Namkubali Sana jamaa huyu na mwaitege ila mama yao Ni 🌹 muhando
@LeahMendamenda Жыл бұрын
Good
@godfreysanziki14612 жыл бұрын
Sijachelewa sana.
@victorgoodluck29222 жыл бұрын
Amen
@glorysarah_Music2 жыл бұрын
Niseme kweli mimi mkenya,sikuwa mfuasi wa abwene nlikuwa namsikiaga lakini muda nimeaza kumfuata shuhuda zake,kweli nabarikiwa
@yasintaraphael83342 жыл бұрын
Ubalikiwe mtumishi wa MUNGU
@eppiemodest2 жыл бұрын
Mjukuu wangu yuko darasa la pili. Anasema ndoto yake ni kuja kuwa mwimbaji mkubwa na mwalimu vilevile. Na anaimba kweli hata sasa. Je. Nianze kimsaidia vipi?
@naomichamhene78053 жыл бұрын
umebarikiwa kuwa na akili nyingi sana.
@malaikahansen2 жыл бұрын
Kiingilio kiitwe “ ku-support huduma “
@nativeinfotv96203 жыл бұрын
AMBWENE,nimependa majibu yako
@judithmagaigwa95662 жыл бұрын
Ambwene mwasongwe
@judithmagaigwa95662 жыл бұрын
Ambwene mwasongwe Nguvu za nyat
@judithmagaigwa95662 жыл бұрын
Ambwene
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
Kuwatii wazaz ktk yaliyomema tu vijana tambuen hilo
@mariamabena52472 жыл бұрын
Ubarikiwe sana, wimbo wa majaribu ni mtaji ulinitoa katika jaribu zito,
@realscholarships-bolde.23442 жыл бұрын
Waefeso 6:1 watoto wawatii wazazi wenu katika Mungu.
@gosbertmuta54212 жыл бұрын
@@realscholarships-bolde.2344 yaleyale au nimekosea kusema ktk yaliyomema?
@damiangarang19002 жыл бұрын
Ase nmefurahia sana hii interview! Ambwene una IQ kubwa sana
@majaliwamwandembo20483 жыл бұрын
Anayefuata aje bahati bukuku
@malkiarosemuhando33103 жыл бұрын
Big up my kaka ambwene umebarikiwa sana
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
@@malkiarosemuhando3310 shkamo Dada 😋 rose muhando