Msiwaamini wachina kwani Ulaya wanawashindwa pamoja na taifa moja la ki Afrika sitaki kulitaja jina wameshindikzna Ulaya.msiwaone ni watu wa maana hawana lolote.Kaeni macho wabongo wenzangu asilimia kubwa ni matapeli.
@jamilajamila45727 ай бұрын
Duh izo hela ungenunua tu mpya pole sana mchina kala pesa nyingi
@Jurbeg7 ай бұрын
Huyu jet lee kumbe nitapeli hivii 😂😂😂
@TheBastarrrd7 ай бұрын
😂😂 mcheza kamari huyoo
@tanzaniacarschannel69757 ай бұрын
Dah.. insurance elimu
@chriskimuto14257 ай бұрын
Msiwaamini sana wachina wapo wabongo ni mafundi kuliko hao wachina
@elisantemrita94907 ай бұрын
Eti aende polisi .kwani uyo OSS hakuwa polisi nchi hii inaujanja mwingi sana
@benjo_brighter7 ай бұрын
Umeona kuwa gari halishughulikiwi na bado unatoa pesa zaidi ya mara mbili 🤔
@Brunn-mh2bq7 ай бұрын
Tafuteni mike nyingine jamani moja tu ya kupokezana noma
@jsabood7 ай бұрын
Responsibility ya mkuu ya wilaya inaingiliana na mahakama. Majukumu ya vyombo hivi vya serikali vina tofauti kubwa. Huwezi mtu huna elimu ya uhakimu uka fanya kazi ya uhakimu.. Kama serikali haito weka wazi majukumu na kuwezesha utendaji wa kazi bora serikalini, hii itazalisha kila mtu kufanya majukumu ya mwezake. Kama polisi atafanya kazi ya traffic halafu akikumata atakupeleka kwa traffic rafiki yake. Tunaomba mweshimiwa waziri mkuu atowe kauli yake kuhusu kuingiliana kwa majukumu ya utendaji kazi kwa vyombo vya serikali. Mheshimiwa Rais ameagiza kutatuwa matatizo ya wananchi na sio kuwa kama rais unaingiliya utendaji kazi ya vyombo vingine vya serikali. Kesi ya mchina ipo mahakamani. Wacha mkondo wa sheria uchukuwe utendaji wake. Mkuu wa wilaya au mkoa waelezwe majukumu yao. Lugha anayotumiya ni udhalalishaji wa haki ya mtu. Vipi tunataka wawezekezaji ikiwa hatuwezi kufuata job responsibilities. Jamani tutizame tunakwenda wapi na vipi.
@YusuphKyando-j2eАй бұрын
Huyu mchina ninoma mm mwenyewe kanipiga sina ham nae
@MRHURUMAHuruma7 ай бұрын
Naona arusha kama tunarudi tena kile kipind cha magufuli ya kufanya kaz nje ya sheria na mahakama,mama alipoingia watu walipumua maana kuna utawala wa kisheria lakin sasa kuna ubabe ambao inawapa wakuu mamulaka ya kukuweka ndan masaa 48 na vyombo vya dola mamulaka kukukamata mda wowote ,anachofanya mkuu wa mkoa ni jambo nzuri lakin awe makin kuna watu watatumia nafas hiz kuwapiga watu haswa vyombo vya usalma
@RashidRamadhani-b5o7 ай бұрын
Geuzeni supu tu sheria iwafuate ninyi
@KalotvTanzania7 ай бұрын
Hapa hakuna mkuu wa wilaya ni bwabwa tuu hilo hebu ajaribu hata kumsikiliza mtu mana ana haki
@alextarimo49727 ай бұрын
How much is a ford ranger..
@athumanfuko1997 ай бұрын
kama 120milion mpaka tz la mwaka 2023
@BilaliBilali-t9k7 ай бұрын
Tapta hyuo
@ElishaSolomoni-kc4zk7 ай бұрын
KUMEKUCHA XX
@richardbegga66797 ай бұрын
Sasa Mkuu wa Wiraya nae hajui Sheria? Anawagiza Police wakati anajua hiyo ni Kesi ya Madai na Police hawahusiki nayo? Au anataka amfungulie Kesi ya Kujipatia pesa kwa Njia ya Udanganyifu? Mutshindwa huko Mahakamani acheni Ujinga fungueni kesi ya Madai sio Police Juzi Wametoka Kushindwa Kesi kule Dar ya Serena Hostel kwa Ujinga wao