No video

MBWADUKE: SIMBA KWA KIKOSI HIKI KOCHA FADLU ASHINDWE MWENYEWE LIGI NBC, SHIRIKISHO CAF...

  Рет қаралды 13,977

Mbwaduke Stats

Mbwaduke Stats

Күн бұрын

Usisahau ku-subscribe, ku-comment na ku-like...

Пікірлер: 22
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t Ай бұрын
Simba nguv Moja💪
@Bongo-qk1um
@Bongo-qk1um Ай бұрын
Wanasimba makombe yanarudi❤❤❤❤❤
@kconnect27
@kconnect27 Ай бұрын
Asante kwa uchambuzi mzuri, rekebisha ishu ya sauti ipo chini sana
@DamianoTippe
@DamianoTippe Ай бұрын
Utopolo labda kocha wenu
@AmiryHamza-gs8pp
@AmiryHamza-gs8pp Ай бұрын
Nikweli zawew
@josephgalandu128
@josephgalandu128 Ай бұрын
Tavunja timutena😂😂😂😂
@luqiron8200
@luqiron8200 Ай бұрын
🦁
@user-bf3mm5wu1s
@user-bf3mm5wu1s Ай бұрын
Mbon kibo atumuoni vp😊😅
@davidsimbeye1548
@davidsimbeye1548 Ай бұрын
Ila kwa upande wa kocha mimi Nina mashaka kidogo
@yusuphmwampashi858
@yusuphmwampashi858 Ай бұрын
Kwanini
@user-hv7yp9yw4e
@user-hv7yp9yw4e Ай бұрын
MZee wa takwimu ninakukubali na kukubali
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t Ай бұрын
Wa kwanza leo jmn mashabik wenzngu wa Simba tusiwe wachoyo wa like plz,,,nipeni na mm ninenepe😂😂😂😂😂
@josephgalandu128
@josephgalandu128 Ай бұрын
Ajitayarishe kufukuzwa tarehe 8 maana atapigwanyingi kuliko watangulixi wake😂😂😂😂
@FatherKunutti
@FatherKunutti Ай бұрын
Weka akiba ya maneno. Maana mdomo huponza kichwa😂
@LassonDominick
@LassonDominick Ай бұрын
Wewe mbwa kweri!!! Unafikiri kila siku simba inafungwa2 eti??? Yanga mukiifunga simba tr8 njoo nikupe hela utakayo ihitaji maana najuwa njaa inakusumbua bwabwa wewe
@ruttarwechungura9392
@ruttarwechungura9392 Ай бұрын
Tunza hii msg mpaka tarehe9 uipost tena kama kweli wewe mwanamichezo usipoipost tena jitafakari nafasi yako kimichezo
@mwana-dodomamedia9111
@mwana-dodomamedia9111 Ай бұрын
Hakika hakuna shabiki yoyote Duniani asiyefuatilia habari za MNYAMA😂😂😂😂
@ambrosedede2477
@ambrosedede2477 Ай бұрын
Simba msimu huu makombe yote tunayarudisha pamoja na kulileta Tanzania kombe la shirikisho barani Afrika. Wanasimba niaminini mtaona
@ZachariaMwita-bu7rw
@ZachariaMwita-bu7rw Ай бұрын
Uhakika
@twahambowe440
@twahambowe440 Ай бұрын
Ni kweli kabisa,hakuna kipingamizi,
@twahambowe440
@twahambowe440 Ай бұрын
Ushauri wangu kwa uongozi wa simba; KAMATI YA NIDHAMU NA MAADILI waandae KIAPO CHA UAMINIFU kwa wachezaji woote kwa pamoja ili kuondosha sintofahamu pale mchezaji anapokuwa ameloose asidhaniwe vibaya kama ilivyokwisha kutokea ktk msimu ulopita kuwa baadhi ya wachezaji waliijumu timu. HILI EBU LIANGALIENI KWA JICHO LA TATU.
@kevymwinuka7849
@kevymwinuka7849 Ай бұрын
Kiapo cha uaminifu sio uthibitisho wa uaminifu. Uaminifuvn tabia yavmtu binafsi
ПОМОГЛА НАЗЫВАЕТСЯ😂
00:20
Chapitosiki
Рет қаралды 30 МЛН
Fortunately, Ultraman protects me  #shorts #ultraman #ultramantiga #liveaction
00:10