Nakupenda sana Baba Kwa ukweli unayosungumsa ❤❤❤❤hapa nimecheka tayari wah😂😂😂Mungu akubariki uishi miaka mingine mingi mbele
@allymugenzi4611 ай бұрын
Mimi ni muislamu lakini nimevutiwz mawaidha ya Pastor Nahanja. Mungu ambariki.
@johnluyego9353 Жыл бұрын
Yaani nacheka sana Ila mzee yuko vizuri sana . Mungu aendelee kukutunza uishi miaka mingi
@alinotiwampe7420 Жыл бұрын
Msichoke wahandishi kwenda pastor Hananja maneno yake yana tuhelimisha mungu wetu yesuchristo atulinde
@joycehefsiba2750 Жыл бұрын
Wow mchungaji Ananja, ni mwalimu mzuri kweli. Wow asante sana baba.Kama Kuna mchungaji anafaa kua mchungaji ni wewe, kwa ukweli Mungu akubari sana sana sana.uzidishiwe hekima na Mungu.❤
@swarehekhalim64235 ай бұрын
Mbavu cna nimechaka Sanaa.umelkuwa mkwelii
@MTANGACOMEDYTZ Жыл бұрын
SIJAWAI KUACHA KUSIKILIZA MAHOJIANO YAKO ,IMANI NA UHALISIA ,SAFI SANA ,MUNGU AKUWEKE
@mutindamuthama412411 ай бұрын
Mimi nimejifunza udhaifu wetu kama mkristo but kupitia kwa mchungaji ni mejifunza kuishi kwa ukweli God bless you pastor 🙏🙏🙏
@AmisiLulacha Жыл бұрын
Ubarikiwe mchungaji Mungu akupe wepesi ili uwe unatufundisha neno lake amen
@mishigwan6598 Жыл бұрын
Mm sikuowa Nabii Nimeowa Mke Aiseeee Neno Dogo Ila Linamaana kubwa Sana Ahsante Baba Henanja Upo Kwenye Moyo Wangu❤
@ErentrudisKihwili8 ай бұрын
Upo vizuri Mchungaji Ameen
@GladysMbulla-qj3fi Жыл бұрын
Uishi miaka 1000 nakupenda sana pastor mungu akutunze mafundisho yako mazuri
@PauloMwenelwa Жыл бұрын
Mchungaji nakukubali sana tena unaongea uhalisia natamani sana siku moja nikutane nae ana kwa ana pia niabudu kanisani kwake,mungu akubariki sana na akupe maisha marefu,hufanani na hawa wachungaji mihemuko ya unyonyaji
@jacksonmagola1824 Жыл бұрын
Huyu mzee ananifanya nione siku nzuri....
@ErentrudisKihwili8 ай бұрын
❤Upo vizuri sana mahubiri yako mi sahihi Mungu akubariki Ameeen
@BekamEmmanuel-i6b6 ай бұрын
Mungu akubariki saaana na akulinde saaana. Unagusa maisha ya wqtu nami nikiwemo.
@albertkamwela6972 Жыл бұрын
Napenda sana mahubiri ya mchungaji hananja abarikiwe
@CelestineCelestine-w2m Жыл бұрын
I really like the pastor he's educating en entertaining at the same time❤😂
@saumusulaiman4742 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana pastor 🙏 ❤🎉
@WmareteMarete Жыл бұрын
Mzee mchungaji, unapendeza sana! WEWE NAONA Ni geneous tangu kuzaliwa kwako, Nakuomba utusaidie kuwa na vipindi vya kukosoa mapungufu mengi hasa kwenye dhehebu katoliki.
@fawziyahassan5714 Жыл бұрын
MSULI UNACHEZEA GWARIDE 😅😅HUYU MZEE KIBOKO NAMPENDA SANA ❤
@ismailyaru6798 ай бұрын
Mzee mungu Akupenguvu kwa ukweli unaotupa uendelee kuwepo hapa duniani wewe na mzee waupako
@sosom14 Жыл бұрын
Uyu baba yani asante
@sharifahabsi5004 Жыл бұрын
Safi sanaa wapeukweli hao mzee unajua sanaa😂😂🎉
@juliusamasi5258 Жыл бұрын
❤ Mch Hananja waambie ukweli wakuelewe
@vickystellah3194 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu
@ummahmed3354 Жыл бұрын
I love this man.. Allah guide you to Islam my brother... one of the truthful
@stephanomaduhu5426 Жыл бұрын
turn to Jesus Christ, Allah have no heaven to give you
@ummahmed3354 Жыл бұрын
@@stephanomaduhu5426 did Jesus A.S created any heaven?... show me a proof if you're truthful...
@joycepatofondo Жыл бұрын
Allah it means God bt in Arabic languages bt JESUS is the only way to enter in the kingdom of heaven cause he is the one who carry all of our burdens on the cross
@fredanunda7719 Жыл бұрын
That's where u go wrong now!!😂😂😂to Islam to do what??listen to what he says about Christianity and the everlasting life. No life without Jesus Christ, He is the way, the truth and the life,no one goes to the Father God unless through Jesus,- John 14:6,so what will he go for in Islam???😂😂😂😂U r joking, accept Christ Jesus for eternal life my friend.
@ummahmed3354 Жыл бұрын
@@fredanunda7719 the Christians in the Palestine and Egypt they identify God as Allah... thats where the Christianity you claim to follow came from... Allah is the name is the one and only God that Jesus himself prayed to. ..
@jacksonkahima4589 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
@mmaryben844 Жыл бұрын
Mungu akutunze mchungaji
@MsatiJunior Жыл бұрын
Nakubari Mzee mungu akuweke miaka 1000
@mako331 Жыл бұрын
Mzee tusaidie ukristo siku hizi umeingiliwa na ujinga sana, mtu anaibuka tu mara nimeenga mbinguni mara nimeongea na Yesu live na watu wanaamini, upuzi mtupu
@masudihamisi-z6m5 күн бұрын
Safii mzee hananja
@DenisPeter-r8w Жыл бұрын
Uko vizuri sana na unauwezo mkubwa mno Mzee wangu
@tinnahagustinolyelu4247 Жыл бұрын
We baba Mungu akutunze mtumishi
@mussakimaro5588 Жыл бұрын
Mchungaji alonyooka
@paschaljoseph2412 Жыл бұрын
Nakupenda sana mchungaji Hanaja
@saulikinahi6703 Жыл бұрын
🤣🤣🤣Huyu mzee kiboko, Barikiwa sanaa😂
@japhetnathaniel9821 Жыл бұрын
MUNGU mbaraki mwanao pr ananja
@sixberthcostantini9290 Жыл бұрын
😂😂mchungaji Mungu akubarik sana kwakuongea ukweli
@abdallahhamisiiddi4513 Жыл бұрын
Karibu katika uislamu kiongozi
@rosetreffert4179 Жыл бұрын
Yaan huyu i mchungaji anatakent kubwa ❤❤😂😂😂
@rosehaule6765 Жыл бұрын
Yupo mwokozi wa ukrito wa kweli tupe someone maana tumevamiwaaa ❤
@DamasKavishe-vo3nq Жыл бұрын
Daaah sema pastor nakukubali sana
@kiletepokela4301 Жыл бұрын
Achana na hayo mavichwa ya habari ya eti FREEMASON hananja sisi tunamsikikiza tu
@shaamemchauru1365 Жыл бұрын
AMEEN MCHUNGAJI...
@eben_ezer8853 Жыл бұрын
Daaah yaan anachekesha lakini anasema ukweli mtupu😂😂😂😂
@ChazsMassawe10 күн бұрын
Haleluyaa hananja
@IasidoAide Жыл бұрын
😂😂😂😂 ukweli sana❤❤❤❤❤❤
@matatamwaipopo-rp4vz Жыл бұрын
Humetisha nakupenda sana huishi miaka 10000000000000
@Tygermnyama Жыл бұрын
Huyu mzee noma 😂😂😂
@juliusrwebugisa8385 Жыл бұрын
Mchungaji hongera kwa utume wako
@donaldmwahalende4841 Жыл бұрын
Pastor unaongea vzur bblia waijua
@CleverGalaton-tz Жыл бұрын
mchungaji yuko straight sana
@LufingoMwasege Жыл бұрын
Namkubali sana, amefanya biashara Brack market Tunduma na kununua Bonsoo Itaka huyu anastahili kumuelemisha Mtu kweli
@maishaforreal7798 Жыл бұрын
Tungeli mtafuta mchungaji afungue channel youtube ya masomo ya maisha
@Kuminamoja1995 Жыл бұрын
Points 👉 👈 sana
@rosehaule6765 Жыл бұрын
😂😂😂❤ nakupenda sana babaa😂😂😂😂
@StellaPaul-z9y Жыл бұрын
Hatr kweli wana enda kwa kupitia maono na mafunuo
@subirajohn728 Жыл бұрын
Ukweli mtupu
@saradavirginia-kd7tn Жыл бұрын
Barikiwa sana 🇲🇿
@ArbertMhando18 күн бұрын
Ww ni pd Titus amigu mtupu
@oscarmario466 Жыл бұрын
Hananja kama hananja
@sonko-c6h Жыл бұрын
Mchungaji unajua mpaka unaharibu
@RachelMlingwa Жыл бұрын
Unaongea ukweli sana mtumishi, Mungu akutunze wewe ni hazina ya Mungu
@aishaomary230 Жыл бұрын
Ungekua kiongoz wa wakristo wote wakristo wangekuwa kwenye mstar
@hansondaniel-nb2jn Жыл бұрын
Hananja hana baya
@hagaimwambingu4324 Жыл бұрын
🙏
@GabrielUrassa-b3p6 күн бұрын
Mch.HANANJA hii elim ulonayo ni hatari kwa hawa majambaz wa madhabahun. Mzee kama ni semina, hakika hii imenyooka.
@InspireTheSoul-fo4vb Жыл бұрын
ukweli , japo kwa ucheshi wa aina yake 😂😂
@alinependo-bk4jj Жыл бұрын
😅😅😅😅 unanifulaisha sana 🫰
@ABDIKASIM-qe4lc Жыл бұрын
Dah
@JosephineMwenda-v6j Жыл бұрын
Eti mwili wa kubeba kifusi😅
@josephmathias8341 Жыл бұрын
Mchungaji ubalikiwe
@Kuminamoja1995 Жыл бұрын
😂😂😂😂 kweli kweli 😂😂😂😂
@omarsima2763 Жыл бұрын
Mchungaji mahubiri yako yana uhalisia.
@bosssyedmund8785 Жыл бұрын
Unakunywa soup ya pweza😂😂😂
@JosephRegardla Жыл бұрын
Nikweli wanawake wana watharau waume zao wana kimbilio watumishi yuko bz
@mishigwan6598 Жыл бұрын
Eti Amekausha Sauti Makusudi🤣🤣🤣Baba
@festokivuyo71218 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂nakukubalia apo kbs kufufuka uongo
@wazirisaid8326 Жыл бұрын
Mbona Gwajima anawatoa Sana tu hao misukule au naye Ni mganga wa kienyeji? Au ni muongo?
@Shuu.A Жыл бұрын
Huyo ngwajima ndio nani muongo mkubwa bora hata huyu
@CharlesTangawizi Жыл бұрын
mi mkatokiki, ila nakubali mahubiri yako.
@CyprianMartin Жыл бұрын
Kwakweli Mchungaji Upo Vizur, Maana Nimewai kwanda kwa Mchungaji mmoja kumuona tu anataka pesa kama hiyo. Je Uyu yupo kiuchungaji au !?