Namba ya kutuwezesha ni +255762841734 Jacktan Msafiri.
@annareginald71202 жыл бұрын
Pole sana kwa yote amekutokea mtumishi wa Mungu. Endelea kutoboa siri. Ila nina ombi kwako Ndugu Mchungaji Katekela naomba usie unaapa katika ushuhuda. Naomba Kuna wakati kiapo kinazidi. Mungu akujalie akuongezee upako wa kulitangaza jina lake. Mimi ni Ndugu katika Kristo Daniel Mugasa
@perischari36302 жыл бұрын
Pole mtumishi WA Mungu Kwa Hali yenye uko sai.Hakuna silaha itakayoinuka kinyume na maisha Yako itakayofaulu katika Jina la Yesu Kristo amen 🙏🙏🙏
@christinephilip50432 жыл бұрын
Amina mchungaj wew ni kamanda wa wa Mungu mbingu zinakutazama jipe moyo utapona kwa jina la yesu injili iendelee na Mungu akubariki sana🙏🙏🙏
@mellowb.72782 жыл бұрын
Mchungaji Katekela Pole sana 😢 Mungu akuponye katika jina la Yesu. Natuma damu ya yesu kwako ikufunike na kukulinda.
@jesusfirstchurch41622 жыл бұрын
Mkono wa Mungu utatembea juu ya adui zako usiku na MCHANA . Mungu yu pamoja nawe
@alicepaul54852 жыл бұрын
P0le sana Mtumishi wa Mungu. Mungu mwenye huruma na uprndo akufanyie wepesi upone kwa Jina takatifu na tukufu la Yesu Kristu. Wanaokutakia mabaya washindwe na walegee kwa jina la Yesu. Amina.
@sophiamakani61332 жыл бұрын
Pole sana Mutumishi wa Mungu mwenyezi MUNGU awe pamoja nawe, injili iendelee
@abdusheriffsheriff8557 Жыл бұрын
Pole sana kapisa, naamini kua Mungu ako naataendelea kuweko Yes wetu apewe sifaa🙏🙏
@elizabethlusato73632 жыл бұрын
Mungu wetu ni mkuu kuliko wanadamu,damu ya Yesu iendelee kukufunika na upone huduma ya injili isonge mbele kwa jina la yesu,mbarikiwe sana watumishi wa Mungu kwa kujitoa kwa kiwango cha juu
@naikekangele71172 жыл бұрын
Pole sana mtumishi ninaamini bwana wamajeshi atakuponya tuko nyuma yako kimaombi mchungaji utapona Kwa JINA LA YESU
@queenesther8505 Жыл бұрын
Pole sana mtumishi,tunakutakia mema.Mwenyezi Mungu akulinde ,hautakufa bali utaishi kwa ajili ya bwana.
@lydiamokeira60622 жыл бұрын
Pole sana mtumishi wa Mungu...inaonekana una maumivu makari sana lakini unajikaza lakini Mungu yuko nawe,hakuna silaha itakayo inuka juu yako itakayoshinda Amen
@cristianoprincegabrielles39512 жыл бұрын
Pole Sana Mtumishi Wa Mungu Alie Juu.... Akutendee Mema na Akuponye, Akikuhepusha na Mitego yote na Hila za Muovu Shetani. Twakuombea Man Of The Most High God
@annissdaprincess38462 жыл бұрын
Pole sana Mchungaji Amiel naomba MUNGU wambinguni 🙏 akutumiye Malaika wake waulinzi wakulinde kila mahali uendapo kwajina la YESU kristo 🙏🙏 mubarikiwe zaidi nazaidi watumishi wa MUNGU
@langistany68112 жыл бұрын
Pôle Sana Mtumishi wa Mungu na Rafiki yangu Amiel katekela, Bwana wetu Yesu Kristu ndie Mpinyaji Mkuu, Pokeya Uponyaji mkamilifu ktk jina la Bwana YESU KTISTU
@dainesykalinga71332 жыл бұрын
Pole sana kila Mipango ya Adui iliyopangwa juu yako haitafanikiwa Katika Jina La Yesu Kristo . Mungu akuponye na kukuzidishia Afya njema . Naamini Utashinda kwa ushindi Mkuu Katika Yeye akutiaye Nguvu Yesu Kristo Amina Amina.
@emmanuelgodwinmollel37142 жыл бұрын
Ni shauku yangu sana leo jumapili nije. MUNGU MPONYE KABISA MTOTO WAKO, UWEZA NA NGUVU NI ZAKO. AMEN.
@kongatulia62312 жыл бұрын
Damu ya Yesu Yenye nguvu akuponye
@demaa21832 жыл бұрын
Amen....speedy recovery kwa jina la Yesu
@happykajeli54532 жыл бұрын
Watapigana nawe hawatashinda bwana Yesu alie kuokoa atakupigania get well soon my lovely pastor
@alfredkuria76732 жыл бұрын
Pole sana Mtumishi Natangaza damu ya Yesu inene Mema kwa Jina La Yesu Chrito
@Esther-Bri2 жыл бұрын
AMINA AMINA BARIKIWA Sana promovertv na the team, nawe Mchungaji pokea uponyaji wanaokutafuta wao ndo watakufa kwa JINA LA YESU KRISTO
@misnasma78752 жыл бұрын
Pole sana mtumishi wa Mungu Kwa ajali hiyo...maombi nayo tutazidi kukuombea.. maandiko inasema majaribu ni mengi bali Yesu Kristo mwenyewe atakuepusha nayo yote
@YESUNIBWANA842 жыл бұрын
Amen and Amen 🙏🙏 Wacha MUNGU wa mbinguni awe nawe MCHUNGAJI and for ndugu jactan be blessed tooo
@rhodamahembe32062 жыл бұрын
Hizi nyakati zinahitaji watumishi wa Mungu kama Katekela mvua inyeshe jua liwake lazima injili ihubiriwe...Bwana Yesu akuponye haraka kwa ajili ya utukufu wake .katika jina la Yesu Amen
@selinjsf72372 жыл бұрын
Pole sana mtoto wa MUNGU utakuwa sawa kwa jina la Yesu
@rakaieva54722 жыл бұрын
Pole sana Mchungaji Amiel Mungu upamoja nawe utakuwa vizuri kwa uweza wake mwenyezi Mungu.
@beatricenyiro59132 жыл бұрын
Tunaendelea kukuombea mtumishi pole sana Mungu ataendelea kuku protect
@jacklinentabo23802 жыл бұрын
Injili Lazima Iendelee, Mtumishi Wa Mungu Amiel, ata wakutafte Kwa Njia sozote zile, Nguvu za Mungu Ziko juu Yako, Amiel wewe ni PURE GOLD, Kwa Injili Ya Mungu,Be Blessed.
@teresiajumwaamosteresiajum76672 жыл бұрын
Pole sana mtumishi wa Mungu atatusaidia utapona
@pirminmatumizi54642 жыл бұрын
Pole sana Mchungaji. Tunamshukuru Bwana Yesu Kristo kwa kukuponya.
@lilymwashumbe48902 жыл бұрын
Pole mchungaji Katekela Mungu yuko pamoja nawe Yoshua 1:8 na 9 uwe hodari na mwenye moyo wa ushujaa
@sundayherrieth94602 жыл бұрын
Mungu ni mwema sana atakusimamia, utaishi hautakufa
@lydiamichael55092 жыл бұрын
Tunaendelea kukuombea uponyaji wa haraka..barikiwa sana kwa kujitolea kazi yake Mungu wetu aishie juu Mbinguni
@annkim26902 жыл бұрын
Wameshindwa Kwa jina la YESU hongera mtumishi wa Mungu usife moyo kabisa nawale wanakuhurumia bado ni wachanga kiroho nilimuona mtumishi wa Mungu Gwajima akihubiri akiwa Kwa wheelchair devil is aliar
@christophermwandemange7962 жыл бұрын
Amina na hutakufa kabla ya kutimiliza kazi ya Yesu Kristo, hutakufa hakika namjua Kristo alivo, ni mateso tu ila hufi adi umalize kaz ulioitiwa
@vicentgodda33572 жыл бұрын
Mpendwa Mchungaji. Ubarikiwe kazi ni ya Bwana. Utalindwa na Bwana Yesu Kristo. Hongera kwa kushiriki mateso kama BWANA Yesu
@mussamathayomadole84012 жыл бұрын
Pole mtumishi wa Mungu, Jehova akufanyie wepesi upone, uendelee kumtumikia, na mavuno yavunwe.
@EmanuelLemba-t1d4 ай бұрын
Pole sana Mtumish wa mungu.mungu akuponye
@hildakilale73132 жыл бұрын
Ubalikiwe Mtumishi wa Mungu unanibariki sanaaaa
@richardmateche57422 жыл бұрын
Pole mtumish wamungu tungali tunakuitaji kwamaombi
@carenhilary80672 жыл бұрын
Bwana Yesu akuponye kwa Damu ya YESU
@rosepeter89962 жыл бұрын
AMEN🙏pole mchingaji katekela kwa maimivu ya mguu.twakuombea uponyaji kwa haraka.🙏
@endtimes98502 жыл бұрын
MUNGU atukuzwe. Kazi ya YESU Iendelee. Pole sana Mchungaji Katekela
@ezekieljob86792 жыл бұрын
Bwana akubariki ssna pastor Amiel na mwalimu Jactani nimeikosa semina hii nimetoka Arusha naamini tutaonana tu wakati aliotenga barikiwa sana
@annamulenda66522 жыл бұрын
May God continue protecting you and sustaining you through and through in the Jesus Christ of Nazareth Amen... You are called and appointed..
@evilinekora10552 жыл бұрын
Pole pole mtumishi wa mungu injili etaendelea kwa jina la yesu
@trophywilson72112 жыл бұрын
Mungu awabariki saana Kweli punda afe mzigo ufike,Nimebarikiwa na hilo na unapona Kwa Damu ya Yesu
@hildernelson8212 жыл бұрын
Mungu akuponye mch Katekela Bendera chuma mlingoti chuma
@josephmutemi74942 жыл бұрын
Pole mtumishi BWANA akulinde
@nisetameena92762 жыл бұрын
Hongera kwa kujiruma MUNGU akujalia
@fransiscanzilani15592 жыл бұрын
Pole sana mchungaji,mungu akulinde ,tunakuombea sana na injili iende mbele
@nmcp11132 жыл бұрын
Mungu akutunze sana pole sana mtumishi wa Mungu.
@catemacharia84992 жыл бұрын
Mungu akuponye Mtumishi katika jina la Yesu Christo Amen
@josejosia30242 жыл бұрын
Pole namungu awe pamoja na wewe ktk kila jambo nakutamkia baraka ktk jina la yesu
@glorympuwa95992 жыл бұрын
Karibuni sana katika semina
@tantinebrijitte68182 жыл бұрын
Amen Much,Mungu aendelee kuku Linda shetani atashindwa TU.
@alice47202 жыл бұрын
pole mtumishi wa mungu
@gracemutono50232 жыл бұрын
Amen nawaona barikiweni sana
@priscahshemkunde72562 жыл бұрын
Pole Sana mtumishi mungu akutie nguvu zaidi na zaidi
@monicamafenyi83582 жыл бұрын
Pole saana mchungaji Amieli,mwenyezi Mungu angali ako nawewe
@roseurassa83902 жыл бұрын
Shetani amechemka pamoja na hao vibaraka wake Damu yaYesu ikuponye na ikulinde mchungaji
@happykajeli54532 жыл бұрын
Mungu aendelee kuwabariki pole mtumishi naona umeumia mguu damu ya Yesu ikuponye
@jackiemaggy24842 жыл бұрын
Pole sana mtumishi wa MUNGU
@happyfrank22162 жыл бұрын
Pole sana mtumishi. Mungu akuponye
@joannanekesa77582 жыл бұрын
Upokee uponyaji kwa jina la YESU KRISTO
@elizabethjacob9656 Жыл бұрын
Away ndio kina mitume Paulo wa Leo mchungaji kazi yako ni njema sana
@janetkazungu77952 жыл бұрын
Pole sana mchungaji kwa ajali mungu akusaidie
@gracemutono50232 жыл бұрын
Pastor twakuombea sana MUNGU akupe ngufu
@florencemueni11832 жыл бұрын
Pole mchungaji
@gracemutono50232 жыл бұрын
Pole sana mtumishi tuko pamoja
@daisymuthoni6752 жыл бұрын
May the healing power of Jesus Christ be upon you na shetani ajue ameshindwa kabisa kwa Jina Kuu la Yesu Kristo
@sharonwalubengo95072 жыл бұрын
Good faith katekella
@liesharehema51932 жыл бұрын
Pole Sana mtumishi wa bwana
@bonfacemwakapenda88572 жыл бұрын
Habari nzuri sana Malawi sehemu gani mtumishi?
@hermanemmanuel19532 жыл бұрын
HALELUYA WANAPIGANA NAWE KWA SABABU YA NENO LA USHUHUDA ULILOLIBEBA NA HUU NI UDHIBITISHO KUWA UNACHOTUFUNULIA NI KWELI HALELUYA, NA YESU KRISTO WANAZARETI ANASEMA KTK YEREMIA 1:19- WATAPIGANA NAWE LAKINI HAWATASHINDA KWA KUWA YEYE HATAKUACHA SABABU YA KAZI ALIYOKUPA HALELUYA, DAMU YA YESU KRISTO WANAZARETI YA GALILAYA IKUFUNIKE NA KUKUPONYA HARAKA SANA UENDELEE TENA ZAIDI SANA KUICHAPA INJILI ISIVYO KAWAIDA, MASHIMO WALIYOKUCHIMBIA HAKIKA WATUMBUKIE WAO HALELUYA, SHANGILIA USHINDI WA DAMU YA YESU KRISTO WANAZARETI YA GALILAYA PAMOJA NAMI AMINA AMINA AMINA HALELUYA.
@carolynewaswat59622 жыл бұрын
Caro from Kenya sorry pastor ,God is healing you
@yvonnewitandaye18732 жыл бұрын
Jipe moyo tumishi wa MUNGU Katekera ime andikwa tuta fika mbinguni kwanjia ya maumivu makali.Matendo yamitume 14:21-22 .
@jeniphatemu29372 жыл бұрын
POLE KOMANDOO WA YESU. MAY OUR HEALER JESUS HEAL YOU SOON DOR THE SAKE OF HIS NON SHAKABLE KINGDOM.AMEN
@happynesslucas73882 жыл бұрын
Safari ni ya lini mtumishi wa Mungu
@dadaz46532 жыл бұрын
Mbarikiwe sana
@f.alovely64192 жыл бұрын
Napenda ujasiri huo, kuishi ni Kristo, kufa ni faida
@irinealex5592 жыл бұрын
Tunakumbea utapona mtumishi
@rabinzsinoya14342 жыл бұрын
Wawoooo, karibu Malawi mtumishi, karibu sanaaaa, mimi ni mtanzania naishi Malawi karibu, mtafikia malawi sehemu gani?
@margaretnekesa20192 жыл бұрын
BOLE. SANA . BABA
@aginiweyessayakyando98552 жыл бұрын
BWANA akutetee sana mtumishi wa MUNGU EMIELLI KATEKELA. Watashindana nawe lkn hawatashinda...
@annehaysanday92142 жыл бұрын
Hutakufa bali utaishi mtumishi wa Mungu watakufa hao wanaokutengenezea mauti.
@Nabatabita68732 жыл бұрын
Amen Amen
@mpandawiliam53902 жыл бұрын
Ila siku zimekuwa chache sana hapa Arusha watumishi natamani mrudi tena wakati mwingine.
@fadhilimalila52852 жыл бұрын
MUNGU Akutie nguvu,akufanyie wepesi na hiyo ni dalili ya kwamba upo kuharibu kazi ya shetani
@gracemutono50232 жыл бұрын
Na kenya
@karenminishi79292 жыл бұрын
Hii video Haina sauti
@scholapetro69642 жыл бұрын
Kaka umenenepa na uso umejaa ndevu
@annkim26902 жыл бұрын
🤣🤣🤣pia Mimi nimemuona
@heritier51192 жыл бұрын
Freemason wamekutana na bendera chuma mlingoti chuma ni wa kuwacheka tu.
@carolynewaswat59622 жыл бұрын
Forgive them
@karenminishi79292 жыл бұрын
Hii video Haina saitu
@ecanawalengwa25112 жыл бұрын
Mm ni eca naishi marekan nauliza kumetokea nn mpk mtumishi afungwe awe na miguu mi tatu
@trophywilson72112 жыл бұрын
Alipata ajali ya pikipiki siku ya jumatano
@trophywilson72112 жыл бұрын
Na pia alikanyagwa na gari lililomfuata alikolipishia
@heritier51192 жыл бұрын
Eti umalizi mwaka kwani wao ndio Mungu bado siku 10 utauthibitisha ushindi wa Yesu. Nje ya propaganda shetani hana nguvu kihivyo tunashukuru Mungu kutuletea watu kama Amiel wanatufunulia yaliyo magumu ya sirini tunayoana
@joannanekesa77582 жыл бұрын
Pole sana mtumishi wa MUNGU
@rebeccamachozi68392 жыл бұрын
Nasema pole sana baba shetani akuache ananafasitena mungu yupoatakusahindiya amen