No video

SHUHUDIA MCHUNGAJI HANANJA AKISHUSHA 'NONDO' NZITO JUU YA MAADILI JIJINI DODOMA

  Рет қаралды 27,150

Jordan Media

Jordan Media

Күн бұрын

KATIKA kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Familia, Mei 15, 2023, Mchungaji Hananja Kutoka Jijini Dar es Salaam Alipata Nafasi Ya kualikwa kwenye Maadhimisho Hayo Ambayo yalifanyika Katika Viwanja Vya Nyerere Square Jijini Dodoma.
.
Na Hapa Alikuwa Akizungumza Na Wananchi;
.
"Kila mmoja ana thamani, tupeane thamani kwenye familia zetu ili kuimarisha upendo.Binadamu tumepewa akili ya utambuzi tofauti na wanyama na ndiyo maana huwezi kuta wanyama wamekaa kikao kurekebishana tabia lakini sisi tuna uwezo wa kurekebisha tulipokosea ,hivyo tufanye jitihada katika kulinda maadili katika Jamii zetu” Amesema Mchungaji Hananja.
#MchungajiHananja
#JordanMediaupdates
#JordanTv255

Пікірлер: 12
@gabrielpott3325
@gabrielpott3325 Жыл бұрын
Ameen saana mtumishi barikiwa saana mzeee
@barakamassinde7482
@barakamassinde7482 Ай бұрын
Ipo njema hii
@ShidaKazungu-tp8ld
@ShidaKazungu-tp8ld 4 ай бұрын
Ameni pastor jamani
@RichardGilbartMPAGAZE-hk2ny
@RichardGilbartMPAGAZE-hk2ny 7 ай бұрын
Amen ❤❤❤
@AnomieKashindi-to9ep
@AnomieKashindi-to9ep 11 ай бұрын
Amen
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
U b arikiwe Hananja❤
@alphabintu1306
@alphabintu1306 10 ай бұрын
Good 🇨🇩
@barakamassinde7482
@barakamassinde7482 Ай бұрын
Tuna akiliiiiiiiiii
@leah8532
@leah8532 Жыл бұрын
Ameen
@user-dj7iz2nc2j
@user-dj7iz2nc2j Жыл бұрын
Kusema.ukweli .kucheka.danikukubali anayosema hukika 5:32
@alphabintu1306
@alphabintu1306 10 ай бұрын
Amen
Little brothers couldn't stay calm when they noticed a bin lorry #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 19 МЛН
How I Did The SELF BENDING Spoon 😱🥄 #shorts
00:19
Wian
Рет қаралды 36 МЛН
Пройди игру и получи 5 чупа-чупсов (2024)
00:49
Екатерина Ковалева
Рет қаралды 3,8 МЛН
THAMANI YA MWANAUME IKO KWENYE MAENEO HAYA HAPA  MCH HANANJA
30:47
#MarriageRealLifeTalk | Rinazon Ministry
Рет қаралды 250 М.
Little brothers couldn't stay calm when they noticed a bin lorry #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 19 МЛН