MCH HANANJA ATOA SOMO KWA GEN Z WA KENYA, MUNGU HAPENDI

  Рет қаралды 27,418

Mbengo Tv

Mbengo Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 81
@AlbertKassa-l4b
@AlbertKassa-l4b 2 ай бұрын
Mzee be blessed so much, you have been good advisor.
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 2 ай бұрын
Mchungaji uko vizuri kuliko hawa watafiti wa kusoma vitabu na kuandika tafiti "mwotesho". Hili ni somo zuri kwa Wah Wabunge. Huu ndio ukweli. Viongozi dini na serikali na wazazi wasikilize hii kwa makini.
@ombengoranga5589
@ombengoranga5589 2 ай бұрын
Kama huna busara huwezi mwelewa huyu mzee lakini kuna vitu vingi vya kujifunza hapa
@andrecarlos1024
@andrecarlos1024 21 күн бұрын
Unajua mch.Hananja🇲🇿🇲🇿🇲🇿👏👏👏🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@stephenmwaniki2803
@stephenmwaniki2803 3 ай бұрын
Wacha mzee nikujuze jambo huyu mtu alipo ingia mamlakani kwanza aliondoa kazi kwa vijana pesa za wazee mlo shuleni kwa wasionjiweza huduma hospitalini acha zifurugha yani amehalimbu kila kitu na tusisahau amepeleka watoto wetu haiti kwahiyo hatumchukii bule huku maisha nikusononeka tu
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 2 ай бұрын
Ndiyo hicho alichosema Wananch wameona Tofauti na walichotegemea
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 2 ай бұрын
Poleni sana
@stephenmwaniki2803
@stephenmwaniki2803 2 ай бұрын
@@nsiamasawe4578 Asante itambindi tupambane na hii Hali yetu
@migerajacob581
@migerajacob581 2 ай бұрын
Mzee kaongea points,,serikari za Africa Zina fikir maendeleo ya vitu huku,watu wao Wana kufa na njaa,,,
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 ай бұрын
Wale watu wamesema wenyewe kuwa hawana cha kupoteza😢.Hawajali kabisa. NI KW E LI .Wamekata tamaa😢
@jofreykivambe6520
@jofreykivambe6520 2 ай бұрын
Asante Pst
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 2 ай бұрын
Wakosa wote. Hela ziko wapi! Mungu saidia tune na uwezo WA kufanya kazi asifanya kazi na asile.
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 2 ай бұрын
"Utamaduni wa mazungumzano kuanzia ngazi ya familia. Walioko juu wawasikilize walioko chini na wachininwawaheshimu walioko juu wasiwapuuze walioko chini na wachini wasipuuze walioko juu. Tusipuuzane Watz. Tuipende nchi yetu kwa amani."
@mutualoka1809
@mutualoka1809 2 ай бұрын
Pengezi pastor umefundisha vizuri, ningepatana nawewe kuku ningekununulia.
@cyprianyondondo
@cyprianyondondo 2 ай бұрын
God bless you mtumishi
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 2 ай бұрын
"Maendeleo watu na maendeleo vitu viende pamoja. Mwenyenjaa hana sheria hana akili. Watu potelea mbali hawana habari, hawana la kupoteza."
@CharlesAndrea-b8v
@CharlesAndrea-b8v 2 ай бұрын
Magufuli alibadilisha kwa mda gani wachungaji semeni
@peterkanja4765
@peterkanja4765 2 ай бұрын
Magufuli ni show tu abadirishe kitu Gani kwa manyumbu ataona kama alibadirisha lakini kwa wenye akili alikuwa anatengeneza bomu angedumu lingemlipukia mwenyewe.
@collinsowuor6981
@collinsowuor6981 2 ай бұрын
Kweli kabisa, wakenya ujumbe mzuri kwenu nyinyi
@abdallahdullah8642
@abdallahdullah8642 3 ай бұрын
Tatz waliojuu Hawana utamaduni wa kuwackiliza walio chini wkt ndio ndio waliowaweka apo juu kwa kura na ridhaa zao lkn wakipata huwasahau na mara nyingi walilalamika solution huwa kuwachapa viboko na kuwanyamazisha.
@firegun9443
@firegun9443 2 ай бұрын
Mzee noma sana
@feswal22
@feswal22 2 ай бұрын
Kutojua haki yako kama mwananchi ni vbaya,, this round tutawafinya lazma Kila mtu awe na haki sawa 🇰🇪🇰🇪 uongozi wa kidicteta hatutaki
@dennislihepa2247
@dennislihepa2247 2 ай бұрын
Kama wabunge wao wanajiwekea maisha mazuri vijana wako hoi
@oswaldpaul7453
@oswaldpaul7453 2 ай бұрын
Ukweli mtupu.
@kevinMwiva
@kevinMwiva 2 ай бұрын
Mzee amenena hekima
@jenifferwanjira6124
@jenifferwanjira6124 2 ай бұрын
❤❤❤
@NorberthLuambano-t2c
@NorberthLuambano-t2c 3 ай бұрын
Kwel kabisa mchungaji yaan ni ukwel mtupu
@JoackimuGeorge-t8y
@JoackimuGeorge-t8y 2 ай бұрын
Kuna kipindi nilipitia iyo Hali ya sonona ila kwa Sasa namshukulu nimepata Neema ya Mungu ni mjasilia Mali na nimelidhika na maisha yng
@salimamry9432
@salimamry9432 2 ай бұрын
Mchungaji maneno yako mengi huwa yana hikima.
@NelsonJackson-z7r
@NelsonJackson-z7r 3 ай бұрын
Unapopandisha Kodi razima uwandae miundombinu ya maksin ya Ali ya chini, ili asije kuraramika km wakenya.
@hezekiahabai150
@hezekiahabai150 2 ай бұрын
Truth be told!!
@afrakanaswahilitv5520
@afrakanaswahilitv5520 2 ай бұрын
Jeshi la polisi nchini Kenya likome mara moja kufyatulia umma risasi na vitoa machozi.
@raphaeloloo9641
@raphaeloloo9641 2 ай бұрын
Kuja Kenya tukusalimie
@baloz8974
@baloz8974 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂 asalimiwe atie akili
@IREENKAIRUTHI
@IREENKAIRUTHI 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@IREENKAIRUTHI
@IREENKAIRUTHI 2 ай бұрын
These pastors feed on tithrs and they don't mind us.
@afrakanaswahilitv5520
@afrakanaswahilitv5520 2 ай бұрын
Huyo mzee wangu ana hekima na busara chungu nzima. Tafadhali nyie wenzangu jitanabaishe kwa ushauri ametoa. Ameongelea kitu cha muhimu sana kwenye maisha ya watu na changamoto zote zinazowakabili. Asante kwa ushauri mwema. Karima awe nawe na akubariki si haba.
@bahatisilvesta
@bahatisilvesta 3 ай бұрын
big point
@ThomasGai-kz5cu
@ThomasGai-kz5cu 2 ай бұрын
Nakupongeza sana kwa mafundisho yako mazur yasiyoegemea kokote isipokuwa ukweli. Wanasiasa wengi wanaponzwa na ahadi zao hasa wanapowasema wale walioko madarakani.
@zuberiseguni
@zuberiseguni 2 ай бұрын
Hiyo mnaesema alikuwa anajali raia wake nadhani alijali vitu zaidi na kuna wakati alikuwa snawashfu.
@shukranionesphoro7744
@shukranionesphoro7744 2 ай бұрын
Ww jinga achana na magufuli jembe lile
@jovinusmutabuzi4647
@jovinusmutabuzi4647 2 ай бұрын
Mimi nilisikia kwamba Ruto alikuta treasury/Hazina haina kitu,uhuru alikomba yote kama huo ndio ukweli lazima Rito apate mahali pa kuanzia.hata Magofuli wetu alitafuta pesa kwanguvu . Namfahamu Ruto kama mcha Mungu, namuombea Mungu aitulize kenya na kuwaweka watu pamoja.
@ngwenoh.e9725
@ngwenoh.e9725 2 ай бұрын
What is he talking about? There's no politics there,it's governance,accountability,curb wastage
@jovinusmutabuzi4647
@jovinusmutabuzi4647 2 ай бұрын
Siyo rahisi hivyo.kuna kuvumiliana,kufunga mkanda.sisi bongo tunauwezo wakumvumilia rais hadi kumaliza kipindi chake.
@ngwenoh.e9725
@ngwenoh.e9725 2 ай бұрын
@@jovinusmutabuzi4647 governance and accountability is the reason we are here,nchi ina madeni,ila hela nyingi zilizokopwa zimeishia kwenye mifuko ya wachache,kwa hivyo wananchi hatupaswi kuuliza maswali? Manake mwisho wa siku ni sisi twalipia ujue?
@nurusaid4698
@nurusaid4698 2 ай бұрын
Mi Cwezi Poteza Mda Ni Kasikiza Pasta Ata Cku Moja 😂😂😂😂😂Wacha Tuuwane Ila Tunajuwa Tunacho Kifanya
@zulekhasaeed6046
@zulekhasaeed6046 2 ай бұрын
Wewe huijui kenya hatukuelewi
@mirajiramadhanikyande6173
@mirajiramadhanikyande6173 2 ай бұрын
Mwenye sonona hawezi kumuelewa
@Rhys-kx5zw
@Rhys-kx5zw 2 ай бұрын
Instead army taking over.Why can’t Ruto resighn??
@FaithKibwii
@FaithKibwii 2 ай бұрын
He will not why do you want to remove him to a position he fought for?let the army take over mtalilia chooni hata hizo tax mnakataa kutoa mtoa kwa nguvu,na ua wanachukua kila kitu wanataka kwa nguvu,na pia hamtakakua na freedom yenye mumekuwa nayo,na pia mauaji itakuwa ya kila saa,Jeshi ua hawaongozwi na katiba ndiyo sababu ua hawapigi kura.
@evansmoshi1923
@evansmoshi1923 2 ай бұрын
Mchungaji nimekua nikikufuatilia nanimekua nikikuelewa kwa mambo ya mungu, ila kwa hili kaapembeni kabisaa yan siku zote haki hutafutwaga kwa damu siku zote hamna haki isiyo tafutwa kwa damu.
@432155ful
@432155ful 2 ай бұрын
Kanisa nayo imesaliti waumini wasemaji juu yake.
@maniamba.tz_
@maniamba.tz_ 3 ай бұрын
True
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 ай бұрын
Ushabiki ni balaa ,tuongee ba siyo vurugu😮
@husseinbakromar5865
@husseinbakromar5865 2 ай бұрын
Katika kundi la wambea wee dada waongoza
@KHATIBUSENYE-ss3ok
@KHATIBUSENYE-ss3ok 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂umenichekesha
@baloz8974
@baloz8974 2 ай бұрын
Urefu waGenz kiurefu ni Generations Z
@FaithKibwii
@FaithKibwii 2 ай бұрын
Mbona unasema ukweli mzee?
@evansmoshi1923
@evansmoshi1923 2 ай бұрын
Yan saiv vijana wengi wamesoma wanaelimu yakutosha mwisho wasiku wanashangaatu miaka inaenda hawanakazi mnategemea nini?
@geofreyngero9449
@geofreyngero9449 2 ай бұрын
Wee 👉 mzee hujui KENYA. Wacha nikufunze kidogo tu, ujue ukabila huwezi iisha kwa sababu huo ukabila si sisi tulio uleta. Kumbuka mnara wa Babeli mchungaji na usome vizuri na urudie tena kisha urudi hapa 👇utuambie tukiondoa ukabila tutafanya maajabu yenye yanakaa aje??!😏🥴
@AnthonyMagotsi
@AnthonyMagotsi 2 ай бұрын
Anaanza aje na amekuwa kwa serikali toka miaka ya 1980s.Tena amekuwa makamu Rais kwa miaka kumi??
@shukranisibale1739
@shukranisibale1739 2 ай бұрын
Hakika
@abdallahdullah8642
@abdallahdullah8642 3 ай бұрын
Nimekuelewa mzee wengi hatujui km Kuna maendeleo vitu na Maendeleo watu kwaiyo kinachofanyika ni kuleta Maendeleo vitu tyu bila kujali Maendeleo watu ni muhm zaidi kwasabb ni rahc Maendeleo watu kuleta Maendeleo vitu lkn una una soko lkn huna uwezo wa kuweka bidhaa.
@erickbulyota9474
@erickbulyota9474 2 ай бұрын
😊
@anosiata8242
@anosiata8242 3 ай бұрын
Nimecheka eti watanzania ni nautical😀😀😀
@husseinbakromar5865
@husseinbakromar5865 2 ай бұрын
Mamachanja tumbo laniuma Leo umeongea zero ndio maana mzalendo wenu magufuli amewawa kisiasa na jyinyinviongozi wa dini kimya so ya wake ya huyajui wachie wenyewe wapiganie haki zao kakojoe ulale
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 2 ай бұрын
Matarajio ya waliokuweka ktk uongozi yasipotimia shida. Je wanani walimweka nani ktk uongozi na matarajio yao nini? Taabu.
@douglaswawire9885
@douglaswawire9885 2 ай бұрын
Come and stay in Kenya for only only month,,,,you will go back to your country,,,you don't know how people feel
@AsiaDismas
@AsiaDismas 2 ай бұрын
Apo nimekuelewa
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 ай бұрын
Watu wanategemea kuajiriwa tu.colonilism after effects Vijana wajifunze kujiajiri na siyo kuwategemea wabunge😢😢
@ezekielmwakalindile1922
@ezekielmwakalindile1922 2 ай бұрын
Usichukulie powa kujiajiri lazima selikari itengeneze mazingira ili wananchi wake waweze kujiajiri.Nchi nyingi hazina iyo mifumo ndio maana watu wengi wanakuwa jobless
@judicalosika7642
@judicalosika7642 2 ай бұрын
​@@ezekielmwakalindile1922yap
@Stephen12.
@Stephen12. 2 ай бұрын
Have wabunge ndio wamepitisha sheria za kugandamiza miundo msingi ya self employment.
@PhestoKamsangia-nz2xx
@PhestoKamsangia-nz2xx 2 ай бұрын
Huyu mze anafaa kuwa bunge kabisa
@dukeongori9067
@dukeongori9067 3 ай бұрын
Bro wa suti
@geofreyngero9449
@geofreyngero9449 2 ай бұрын
MAGUFULI ndio alikuwa president pekee Duniani kote mwenye alikuwa anasikiliza matatizo na matakwa ya maskini wa mwisho. Na mulimfanyia nini nyinyi makafiri 😢😢
@ElishaKasambo-yu5jt
@ElishaKasambo-yu5jt 2 ай бұрын
Kafiri ni nani ndugu,? Mbele za Mungu wote ni makafiri tuna dhambi nyingi zingine kwa kuwaza TU, ni kwa neema ya Mungu tu
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 ай бұрын
Ba b a waambie wa n asiasa wa Tanzania pia waanze kujitambua vinginevyo mwakani ni hayo hayo ya Kenya.Sasa tatizo la Tanzania elimu ndogo sana,kwa vijana hata baadhi ya wanasiasa😢😢 Kitakuwa kisanga wajinga watupu kupambana😢😢
@judicalosika7642
@judicalosika7642 2 ай бұрын
😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳
@theheraldbroadcastingnetwo4836
@theheraldbroadcastingnetwo4836 2 ай бұрын
Hakuna kundi la kisiasa....
VITUMBUA
13:12
Joti TV
Рет қаралды 68 М.
iPhone or Chocolate??
00:16
Hungry FAM
Рет қаралды 47 МЛН
Players vs Corner Flags 🤯
00:28
LE FOOT EN VIDÉO
Рет қаралды 83 МЛН
How do Cats Eat Watermelon? 🍉
00:21
One More
Рет қаралды 12 МЛН
USHUHUDA WA MAMA ALIYESOMA UZEENI  (HESABU NI KAMA KIFO HUWEZI KUEPUKANA NAYO)
16:15
MCH HANAJA APIGA NONDO NZITO KUHUSU KIBOKO YA WACHAWI
28:20
Mbengo Tv
Рет қаралды 58 М.
MCHUNGAJI HANANJA: HAKUNA MTU ALIYEANZA NA MWANAMKE MMOJA HUYO MUONGO LAZIMA UNAPAPASAPAPASA KWANZA
59:37
Mchezakwao “mchezakwaoshow” Startv
Рет қаралды 133 М.
iPhone or Chocolate??
00:16
Hungry FAM
Рет қаралды 47 МЛН