Mchungaji Richard Hananja Amkingia Kifua Nandy kuhusu Ndoa na Ujauzito! | Tusitoa Hukumu

  Рет қаралды 21,726

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Күн бұрын

Mchungaji Richard Hananja Amkingia Kifua Nandy kuhusu Ndoa na Ujauzito! | Tusitoa Hukumu

Пікірлер: 22
@sarahsulubu8587
@sarahsulubu8587 Жыл бұрын
Huyu pastor mungu amsaidie aende mbinguni🙏
@obedysylvester3024
@obedysylvester3024 Жыл бұрын
Trust me this is one in a million
@rehemamwandemani5182
@rehemamwandemani5182 Жыл бұрын
My best Pastor
@remafnstv7398
@remafnstv7398 2 жыл бұрын
Big points 🙏🏿
@vanessastafford5120
@vanessastafford5120 Жыл бұрын
😂😂😂😂mchungaji 👏👏👏👏👏
@linahsemindu4261
@linahsemindu4261 2 жыл бұрын
Huyu mchungaji bwana khaaa😆😆😆
@marymasha9789
@marymasha9789 2 жыл бұрын
Hahaha hatari
@linahmuli9784
@linahmuli9784 2 жыл бұрын
Well said.....2sihukumu
@jemamdendemi3375
@jemamdendemi3375 2 жыл бұрын
Inafurahisha sana
@sekelakatitu9419
@sekelakatitu9419 2 жыл бұрын
Raha sana
@shalizybety9320
@shalizybety9320 2 жыл бұрын
Mchungaj nakupenda bure unaongea ukwel wew sio mnafiki ...kanisa lako wap
@ochutrendmwonekano5619
@ochutrendmwonekano5619 2 жыл бұрын
Mzee anajitambua sana
@leaherasto929
@leaherasto929 2 жыл бұрын
Anaongea ukweli
@pendopendojoshua7624
@pendopendojoshua7624 2 жыл бұрын
Mchungaji kiboko😂😂
@pulikisia7963
@pulikisia7963 2 жыл бұрын
Majibu kama haya watu ndio wanayapenda kwa sababu uzinzi imeshakua kawaida na unapendwa.
@martinlema4192
@martinlema4192 2 жыл бұрын
Wewe hujawahi kuzini?
@pulikisia7963
@pulikisia7963 2 жыл бұрын
@@martinlema4192 NDIO!! sijawahi kuzini.
@bokimmwamba2322
@bokimmwamba2322 2 жыл бұрын
Sasa wazinifu waachwe huko huko dhambini au? Msifanye watu wakabaki kwenye utumwa wa dhambi Wakijihusi kama hawafai Tena maishani, wapo watu wanayaonea haya makanisa kwa dhambi zao tunawaokoaje hao ifike point tuwajengee hali ya kujiamini wakatudi kwenye nyumba za bwana nae akawafanya vile aonavyo. Huenda ni kweli hujawahi kuzin ila ni kweli pia una dhambi na unatenda dhambi hapa na pale Sasa tukuhumu kwa dhambi hizo kuwa hufai? No no you always need next chance
@pulikisia7963
@pulikisia7963 2 жыл бұрын
@@bokimmwamba2322 Ni kweli Kabisaa!! Ndio maana hata Nandy na mwenzake walikubaliwa kuingia Kanisani na kufunga ndo,hakuna aliyewazuia,lakini hiyo haimaanishi kuwa walichokifanya kifunikwefunikwe kisikosolewe.Ukweli lazima usemwe ili watu wasiendekeze DHAMBI na kumkosoa mtu haimaanishi anahukumiwa.
@kingkong1506
@kingkong1506 2 жыл бұрын
Huyu pastor anazingua
@gabrieljoseph4603
@gabrieljoseph4603 2 жыл бұрын
Binafsi huwa sichoki kusikiliza mafundisho yako mtumishi wa mungu balikiwa sana
@martinlema4192
@martinlema4192 2 жыл бұрын
Bwana akubarikie; Namwomba akusaidie hitaji la moyo wako.
大家都拉出了什么#小丑 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 81 МЛН
МЕБЕЛЬ ВЫДАСТ СОТРУДНИКАМ ПОЛИЦИИ ТАБЕЛЬНУЮ МЕБЕЛЬ
00:20
Mwanaume Akiomba Andazi Anapewa By Mariam Migomba | Kitchen Party Online
5:14