CHEKECHE || Ukosefu wa Dolla na sababu za kuadimika kwake

  Рет қаралды 5,775

Azam TV

Azam TV

11 ай бұрын

Dunia inaweweseka kwa ukosefu wa Dolla ya Marekani kwenye mzunguko wa fedha na kusababisha biashara na shughuli nyingi za maendeleo kukwama huku watu wengi wakiwa hawajui ni kwanini shughuli zinakwama kwa ukosefu wa Dolla ilihali Tanzania tuna sarafu yetu.
Ufafanuzi unatolewa na Dkt. Nassib Mramba mtaalamu wa uchumi

Пікірлер: 18
@user-yk7ff9ks6q
@user-yk7ff9ks6q 11 ай бұрын
Nchi za kiafrika ziachane na dola na kutumia pesa za ndani ili kukuza uchumi wao binafsi
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq Ай бұрын
Huna akili utaagiza Gali Japan Kwa Hela yetu
@user-uo7vz4ji4u
@user-uo7vz4ji4u 10 ай бұрын
Kwa mtazamo wangu sababuhizo hazina mashiko
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq Ай бұрын
Mara watalii walipungua huku serikali inasema waliongezeka
@msabahaali758
@msabahaali758 10 ай бұрын
CCM nchi imewashinda semeni ukweli
@user-we5px7gp2r
@user-we5px7gp2r 11 ай бұрын
Tutaongezaje uzalishaji wakati viwanda karibu vyote vilibiafsishwa baada ya Julius kutoka madarakani? Na bahati mbaya sana vikauawa?
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln 11 ай бұрын
Mm nauliza kwanini tusitumie mifumo mingine ya kifedha bila kutegemea dollar? kwa mfano zile nchi za BRICS wanataka kuanzisha mifumo yao ya kifedha wanataka kuondoa utegemezi wa dollar. huenda wakaanzisha sarafu yao ambayo itatumika kwa ajili ya biashara na matumizi mingine
@nasiburajabumramba4996
@nasiburajabumramba4996 11 ай бұрын
ni hoja ya msingi. sisi na kenya hatupasi kuuziana kwa dolla, kenya itulipe kwa hela za kenya na sisi tuwalipe kwa TZS.
@user-ye3xp1lf7i
@user-ye3xp1lf7i 2 ай бұрын
Hapabongo ukinuuagari wanakwambia wanauza kwadora shiringiyetu razimaiwehainasamani
@mohdmohd8428
@mohdmohd8428 5 ай бұрын
Tuache kulala na kupeana bodaboda, tuekeze kwenye science na technology kwa vijana ili kutengeneza demand ya wataalam, pia tucwaache diaspora
@issakwisamwasanjobe541
@issakwisamwasanjobe541 9 ай бұрын
Sera ya kukataza serikali isijenge viwanda Bali mpaka wawekezaji inaingiza mkenge taifa kwani hakuna muwekezaji atakaejenga kiwanda Cha kushindana na viwanda vya nje tunajenga uchumi kibogoyo tangu tubinafsishe viwanda
@rowlandkitinusa3671
@rowlandkitinusa3671 11 ай бұрын
somo zuri,, tumewaelewa sana.
@user-we5px7gp2r
@user-we5px7gp2r 11 ай бұрын
Bado
@mohammedmfamau43
@mohammedmfamau43 10 ай бұрын
Tunataka brics gold coins hatuhitaji hayo magazeti yao ya marekani
@DavisShilale-rt4vl
@DavisShilale-rt4vl 9 ай бұрын
Tumia akili sio mihemko
@mohammedmfamau43
@mohammedmfamau43 9 ай бұрын
@@DavisShilale-rt4vl akili gani ya kutengeneza migogoro duniani?
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq Ай бұрын
?
Зачем он туда залез?
00:25
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 3,3 МЛН
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 25 МЛН
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 8 МЛН
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 58 МЛН
MCHAMBUZI THABIT AFAFANUA DHANA YAKUSHINDA NA KUSHINDWA KWENYE VITA
21:31
Gangana Info Channel
Рет қаралды 9 М.
MCHAMBUZI THABIT TENA,HUU NI USWAHILI
13:44
Gangana Info Channel
Рет қаралды 1,8 М.
Зачем он туда залез?
00:25
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 3,3 МЛН