MBWADUKE: Hivi ndivyo Waalgeria Constantine watapigwa na Mnyama hata bila mashabiki/ Kibu, Mpanzu..

  Рет қаралды 18,707

Mbwaduke Stats

Mbwaduke Stats

Күн бұрын

Пікірлер: 60
@Brunoh90Tv
@Brunoh90Tv 13 күн бұрын
Kaka Mbwaduke wewe ndo mchambuzi wa soka hapa Tanzania, hongera sana👏👏👏 Naomba uweke utaratibu mzuri tuwe tunakuchangia ili uweze kutuletea madini zaid
@KulwaSanga-b4z
@KulwaSanga-b4z 13 күн бұрын
Mkuu umewaza pamoja nami
@MbwadukeStats
@MbwadukeStats 13 күн бұрын
Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono. Ni kweli tuko katika hatua za ukuaji na hivyo tukipata sapoti kwa chochote kile tunashukuru sana. Waweza kutuchangia ulicho nacho kupitia Voda: 0759464186.
@MbwadukeStats
@MbwadukeStats 13 күн бұрын
@@KulwaSanga-b4z Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono. Ni kweli tuko katika hatua za ukuaji na hivyo tukipata sapoti kwa chochote kile tunashukuru sana. Waweza kutuchangia ulicho nacho kupitia Voda: 0759464186.
@Brunoh90Tv
@Brunoh90Tv 13 күн бұрын
@MbwadukeStats Sawa sawa lazma tutoe support yetu kwakwel
@WisdominternationalMinistries
@WisdominternationalMinistries 13 күн бұрын
Unajua sana kuchambua soka brother. Mungu akulinde
@ChampionchumalaizerChampionchu
@ChampionchumalaizerChampionchu 13 күн бұрын
Ongera brother kwenye uchambuzi salute 🫡 sana
@gabrielnybala2165
@gabrielnybala2165 13 күн бұрын
Ramadhani mbwaduke mchambuzi wangu bora wa mda wote nakufuatilia nikiwa nchini kenya 🇰🇪 ❤❤❤❤
@MbwadukeStats
@MbwadukeStats 13 күн бұрын
Wow! Shukrani sana kwa kuendelea kutuunga mkono!
@gabrielnybala2165
@gabrielnybala2165 13 күн бұрын
@MbwadukeStats karibu sana mchambuzi wangu bora wa mda wote
@malingazeboss9351
@malingazeboss9351 12 күн бұрын
Good work brooo 🎉🎉🎉🎉🎉
@ZulphaMsangi-s9g
@ZulphaMsangi-s9g 13 күн бұрын
Asante kwa uchambuzi mzuri ❤❤❤🎉🎉🎉
@MasudiLugomba-s5i
@MasudiLugomba-s5i 13 күн бұрын
Kazi nzuri kaka🎉
@sadokimtondoabahenya31
@sadokimtondoabahenya31 13 күн бұрын
Mungu akujalie mzee wangu
@SaidsultanNindwa
@SaidsultanNindwa 13 күн бұрын
Yes tunachapa hao mapema sana
@MahaSaeed-hf3gs
@MahaSaeed-hf3gs 13 күн бұрын
❤❤❤❤❤ naitakuwa hivyo tunazidi kumuomba mungu tyuuuu ubaya ubwela uwafikie vizuri tyuuuu
@tumaini37
@tumaini37 13 күн бұрын
Nakuelewa sana uchambuzi wako🎉🎉🎉
@IbrahimuSaid-fz9yy
@IbrahimuSaid-fz9yy 12 күн бұрын
Shukran Jazeera mwalimu wa ball ngoja niweke mkeka nimeshapata data za kutosha nimuamin simba mazima
@JimmyByamungu
@JimmyByamungu 12 күн бұрын
Kaka w unauhakika kweli nakupenda sana maana w nihatal wengine nikujitapa tu unachambua vizuli sana
@Jeremiasassume
@Jeremiasassume 13 күн бұрын
Kweli kila mtu na kazi yake , hongera ubaya ubwela 🎉
@SetMohamed-i9y
@SetMohamed-i9y 13 күн бұрын
Mchambuzi wa dunia ,hongera sana ww ni mchambuzi bora kuliko wote.
@HamisSheck-s9r
@HamisSheck-s9r 13 күн бұрын
Upo vizuri sana
@DanielYusto
@DanielYusto 13 күн бұрын
Ahsante kwa uchambuzi mzuri, mechi hii, simba ikiwa makini kipindi cha kwanza, wanamaliza mechi mapema. 🎉🎉🎉
@FranckJastiniDeograsiat
@FranckJastiniDeograsiat 13 күн бұрын
Uhakika mbwaduke Huna baya 😅😅😅😂😂😂
@CaytliciousWilliam
@CaytliciousWilliam 13 күн бұрын
Brother for real unaujua kaka tupe madin😊
@AndrewAristaricko
@AndrewAristaricko 13 күн бұрын
Bravoo mbwadukee,,kunaa mtu anaitwa ambokilee sjui kajifunziaa uchambuzii kichochoronii 😂
@muhurumatiku1226
@muhurumatiku1226 13 күн бұрын
Yule jamaaa dah sjawah kumuelewa.
@GIFTEDANDTALENTED-v1p
@GIFTEDANDTALENTED-v1p 13 күн бұрын
Kaka ama kweli unalijua soka
@PaulSengo
@PaulSengo 13 күн бұрын
leo nimewah kipindi😅😅😅😅
@ImeldaMtega
@ImeldaMtega 13 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@mnyongeiddi2454
@mnyongeiddi2454 13 күн бұрын
Huyu jama hata ukimsikiliiza unapata Cha kukifunza siyo kama wachambuzi uchwala
@muhurumatiku1226
@muhurumatiku1226 13 күн бұрын
Haswaa anaejiita chuma chamchina
@MatiasBroo-z7b
@MatiasBroo-z7b 13 күн бұрын
Wachambuz wengine njaa ndugu angu uyu ndo hua nakua nae uhakika tu
@MatiasBroo-z7b
@MatiasBroo-z7b 13 күн бұрын
Wachambuz wengine njaa ndugu angu uyu ndo hua nakua nae uhakika tu
@MedikoAsenga
@MedikoAsenga 12 күн бұрын
Mchambuzi bora tz 🎉
@tindadyreal3208
@tindadyreal3208 13 күн бұрын
Unajua Dingi
@HusseinRukwaja
@HusseinRukwaja 12 күн бұрын
@saidsalum2546
@saidsalum2546 13 күн бұрын
Uchambuzi bora wenye vigezo vya juu
@JAMESALPHONCE-b8p
@JAMESALPHONCE-b8p 13 күн бұрын
Kaka we unajua sana kuliko wachambuzi wa mchongo
@charleznicholas416
@charleznicholas416 13 күн бұрын
Apa unasikiliza uchambuzi na unaenjoy
@mlekwadaud2530
@mlekwadaud2530 13 күн бұрын
Wachambuzi kama hawa uongozi wetu hawauoni kwa nn wasimtumie hata kuzungumza kiufundi ktk timu yetu baada ya mazoezi ili kuweza kuongeza umakini zaidi kwenye Gemu zetu. Ushauri wangu tumtafute asaidie kwenye Benchi la ufundi.
@renatusblandes1131
@renatusblandes1131 13 күн бұрын
Simba wakutumie kwenye uchambuzi wa mpinzani
@JinessDaudi
@JinessDaudi 13 күн бұрын
😅😅
@BoniphaceJohn-i9t
@BoniphaceJohn-i9t 13 күн бұрын
Sema haumpendi ukihisi anamahaba na simba
@MichaelShemgombezi
@MichaelShemgombezi 13 күн бұрын
Huyu jamaa ndie mchambuzi kwangu Bora Tz
@PatrickGeraldi-wd1er
@PatrickGeraldi-wd1er 13 күн бұрын
Huyu jamaa Kwa takwimu ni magufuli mtupu.
@MichaelShemgombezi
@MichaelShemgombezi 13 күн бұрын
Pamoja sna Tumtangulize mwenyez mungu katka kaz zetu Amn
@TriciaSambo
@TriciaSambo 13 күн бұрын
inshallah tutashinda mechi ya kesho
@abdulabeid5698
@abdulabeid5698 13 күн бұрын
Sorry nlikusudia kimsingi .typing error
@abdulabeid5698
@abdulabeid5698 13 күн бұрын
Jamaa anajitahidi kuchambua mpira .ni kweli wachambuzi wengi wanachambua wanavoona wao lakini kissing hupati ladha ya kutaka kusikiliza.mbwaduke anajua nini Cha kuongea na kueleza ukweli wa uchambuzi
@ShadadiAmri-e6c
@ShadadiAmri-e6c 13 күн бұрын
MOLA akujaalie mwamba Ang
@renatusblandes1131
@renatusblandes1131 13 күн бұрын
Uchambuzi wako kwanini usionane na bench la Simba pamoja na Wachezaji wa Simba?Sisi hatuna Cha kufanya zaidi ya kupoteza Bandle
@melissa_garden
@melissa_garden 13 күн бұрын
Na yeye analipwa na youtube
@FrankKashamakula-xb1pc
@FrankKashamakula-xb1pc 13 күн бұрын
Simba Sc kuna Position Inaitwa Video Analysis Ambae amesomea u Coach pia na Kutathimini Wapinzani
@MottoShass
@MottoShass 13 күн бұрын
Simba mtumieni mchambuzi huyu.anajua tumpe maua yake,mbwaduke.
@abdallahshariff6555
@abdallahshariff6555 13 күн бұрын
Hakuna hata mchambuzi mmoja katika nchi hii,ni Ramadhani Mbweduke peke yake,hao walio baki wote wapiga ramli na uchawa wa kupamba timu zao wanakopatia vijiposho
@MbwadukeStats
@MbwadukeStats 13 күн бұрын
Duuh! Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 13 күн бұрын
Wa kwanza
@PaulSengo
@PaulSengo 13 күн бұрын
leo nimewah kipindi😅😅😅😅
@HusseinRukwaja
@HusseinRukwaja 12 күн бұрын
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
Matangazo ya Dira ya Dunia TV Ijumaa 31/01/2025
BBC News Swahili
Рет қаралды 783
JEAN CHARLES AHOUA (JINI) ANAYAWATESA WENZAKE.
4:00
kefa sika
Рет қаралды 34 М.
DUNIA (Ep 46)
22:12
ASMA FILMS
Рет қаралды 78 М.
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН