Brother Mbwaduke uchambuzi wako ni mzuri sana,Ila naushauri kdg km ingewezekana ukawa unatembelea kwenye kambi au mazoezi ya hizi team zetu zinazoshiriki hii michuano miwili ukaenda kuutoa uchambuzi huu kwa wachezaji pamoja na makocha on my side naona ingesaidia sana (IF IS POSSIBLE)🙏🙏🙏
@wordoffaithministryАй бұрын
Mwaduke sio kochi ni muchambuzi
@amosimyombe8575Ай бұрын
Nakubaliana na wewe hajawahi sema kitu kisitokee yuko poa sana
@NazilisalumukadeweleNazilisaluАй бұрын
Nakubali sana mzeee wa data
@gabrielnybala2165Ай бұрын
Ramadhani mbwaduke wewe ni mchambuzi wangu bora wa mda wote nakufuatilia nikiwa nchini kenya 🇰🇪
@PaulLucas-yq9suАй бұрын
❤hongera kiongozi hakika unaweza kuchambua mpira
@ChalullaObeidАй бұрын
Huyo Ahoua ni mchezaji wa Level ya kati, hatuwezi kufika mbali kwa ,No.10 ya Ahoua
@noelbryson7840Ай бұрын
Huyu ndiyo mchambuzi sasa 👏👏
@MahaSaeed-hf3gsАй бұрын
Mzee wa data❤❤❤❤❤❤
@mohamedkige2535Ай бұрын
Nakuelewa vzulii mkuu❤❤❤
@ayoubmwasanga5809Ай бұрын
Nakuelewa sana mkuu
@SuleimaniAbdallah-p4sАй бұрын
safi sana karibu mpanzu
@AbuuAyubu-t7cАй бұрын
Kwa simba hii mpishi wa magoli AHOUA tutasubir sana jamaa hajielewi uwanjani kazi yake ni ipi kufunga au kuzuia au kuasisti
@TriciaSamboАй бұрын
wow mpanzu tulimsubili Kwa hamu hatimaye mda tu utaongea tunatamani tumuone
UFAFANUZI KUHUSU MPANZU KUCHEZA CAF Elie Mpanzu kuichezea Simba CAF ni mpaka pale Simba itakapofuzu hatua za mtoano, yaani kuanzia robo fainali. Dirisha la usajili kwa ajili ya hatua hiyo linaanzia Januari 1 hadi Januari 31, 2025. Hivyo, hatahusika katika mechi hizi za hatua ya makundi. By Mhariri -- Mbwaduke Stats "Spoti Next Level"
@patrickmuvendi142Ай бұрын
Kunatakiwa pia kupatikana wachezaji wengine kama mpanzu ili kuipa timu nguvu.
@shaibundege7046Ай бұрын
Bora awesu kuliko ahoua
@ChalullaObeidАй бұрын
Simba wanakosea sana kuwaacha wachezaji muhimu kama Elie Mpanzu na Kapoma kwani uwepo wao ungesaidia kuwasoma washindani kwa manufaa ya michezo ya mbele.
@williamyohana-rw7vgАй бұрын
unajua sana
@morrisabdon7881Ай бұрын
Huo ndiyo ukweli, Simba watafute wachezaji aina ya Morrison, Pacome, Max na Cuca Wa Lunda sul. Mukwala, Budo , Ahoua waangaliwe kwa karibu vinginevyo dirisha kubwa wasepe.
@alexandermbijima7737Ай бұрын
Kuna timu ina akina pacome na max lkn wamepigwa mechi mbili
@nurdinshekivuli468Ай бұрын
Fadlu anaupenzi na Ahoua,dogo ndio anaongoza kwa kupoteza mipira, kwangu mimi ile game afadhali angemuweka Debora acheze namba 10 badala ya Ahoua, angemsaidia sana kwakua ananguvu na uwezo mkubwa wa kutoa pasi.
@AusiMohamediАй бұрын
Haunabay Ramadan mbwaduke
@AbuuAyubu-t7cАй бұрын
Kikwazo kikubwa cha simba huyo AHOUA ni mzigo mkubwa pale simba
@ngomaagustino5826Ай бұрын
Mpanzu atacheza tarehe 15
@AgreyNdelwa-eh1plАй бұрын
Kwann mbwaduke usiwe mshauri wa Simba kwenye usajili?
@MbwadukeStatsАй бұрын
Mzee wa Data anasema usihofu. Simba wako vizuri sana eneo hilo.
@AgreyNdelwa-eh1plАй бұрын
@@MbwadukeStats sisi tunakutaka wewe
@amosimyombe8575Ай бұрын
@@AgreyNdelwa-eh1plsimba wakimpata huyu mwamba watakuwa na vizuri kwenye sajili
@ZachariaMwita-bu7rwАй бұрын
🔥🔥🔥
@rolenyjames8917Ай бұрын
Good
@mrdaniel2973Ай бұрын
Anacheza lini sasa
@DorahAlbert-eb9zvАй бұрын
sasa mbona huyo Mpanzu hachezi tu japo ulichambua tangu droo ilipofanyika ukasema Mpanzu atacheza lkn tear mechi 2 hajacheza
@nemsonmsongole2892Ай бұрын
Dirisha dogo linafunguliwa tar.15 na ndio siku wanacheza na sc faxien je,anaweza akaruhusiwa kucheza siku hiyo hiyo ya ufunguzi?
@MbwadukeStatsАй бұрын
UFAFANUZI KUHUSU MPANZU KUCHEZA CAF Nyota wa Simba, Elie Mpanzu atapata nafasi ya kuanza kuichezea timu yake Kombe la Shirikisho CAF pale Simba itakapofuzu hatua za mtoano za micghuano hiyo, yaani kuanzia robo fainali. Kwa utaratibu wa CAF, Dirisha la nne la usajili kwa ajili ya hatua hizo za mtoano, linaanzia Januari 1 hadi Januari 31, 2025. Hivyo, Mpanzu hatahusika katika mechi hizi za hatua ya makundi. By Mhariri -- Mbwaduke Stats "Spoti Next Level".
@muyongahassan2188Ай бұрын
Achatuone kam nikwel
@mussadunia-t7h29 күн бұрын
mbwaduke ni mchambuzi ola san apewe mauwa yame
@ladislausshirima3883Ай бұрын
Inavyoesabu Ivo nachoka inanimalizia Mb za bure pia nakata tamaa
@MbwadukeStatsАй бұрын
Pole. Ni utaratibu wa wenyewe You Tube wakati kazi inapopanda mubashara. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!
@samwelsimon7392Ай бұрын
@@MbwadukeStatsasante kwa kuendelea kutujuza swali langu ni jee ataanza lini kucheza
@MbwadukeStatsАй бұрын
@@samwelsimon7392 Ni baada ya kupata uhalali wa kucheza katika ligi wanayoshiriki Simba nchini kwao, yaani Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Maana yake kama kule CAF kila kitu okay, basi usajili wa dirisha dogo nchini ukifanikishwa naye atakuwa tayari kuitumikia klabu yake mpya ya Simba kwenye mechi za CAF. Dirisha dogo la usajili nchini hufunguliwa Desemba 15.
@erneusbasanga7939Ай бұрын
What does it mean by dribbling?
@MbwadukeStatsАй бұрын
@@erneusbasanga7939 Simply, staying on the ball while moving it around the pitch. It allows dribblers (players) to run into space, skip past an opponent, help their team keep possession e.t.c