MCHAMBUZI THABIT: NYUMA YA PAZIA VITA YA RUSSIA NA UKRAINE/TUTAUMIA SANA

  Рет қаралды 20,969

Gangana Info Channel

Gangana Info Channel

2 жыл бұрын

Пікірлер: 40
@alinanisimbeye9512
@alinanisimbeye9512 2 жыл бұрын
Kaka thabit tunakuamini hongela sana
@roggermwakyanjala3586
@roggermwakyanjala3586 2 жыл бұрын
Unajua kuotea brother Gangana... Ukaamua kumsaka kipanga wetu mapeeema
@maselemasele5959
@maselemasele5959 2 жыл бұрын
Huyu ni mchambuzi na anaijua history vizuri Sana ssr hongera Sana safii
@dorothymbuere5236
@dorothymbuere5236 2 жыл бұрын
Kusema kweri wewe hii kazi nimeisomea na imekukubari kabisa sio mbabaishaji.Tumeelewa vizuri sana nakupongeza Sana.
@makaramayatibamrmichaelkih3683
@makaramayatibamrmichaelkih3683 2 жыл бұрын
Hongera kwa uchambuzi
@adammgana5715
@adammgana5715 2 жыл бұрын
Brother upo deep sana lakin ili uendelee kuheshimika tafadhar usikubali kununuliwa na siasa hakika utathaminika sana na kuheshimika ....
@reubenmanembe6533
@reubenmanembe6533 2 жыл бұрын
Daah! Watu kama hawa cjui huwa Kwnn wanaachwa tu na serikali bila yakuwezeshwa chakufanya jmn!!!
@hamisiausi6083
@hamisiausi6083 Жыл бұрын
Unatujuza vyema ubarikiwe broo
@jumakifutu464
@jumakifutu464 2 жыл бұрын
Kaka hongera sana absolutely 💯
@hassanhamudy982
@hassanhamudy982 2 жыл бұрын
Thabit ndio alinifanya nka subscribe gangana chanel hua narejea clips zake zote za nyuma mara kwa mara
@liberatusulaya2269
@liberatusulaya2269 2 жыл бұрын
Sikuuu nyingii sanaa Mzee thabit , strategic thinker,
@emmanuelkanyela275
@emmanuelkanyela275 Жыл бұрын
Mimi kwa kweli American ndo anafanya Dunia isiwe na Amani
@HamisiGatuso
@HamisiGatuso Ай бұрын
Upo sawa unajua sana
@shabantelack5716
@shabantelack5716 2 жыл бұрын
Mwangu unajua to infinity ,so deep
@jacobnorbertchenga9465
@jacobnorbertchenga9465 2 жыл бұрын
Jamaa yuko fresh
@adamphinias2457
@adamphinias2457 2 жыл бұрын
Nlijua tu ntapata kitu hapa kuhusu huu mgogoro!!
@jacksonmartin8485
@jacksonmartin8485 2 жыл бұрын
Uko vizuri bro ila kuna muda unatumia maneno magumu ila najifunza kwako kitu
@michaelnsangano2229
@michaelnsangano2229 2 жыл бұрын
Very deep man Thabit
@thobiaskayange9302
@thobiaskayange9302 2 жыл бұрын
Huyu jamaaa smart sana ameniongezeaa maalifaa kumbe Tanzania 🇹🇿 kuna watu makini hivi kwa nini wapumbavu km kina mwijaku ndio wanakelele wanakuwa maarufu Huyu kaka hata kuongoza bunge anauwezo mpana Damnnnnn nitampataje Huyu mwambaa sanaaa
@roggermwakyanjala3586
@roggermwakyanjala3586 2 жыл бұрын
Safi sanaaaaaaa
@deusisindwa616
@deusisindwa616 2 жыл бұрын
Safi sn Ninamda mlefu cjakufatilia
@salehkhamis8653
@salehkhamis8653 2 жыл бұрын
hii channal nime subscribed kwa huyu mchambuzi2 nimemuelewa sana heshima kwako brother ila tunaomba muendelezo
@paschalcharles3617
@paschalcharles3617 2 жыл бұрын
Hakika lengo la URUSI lazima litimie lazima huyo volodimyr zelensyky Rais wa UKRAINE ambae ni kibaraka wa marekani aondolewe madarakani atake asitake
@godshanthomas3297
@godshanthomas3297 2 жыл бұрын
Nilikua nasubiri hii kwa hamu
@jacobnorbertchenga9465
@jacobnorbertchenga9465 2 жыл бұрын
Mchizi anaitwa nani ? nime mkubali sana Khalid
@shedrackjacob6038
@shedrackjacob6038 2 жыл бұрын
Thabiti mrangi
@salehkhamis8653
@salehkhamis8653 2 жыл бұрын
kweli upo sahihi mchambuzi nimekuelewa mwanzo mwisho... kwakweli propaganda za nchi za magharibi zimeenea katka hii vita
@venanceselegebu8566
@venanceselegebu8566 Жыл бұрын
Uwe unamleta kaka thabiti mlangi mara Kwa mara Kwa mada tofauti
@simonmwashambela3233
@simonmwashambela3233 2 жыл бұрын
yaaan apo umewini bro gongana tulikuwa tunamsubri mlangi
@jackhans7708
@jackhans7708 2 жыл бұрын
Bro hapa umechemsha,hauijuwi hii story au unajifanya mjinga.
@kamalbashir5127
@kamalbashir5127 Жыл бұрын
Mchambuzi suala la raia wa Ukraine kuisapoti Russia, sio kweli mm naishi ulaya mda mrefu, waukraine hawataki Kua party of Russia, wao wanataka kua taifa huru, kama mataifa ya jirani.pia warusi wanaishi Ukraine ni wahamiaji kama watanganyika wanavo hamia zanzibar. Kwa hiyo kuna baadhi ya mambo mchambuzi huko sawa
@muichorekishagani1751
@muichorekishagani1751 2 жыл бұрын
naukubali uchambuzi wako , uchambuzi wa kitaalamu kabisa
@Pedeshee01
@Pedeshee01 2 жыл бұрын
Sisi Africa tuna viongozi maboya tu hawawazi kujitegemea.Urusi ni taifa kubwa lina nguvu Marekani naye ndiye kiranja wa dunia ana nguvu watayamaliza kikubwa hawa.Vita vya kwanza vya Ghuba chanzo ni Sadam kuivamia kuwait,UN wakampa pigo Sadam akaomba poo,Afghanistan,Iraq na Libia Marekani na washirika wake Nato walienda bila kibali cha UN kwa sababu wanazozijua wao,kama Libia ingekuwa ipo vizuri kijeshi ama Iraq ama Afghanistan wangejadiliana mezani lakini hao wote serikali zao zilikuwa hazina nguvu kubwa kijeshi wakapigwa na kupinduliwa na wengine wakauliwa,Huyu Urusi ni mkubwa mwenzao wameishia vikwazo tu na kubweka kama mbwa asiyeng'ata. Sisi huku Africa miaka nenda miaka rudi kuna vita leo hii tugeukie Urusi na Ucrain eti huu si ujuha.kisa eti Ursula(kiongozi wa U.E)anasema Putin kaleta vita Europe inamaana wao kwengine kukiwaka moto wanaona raha ehhh?kila mmoja apambane na hali yake,Sisi Africa tutawakumbatia hawa viongozi wetu hawana tofauti na Mwijaku na Juma lokole,Viongozi hawana akili za kulinda mali za Africa karne zijazo vizazi vyetu vitatucheka kama sisi tunavyowaona babu zetu waliliuza bara letu kwa wakoloni.Sisi tunaliuza kwa mikataba ya kilaghai pamoja na kujua kusoma wale hawakujua kusoma na kuandika.Mungu ibariki Africa bariki kizazi chake na umoja wa wa Tanzania Aamen!
@user-mm6no9kp1s
@user-mm6no9kp1s Ай бұрын
Wewe kimbe ni kibaraka
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 Ай бұрын
Safisha mavi kwanza mkundun
@jumanassoro1552
@jumanassoro1552 2 жыл бұрын
Wachambuzi vipi mnaita vita wakati ni operation maarum nyie vipi
@kamalbashir5127
@kamalbashir5127 Жыл бұрын
Kwa maana hiyo ,waukraine hawataki Kua na Russia bali putin analazimisha tuu,neo maana 2014 wayukraine walifanya maandamano nchi nzima kumuondoa yule raisi kibaraka wa Russia. Ndugu mchambuzi Kua makini na uchambuzi waki
CHEKECHE || Ukosefu wa Dolla na sababu za kuadimika kwake
24:37
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 16 МЛН
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 18 МЛН
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 8 МЛН
MCHAMBUZI THABIT AFAFANUA DHANA YAKUSHINDA NA KUSHINDWA KWENYE VITA
21:31
Gangana Info Channel
Рет қаралды 9 М.
MCHAMBUZI THABITI, AIBUKA VITA BARIDI, MAWASILIANO KIMKAKATI, TAARIFA ZA CORONA
29:00
MCHAMBUZI THABIT AFAFANUA KUHUSU UZALENDO,MKATABA WA BANDARI
39:02
Gangana Info Channel
Рет қаралды 3,4 М.
MCHAMBUZI THABIT TENA,HUU NI USWAHILI
13:44
Gangana Info Channel
Рет қаралды 1,8 М.
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 16 МЛН