa
@upendooffice2342
@upendooffice2342 2 жыл бұрын
Mimi sina imani na huyo waziri wa arrdhi mhh hapo patakuwa na michezo unataka kuchezeka
@deusdeditknkunga6047
@deusdeditknkunga6047 2 жыл бұрын
Msikilizeni kwa makini Mbunge wa Loliondo, please.
@arolamuganyizi5972
@arolamuganyizi5972 Жыл бұрын
Na alijua tu kuwa wamemuuzia muarabu ndo maana amegomea kauli yake
@lamayanisingira1934
@lamayanisingira1934 2 жыл бұрын
Wana ngorongoro mumeona ni kwajinzi gani mbunge wetu Shanghai avyo shambuliwa na wambumbafu wasiyo tutakia mwema
@ngininasungare4186
@ngininasungare4186 2 жыл бұрын
Upo sahihi Ndugu yangu na Asante kwa maono yako
@kimanmain3356
@kimanmain3356 2 жыл бұрын
Thank you mhe shangaii hao hawajui wanachoxema bwn
@bethkatunx7677
@bethkatunx7677 2 жыл бұрын
Haki huinua taifa ! hawa mafisadi tumewachoka wamejaa tamaa wataivuluga nchi wanatukumbusha enzi za makabulu walivyowanyanyasa wazawa
@user-ll8mn7gj6x
@user-ll8mn7gj6x 4 ай бұрын
Ila poleni sana wananchi wa ngorongoro kwa misukosuko simameni na mungu ndo msaidizi went kwa sasa inshaalah mwenyezimungu awape hekma zakupambania haki zeni
@safnasachu3515
@safnasachu3515 2 жыл бұрын
Hiii nchi viongozi watashitukia mchezo jua linazama,acha mvua iendeleee kunyesha
@mdimimdimi4282
@mdimimdimi4282 2 жыл бұрын
Kirithiwanu chikwete kimepewa unaibu waziri wa arthi Ili kifanye mikataba ya arthi ya kijinga coz kilishikwa na midawa ya kulevya kule CHINA,mamaeee
@ngininasungare4186
@ngininasungare4186 2 жыл бұрын
Mwamba🙏
@user-ll8mn7gj6x
@user-ll8mn7gj6x 4 ай бұрын
Mungu wa ngorongoro chukua maua yako uko vizur🎉🎉🎉
@greysondavid6445
@greysondavid6445 11 ай бұрын
Niaibu kwa Taifa letu lililo huru tangu mwka 61. Bado sharia zetu zinatumia lugha ya kigeni (kiingereza). Tuna hukumu kesi za raia wetu wa Tanzania nakuwanyima watuhumiwa na washitakiwa hakizao kwa lugha ambayo hawana uhuru nayo na wengi wao hawaielewi kabisa.. Bado Taifa hili tunatawaliwa kifikra. Bado wazungu wanaendelea kututawala kifikra. Inauma na kusikitisha sana. Tubadilike ndugu viongozi wetu ambao mnategemewa sana na Taifa zima.
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 10 ай бұрын
Nakubaliana na wewe Mheshimiwa kwa asilimia zote mia moja. Ni ujinga mkubwa huu.
@KelvinMtavangu-ow8yo
@KelvinMtavangu-ow8yo 10 ай бұрын
@@gosbertrwezahura3645 Tunataka wabunge kama huyu.. Awamu ya 6 iache kunyakua ardhi yao. Jamani wabunge sasa Bandari tena? Enyi wabunge na spika wenu vipi? Sasa hivi Wamasai vijana wameishia ulinzi, kuuza mikanda ukijiuliza kulikoni huko. Yaanii hata familia zao zimesambalatika? Tunaenda wapi? Kuua mila na destuli za wamasai kwa ajili ya kuinua uchumi? Kuwarudisha waarabu ndani ya kiina cha ichumi ngorongoro? Tujali haki za binadamu wenzetu ha wamasai?
@deusdeditknkunga6047
@deusdeditknkunga6047 2 жыл бұрын
You're right Mbunge! Heko!
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 2 жыл бұрын
Nimeipenda Sana hili jibu unatenga hiyo aridhi kutoka eneo Lanani kwenda lanani
@mimutiengungatimollel3794
@mimutiengungatimollel3794 2 жыл бұрын
Hiyo nimeipenda sana
@andrew29468
@andrew29468 10 ай бұрын
Mwenyekiti amekuwa katikati Nice,ameonyesha ukomavu na uvumilivu
@mabejamabeja3358
@mabejamabeja3358 2 жыл бұрын
Ukweli wa mgogoro wa loliondo ni kuwa wananchi wanaondolewa ili kupisha watu wenye hela zao kuwekeza,mtoto wa mfaulme wa omani.
@muharamiesther5908
@muharamiesther5908 10 ай бұрын
Waarabu Waarabu tunarudishwa tena Utumwani.
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 10 ай бұрын
Nchi inaemdeshwa na watu wenye akili ndogo lazma watavurunda tu
@alphoncejmrema7912
@alphoncejmrema7912 11 ай бұрын
Asantee Mheshimiwa Mbunge
@sesicasi1364
@sesicasi1364 11 ай бұрын
Eti mipaka! Jamani? Mbona hawa watu hawatoshekiii? Yaani kila kitu wanauza. Sasa unawaua wamasai ili waarabu wachukue? What a country? What a leadership group! Yaani unamtoa mfugaji akachunge kwenye mashamba ya wakulima! Utadhani serikali ina uwezo wa kusolve hata kesi moja kati ya mkulima na mfugaji. Tunatawaliwa na watu wenye tamaa. Watu wasiokuwa na utu na hata huruma na raia wake!
@christinamonyi5920
@christinamonyi5920 2 жыл бұрын
Kongole mh shangai👍👍👍
@pastorstevenmdoe5143
@pastorstevenmdoe5143 2 жыл бұрын
Huyu mbunge yuko vzr sana.swali langu ninalojiuliza hapa, je kibajaji na msukuma wanarejea wapi kupata nukuuu?
@turutozamarisery5179
@turutozamarisery5179 2 жыл бұрын
Mungutusaidie
@elymollel
@elymollel 2 жыл бұрын
Lelaa kake emey naleng 😭 emaaku endoki nabo ilmaa pookin. Aamu ore ena mbaak mejing'ita tiatua eng'eno tukul. Guys it is so painful 😭 let us all maasai unite, Because this issue doesn't click on our mind at all.
@twahathomas3514
@twahathomas3514 2 жыл бұрын
Ekeponu kulo meek amir ingipwan armaasai pookin. Aiteru tengorongoro, manyara, monduli, simanjiro,lake natron na longido. Engai taretu iyook irmaasai
@elymollel
@elymollel 2 жыл бұрын
@@twahathomas3514 esipata pae! .
@afrakanaswahilitv5520
@afrakanaswahilitv5520 2 жыл бұрын
Mhe. Samia Suluhu Hassan azuiwe kunyakua shamba la jamii ya wamasai na kulitengea waarab wa Oman. Hilo shamba, kisheria linamilikiwa na wakazi wa Loliondo na si Rais wa Tanzania ambaye ni mdhamini kwa niaba ya wananchi wote wa Jumuiya ya muungano wa Tanzania.
@nyanzasusu1968
@nyanzasusu1968 2 жыл бұрын
Asanteeeeeee Shanghai ubarikiwe
@furahanaborrulaizer9993
@furahanaborrulaizer9993 2 жыл бұрын
Mungu aendelee kukuzaidia baba akupe nguvu ya kushinda hayo yote
@user-nn6zq1ok7i
@user-nn6zq1ok7i 10 ай бұрын
Hongera MBUNGE WETU HAWA CCM WANADHANI TANGANYIKA BADO MAZUZU ENDELEENI TUNAWAJUA MNAVYOPOTOSHWA TUTAWANGOA FANYENI MCHEZO
@issackmwakyami2740
@issackmwakyami2740 2 жыл бұрын
Tarifa zanini niye ma zero brain ? Mbona mnamtowa kwenye reli ?
@VidothNaftalLema-ff5rf
@VidothNaftalLema-ff5rf 10 ай бұрын
Tunaelewa ss watu wa kuelewa mbunge hongera
@deborahmgedzi632
@deborahmgedzi632 10 ай бұрын
Amina
@mnyamanyegere9663
@mnyamanyegere9663 2 жыл бұрын
Inauma sana
@loatamollel7551
@loatamollel7551 2 жыл бұрын
Nyie mpige tuuu makofi wakati watu wetu wamekuwa masikota wengine wamehepa kwenda kutibiwa Kenya wakati nyie wabunge mkoo na familia zetu mungu awaone
@hassanlikwenangu8471
@hassanlikwenangu8471 2 жыл бұрын
WENZENU WANATETEA TAIFA BUT WENZETU WAMASAI WAKO BUSY KUTETEA KABILA
@frankjohn8706
@frankjohn8706 2 жыл бұрын
Hivi kuweka mipaka kunahitaji bunduki?KWELI Tanzania ni moja nasi TU TAIFA moja lkn mtu atoke kwa mapenzi ya moyo wake kuhama KUTOKA Arusha kwenda kuishi Kigoma lkn kumtoa bila ridhaa yake atoke njiro akaishi mianzini inakua tabu mno , lkn fikiri uwatoe wasukuma simiu uwahamishie nangulukulu utajiskiaje
@elijahnkoidela4262
@elijahnkoidela4262 2 жыл бұрын
Point taken,,
@charlestadeo1805
@charlestadeo1805 2 жыл бұрын
inastajabisha wanaochaguliwa kututetea wanatetea selekali sisi tutakua wageni wanani hau ndio aliosema polepole Wauni
@frankjohn8706
@frankjohn8706 2 жыл бұрын
@@charlestadeo1805 baba WA Taifa pia aliwai KUSEMA inchi inaongozwa kihunihuni Sasa alisahau pale alipoipigania CCM 1995 Kwa kurudia uchaguzi majimbo ma5 ambayo ilikua mikoa sku zile.na uitikio wapiga kura ulipo kosekana msajili akasema kulikua na mvua ,NDIO lLyatonga akakosa kiti
@edwardbulle
@edwardbulle 11 ай бұрын
Hongera sana shangai
@BeathaChambo
@BeathaChambo 11 ай бұрын
Safi mbunge nakukubali sana
@denisnyantori3661
@denisnyantori3661 2 жыл бұрын
Safi sana
@user-ll8mn7gj6x
@user-ll8mn7gj6x 4 ай бұрын
Huyo mungu mnatakiwa mpen supu ya kutosha kwa sababu hamtopata meter kama hawk wawili nawapenda sana wanaloliondo
@shabanimungazija7272
@shabanimungazija7272 10 ай бұрын
Yani mnatucha nganya sana wabunge mbona mmenepa sisi wananchi tumekonda kwakunyonywa.mungu anawaona
@soboganzabron
@soboganzabron 10 ай бұрын
Taarifa kama mvua ,Kwa maslai ya tumbo. Mungu angeniuliza nataka nn muda huu hiiiii...tuache tu.
@enezermwafrica7443
@enezermwafrica7443 2 жыл бұрын
Taarifa miiiingi! Mnamaliza muda wake tu!..🤷🤷🤷🤷
@josephatnyamageu1046
@josephatnyamageu1046 2 жыл бұрын
Ukweli utaongea daima naliona Giza katika nchi yetu 🙄
@esromkanubo815
@esromkanubo815 11 ай бұрын
So painful 😢😢
@zacharyyesaya
@zacharyyesaya 2 жыл бұрын
Nyerere. Tutawabagua wao tukimaliaza tutabaguana sisi kisha tumekwaisha
@nkolemuya9283
@nkolemuya9283 2 жыл бұрын
Unatenga chumba cha kulala pa kuvalia nguo na pa kufanyia makeup 🙄 Eti waheshimiwa na taarifa km toddlers wanagombania toy ya mwenzao kisa mama yao ndio anawaangalia kwa leo bila kujua kesho watalelewa na mamake mwenye toy na sijui nae ataambia mwanae awanyang'anye toys zao maana kutesa kwa zamu🙄, mradi leo unamabavu basi hukumbuki kesho, HAKI itendeke na tuache kulazimisha watu kuhama kila kukicha huku umasikini unazidi kushamiri
@nahashuaka4979
@nahashuaka4979 2 жыл бұрын
Asante Sana mhe. Shanghai, kusema ukweli na mhe. Naibu spika kulinda muda wake. Ila waheshimiwa acheni unafiki vaeni viatu vya wananchi mnaowawakilisha huko bungeni
@kasigaragwasa9398
@kasigaragwasa9398 2 жыл бұрын
Sawasaw
@kelvinstephano8
@kelvinstephano8 2 жыл бұрын
Safi kabisa mheshimiwa mbunge
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 10 ай бұрын
Hivi hawa wabunge wanavyovulagiza mbunge ili iweje????
@petermasala1409
@petermasala1409 2 жыл бұрын
Kichwa kizuri hiki,,,Mtetezi Mwema wa wananchi
@jonathanalais.m1303
@jonathanalais.m1303 2 жыл бұрын
Mweshimiwa Shankai kweli mwakilishi sawa
@tariqmasudi4400
@tariqmasudi4400 2 жыл бұрын
Anaongea point lakini wanaona tabu ata kupiga makofi wabunge wote awajuhi wapo kwann
@dicksonkattoxxx1116
@dicksonkattoxxx1116 2 жыл бұрын
Vzr xan
@frankishengoma9601
@frankishengoma9601 2 жыл бұрын
😮
@godwinmbwambo3316
@godwinmbwambo3316 11 ай бұрын
NOT YET UHURU 😭😭😭😭😭
@Ligness-mw1cl
@Ligness-mw1cl 11 ай бұрын
Jamani jamani hivi CCM ni lidude Gani mbona linatutesa sanaa😭😭 nashindwa kuelewa tatizo ni chama au waendesha chama ila kwasasa hali sio nzur wananchi kiukweli hatuelew
@wardw3022
@wardw3022 2 жыл бұрын
Kwani speaker wa bunge ni wangapi
@edwardbussagwe2044
@edwardbussagwe2044 2 жыл бұрын
Huyu mtoto wa kikwete hajui maisha maana yeye kazaliwa kwenye neema tu Ee Mungu wakumbuke wamaasai katika ardhi yao
@benjaminmtebe5009
@benjaminmtebe5009 10 ай бұрын
Mungu anajuwa na malaika wanajuwa Wahuni wengine wanajaribu kumpotosha Ukweli
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 11 ай бұрын
Kabisaaa waaachweeee sehemu zaooooo. Waaacheniiiiii
@piniellaizer5753
@piniellaizer5753 2 жыл бұрын
Tanzania nakupenda nchi yangu forever STPO MAA EVICTION IN NGORONGORO
@leajangmwaana8027
@leajangmwaana8027 2 жыл бұрын
Hongera sana mh. Mbunge wa ngorongoro kusimama na wananchi wako hongera sana
@paulomsipitey7535
@paulomsipitey7535 2 жыл бұрын
Kweli kabsa
@RaymondCharlesSaliboko-to6vx
@RaymondCharlesSaliboko-to6vx 10 ай бұрын
❤❤❤❤
@everever2807
@everever2807 2 жыл бұрын
hio ndo Royal tour siilienda huko mkachekelea Leo kiko wapi
@paitomsuva3817
@paitomsuva3817 10 ай бұрын
Hahaaaa! Na bado kazi ipo
@godwinmbwambo3316
@godwinmbwambo3316 11 ай бұрын
Tusipoangalia nchi hiiiiiii.......aisee nenda mahakamani!😂😂😂
@yaatujbkabunda403
@yaatujbkabunda403 2 жыл бұрын
Tunatamani sana jpm awatokee hata bungeni uendelee knena hayo
@yaatujbkabunda403
@yaatujbkabunda403 2 жыл бұрын
Hii nchi viongozi hawana hofu ya mungu
@monicagabriel4388
@monicagabriel4388 2 жыл бұрын
Uhuru jamani.
@daudikayolo1839
@daudikayolo1839 2 жыл бұрын
Diana
@peterlonyait4101
@peterlonyait4101 2 жыл бұрын
Bunge la Tanzania linapendeza
@mathayokaimaima4578
@mathayokaimaima4578 2 жыл бұрын
Inasikitisha sana viongozi wetu! Mbona tuna vyanzo vingi vya mapato kwa Nini wamasai wa nyang'anywe maeneo yao ya asiri? Mimi binafsi hata kama siyo mmasai limeniumiza jambo hili nawatanzania tujue Leo kwa wamasai kesho kwetu hii siyo sawa wanaendaje kuishi maeneo ya ugenini,? Nashindwa hata kua narugha nzuri yakusema hii ni zambi kabisa! Viongozi wa dini kimya!!!!!!
@mukibatazari4969
@mukibatazari4969 2 жыл бұрын
Jamani mm maria sana naware wakurima mumewauwa wakurima mumewapoko ya mashamba eti machungio reo munashindwa kuwatowa hao maseyi kwann hapana watoke
Simba SC 2-0 APR FC | Highlights | Simba Day 03/08/2024
10:47
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 8 МЛН
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 6 МЛН
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 7 МЛН
ENKAI IBUNGAKI ENAIBOISHU IRMOING'O, ORKILIKWAI OIROSHI
16:19
Maasai Channel
Рет қаралды 99 М.
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 8 МЛН