Kama kawaida nimekuwa wa kwanza nakukubali sana mbwaduke sijawahi kukupinga simba ubaya ubwela nyuki kamkumbatia simba kanasa kamdomo kamewaponza😂
@HamadiKamote5 күн бұрын
Muamuzi yupo sahihi
@TalkMazito-s7l5 күн бұрын
baba bao lakwanza uko sahihi
@jossporahmsw84205 күн бұрын
Lapili ni tatizo,,,,,ila simba ni one two😊😊😊
@ElikanaKimayi5 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@SwahiliMoviesHub4 күн бұрын
KUNA PENALTY YA KIBU DENIS ILIPUUZWA😢
@alinassor3914 күн бұрын
Haya tufanye hayo magoli 2 tuyatoe tubakishe 1 tu linatotosha sisi
@parkipunyparsangey54646 күн бұрын
🔥🔥🔥♥️
@KCZonga5 күн бұрын
🎉
@AsifiweRozio5 күн бұрын
Simba ya Leo jaman waachane nayo mama naona magoli yote ni yauhalari mangineyo ni maneno ya mkosaji
@christopherernest23166 күн бұрын
Sasa huyu ndo mchambuzi maana kwenye penalty hakuna shaka ilikua ni halali lakini huku alikochukua mpira kibu nami naungana nawe ilipaswa kua faulo safi sana mchambuzi Mzee Wa taqwimu
@TriciaSambo6 күн бұрын
vip kuhusu alipo angushwa kapombe sio penalt naomba kujua ila bado tunawakumbusha tunajenga timu
@henelckneatunga27205 күн бұрын
UNAPOONA REFA KAYAKOLOGA LAZIMA MENGINE AFUNIKE ILI HASIJULIKANE
@PhillyAmbilikile5 күн бұрын
Simba inatengeneza timuuuu na refa alikua sahihi
@MajaniZaza5 күн бұрын
Tunakufatilia na tunakupenda xanaaaaaaa
@MzeeSuleiman-g4u5 күн бұрын
Penalt ya shomari kapombe alingushwa ndani box hakutolewa
@crazydaddy92176 күн бұрын
Kapigwa nyuki 🐝 Kaumia nzi wa kijani 🪲🐲 Halafu Matahira fc (🐸) wamesema kama refa kayoko ile mechi hawashindi 😝🤩😜🤪
Wambie utopolo hao na penalt zao za kugeiwa kwa kagera sugar
@badendavid84565 күн бұрын
Goli alitumia akili
@Hajipume5 күн бұрын
Simba tunajenga timu tusiusishwe na ubingwa😂😂😂😂😂😂😂
@lydiamartine79706 күн бұрын
UBAYA UBWELA
@leomika84735 күн бұрын
Uo ilikuwa ni mguso wa kawaida ni Gori harali
@FatumaMkamba5 күн бұрын
Asate.babu
@abuudharishahidy30746 күн бұрын
Wqlifikiria wanacheza na yanga na azam
@mrfavour99965 күн бұрын
Basi tufanye mbili bila jmn
@MusaMwambene-ll6cf5 күн бұрын
Nibao safi
@ZakiaHamoo6 күн бұрын
Mimi najua kwamba hio nibaskeri yamiti kwani kilammoja ataludi kwenye Nafasi alioizoea😂😂😂😂
@alikhamis66266 күн бұрын
Mrembo wewe wateseka ukiwa wapi ww??
@HajiJauma6 күн бұрын
Waaambie utopolo hao
@brunomchalla44395 күн бұрын
Basi suala la kuzungumziwa ni faulo ya Kibu na sio Mpanzi, kwasababu mwamuzi asingefunika penati kwa kosa la Mpanzu kuangushwa waziwazi, hakuna angelizungumzia faulo ya Kibu.
@PatrickWiliam6 күн бұрын
Watu wengi hawajui mpira
@PatrickWiliam6 күн бұрын
Wachambuzi wamekua wengi
@BaANGLE-AUSTINE-VERO-JOSEPHAT6 күн бұрын
TABORA 0-3 TABORA😂😂😂
@MbwadukeStats6 күн бұрын
Duuh!
@Naseebujamesi5 күн бұрын
Ukwel mim nikiskiaga t uchambuz wako nalizk ata nimsikie nani mwengine siyaweki kuchwan mim nikikuskia uchambuzi wako tu kwngu inakua inatosha
@mohdmohd84286 күн бұрын
Tabora wenyewe ni simba
@MbwadukeStats6 күн бұрын
Duuh!
@furahahappe6 күн бұрын
Hapo kwa Kibu D siyo kana kwamba, ilikuwa faulo ya wazi mara ghafla eti tunaona yellow card kwamba Mpanzu kachezewa rafu! Mambo meusi yalitokea hapo mzee wa data, mwamuzi hakuwa sahihi
@peteromary87646 күн бұрын
Hata kama mimi cyo shabiki wa Simba lkn kiukweli ni bao zuri tu
@MwanaidTanga6 күн бұрын
Kama si magoli wayatoe
@YonaChawene5 күн бұрын
Yote ni magori halali anaebisha ni wivu tu
@laizerJr-p8l6 күн бұрын
yote n magoli
@MahaSaeed-hf3gs6 күн бұрын
Kusema ukweli mm nimeangalia mara nyingi ila hata sielewi kama kibu alifanya faulo maana baadae aliinuka mwenyew na kwa mpanzu hapo ndo kichwa kinauma maana mpanzu ataanguka tyuuu bila kuguswa na kama hajaguswa mbona mpira hakuenda kokote
@muhurumatiku12266 күн бұрын
Ndo imeishakuwa gori sasa unaumia ukiwa wapi
@MahaSaeed-hf3gs6 күн бұрын
@muhurumatiku1226 hujaelewa mm shabiki wasimba mm pia nawashangaaa wanaolalamika ndg
@zuhurajabiri39005 күн бұрын
Mpanzu alikuwa anataka kupiga jamaa kamgusa kidogo chini, nakushindwa kupiga tena mpira na kuanguka.
@MahaSaeed-hf3gs5 күн бұрын
@zuhurajabiri3900 yes mm nawashangaaa wanaosema kuwa alijindondoshaa je amekuwa nakifafa mpk andondoke mwenyew tyuuu