MCH.MAGEMBE AJICHANGANYA KWA MBARIKIWA; AKEMEA MZIKI WA LEGE NA RAP USIIMBWE KANISANI

  Рет қаралды 15,374

Zawadi Mwaibako

Zawadi Mwaibako

Күн бұрын

Пікірлер: 201
@JohanesJester
@JohanesJester 14 күн бұрын
Mtumishi jitahidi kuchukua hekima kwamagembe huyo mtumishi magembe anavitu vyamaana sana
@JohanesJester
@JohanesJester 14 күн бұрын
Mtumishi jitahidi kuchukua hekima kwamagembe huyo mtumishi magembe anavitu vyamaana sana
@mkojeragodsonofficial4664
@mkojeragodsonofficial4664 13 күн бұрын
Bible is academic We need your CV first Kabla hujamuongelea baba etu He is not your type Hata hueleweki unaongea nn Inasikitisha Sana pole Sana Njoo tyukufundishe Cha kuongea.
@liberatusmathias211
@liberatusmathias211 16 күн бұрын
ukiona mtoto nasema vibaya baba yake ujuwe basi mtoto adabu hana
@norahkelvin4830
@norahkelvin4830 16 күн бұрын
Uyu baba anataka kila moja awe upande wake yeye amekemea Kanisani kwake acha kujiona unaubili sana unajifanya mjuaji sana ovyo sana
@adamsonkyando-l4i
@adamsonkyando-l4i 16 күн бұрын
!!! Lege ni Dini kabisa na wote wadini hii ni wavutaji sana mda wote ni moshi midomon Mbarikiwa ujifunze kwa wazee wa viwango kama Magembe,umemjuwa jujuu humjui huyu mtumishi, Huyu akifundisha anajuwa Neno na anafundisha kitu anacho kijuwa na kufuatilia
@enezermwafrica7443
@enezermwafrica7443 15 күн бұрын
Bahati Bukuku anaimbaga Rege na mnamualikaga, je mnamualika mkiamini ni mwenye dhambi ktk staili yake ya uimbaji?
@nero7941
@nero7941 16 күн бұрын
Hapo umekosea mkuu Magembe injili yake ni kwa kanisa la Mungu Leo na sio kwa mataifa yote
@frolatimotheo8107
@frolatimotheo8107 14 күн бұрын
Sasa.wewe.ndio.mkaguzi.wa.hayo.matako.kwaiyo.na.wewe.unabudu.matako.uliyaonaje.sema.neno.watakuchoka.watu.umeprwa.hao.watu.uwape.neno.la.mungu.la.kweri.soma.ufunuo.22-18.namshuhudia.kila.mtu.ayasikiaye..maneno.ya.kitabu.hiki.mtu.yoyote.akiyaongeza.mungu.atamungezea.hayo.mapigo.yalioandika.katika.kitabu.hiki.namtu.yeyote.akiondoa.lolote.katika.maneno.ya.unabii.huu.ya.kitabu.hiki.mungu.atamuondolea.sehemu.yake.katika.ule.mti.wa.uzima.na.katika.mji.ule.mtakatifu.ambao.habari.zake.zimeandikwa.katika.kitabu.hicho
@micheleliakimeliakimmihale8820
@micheleliakimeliakimmihale8820 16 күн бұрын
Naona unaleta mambo ya kidunia kabisa aisee unahitaji Neema ya Mungu. Hv wahubir wa Tz tusipo jifunza kwa magembe tujifunze kwanan. Maana huyo ndie Moses kulola alie Baki. Unasifia lege na hipop hovyo kabisa. Biblia inasema tusifatishe namna dunia hii inavyofanya , wew unakinzana na maandiko, mmh jaman tusiwe walimu wengi
@SamsoniMaloda
@SamsoniMaloda 15 күн бұрын
ACHA USHAMBA & UJINGA HUWEZI MWIMBIA MUNGU KWA MIFUMO YA KIDUNIA ATA YESU MWENYEWE KAMWAMBIA Rachel & Zipporah Mushalla MNANIIMBIA KWA KULAPLAP MM NIMEKUA MBWAAA..?
@adamsonkyando-l4i
@adamsonkyando-l4i 16 күн бұрын
Magembe akifundisha au kuhuburi ukimkosoa juwa unashida ya kiroho,Magembe wote yawapasa mmsikilize na mjifunze kwake kwa Kila kitu
@officialshelomwangole256
@officialshelomwangole256 16 күн бұрын
Kwani magembe ye nani?
@masala8099
@masala8099 16 күн бұрын
mbarikiwa uko vizuri
@AyubuFumbi
@AyubuFumbi 5 күн бұрын
Safi sana
@JuhudiNjili
@JuhudiNjili 14 күн бұрын
Weeer😂😂😂😂 Injiri ya kweli sikiliza ya magembe weweeee unakosoa tuu kwa kuongea ongea tuuu😂😂😂
@ULIMBOKAKIKOSA
@ULIMBOKAKIKOSA 16 күн бұрын
Mbarikiwa moyoni mwako Kuna vichaka vichafu mbona unauzungumzia sana umalaya naona na wewe ni Malaya maana ndio uliyokujaa moyoni mwako
@JAPHETJOSEPH-b6e
@JAPHETJOSEPH-b6e 16 күн бұрын
Samahani Mkuu mm nipo na wewe ila usimgise magembe hajakosea bana , magembe ni mtu mwingine ni baba wa Imani ktk historia ,,,,lege pia ni itikadi ya Imani tulia wewe ,pia historia ya lege sio Mungu Bali ni Shetani
@jamesherbalclinic7665
@jamesherbalclinic7665 15 күн бұрын
Mtumishi sikiliza, anachokisema Magembe Ni kweli. Mungu anataka nyimbo ambazo malaika wanafurahi. Acha kutudanganya rap au reggae kuwa ni Muziki wa kimbingu au kiroho. We know all these things you do as leader of a church. Sometimes things are not good.
@martinienocksamson6473
@martinienocksamson6473 17 күн бұрын
Ni makosa makubwa kushindana sisi kwa sisi sio sawa Kwani Maghembe unapomshambulia wala hana muda. Wa kukujibu
@HellenDennis-bq7ov
@HellenDennis-bq7ov 5 күн бұрын
Umeguswa kwenye chako acha kuumiza wengine kama na wewe unaumia
@AizackKalenge-ro5rc
@AizackKalenge-ro5rc 15 күн бұрын
Mbarikiwa nakuomba sana Jitahidi kuwa Mnyenyekevu,Sio kwamba wewe Unajua kila kitu
@HappyFlowers-ee8ru
@HappyFlowers-ee8ru 14 күн бұрын
Kabisa MUNGU amsaidie
@fredmwabulambo6342
@fredmwabulambo6342 17 күн бұрын
Unajivunjia heshima...huna hata uwezo hata kidogo, na huna Mungu ndani yako kama Mch Magembe,,, hata aibu hunaaaa?
@frolatimotheo8107
@frolatimotheo8107 14 күн бұрын
Unajuwa.akiyekuajili.anaona.unamuibia.mda.wake.kwa.watu.aliowanunua.kwa damu.yake
@GeorgeMabala-v9h
@GeorgeMabala-v9h 18 күн бұрын
Mbarikiwa,kama unataka kumweka sawa magembe mpigie simu,
@EmanuelMosses-vm6dr
@EmanuelMosses-vm6dr 15 күн бұрын
😂😂😂
@RodaMaganga-ye6ye
@RodaMaganga-ye6ye 14 күн бұрын
Subutu yake atakaona kale kazee😂
@HappyFlowers-ee8ru
@HappyFlowers-ee8ru 14 күн бұрын
​@@RodaMaganga-ye6yenimech ka eti kale kazee yaani na ana msimamo sana yule mzee
@SoosanOman
@SoosanOman 13 күн бұрын
😂😂😂😂​@@RodaMaganga-ye6ye
@MbalaziTv4135
@MbalaziTv4135 7 күн бұрын
Kwanza kana elimu kuliko Yeye hata ya dini tu pia ni kakiroho sana na kanajua kusimamia kweli huyu yuko kimwili zaidi
@ryobanchagwa2499
@ryobanchagwa2499 15 күн бұрын
KAMA UNAMKOSOA MAGEMBE UMEANZA KUPOTEA KABISA SITAKIELEWA DAIMA JIREKEBISHE
@eliezermsonge7388
@eliezermsonge7388 8 күн бұрын
Kimtokacho mtu mdomoni ndicho kimjazacho moyo wake. Tena kimtokacho mtu ndicho kilichonajisi. Chumga Sana kinywa chako. Usihukumu usije ukahukumiwa.
@Mwesige-s8q
@Mwesige-s8q 15 күн бұрын
Kuna miziki haifai kanisani Magembe yuko sahihi We mtumishi acha kupotosha watu
@SamsonHumbe
@SamsonHumbe 13 күн бұрын
Nenda kafanye siasa, umepotea naumepoteza mvuto kabisa. Waheshimu wazee uliowakuta kwenye imani, acha ujuaji.mwingi.
@raphaelmwanalinze3912
@raphaelmwanalinze3912 7 күн бұрын
Hubiri kweli ya Mungu, mwenye kuelewa ataelewa siyo kulumbana na kufuatiliana. Mbaya zaidi watu hasa watumishi wa Mungu wamekuwa na wafuasi wasio na maono
@propKibali
@propKibali Күн бұрын
Lkn mtumishi, hawa watu wako neno la kuwajenga watalipata lini?
@makejamaduhu7618
@makejamaduhu7618 15 күн бұрын
Mahubiri yooooote matako matako ninyi wahubiri wa sasa jitahidi someni neno. Unawasema wasababto nao wamekukosea nini hadi unawaona watu wapumbavu? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@KabnasNyangi
@KabnasNyangi 4 күн бұрын
Wewe ni mtoto mdogo sana acha kubishana na Maghembe kwanza tunakushangaa unatupa shida
@REBEKAMBONGE
@REBEKAMBONGE 7 күн бұрын
As washilika wenu huwa tunaomba wachungaji wote Sasaww unaponda injili hiyo du
@REBEKAMBONGE
@REBEKAMBONGE 7 күн бұрын
www passta nimunguu huyo achen kupondana msikilizen roho kupondana s utakatifu ukiona mwezio anakosea piga magoti kumwombea kwa uponde
@michaelrweyemamu1068
@michaelrweyemamu1068 9 күн бұрын
Magembe yupo sahihi kabisa. Ww mbarikiwa umefeli kwenye hili
@HerodMpole
@HerodMpole 11 күн бұрын
Unajifanya mtakatifu unayejua kila kitu katika Ufalme wa Mungu. Ukishauriwa unatukanwa. Ila wewe ukitukana unashauri. Huwezi kuwa mkamilifu. Na wewe madhaifu yako wakiyasema stop reacting.
@KabnasNyangi
@KabnasNyangi 4 күн бұрын
Kinachonishangaza ni pale unapowachambua wengine sijajua ni kuona kuwa uko sahihi sana hubiri injili kwa sababu hata wewe hatuwez kusema uko sahihi una mapungufu mengi tu kama hujui .maneno yaliyokujaa kwanza unatukana madhabahuni
@NaomiWanjiku-q8z
@NaomiWanjiku-q8z 3 күн бұрын
Acha kupotosha dini giza na nuru haviwezi kukaa pamoja kwanini uweke rege kanisani wakati ni ya watu wa dunia
@estonngoya4827
@estonngoya4827 10 күн бұрын
mbarikiwa Kwa Magembe umebigi, Moses n mtumishi wa Bwana. siyo mwenzako kaka.
@namajojomedia2197
@namajojomedia2197 14 күн бұрын
Sasa kwahlo umepotea ww kajifunze zaidi apa sikusapoti umegeuka pepo
@ezekielatilio2423
@ezekielatilio2423 6 күн бұрын
… nabarikiwa sana na huyu mtumishi kwa kwel, mafundisho yake yanafungua sana ufahamu hasa kwa wale wanaoipenda kweli ya Mungu.
@martinienocksamson6473
@martinienocksamson6473 17 күн бұрын
Ni makosa makubwa kushindana sisi kwa sisi sio sawa Kwani Maghembe unapomshambulia wala hana muda. Wa kukujibu
@micheleliakimeliakimmihale8820
@micheleliakimeliakimmihale8820 16 күн бұрын
Magembe anajitambua tuzd kumwombea atufundishe vingi. Ss Leo tunapambana namziki wa lege na tarabu mwingine anasifia
@MabulaEliasibassa
@MabulaEliasibassa 9 күн бұрын
Mtumishi rudi kwenye tenzi ulitubariki wengi sana but kwa magembe kwanza alilazimika kusomea mziki kwasababu walikuwa wanamchanganya waimbaji. Kwa hiyo anachokionhea anaufahamu nacho
@MagdalenaMatiko
@MagdalenaMatiko 12 күн бұрын
Hakuna mu waMungu kelele kila siku madhabahuni mmeacha.kuhubiri na kuomba,shetani mmempa shetani nafasi zamaani hakuna Mungu tusidangab nyane
@frolatimotheo8107
@frolatimotheo8107 14 күн бұрын
Mtumishi.kaa.kwenye.msingi.wa.neno.watu.wapone.achana.na.stori.simamia.kusudi
@mchjohnmasegese8193
@mchjohnmasegese8193 15 күн бұрын
Wewe mbarikiwa una matatizo.kwani Kila mtu aongee unachotaka wewe.
@REBEKAMBONGE
@REBEKAMBONGE 7 күн бұрын
Nakama we mwenyewe utumia nyimbo za kimbongo na mziki yakidunia mbingu huioni
@marionoti5760
@marionoti5760 10 күн бұрын
Ndo mnagundua leo kuwa kunena kwa lugha zisizoeleweka, kumekaribisha matapeli, ambao wamejipambanua kiasi kwamba hata roho mtakatifu wamembinafsisha, eti anawasikiliza wao zaidi. Rudini kwenye kanisa la kweli ,takatifu na la mitume ili muwe huru.
@EmmyJerremiah
@EmmyJerremiah 12 күн бұрын
Yaan stak ata kukusikiliza tena ww ushakengeuka .......
@HenryMwakyelu
@HenryMwakyelu 19 сағат бұрын
Huna level ya kumkosoa magembe wewe
@sttevemwangi
@sttevemwangi 12 күн бұрын
Hata Kenya tunaskiza Mch. Magembe maana si kwingi kuna neno la kweli. 3:33
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 18 күн бұрын
YAANI WEWE MBARIKIWA UNAPANGIA WATU KILA KITU MPAKA CHA KUSEMA YAANI WEWE TU NDIO UPO SAHIHI
@DoriceMwalukasa
@DoriceMwalukasa 15 күн бұрын
Mungu atuhurumie
@shukranmsukwa
@shukranmsukwa 16 күн бұрын
Ukisoma Biblia maandiko yanatufundisha kila mtu na amuone mwenzake ni bora kuliko yeye na kutanguliza wengine,,sasa hapa 😢
@thehopetv2930
@thehopetv2930 12 күн бұрын
Wote ndio mkemee mauaji? Magembe anasema kulitengeneza kanisa kulingana na hali mbaya pia ipo kanisani
@ngusekisu6746
@ngusekisu6746 5 күн бұрын
Kweli mtumishi barikiwa kwa ujumbe
@makejamaduhu7618
@makejamaduhu7618 15 күн бұрын
Kwani alikusema wewe? Ushauri wangu mtumishi naomba urudi kwenye uimbaji. Huko umeshindwa maana unasema watu bila sababu. Magembe anasema na kanisa lake shughulikia jambo lako. Rudi kwenye uimbaji kwenye kuhubiri mmmmmh bado kabisa
@ambokilegwakisa3526
@ambokilegwakisa3526 15 күн бұрын
Lege ni dhambi kwani lege ni dini kubali kuonyeka usipokubali ni hasara yako,dhambi zote sawa
@gerald-s1e
@gerald-s1e 15 күн бұрын
Naomba sana mtumishi tumia muda mwingi juhubiri neno la Mungu aliye hai ili makaya waache pia waombee sio kukosoa wenzeo mpaka unachisha
@ryobanchagwa2499
@ryobanchagwa2499 15 күн бұрын
UMEANZA KUPOTEA KABISA MCHUNGAJI NA UNATOA MATUSI AZALANI HUNA UELEWA
@Revocatusfeli
@Revocatusfeli 14 күн бұрын
Itakuwa vyema watumishi wamungu utakapo ona wamekosea sehemu, mfata inbox umukosoe yeye Kama yeye usimuanike azalani, lakini Nia ya magembe ilikuwa nzuri kwasababu waanzilishi wa lege na ipp hawakuwa watakatifu, kwakuimba lege zao waweza kufufua roho ndani yako zilizo kuwa nyuma yao waanzikishi hao
@HerodMpole
@HerodMpole 11 күн бұрын
Who do you think you are kuweka mtu sawa? Huyu papaa ananishangaza. Wivu tu; kuoga aaaah😅
@ericksylivester8757
@ericksylivester8757 9 күн бұрын
Mbarikiwa wewe ni mtumishi , ila jitahidi luwa na helima lwa waliokutangulia , sio kila mtumishi una mshambulia watu wana angamia kwa kutenda dhambi hao wanapaswa kuhubiriliwa ila sio kushambulia watumishi wenzio
@RodaMaganga-ye6ye
@RodaMaganga-ye6ye 14 күн бұрын
Matako ya nini na wewe hubiri vitu vya kuponya watu roho zao! Matako matako malaya sijui nini! Mmmh watumishi na nyie mnavuka mipaka! Mara matusi pumbavu za nini?
@HoseaMbilinyi-do4iu
@HoseaMbilinyi-do4iu 9 күн бұрын
Acha polomo mzee magembe yukosawa
@mr-option7751
@mr-option7751 15 күн бұрын
Maubiri yake ili uyaelewe unaitaji uwe makini sana kiukweli ameongea ukweli ubarikiwe
@Fundi12345
@Fundi12345 15 күн бұрын
Sasa wewe unagomban na kira mtanzani mpedwa wangu bira shaka hata wewe unakasoro kira kitu wewe no je ni kweli ?
@REBEKAMBONGE
@REBEKAMBONGE 7 күн бұрын
Achen mahubili ya kukejeli
@gerald-s1e
@gerald-s1e 15 күн бұрын
Nakupenda lakini huchagui umri unataka kuwa kiongozi wa wa wachungaji wote hapo umeniumiza juu ya mzee huu
@regnaldymambaly9880
@regnaldymambaly9880 13 күн бұрын
ushetani ni kuwa huyu anae imba ana mwombia nani au anamsifu nani Mungu au shetani, pia tukumbuke kuwa shetani alikuwa kiongozi wa sifa kwahiyo alitoka na maarifa hayo kule mbinguni na anacho kifanya ni kubadilisha tabia za wale wanao imba na haya tunayaona kwa wasanii wengi yaani msanii ana amini ili aonekane kuwa ni msanii mzuri ni lazima avae hereni kusuka nywele bila kujuwa kuwa shetani ame watega kwenye hayo
@solomonmnkondya1508
@solomonmnkondya1508 11 күн бұрын
Haya mahubiri ni ya chuki, hayana lengo la njema kabisa
@frankiuskilomba4880
@frankiuskilomba4880 11 күн бұрын
Neno lililotumika kwenye zaburi 150:3_4, Zaburi 149:3, neno hilo "kucheza" ,sio kitendo bali vilivyotajwa hapo kwenye mafungu ni vifaa vya muziki soma vzr lugha za asili , huwezi kunengua kwenye ibada na hamna mafungu yoyote kuonyesha kwenye ibada wanacheza mitume na manabii kwenye ibada na ibada ya mbinguni🙏🙏
@MbalaziTv4135
@MbalaziTv4135 7 күн бұрын
Ni kweli kabisa
@dorismkongwe4140
@dorismkongwe4140 17 күн бұрын
Nilikuwa nakuheshimu lkn kwamagembe umenivunjamoyo sikuheshimu tena mbarikiwa kwendazako
@renatus5687
@renatus5687 16 күн бұрын
Kama Hawa ndo wachungaji hata waumini wao ndo maana wakaitwa makondoo maana hayajitambui
@leahsrath
@leahsrath 7 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂💔
@ushindimbwilo1398
@ushindimbwilo1398 14 күн бұрын
hapo nimeona unajiunga mkono mwenyewe
@raphaelmwanalinze3912
@raphaelmwanalinze3912 7 күн бұрын
Huna hekima pastor
@FrenkAshell-gj4jw
@FrenkAshell-gj4jw 15 күн бұрын
W2 ndo unaubili au uwa unachamb watu ww tu ujakamilik
@salvinahassan8778
@salvinahassan8778 15 күн бұрын
Muimbieni Bwana wimbo mpya, hadi upige lege Mungu kaishiwa midundo,. Inaonekana Mungu wako amefirisika midundo mizuri ndo maana una copy Kwa wavuta bangi
@saimongilala8938
@saimongilala8938 16 күн бұрын
Baba mangembe achana na huyu naona Hana neno Ra kuhubilia watu ni upuuz2
@ManyotoMachemko
@ManyotoMachemko 16 күн бұрын
Na ww pia unamapungufu yako, c kama umekamilika
@elishampoki8751
@elishampoki8751 12 күн бұрын
Mwe ndagha kikolo une ngatele ,
@WTC492
@WTC492 17 күн бұрын
Pamoja na yote mbarikiwa upo creative sana.
@Dominant97
@Dominant97 17 күн бұрын
Uyu mwamba namwelewa sanaaa
@nasonlyanga4558
@nasonlyanga4558 14 күн бұрын
Fanyeni Yale mliotumwa
@OswardSanga-ep5js
@OswardSanga-ep5js 17 күн бұрын
Uko sawa Sana mlio wa ala sio ushetani lege hipop zuku takeu sengeli bluzi hakuna mziki wa Mungu Wala washetani
@AIDANIKAHIMBI-ql6tn
@AIDANIKAHIMBI-ql6tn 16 күн бұрын
Hubiri neno acha hayo,sio mahali pake
@JohnEliakim-g5n
@JohnEliakim-g5n 15 күн бұрын
Mpaka sasa sijajua kuwa ni yupi kwako yuko sahihi na unajifunza kwake.
@AlvanEdwine-ih4vy
@AlvanEdwine-ih4vy 17 күн бұрын
Hamna uwezo wa Mungu ktk lege na rap camoon usitudanganye nmeyasklza manyimboi yako hamba uwezo wa Mungu camoon
@ordafabian5172
@ordafabian5172 16 күн бұрын
Unamjua selin Dion wewe,
@barakabusima
@barakabusima 16 күн бұрын
​@@ordafabian5172 na huo ndiyo ukweli hataki ni hivyo hivyo akubali ni hivyo hivyo
@AlvanEdwine-ih4vy
@AlvanEdwine-ih4vy 16 күн бұрын
@@ordafabian5172 sina haja ya kumjua ase tangu nlpookolewa sina haja ya kuwajua hao kijana
@Gospo_beats
@Gospo_beats 10 күн бұрын
Camoon😁
@RAZALOCHUMA
@RAZALOCHUMA 15 күн бұрын
Natuimbe kwa kito na akili sio lege
@ajaykilawah2622
@ajaykilawah2622 14 күн бұрын
Kwani wewe ni Mungu kukaaa kukosoaa watu? 😅
@samsonisaya3888
@samsonisaya3888 10 күн бұрын
Amekosa hekima huyu.
@David-p9c1e
@David-p9c1e 11 күн бұрын
We jamaa kazi yako ni kusema watu tuu
@josephifanda5626
@josephifanda5626 17 күн бұрын
Mmmh huyu Anashida
@joachimlema3299
@joachimlema3299 15 күн бұрын
kituo kikuu Cha kukosoa watu
@barnababaraka2019
@barnababaraka2019 4 күн бұрын
Nonesense
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 15 күн бұрын
Mungu hakupe hekima apo kwa wageni ao ulio nao ndo watakatifu sana acha kujikweza.wengine apo wakuwanyesha maziiwa we unawapa nyama angalia utawaangamiza
@EliaMhile
@EliaMhile 14 күн бұрын
Mbarikiwa bwege kabisa
@mangakwigema
@mangakwigema 14 күн бұрын
Huyu jamaa vipi😅😅😅😂😂
@Luhumbika
@Luhumbika 13 күн бұрын
Hii sijui.anafanya nn
@academiazsoft
@academiazsoft 9 күн бұрын
Unapotea sanaaaaaa
@wilfredlukowo9476
@wilfredlukowo9476 12 күн бұрын
Ukweli unauma
@HellenBundu
@HellenBundu 10 күн бұрын
Una hubiri nini ?
@yohanasingers
@yohanasingers 16 күн бұрын
wewe mzeee acha zako
@ugalidona-cs2yn
@ugalidona-cs2yn 15 күн бұрын
NaaaM NaaaM.
Dhambi mpya  Hiihapa :  Mch Abiud Misholi
34:25
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 97 М.
SIKILIZA KWA MAKINI  MANENO MAZITO ALIOONGEA MASANJA
6:47
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 396 М.
БЕЛКА СЬЕЛА КОТЕНКА?#cat
00:13
Лайки Like
Рет қаралды 2,6 МЛН
Amazing Parenting Hacks! 👶✨ #ParentingTips #LifeHacks
00:18
Snack Chat
Рет қаралды 23 МЛН
Electric Flying Bird with Hanging Wire Automatic for Ceiling Parrot
00:15
N0.2;UAMSHO NA MATENGENEZO YA KANISA-MCH.MOSES MAGEMBE
13:57
SIKIA MIJITU ILIYOTEMBEA NA UPAKO, REV:MOSES MAGEMBE
31:10
Maneno Mabaya Yanavyoweza Kuharibu Maisha Yako
14:55
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 39 М.
FAHAMU SIRI YA MUDA WAKO BINAFSI NA MUNGU || PASTOR GEORGE MUKABWA || 08/09/2024
2:19:24
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 43 М.
HAYA NDIYO MAKUFURU NDANI YA KANISA |NABII ESTHER MASANJA
23:12
BADO KUNA USHINDI TV
Рет қаралды 16 М.
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 84 М.
БЕЛКА СЬЕЛА КОТЕНКА?#cat
00:13
Лайки Like
Рет қаралды 2,6 МЛН