No video

Kishimba: Wataalamu Wanajuwa Kusoma na Kuandika I Hawana Maarifa I Kwanini Polisi Kwenye Mitihani

  Рет қаралды 71,354

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 78
@crissinkala3110
@crissinkala3110 2 жыл бұрын
Mzee wa hoja za msingi hongera sana
@allenmunzary1557
@allenmunzary1557 5 ай бұрын
Uyu mzee ndo anajua maisha halisi ya mtanzania,hongera sana
@neponova8988
@neponova8988 2 жыл бұрын
Always on point sir....respect
@johnbenjamini9804
@johnbenjamini9804 2 жыл бұрын
Noma sana mzee nakuamini
@norascomulenzi222
@norascomulenzi222 2 жыл бұрын
Kanda ya ziwa kuna watu wenye ufahamu mkubwa mnoo, mchango mzuri kanda ya ziwa matofali ya kuchoma ndo yanatumika pia ndo imara hata wakiulizwa engeners.
@yustinasindamwaka8072
@yustinasindamwaka8072 2 жыл бұрын
Huenda hula vichwa vya samaki nisikia vichwa vya samaki ukila unakuwa na akili sana(nsomile)
@adrianmuwelelwa1674
@adrianmuwelelwa1674 2 жыл бұрын
mzee hao watalaam ni wasomi wa kukariri hakuna wanachojua
@mathewdamian4735
@mathewdamian4735 2 жыл бұрын
Basi hao polisi wawe wanafika shuleni mara kwa mara ili wale watoto inapofika siku ya mitihani wasiwaogope la sivyo ile siku ya mitihani wasiende kuwazingira kama majambazi fulani vile
@festovenas502
@festovenas502 2 жыл бұрын
Wewe nimwakilishi wa Wana nchi sio mlajitu hongela mungu akutunze
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 2 жыл бұрын
Elimu ya msingi ni muhimu sana kuliko elimu za madesa na kupoteza muda ..
@user-ht6wt6kt5f
@user-ht6wt6kt5f 5 ай бұрын
Uyu mzee mkn sana
@Skomi-0nedayyes
@Skomi-0nedayyes 2 жыл бұрын
Im proud of you kishimba u a the best always
@mwendapolejulius4685
@mwendapolejulius4685 2 жыл бұрын
Safi sana, tungekuwa na watu kama nyie nusu ya nchi tungepiga hatua kubwa sana
@pastorb.alaurent1006
@pastorb.alaurent1006 2 жыл бұрын
Mbunge hongera sana kwa hoja zr ya Askali kwenda kusimamia mitian Kama kuna ukweli moo
@leonishiyo5052
@leonishiyo5052 2 жыл бұрын
mzee hongera Sana mwenyewe sahvi doctor ila nakumbu cku ya mtihani for 4 unasachiwa na polic Kama gaidi
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone 2 жыл бұрын
Hahahahhahahaha
@ejidemaswalikinoja5643
@ejidemaswalikinoja5643 2 жыл бұрын
Jumanne Kishimba hajawahi kukosea hata kidogo kabisa maana hayo mambo ni dhahiri kabisa.. na kuhusu Dini ni kweli kabisa dini zetu za asili zianze kufundishwa pia 😂😂😂
@cbegram6161
@cbegram6161 2 жыл бұрын
Hapo kwenye dini naunga mkono hoja mheshimiwa
@mohamedimazige1585
@mohamedimazige1585 Жыл бұрын
Huyu ndiye Mbunge mwenye akili zaidi kuwahi kutokea Tanzania
@maniakihengu4941
@maniakihengu4941 2 жыл бұрын
Safi Sana mbunge
@emanuelsamson-hq2jv
@emanuelsamson-hq2jv Жыл бұрын
Kishimba musukumaa nyieeee nihataliii San mungu awabarikiii
@onyangoemanuel4061
@onyangoemanuel4061 Жыл бұрын
Nakukubali kishimba
@abdebasalsalum1309
@abdebasalsalum1309 Жыл бұрын
this man deselve more
@Skomi-0nedayyes
@Skomi-0nedayyes 2 жыл бұрын
Long life kishimba
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone 2 жыл бұрын
Angekuwepo magufuli ndohiyo lingekuw saw
@juliaskayanda3578
@juliaskayanda3578 2 жыл бұрын
Kishimba yaani maneno yake yanamaana kubwa sana ukiyatafakali kwa umakini
@mekumeku2484
@mekumeku2484 2 жыл бұрын
Jamaa safi sana
@yasmeenaal4191
@yasmeenaal4191 2 жыл бұрын
Baba unazidi kuukonga moyo wangu
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone 2 жыл бұрын
Saw kabsa kweny matofali ukosahihi saan
@husseinnkuna4260
@husseinnkuna4260 Жыл бұрын
Huyu mzee angepewa wizara ya viwanda angefaa sana daah.
@godlovekamuntu973
@godlovekamuntu973 2 жыл бұрын
Spendi mtu kusifiwa siku ya mazishi. Huyu Baba akitambuliwa akiwa mzima,ataongea mpaka ziada,na atasaidia uelewa wa wengi.
@ericklyatuu1301
@ericklyatuu1301 2 жыл бұрын
Jamaa anaongea kweli
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone 2 жыл бұрын
Wasukuma hawana uzungu uzung
@JIWEtv6484
@JIWEtv6484 2 жыл бұрын
Uzungu wa nn
@ginamasauna8906
@ginamasauna8906 Жыл бұрын
Mzee mungu akupe ulinzi
@robertabely5794
@robertabely5794 2 жыл бұрын
Nzuri
@jamaa2760
@jamaa2760 2 жыл бұрын
Ajabu, Mila na desturi zetu zmepuuzwa sana, hata mia nzuri zinapuuzwa pia, Utandawazi!
@mugirejoseph5474
@mugirejoseph5474 2 жыл бұрын
Safi
@fatimangoma5461
@fatimangoma5461 2 жыл бұрын
Good
@kissizanberi
@kissizanberi Жыл бұрын
Huyu jamaa anachukuliwa poa poa lakin mimi namwelewa sana ana hoja zinazo eleweka sana🚶🚶🚶🚶🚶🚶
@thabitikibonajoro1230
@thabitikibonajoro1230 2 жыл бұрын
Sawa kabsa
@godfreyayo7831
@godfreyayo7831 Жыл бұрын
Kweli huyu ni Prof
@lewisjovin
@lewisjovin Жыл бұрын
Mzee Kishimba ana akili sana.
@willydugilo3258
@willydugilo3258 Жыл бұрын
Hakika!!
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone 2 жыл бұрын
Aiseeeeee
@eliasnganira7661
@eliasnganira7661 2 жыл бұрын
Ni kweli
@fadhililihinda6491
@fadhililihinda6491 2 жыл бұрын
Kweli usichanganye Kati ya ELIMU na AKILI. Kishimba J4 ana akili though Hana elimu
@machiyakulwa1687
@machiyakulwa1687 2 жыл бұрын
Huyu mzee anahitaji kutazamwa kwa makini ni mtu anaidia nzri Sana
@samwellema5642
@samwellema5642 2 жыл бұрын
Mzee anaubiga mwingi sana
@amonimwaitulo9346
@amonimwaitulo9346 2 жыл бұрын
Mheshimiwa pongeza kwako
@jerrymfinanga3773
@jerrymfinanga3773 Жыл бұрын
HOJAAA 100%
@yassinhamza1969
@yassinhamza1969 2 жыл бұрын
Huyu mzee kichwa
@ramadhanimtetu7246
@ramadhanimtetu7246 2 жыл бұрын
Huyu Mzee Apewe U Daktari wa Falsafa wa Heshima
@perfectmasawe5870
@perfectmasawe5870 2 жыл бұрын
Hapo kwenye usimamizi wa mitihani Mzee umetoa hoja ya msingi
@brayanphilipo1851
@brayanphilipo1851 2 жыл бұрын
👊🏼
@comrademlewaisavile336
@comrademlewaisavile336 2 жыл бұрын
Nondo za kanda yaziwa
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone 2 жыл бұрын
Umeona kanda yaziwa walivyo naakili
@merryluzwilo2866
@merryluzwilo2866 2 жыл бұрын
Mbunge kishimba ni wajimbo langu yani huwa ananivuja mbavu hata huwa nashindwa kujibu nangua kicheko hadi chaji inaisha cm inazima
@lewisjovin
@lewisjovin Жыл бұрын
Elimu si kingereza
@emmanuelcharles5613
@emmanuelcharles5613 2 жыл бұрын
Wakati ukifika profesa kachukuwe karatasi
@gipsonmwankobela2825
@gipsonmwankobela2825 2 жыл бұрын
akili nyingi sana
@sirmwita3351
@sirmwita3351 2 жыл бұрын
Nazani ile Doctor ya msukuma ungepewa wewe
@masaidelmangu6528
@masaidelmangu6528 2 жыл бұрын
Yeye alipewa uprofesor na Ndugai
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone 2 жыл бұрын
Baraaa wasukuma wanajalisaana mila jaman
@victorjames3730
@victorjames3730 2 жыл бұрын
Huyu MTU ni ana akili haswa
@abdiabdi5929
@abdiabdi5929 2 жыл бұрын
Daah mm naangalia leo huyu ni mwamba
@osianadavid3062
@osianadavid3062 Жыл бұрын
😂😂😂
@immaculatejohn9906
@immaculatejohn9906 2 жыл бұрын
Hahahah kishimba bwana
@emanuelmsechu9002
@emanuelmsechu9002 2 жыл бұрын
huyu ndo anastahili kuwa rais
@jumaabdalah1836
@jumaabdalah1836 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@salimrashid809
@salimrashid809 2 жыл бұрын
We inglikuw sio polisi unglikuwa hpo? We haujielew mzee
@isikesamike
@isikesamike 2 жыл бұрын
Huwezi kujilinganisha na mzee Kishimba hata kwa chochote. Humjui wala nini, nyamaza kabisa. Akili yako ni ya kulia ubwabwa tu.
@lucasseleli2203
@lucasseleli2203 2 жыл бұрын
Hujitambui
@JIWEtv6484
@JIWEtv6484 2 жыл бұрын
Kwani police ndio anafanya mtihan
@juenimusimu6359
@juenimusimu6359 2 жыл бұрын
Wewe ndo ujielewi, hao polic walikusaidia nini wewe kwenye mitihani wakati unajifunza kuandika huko mapolini kwenu?
@allypapaa489
@allypapaa489 2 жыл бұрын
Tuna Wasomi wasio elimika!
@mekumeku2484
@mekumeku2484 2 жыл бұрын
Huyu jamaa mpeni uraisi anafaa
小蚂蚁被感动了!火影忍者 #佐助 #家庭
00:54
火影忍者一家
Рет қаралды 53 МЛН
Это реально работает?!
00:33
БРУНО
Рет қаралды 4,3 МЛН
The Joker saves Harley Quinn from drowning!#joker  #shorts
00:34
Untitled Joker
Рет қаралды 53 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 61 МЛН
Mbunge aishauri serikali kuanzisha chuo cha wizi
5:41
Azam TV
Рет қаралды 154 М.
MBUNGE KISHIMBA ALIVYOWAVUNJA MBAVU WABUNGE KWA HOJA ZAKE
14:02
Millard Ayo
Рет қаралды 207 М.
Mbunge Kishimba awavun ja mbavu wabunge "Kwani akili ni Bando?"
10:05
Mwananchi Digital
Рет қаралды 32 М.
小蚂蚁被感动了!火影忍者 #佐助 #家庭
00:54
火影忍者一家
Рет қаралды 53 МЛН