Mzee wa data, hongera sana kwa uchambuzi mzuri, tuko pamoja nawe.
@lucymsheshi587119 күн бұрын
Wee jamaa unajua sana Mtafute Oruma, Jemedari Oscar na wenye Hali kama zako especially wale wanaojiita wachambuzi E FM UWAPE SHULE
@user-pw5jt5mj6k13 күн бұрын
Kaka unajua sana mpira..
@eliudmbange227818 күн бұрын
Kazi nzuri
@danielshauri639019 күн бұрын
Asante sana
@user-dq1qs7nc4o19 күн бұрын
utamu huoooooooooo 💚💚💚💚💚💚
@michaeldaudmaguta430011 күн бұрын
Hakika wewe bonge la mchambuzi Tanzania hii
@dicksonngasapa700719 күн бұрын
Nadhani timu yangu yanga inataka kucheza kombe la Dunia ,Sio kwa usafiri huu❤
@Ba6382819 күн бұрын
Sasa YANGA walishindwaje kuyaona hayo mapungufu ya Boka? Lomalisa was better.
@user-po8hz7xw9j19 күн бұрын
Boka mzr
@Ba6382819 күн бұрын
@@user-po8hz7xw9j let us wait and see japo sikuona udhaifu wa Lomalisa
@MbwadukeStats19 күн бұрын
YUanga wanayajua yote haya na tena kwa undani zaidi...benchi la ufundi ndiyo kazi yake kushirikiana na mchezaji ili kumfanya awe bora zaidi. Hakuna na hakujawahi kutokea mchezaji duniani aliyekamilika kwa asilimia 100.
@malietamaliet19 күн бұрын
Lomalisa umri sana sana ndo umemtoa na injury wamemleta uyu alete ushindani Kwa kibabage