MBUZI WAMEPANGIWA CHUMBA NYUMBANI ANAPOISHI ZAI WA KIJIWE NONGWA | WANALIPIWA NA KODI

  Рет қаралды 131,195

ZamaradiTV

ZamaradiTV

Күн бұрын

Пікірлер: 320
@FaydhaAlly59
@FaydhaAlly59 Жыл бұрын
Nakupenda da zai af unayakubali maisha yako napenda unatueshimisha wauswailini❤❤❤❤
@aminaomary5567
@aminaomary5567 11 ай бұрын
Dada zai watoto aacha kulaza chini kisa wagen hapana hiyo.Labda mama yako Mzazi au Baba. Ndio watoto utawalaza chini.Wanashukran wagen hao.Nakupenda sana❤❤
@bettiejoy-mtotowamama
@bettiejoy-mtotowamama Жыл бұрын
Na amejua usafi kwa nyumba👌 , ukitazama nje ya nyumba na ndani utadhani nyumba mbili tofauti
@AdaMapondela
@AdaMapondela 2 ай бұрын
Kwa kweli
@rukiaabdul7191
@rukiaabdul7191 Ай бұрын
Da Zai msafi sana na anaishi maisha yake kulingana na uwezo wake.Luv u da Zai wa Kijiwe Nogwa,Tz..from Majengo Mombasa.
@NeemaJanga
@NeemaJanga Ай бұрын
Hata Nigeria unaweza ona nyumba mbaya ndani weee kuzuri mno😊
@AngelMbaga
@AngelMbaga 11 ай бұрын
Ndani kwako kusafi Mashallah❤, maana kuna wadada wanapenda kujipodoa Ila ukiona anapoka, nyumba chafu😢.
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 Жыл бұрын
Mash Allah Zai umejitahidi Kuzuri nyumbani kwako.
@btylove1870
@btylove1870 Жыл бұрын
Zai ngozi inaglow, nywele umependeza sana. Nakupenda sana❤
@aishachuma9
@aishachuma9 Жыл бұрын
Hongera dada zai Kwa kuuvaa huusika wa uswahilin na pili hongera Kwa kujipanga Kila idara sio kibiashara paka kimaendeleo waswahili kama sisi tunasema umeweza dada zai❤❤❤❤
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 Жыл бұрын
Zai me nakupenda tu yani kabda hajaongea nishaanza kucheka 😂😂😂naitamani iyo story ya mwanahamisi miziwa 😂😂😂 et huyu kiwege ndo nimeachana nae 😂😂😂😂😂😂 KUZURI MNOOO MWAYA HONGERA ZAI WETU ❤
@SamiRask-i6u
@SamiRask-i6u Жыл бұрын
uyu kweli anakaa kijiwe nongwa mana nyumba mbaya arafu chafu ila ndani kama upo masaki vile hii inaitwa mchngnye adui yko😂
@RakaPk
@RakaPk Күн бұрын
😂😂❤
@sumayaishengoma4543
@sumayaishengoma4543 Жыл бұрын
Hongera Zai unaishi maisha halisi..
@vero57
@vero57 Жыл бұрын
KWELI KABISA DADA ZAI , MAPEZI YAKO TOKA EZI , SOMESHA WATOTO WAKO MWANYA, NYUMBA SAFI SANA, HONGERA SANA DADA ZAI.
@IneHenry
@IneHenry Жыл бұрын
Aisee...unajitahidi sana hongera,ndo maana nakupenda utafika mbali
@Mb0g0z
@Mb0g0z Жыл бұрын
Hongera dada maisha yako ndo hayo na huna haja ya kuficha ficha 😍
@sashah_ace8598
@sashah_ace8598 Жыл бұрын
ni mkweli sana hana baya mashallah ALLAH AKUZIDISHIDIE
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry Жыл бұрын
Zai nakupenda sana mdogo wangu maana huna majivuno wala kujikweza unajieleza ulivyo huongezi hupunguzi. Halafu nakushauri kitu. Nyumba ni choo urembo wako wote unaangaliwa chooni. Changeni mkitengeneze vizuri. Choo raha sio karaha
@nasraniko-mr2lv
@nasraniko-mr2lv Жыл бұрын
Sasa ww unavyosema nyumba ni choo hiyo ya wapangaji au ya mwenye nyumba huo ushauri dada angu ungempa mama mwenye nyumba sio zai
@NaseebMgono-wl3bu
@NaseebMgono-wl3bu Жыл бұрын
😂😂😂😂
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 Жыл бұрын
@@nasraniko-mr2lv kunywa Pepsi nakuja kulipa mwaya yani akarabati choo kwenye nyumba ya kupanga badala ya kumshauri ajenge ahamie kwake ndo apaweke vizuri
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija Жыл бұрын
Anajiamini mbon mastaa hawaonyeshi vyumba
@fatumahashimmcheni9610
@fatumahashimmcheni9610 Жыл бұрын
Zai umesaau kumkalibisha mgeni ata ka sodaaa Basi ataa maji
@rosemaryrwabibi5908
@rosemaryrwabibi5908 Жыл бұрын
Maisha ya uswahilini raha sana nje ni tofauti na ndani
@aminasalim8708
@aminasalim8708 Жыл бұрын
Nyumba mbaya ndani munzuriii🎉🎉❤iyo ndo vzr kuish na wanga😂
@hawasaid7151
@hawasaid7151 Жыл бұрын
Kabisaaa yan😂😂
@aminasalim8708
@aminasalim8708 Жыл бұрын
@@hawasaid7151 na mtangazaji mbea mmmh anauliza adi ndani ya friji kunanini😂
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh Жыл бұрын
Kama huku UK ndugu yangu majumba nje mabaya nyengine hata plaster hazijapigwa lakini ndani kuzuri na mimi nyumba yangu nimejenga hivo hivo nje kubaya ndani ndo kuzuri😂
@aminasalim8708
@aminasalim8708 Жыл бұрын
@@FatimaAli-of4gh umefany vzr wachaw apo awaji😅😅😅adi marafik zako wataishia nje chuki zitakua kiasi t ila wakiingia ndani umekwisha
@fauziasultanikilewa7602
@fauziasultanikilewa7602 Жыл бұрын
​@@aminasalim8708😂😂😂😂😂😂😂
@valenakomba9218
@valenakomba9218 Жыл бұрын
Eeeh Zaii, mambo siyo mabaya. Hongera sanaa. Nyumba inawakaa , heee. Kwa kwekili hongera.
@Mwanaisha-c5c
@Mwanaisha-c5c 2 ай бұрын
Kii ukweli nampenda sana huyu dada yani yuko really ❤❤
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 Жыл бұрын
Me sidondoki ndo nshafiwa nna uchungu wangu naomba mniache mm uuuwwiii mbavu zangu 😂😂😂😂
@annamwanyilu7020
@annamwanyilu7020 Жыл бұрын
Jaman zai umetisha dada Huna shda hongera kwa kuendelea kuwa maarufu Mungu akujalie mafanikio zaidi
@Thebaddest255
@Thebaddest255 Жыл бұрын
Dada. Zai Una mimba 😊🙄 au umenenpa jamani nakupenda you’re so real ❤😊
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 Жыл бұрын
Alishazaa kwenye pazia alikuanayo
@nayfatsalim7828
@nayfatsalim7828 Жыл бұрын
nimecheka ety wkija wnakaa chni mweny nyumba nd nakaa juu hhhh..Kweny friji umekua mpole mbna😂
@Nailaty564
@Nailaty564 10 ай бұрын
Wawooo chumba kizuri hongera zai
@nenengopoos5476
@nenengopoos5476 Жыл бұрын
Mashaalah zai anaishi uhalisia
@AishaBinti-f8h
@AishaBinti-f8h Жыл бұрын
Nampenda sana daazai anachekesha sana
@Kalthoom-ru3mq
@Kalthoom-ru3mq Жыл бұрын
Zai nakupenda lnshaallah nikilaliwa kulud oman takutafut kpz unazawad yako❤
@SalimhchialaAtilio-qj5cs
@SalimhchialaAtilio-qj5cs 10 ай бұрын
Sana kabisa abaya mhimu arafu anaishi vingunguti karibu na kwetu tabata
@فطومفاطمه-ش2و
@فطومفاطمه-ش2و Ай бұрын
Ila nimempenda sana Zai msafi Mashaalah na mstaarabu na anajua kujipanga
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 Жыл бұрын
Nyumba ndani na nje tofauti 😂😂😂kiboko kqbisa
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂zai katika ubora wake.. Jamani siku ukianza kukaa uswahili huwezi hama kirahisi sababu Kuna raha yake uko.. kila nyumba kinapikwa kitu asubuhi 😂wengine jioni😂😂hekaheka kibao,sasa unahama vipi??
@AminaNtolee
@AminaNtolee Жыл бұрын
Alafu dazai awezi hama kirais maana Kilaeo yuwapata matukio yakutuletes ss
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Жыл бұрын
MAISHA HALISI YA USWAHILIN NI HAYA NAKUPENDA DADA YANGU ZAI NIMEKAA SANA BUGULUN KWA MNYAMAN MAANA UKO FULL USWAHILIN
@rachelmasunga4989
@rachelmasunga4989 10 ай бұрын
Nimependa Ila for me jamani huwa sipendi mivitu mingi ndani sasa hapa anadekiije ndani Yaan usafi anafanyaje jamani
@mwanashoogobo1785
@mwanashoogobo1785 Жыл бұрын
Zai nakupenda ndiyo story zishaanza hivyo kijiwe nongwa❤️❤️🇰🇪🇰🇪
@husseynomar9523
@husseynomar9523 10 ай бұрын
Eti Mwanakhamis Miziwa akikulazia maziwa anaweza kukuua... 😂😂😂
@aminaomary5567
@aminaomary5567 11 ай бұрын
😅😂maisha yaliyochachuka😁😁❤❤❤
@jahsjjsj583
@jahsjjsj583 Жыл бұрын
Maashaallah , da zai , Allah akuzidishiye kwjuhudizako .
@RahmaAwadh-ul9yu
@RahmaAwadh-ul9yu Жыл бұрын
Nimecheka hiyo mwenye nyumba nakaa kwenye kochi wanaokuja katazama tamthilia watakaa chini🤣🤣🤣
@JoyAgbiano-wr5cz
@JoyAgbiano-wr5cz Жыл бұрын
😂😂😂😂
@AzaShamba
@AzaShamba Жыл бұрын
Duh mpka room😂😂hatari Zai ww una visaa😂😂😂et godoro linatupwa kitu gan kile utasema meli😂😂😂😂
@alodiadiocless3546
@alodiadiocless3546 Жыл бұрын
Nakupenda sana zai unajua kutufuraisha
@dottohami
@dottohami Жыл бұрын
Mashaallh zai ndani kwako pazuri 🥰
@MaryamSimai-b9f
@MaryamSimai-b9f 10 ай бұрын
Chumba kimepangishwa mbuzi hiii kali kweli kijiwe nongwa
@yousifyousif-p7f
@yousifyousif-p7f Жыл бұрын
Nimependa maisha ya zai hana majigambo penda sn zai
@minafadhil3837
@minafadhil3837 Жыл бұрын
Ni kwel
@Lexerjoh
@Lexerjoh Жыл бұрын
she is so real i love her💌💌💌
@dijahmbinyo7301
@dijahmbinyo7301 Жыл бұрын
Good interview. But SALEH jitahidi kusema pole mtu kama ivo kasema jambo inafaa ungesema ata “aiseee polee”
@joycekalago532
@joycekalago532 11 ай бұрын
Kwahiyo mbuzi ni wapangaji wenzio zai😊😊😊
@RakaPk
@RakaPk 11 ай бұрын
😂😂😂😂🎉
@MaryamSimai-b9f
@MaryamSimai-b9f 10 ай бұрын
Mwambie mwenye nyumba akuwekeee vizingiti ili maji yasiiingie ndani iyo nyumba iko chini sana kiasi maji yaingie. Ndani
@Malahai-e8m
@Malahai-e8m Жыл бұрын
Mie sikujua kumbe kijiwe nogwa ipo vingunguti😂😂😂
@LuidynIddy
@LuidynIddy 2 ай бұрын
Da zai umenifurahisha sna
@RosemarySimon-dx2eo
@RosemarySimon-dx2eo Ай бұрын
Huyu dada nimempenda sanaaaaa jmn
@MusaMkembela-ex6ev
@MusaMkembela-ex6ev Жыл бұрын
Watu kama hawa ukute anamjengo unajengwa huko
@AminaNtolee
@AminaNtolee Жыл бұрын
MashaAllah dazai umejipanga
@hadijahassan6467
@hadijahassan6467 Жыл бұрын
MASHALLAH PAZURI 📌
@Flora-o7x
@Flora-o7x Жыл бұрын
Hahahahaaaa nimecheka Mpaka basi naangalia hapa kipindi Daa Shoga Bonge La Duka Nimekukubali Aisee Mpaka Mbuzi Wamepangiwa Chumba!!!
@rachelmasunga4989
@rachelmasunga4989 10 ай бұрын
😅😅😅😅Yaan jamani mbuzi walivyokuwa na halufu😅😅
@EsterShirima-vr7cv
@EsterShirima-vr7cv Жыл бұрын
Mbona raha napenda maisha hayo ningeishi nawewe ningenenepa
@shanihussein7615
@shanihussein7615 Жыл бұрын
Nakupenda sana allah azidi kujufungulia milango ya rizki kipenzi
@faridapandu7579
@faridapandu7579 Жыл бұрын
❤❤❤nimependa dazai kwako pazuri mungu akujalie update njumbayako inshaallah
@mwanjinzara8009
@mwanjinzara8009 Жыл бұрын
Mtangazaji konyo mpaka chumban mweee😅😅😅
@faidhacute
@faidhacute Жыл бұрын
Da zai buaana hyo stori et angepigwa mwanamke WA sinza ingekuwa shughul 😂😂😂
@sikudhanimoshi6967
@sikudhanimoshi6967 Жыл бұрын
Mashallah zai mm sina ata kitanda
@lovenessoscar4102
@lovenessoscar4102 Жыл бұрын
Ila zai😂😂😂 me nakupenda tu bure❤❤
@ابوذر-د8ك
@ابوذر-د8ك 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂 dah.! Hichokipgo kwakweli
@mariamdullazy8166
@mariamdullazy8166 Жыл бұрын
Zai ❤ mashallah kwako pasafi
@CianaNgowi
@CianaNgowi Жыл бұрын
Yani zai anaongea Kama anasutanaaa😅😅😅😅
@ngowibeatrice1701
@ngowibeatrice1701 Жыл бұрын
Zai anasema kweli kunawatu awapendi nyumba zilizopooza kuna mpangaji alipanga kwetu akaondoka akasema hapa pamepooza nahama
@RakaPk
@RakaPk 11 ай бұрын
😂😂😂😂🎉
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 Жыл бұрын
Nakupenda sana dada zaii mungu akubariki sanaaaaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@HoneysugarPudding
@HoneysugarPudding Жыл бұрын
Allah akuzidishie rizki kwakweli
@ashaproudofyoubabahaji8523
@ashaproudofyoubabahaji8523 4 ай бұрын
Zai very organise mashaallah
@annievibes8794
@annievibes8794 Жыл бұрын
Zai nakupenda sana nakuangalia kutoka Norway natamani nikija dar nikutembelee kijiwe nongwa
@Shakila-g6r
@Shakila-g6r Жыл бұрын
Msafi mashaalh hadi Raha 🎉🎉🎉❤
@Mb0g0z
@Mb0g0z Жыл бұрын
Gigy money njoo uone watu wanaishi maisha wanayo yaweza
@fridaminja7191
@fridaminja7191 10 ай бұрын
😀😀😀😀😀😀nimefurahi sana
@HarunAyoub
@HarunAyoub 10 ай бұрын
Hahahah mwenye nyumba ndio anakalia kiti
@Zainab_salat
@Zainab_salat Жыл бұрын
Hafake jamani nimpenda wajina😂😂😂😂😂
@HadijaZabroni-pu1lt
@HadijaZabroni-pu1lt Жыл бұрын
Nimeabza kicheka ata sijasikuliza😂😂😂😂
@edinachami4318
@edinachami4318 Жыл бұрын
My wangu zai ❤️❤️❤️🥰hufeki life dadaangu mzuri
@fanuelmahenge2853
@fanuelmahenge2853 11 ай бұрын
Midundo imeanikwa njee inakauka😂😂🤣🤣
@Nailaty564
@Nailaty564 10 ай бұрын
Huwezi kumsikiliza zai usicheke😂😂😂
@yourthebest4544
@yourthebest4544 Жыл бұрын
😅😅😅..Ila dada zai nakupenda sana
@faridapandu7579
@faridapandu7579 Жыл бұрын
😂😂😂 salehe jamani mmbea❤❤ unamuhijikila kitu dazai
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 10 ай бұрын
Mzee wavibwato zai unajitaidi kujipambania
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 Жыл бұрын
Ukute anamjengo anaushusha huko sehemu😊
@SalimhchialaAtilio-qj5cs
@SalimhchialaAtilio-qj5cs 10 ай бұрын
Sana tu
@aminachappa8677
@aminachappa8677 Жыл бұрын
❤❤❤zai Nakupenda bure tu Dadangu
@AminaMgenzi
@AminaMgenzi Жыл бұрын
Kwa zai pasafi ongera zake ila uswahli kwengine kuchfu adi mazingira duuh
@Sidik-d7e
@Sidik-d7e 11 ай бұрын
ASSLAMALAKUM WARAMATUALLAH WABARAKATU MY SISTER FROM TZ I A. PROUD OF YOU MY DUA ALWAYS WITH YOU MY ALLAH .MAKE UR DREAM TO BECOME TRUE TRUE 👍 I AM LIVING IN UK 🇬🇧 LONDON BUT I AM ORIGINAL FROM KENYA MOMBASA REMEMBER ME IN UR DUA UR BROTHER SIDIK FROM UK 🇬🇧 LONDON WS. ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ U MY SISTER U ARE HARD WORKER I AM PROUD OF YOU REMEMBER ME IN UR DUA UR BROTHER SIDIK FROM UK 🇬🇧 LONDON WS. ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@hadijajuma3773
@hadijajuma3773 9 ай бұрын
😂😂😂😂 mitakataka inapishana kama meli😂😂😂😂
@NiceWatson-y7e
@NiceWatson-y7e Жыл бұрын
Mashallah da zai umejiweza jaman
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 Жыл бұрын
Masha allaah hongera zai
@masikasaidi8805
@masikasaidi8805 Жыл бұрын
Hadi choon katisha Saleh mbeaaaa
@wahdamrisho778
@wahdamrisho778 Жыл бұрын
Jaman nampenda sana zai❤
@shilakodeni2853
@shilakodeni2853 10 ай бұрын
Pazuri sana unajitahidi zai
@Monayed-q4g
@Monayed-q4g Жыл бұрын
Mob lov from Kenya ❤❤
@MwantumuHassan-x4w
@MwantumuHassan-x4w 11 ай бұрын
Nakupenda tu
@mamachris6811
@mamachris6811 Жыл бұрын
Zai nimegundua mzuka unapanda ukiwa kijiweni 😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅😅😅
@ashurasaid7204
@ashurasaid7204 Жыл бұрын
😂😂😂kweli alivoinuka kijiwe nongwa alivoingia dukan na mzuka umepotea
@mamachris6811
@mamachris6811 Жыл бұрын
@@ashurasaid7204 hata nyumbani haikuwa hivyo 😁😁
@Nailaty564
@Nailaty564 10 ай бұрын
Umeme mia tano😂😂😂😂
@gradnessshitindi3694
@gradnessshitindi3694 Жыл бұрын
Huyu dada hatar 😂😂
@mamachris6811
@mamachris6811 Жыл бұрын
Uko vizuri Zai , hongera
@siphifahashimu9723
@siphifahashimu9723 Жыл бұрын
Msafi mashaalah❤❤
@faridapandu7579
@faridapandu7579 Жыл бұрын
Mungu akuzidishie kila la heri dazai umejipanga my
@mercypedha5519
@mercypedha5519 11 ай бұрын
Zai amejipanga 💕
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 Жыл бұрын
Zai nimekupenda msafi
@mishkizur3205
@mishkizur3205 Жыл бұрын
jaman nampenda uyu mdadaa wallah mungu amueke
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
ZANZIBAR FORODHANI, AFRICAN CUISINE RESTAURANT LUKMAAN
7:57
Jehufamily
Рет қаралды 18 М.
GB 64 AWAKA WANAOKATAA PENATI YA SIMBA, SIMBA HATUBEBWI, TUPO KILELENI
17:37
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН