Mch Moses Magembe - ROHO MTAKATIFU

  Рет қаралды 21,316

Rev Moses MagembeTv

Rev Moses MagembeTv

3 жыл бұрын

Ibada ya jumapili asubuhi Tar 23.05 Katika kanisa la T.A.G Majumbasita Gospel Campaign Centre.

Пікірлер: 28
@CatherineJohn-uc9ft
@CatherineJohn-uc9ft 11 ай бұрын
Mungu nisaidie nisiwe mzembe
@user-fl9fe6ru4i
@user-fl9fe6ru4i 8 ай бұрын
Barikiwa mtumishi
@user-fu9dg3xx4j
@user-fu9dg3xx4j Жыл бұрын
Amen ubarikiwe sana mchungaji
@muyobokethomas3785
@muyobokethomas3785 Жыл бұрын
Na sisi Kenya tunawasikiriza Muchungaji
@IsayaSchone-kt7uq
@IsayaSchone-kt7uq 6 ай бұрын
barikiwa san
@muyobokethomas3785
@muyobokethomas3785 Жыл бұрын
Muchungaji kitabu hicho kinaweza patikana kwa njiya Gani"Lakini mutapokeya Nguvu"
@yudaseleman8320
@yudaseleman8320 Ай бұрын
Matendo 1:8
@kalubanshimba6670
@kalubanshimba6670 Жыл бұрын
Nimeipenda hiyo ufalme usiotikisika kweli Baba Mungu azidi kukutu mia
@charlesrondo9764
@charlesrondo9764 2 жыл бұрын
Songa Miele na bwana unawasaidia washirika na wachungaji bwana aendelee kukutia nguvu nakuombea mtumishi WA mungu
@dorcasmalubi6769
@dorcasmalubi6769 2 жыл бұрын
Amina Mtumishi wa Mungu! Mafundisho yako yako yamefanya hata huduma yangu ipande viwango! Mungu akubariki!
@stellahmwangacongrats6836
@stellahmwangacongrats6836 2 жыл бұрын
Amen baba hakika Mungu atusaidie hapo kwenye kusema ukweli maana😭
@harimakidesu3680
@harimakidesu3680 3 жыл бұрын
Mungu azidi kukutumia mtumishi
@festaaroni1736
@festaaroni1736 2 жыл бұрын
Ameni mtumishi ubarikiwe sana
@alenivyombo1919
@alenivyombo1919 Жыл бұрын
🙏
@orgashayo4562
@orgashayo4562 Жыл бұрын
Ameeen Amen Mungu azidi kwashoria nguvu zake Dani yako akupe ujasili kwa jili ya Utukufu wake
@nsenga_cento
@nsenga_cento 3 жыл бұрын
Amena. Sisi tunachangamuka. Mambo yao ya dunia hayatuhusu, hatuhusiki. Ninabarikiwaaaa, haleluyaaaaaaa
@isayamalale9833
@isayamalale9833 2 жыл бұрын
Nabarikiwa Sana na kila mahubiri yako baba mchungaji nikiwa tag busenda napenda unavyo lifafanua adiko
@jay-nyeye1900
@jay-nyeye1900 3 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa mungu
@zawadiomari7409
@zawadiomari7409 3 жыл бұрын
Ameen
@gracemwangosi9017
@gracemwangosi9017 3 жыл бұрын
Amen hii ndio kweli sasa
@nyagasagocelestine3636
@nyagasagocelestine3636 2 жыл бұрын
Amen
@alexanderkyeveo5452
@alexanderkyeveo5452 3 жыл бұрын
Mungu mwema, I love the annointing 😊
@josuekalonda9416
@josuekalonda9416 3 жыл бұрын
Naomba nipewe namba ya simu ya yule missionary wa Lubumbashi.
@naomiethebaddie6335
@naomiethebaddie6335 3 жыл бұрын
asante sana baba na kuitaji marekani ,tena naomba contact number, mimi nikotayari.
@nsenga_cento
@nsenga_cento 3 жыл бұрын
Ninalo swali. Hapa unaposema unaelekezwa na mchungaji hutaki, na mkuu yeyote kanisani, na kusema ni kumpinga Roho mtakatifu. Kila maongozo ya mchungaji, kiongozi yanatoka kwa Roho Mtakatifu? Je ikiwa ni mchungaji ambaye Roho hayiko naye, unakuta anakuongoza kinyume na neno la Mungu, je tutakubari kabisa kwa kusema tusimpinge Roho Mtakatifu. Asante kwa msaada wenu kuhusu swali hili.
@julieteshehiza4097
@julieteshehiza4097 3 жыл бұрын
iwapo hakimtukuzi Mungu usishiriki, Hivyo kiwe cha Bwana.
@marykanute6558
@marykanute6558 3 жыл бұрын
@@julieteshehiza4097 yes. Kipimo chetu ni Neno la kweli la Mungu kwa kila kisemwacho haijalishi anasema nani
@laurentemmanuel2242
@laurentemmanuel2242 3 жыл бұрын
🙏
Mch Moses Magembe - ROHO MTAKATIFU
1:20:25
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 20 М.
Mch Moses Magembe - ROHO MTAKATIFU NA MUAMINI | Siku ya 06 Asubuhi
2:41:27
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 6 М.
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 84 МЛН
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 33 МЛН
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 9 МЛН
LIVE; ZIJUE KAZI TATU ZA ROHO MTAKATIFU NDANI YA KANISA "PASTOR MGOGO
48:57
Pastor Daniel Mgogo
Рет қаралды 6 М.
REV. MOSES  MAGEMBE SONGEA DAY 3
1:42:49
MISUFINI CHRISTIAN CENTER TV
Рет қаралды 241
Rev Moses Magembe- MTAJI WA MWINJILISTI NI WENYE DHAMBI.
5:03
EVANGELIST KANANI
Рет қаралды 23 М.
KUFAHAMU KARAMA ZA ROHO MTAKATIFU NA JINSI YA KUZITUMIA || PASTOR GEORGE MUKABWA
2:03:24
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 23 М.
MBINU ZA KUOMBEA MAJARIBU || Mwl Christopher Mwakasege
1:23:21
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 141 М.
Hizi hapa dakika 15 tu! za Kufurahi na Mch. Hananja. UDSM CCT.
15:29
UDSM CCT MEDIA
Рет қаралды 911 М.
Kusikia sauti ya roho mtakatifu 1 (Joyce Meyer KiSwahili)
24:03
Joyce Meyer Ministries Kiswahili
Рет қаралды 39 М.
MATOKEO MAKUU YA MAOMBI - REV:MOSES MAGEMBE
1:07:33
Sautikuutv
Рет қаралды 69 М.