CHEKECHE : Je, mwelekeo wa BRICS una athari gani kwa nchi za Magharibi na Bara la Afrika?

  Рет қаралды 13,135

Azam TV

Azam TV

11 ай бұрын

Je, mwelekeo wa BRICS una athari gani kwa nchi za Magharibi na Bara la Afrika?

Пікірлер: 35
@dominicksangu8934
@dominicksangu8934 10 ай бұрын
Very good
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 11 ай бұрын
Thabiti Mrangi mmemuacha wapi Leo? Yule Jamaa ni mchambuzi mzuri sana
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 11 ай бұрын
Rais wa Russia Vladimir Putin na Rais China Xi Jiping walisema Changes is Coming to Africa maana yake Mabadiliko yanakuja Afrika kupitia Umoja wa BRICS wameamua kutusaidia Afrika kujitegemea. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee🇹🇿🇹🇿
@kassim1262
@kassim1262 10 ай бұрын
Hahahah wanatafuta uanja wakutuibia vizuri tu mchina mwizi wakutupwa ae nikuulize kwanini kila cku mcina anatujengea brbr zetu lakin hatuoni mabadiliko au htupati misaada kutika China
@GeorgeUsele-kr6qk
@GeorgeUsele-kr6qk 11 ай бұрын
Kifo Cha marekani atakufa taratibu sio gafla kwahy haya yote yanayofanyika yatamuua taratibu
@celifpower4993
@celifpower4993 11 ай бұрын
Toka phoenix Arizona nawa fata 💯 chekeche kipindi pendwa changu
@sammymdemeka7937
@sammymdemeka7937 11 ай бұрын
THE WIND OF CHANGE! BRICS WAMEONDOA UBABAISM WATU FULANI! VIVA PUTIN VIVA RUSSIA!
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 10 ай бұрын
Kwanza viongozi wa afrika waache wizi pili wakiingia madarakani Hawatoki tatu. Mwafri aki ulizwa Hela walizo kopa wamefanyia Nini hawana majibu kama huamini Leo hii yubadilishane na marekani na tanzania baada ya miaka kumi tuta omba msaaada tena
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 11 ай бұрын
Sababu ya Nigeria kuzuiwa kujiunga BRICS ni kwa sababu amefungamana na Nchi za Magharibi hivyo tusitegemee Nigeria na Nchi kama Kenya kujiunga BRICS sababu ni Vibaraka wa Nchi za Magharibi. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee🇹🇿🇹🇿
@godfreyfrugence4176
@godfreyfrugence4176 10 ай бұрын
Nikwel
@kassim1262
@kassim1262 10 ай бұрын
India mwenyewe iopo kwenye mgogoro na china kuhusu mipaka india hiyo hiyo ipo kwenye nchi wanachama jumuia yamadola yani hasa mataifa yaliotawaliwa na Uingereza vp apo usitudanganye em tueleweshe
@noelnjementi8511
@noelnjementi8511 11 ай бұрын
Awo nimadikteta TU mwenye demokrasia alikuwani1 tu blazir
@danstanmushobozi-bu7ru
@danstanmushobozi-bu7ru 11 ай бұрын
Kwani demokrasia inasaidia nini? Maana hata hapa Tanzania demokrasia ipo kuwanufaisha Wana siasa tu, huku wananchi wa kawaida wakilia njaa.
@mohamedismail2662
@mohamedismail2662 10 ай бұрын
Sekta ya utengenezaji inajumuisha makampuni mbalimbali ya viwanda katika sekta mbalimbali, ikiwa ni pamoja na mafuta ya petroli, chuma, ndege, magari, kemikali, mawasiliano ya simu, umeme, usindikaji wa chakula, mbao, bidhaa za walaji na madini.
@renatusblandes1131
@renatusblandes1131 11 ай бұрын
Star Tv ipo Azam
@alphoncejohn6308
@alphoncejohn6308 11 ай бұрын
Safi brics naiona ina vision ya mbali
@yorsaliembeyene270
@yorsaliembeyene270 11 ай бұрын
👌🏽👌🏽👌🏽👌🏽🇲🇴🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
@noelnjementi8511
@noelnjementi8511 11 ай бұрын
Raymond naomba utujulishe taiwani inendereaje na swala lakiongozi wa Wagner kk tujue mstakabari wake napia swala laindia kutuma chombo chake mwezini kwani co jambo dogo kk
@noelnjementi8511
@noelnjementi8511 11 ай бұрын
Yani iki kipindi nakipend sn asa uyu mtangazaji wake anajuwa sn akika tukiikosa asa ivi vipindi vyaabar zakidunia
@noelnjementi8511
@noelnjementi8511 11 ай бұрын
Umoja wamadikteta duniani Yani bristi
@vladimirputn1809
@vladimirputn1809 11 ай бұрын
Ufinyu waakili ulionao
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 11 ай бұрын
Chochote kinachoibuliwa huwa ni kwa misingi maalum, mfano, Covid-19, Vita ya kwanza ya dunia, Vita vya pili vya dunia, Chanjo, Uzazi wa mpango, Madawa ya kulevya, Soko la siraha, AID's hii imeenda au kuna swali? Vita vya Ukraine na mzozo wa Niger sasa basi huu ni mwanzo wa tu wa anguko la uchumi duniani kwasababu Dolla ifikapo may be 2030 BRICKS itakuwa imeizamisha kabisa Dolla
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 11 ай бұрын
Natamani na sisi Tanzania tuingie rasmi BRICS mwaka 2025 maana kwa sasa tumeanza kushirikia Mikutano ya BRICS. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee🇹🇿🇹🇿
@godfreyfrugence4176
@godfreyfrugence4176 10 ай бұрын
Sahau hilo labda uongoz ubadilike
@petrompunga221
@petrompunga221 11 ай бұрын
Tukijiunga BRIGS kwa sisi Tanzania, tutakuwa na shida
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 11 ай бұрын
Ni Suali au maelezo?
@noelnjementi8511
@noelnjementi8511 11 ай бұрын
Akuna kitu apo marekani Dola yake itaanguka saw ila tusisaau nakugawanyika kwaurusi
@IsmailiNiraji
@IsmailiNiraji 11 ай бұрын
kivip mzee toa fact
@hamisifamba6436
@hamisifamba6436 10 ай бұрын
Sawa nabiiii lini sasa hyo
@hassansingano1150
@hassansingano1150 11 ай бұрын
Ikitokea Tanzania kuomba kujiunga na BRICS, Itakubaliwa kwa haraka sana, kwanini? Kwasababu Tanzania **NI ENEO LA KIMKAKATI KIUCHUMI AFRIKA MASHARIKI NA KATI** ASANTE
@ahmadkazema1055
@ahmadkazema1055 11 ай бұрын
Ni wachache sana wanatambua hili,kama viongozi wa juu kabisa hawakutambua umuhimu wa bandari ya Bagamoyo,sasa hivi watu wanajadili bandari kisa UAE wamepewa na wamo BRICS,..unaweza ona jinsi West wanavyotumia kila namna kuzorotesha maendeleo yetu,na ya Africa kwa ujumla..
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 11 ай бұрын
NYIE ACHENI KUICHEZEA MAREKANI!!AMEAMUA KUZIKUSANYA DOLA ZAKE!ANGALIA DUNIA HASA AFRICA TUNAVYOPATA TAABU YA KUFANYA BIASHARA! NA LOCAL MONEY ZA KIAFRICA ZINAVYOZIDI KUWA MAKARATASI!!
@Pedeshee01
@Pedeshee01 11 ай бұрын
Umesomea uchumi lakini hamza?hawa jamaa kuanzisha umoja wao na kuanzisha shilingi yake ni kuwa dola itakua haitumiki kwenye nchi hizi wakitaka kufanya biashara kwenye soko la kimataifa kwa maana hiyo dola itapoteza thamani na kama dola itajaa sana marekani inamaana uchumi utadorora.Hii pesa ilikua inapata sana nguvu pale ukinunua mafuta kule mashariki ya kati.Waliweka mfumo petrodolar kwa maana ukitaka mafuta ni lazima ununue kwa dola ila kwa sasa India ama china akitaka mafuta kwa Saudia anaweza kutumia tu sarafu yake mpaka hapo itakapotoka sarafu ya Bricks.ndugu yangu soma vizuri uchumi utaelewa.
@ahmadkazema1055
@ahmadkazema1055 11 ай бұрын
Kwa kifupi,dollar kwa sasa inatumika kama silaha,na sio kiuchumi/biashara,.mfano,interest za bank ya IMF,ni x2 kwa nchi africa..umeona hela za Russia zilivyozuiliwa,na kutolewa kwny SWIFT system..so Brics inaleta uhuru wa kibiashara..dunia imesimama,fujo tuu hakuna biashara,utemi..
@noelnjementi8511
@noelnjementi8511 11 ай бұрын
Ebu wapagani nawatu wenye dini kwer wanaweza kufanya mashilikiano ukwer apo najuwa aiwezekan apo niunafki TU akuna kitu apo
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 22 МЛН
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 17 МЛН
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 78 МЛН
BRICS expansion: five countries join ranks
0:53
africanews
Рет қаралды 63 М.
Urusi yatangaza kusimamisha mkataba kati yake na Marekani
9:53
The war in Ukraine and the decline of the West | #1623 with Douglas Macgregor
2:01:30
Ally Kamwe ajiuzulu kama Afisa Habari wa Klabu ya Yanga!
3:08
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 7 М.
MCHAMBUZI THABIT: NYUMA YA PAZIA VITA YA RUSSIA NA UKRAINE/TUTAUMIA SANA
37:37
Gangana Info Channel
Рет қаралды 20 М.