Mchungaji Hananja asimulia alivyotoka kwenye Maisha ya Utukutu, Baunsa wa Bar hadi kuwa Mchungaji

  Рет қаралды 84,002

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

2 жыл бұрын

Mchungaji Hananja asimulia alivyotoka kwenye Maisha ya Utukutu, Baunsa wa Bar hadi kuwa Mchungaji

Пікірлер: 39
@jacobnduya798
@jacobnduya798 Жыл бұрын
Nimegundua siwezi kuchoka nikimsikiliza huyu mchungaji😁 Thanks alot for interview kumbe ujana maswali uzee ugonjwa utoto utumwa🤭
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Жыл бұрын
Dunia ya Sasa wanahitajika watu kama hawa. Ukiwasikikiza hata kama unamawazo unatudi kwenye furaha.
@oyay2821
@oyay2821 Жыл бұрын
Mfupi kama tairi ya gari, nguvu kama faru John🤣🤣🤣
@princessjj8298
@princessjj8298 Жыл бұрын
Huyu baba ana kipaji cha pekee sana, yaani anaongea neno jipya kwa kadri anavyoendelea kuongea hata watangazaji mnakosa maswali ya kumuuliza. Haichoshi kumsikiliza😅😅
@abdulomary6128
@abdulomary6128 2 жыл бұрын
Huyo power misunga alikuja kuwa mlinzi kwenye kampuni ya Mohamed Enterprise, alikuwa na maneno kama huyu aiseee, hatari sana.
@alphoncemayala4214
@alphoncemayala4214 Жыл бұрын
Haaaaa naona Siku hio jahazi mlipata mtu na nusu 😂😂😂kwani Yale maswali yenu leo hayajapata nafasi au vip
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 Жыл бұрын
Uyo mchungaji Yuko sawa
@ibrahimsanga690
@ibrahimsanga690 Жыл бұрын
Namba 2 namba ya masaidiano..
@constantinennonjela3922
@constantinennonjela3922 Жыл бұрын
Huyu pastor ni zawadi ya furaha
@janejohn1083
@janejohn1083 Жыл бұрын
Mchungaji kabla hajaongea Mimi nimeshacheka hatanikiwa namawazo vipi ananifariji
@eliabazil4580
@eliabazil4580 2 жыл бұрын
mchungaji ana maneno matam sanaaaaa
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
Ubarikiwe Hananja
@ochutrendmwonekano5619
@ochutrendmwonekano5619 2 жыл бұрын
Aseeee
@ZROST
@ZROST Жыл бұрын
We mjungaji mungu ni mwema unaongea vizur Unakipaji
@hemedmalamsha8829
@hemedmalamsha8829 Жыл бұрын
Huyu mzee namkuli sana anajua
@aishatest4451
@aishatest4451 Жыл бұрын
kweli
@MarandaIhonde-qe6df
@MarandaIhonde-qe6df Жыл бұрын
watu wa namna hii mngu awe anawareta wengi iri waokoe iki kizazi
@personpeter2221
@personpeter2221 Жыл бұрын
Interview tam hasa nmeipenda
@hannamakamba6108
@hannamakamba6108 2 жыл бұрын
Mchungaji comedy
@mrmartinipaul2464
@mrmartinipaul2464 Жыл бұрын
Waongo mbwa nyie hiyo ya kutoka kuwa bausa wa baa mbona hatujaisikia
MCHUNGAJI HANANJA AMPA ONYO MASANJA KUISHI NA MWANAMKE MSALITI
16:56
SIMULIZI ZONE
Рет қаралды 107 М.
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 14 МЛН
Watu Walinielewa Vibaya Kuhusu Mtume Mwamposa Richard Hananja
19:13
WANAWAKE SIKU HIZI KAMA GARI LA MKAA / YESU HATUJUI
36:45
Mjini FM
Рет қаралды 36 М.
BIG CHAWA FT MCH RICHARD HANANJA #2023NjiaInatoa
13:26
BIG CHAWA
Рет қаралды 36 М.
UTACHEKA UFE MISEMO YA MCHUNGAJI HANANJA
20:55
Mbengo Tv
Рет қаралды 28 М.
MCHUNGAJI HANANJA AINA NNE ZA MAHUSIANO, AINA NNE ZA MKE
20:39
Tacmen Group
Рет қаралды 586 М.