MBWEMBWE ZA MWIJAKU MBELE YA ALIKIBA AKIPEWA UBALOZI

  Рет қаралды 22,028

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Mwijaku alikuwa ni miongoni mwa walioalikwa leo kushuhudia Alikiba akipewa ubalozi wa kinywaji cha Energy Drink na alipewa nafasi ya kuongea pia. PLAY kutazama

Пікірлер: 27
@dogored5615
@dogored5615 3 жыл бұрын
Plooo plooo noma sana kampa Mwijaku ubalozi dhuuuuu... Sawa sawa apa msani Yr Boy @DOGO RED nawapata toka nchini Zimbabwe Harare
@publicrelations4600
@publicrelations4600 3 жыл бұрын
Ungekua unawahusia watu kumkumbuka ALLAH mashaallah.
@MultiKelvin1994
@MultiKelvin1994 3 жыл бұрын
Kujilisha upepo ni ugomjwa mbaya sana, kitaaluma nafkiri wanaita delusional psychosis. Huyu ni Mirembe case kabisa. Halafu mbaya zaidi waajiri wake wanaendelea kumpa kazi za broadcasting. One of these days atawaingiza hasara kubwa kwelikweli hahaha. We mtu anajiaminisha kabisa kwamba kamsababisha Burna ashinde 🤭🤭🤭
@alicenice1711
@alicenice1711 3 жыл бұрын
Hongera saana kingkiba
@rehemaiddsalehe52
@rehemaiddsalehe52 3 жыл бұрын
Kazi unayo kila siku vijembe watu waachi kutupa kunywaji cha pepsi na Coca-Cola dunia vinatambua ata mtoto anavijua hiko kunywaji mtakuywa ww na mashabiki zako Ongera KING kupat ubalozi
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 3 жыл бұрын
Ndo kinywaji tunacho tumia hapa US kwa ajili yaku tupa nguvu acha ungese ni kinywaji maarufu sana
@denisimaliyaweni9183
@denisimaliyaweni9183 3 жыл бұрын
Acha wivu we MTU mmoja huna faida
@jumakibwana1810
@jumakibwana1810 3 жыл бұрын
Huku kwetu hatujui Pepsi twaijua coca Cola, club soda na power horse👍
@shinipapaya846
@shinipapaya846 3 жыл бұрын
We toka ushangilie simba alivyo kosa ile tuzo ya bet basi kila mtanzania ashajua kuwa wewe ni K.......
@ellashine2124
@ellashine2124 3 жыл бұрын
Ali yooh yooh yooh😄♥️♥️
@babylonyNgwembe
@babylonyNgwembe 3 жыл бұрын
KIBA KAPANIC NA RR KAITISHA PRESS KWAAJILI YA KUMPA MWIJAKU UHAMASISHAJI LENGO A CLEAR ISHU YA RR..KWELI UMASKINI MBAYA SI WANAJIFANYA HAWATAKI BEEF HAWA LAKIN KUTWA KUWAZUNGUMZIA WCB SASA...DIAMOND NDO TRENDING ARISTOTEEEE
@Ahmed-fm5fr
@Ahmed-fm5fr 3 жыл бұрын
Kwa hvyo watu wasifanye kazi sababu ya RR🤣🤣🤣🤣
@babylonyNgwembe
@babylonyNgwembe 3 жыл бұрын
@@Ahmed-fm5fr ALISHAKATAAGA MAMBO AYA MWENYEWE KIBA MFANO YEYE ATOE NYMBO NA MOND NAYE ATOE AU AFANYE KITU MUDA MFUPI UJAO...LAKIN KWA SSHV KIBA NDO ANAJUA UMUHIM WA USHINDANI WA BIASHARA YA MUZIK NA DATA ZISHAZIMWA .
@abasilihundu200
@abasilihundu200 3 жыл бұрын
@@Ahmed-fm5fr yaan daah 😂😂😂😂😂
@jesustv2511
@jesustv2511 2 жыл бұрын
Mhhhhhhhhhnn hahahaaaaa
@biggestnasritv2601
@biggestnasritv2601 3 жыл бұрын
THE BIGGEST BOSS NASRI
@zainabubakari6055
@zainabubakari6055 3 жыл бұрын
Ahsante
@boniphacekasara4886
@boniphacekasara4886 3 жыл бұрын
Mara MOFIRE mara POWER HORSE Bado SUNGURA SASA
@maxwellsanga3662
@maxwellsanga3662 3 жыл бұрын
jifunze kiingereza kwanza ndio ujiite mshawishi mkubwa
@Burner_Acc
@Burner_Acc 3 жыл бұрын
mofaya iliishia wapi?
@Rocky-mn6wm
@Rocky-mn6wm 3 жыл бұрын
Kijichi
@moviestrailer2394
@moviestrailer2394 3 жыл бұрын
Kwani karanga ziliishia WAP??
@Burner_Acc
@Burner_Acc 3 жыл бұрын
@@Rocky-mn6wm 😂
@Burner_Acc
@Burner_Acc 3 жыл бұрын
@@moviestrailer2394 zimenunua roz royis
@pendomariki6562
@pendomariki6562 3 жыл бұрын
Mara partership mara ubalozi
@mabaujames3632
@mabaujames3632 3 жыл бұрын
Sauti
@yasinsalum2913
@yasinsalum2913 3 жыл бұрын
Roho ya ally na mwijaku zinafanana ndo mana ally hajatoa wasanii wakubwa mbinafsi mtapata vidogo km vibiriti wajinga nyie
МАИНКРАФТ В РЕАЛЬНОЙ ЖИЗНИ!🌍 @Mikecrab
00:31
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 40 МЛН
Cute
00:16
Oyuncak Avı
Рет қаралды 11 МЛН
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 75 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 2 Серия
31:45
Inter Production
Рет қаралды 1,1 МЛН
Oliver Kahn will never forget this humiliating performance by Ronaldinho
10:07
МАИНКРАФТ В РЕАЛЬНОЙ ЖИЗНИ!🌍 @Mikecrab
00:31
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 40 МЛН