Huyu mchungaji namkubali xana,anaongea ukweli mtupuuu 👏👏 MUNGU akupe maisha marefuuuu,be blessed pastor
@EssauEmanuel-j9r Жыл бұрын
Hekima na busara maarifa na ufahamu mkubwa unapatikana kwenye neno la Mungu.mzee wangu Mungu aendelee kukufanikisha.
@Wami-Sababisho Жыл бұрын
Huyu mzee Aishi sana,maana anaongea ukweli na kama mtu utashindwa kumuelewa huyu basi tena.🎉🎉🎉🎉🎉
@ndera_boy_tz_acter4578 Жыл бұрын
Thanks for give me point my pastor hananja
@sixberthcostantini9290 Жыл бұрын
Mchungaji tunashukuru sana kwakutupa elimu ya maisha sisi vijana Tunahitaji elim ya maisha kuacha elim ya darasani Hivyo uliyoyaongea nisahihi kabisa tunakushukuru sana Mungu akulinde sana sana
@SimonLaswah8 ай бұрын
Namkubali sana huyu mchungaji anachosema ni kweli
@charleslambourne483110 ай бұрын
Ubarikiwe mno. Una kipaji Sana Pia huogopi kuongea ukweli.
@gallousgosbert499310 ай бұрын
Huyu mchungaji huwa namfananisha na yule kijana Godlove
@savemeallah5180 Жыл бұрын
amina amina sana mshauri mwema munguaku samee makosa uliyo yafanya kwanguvu zamwenyezi mungu kaza imaniyako pasta mungu akufungulie kilalaeri amina ❤🎉
@MohammedMohammed-uo5sk Жыл бұрын
Hananja mm ni muislamu lakini nakufuatilia sana coz unsmtaja mungu na mungu ndio wetu sote.shukrana jazaka allah kheir
@sophiakimaro5174 Жыл бұрын
Mchungaji akiongea ni kama comedy lakini ni bonge la lesson. Nakupenda bure pastor
@Wami-Sababisho Жыл бұрын
Na ili watanzania wakuelewe lazima ufanye kama anavyofanya 😂😂, yaani nikiona chochote kuhusu yeye lazima nimsikilize kasemaje. Ana vitu vingi sana vya kuelimisha maana anaongea uhalisia hana siasa.Mungu ambariki sana
@evaristmbuya6220 Жыл бұрын
Sophia mambo😊😊
@emmanuelsembua42827 ай бұрын
@Wami😅o0 3:05 -Sababisho
@loycep7785 Жыл бұрын
Ukweli mchungaji Hananja Mungu akubariki mno mno maana unaenda na Biblia mkisema ile kweli na hiyo kweli itwaweka huru Hata mimi naungana na wewe mchungaji kwamba siju zote na miezi na miaka iko sawa kwa Mungu Isipokuwa ni tabia tu wanadamu tulivyo
@ireneinnocent4128 Жыл бұрын
Hakika mchungaji uko vizuri sana. Hongera baba sichoki kukusikiliza kabisa
@leonardongwae8257 Жыл бұрын
Nampenda sana uyu mchunganji comedian am watching from Qatar
@kuschprince32166 ай бұрын
" Hapo ni kweli sana mchungaji!! Nov/ Dacember 31 ni siku ya makafara! Mimi yalinikuta dec. 31 kuamkia mwaka huu 2024!! Naishi ulaya na nilitemani kusherehekea na ndugu/ jamii yangu kumbe nilikuwa nimepelekwa mizimuni nife siku hiyo!! Ghafla nilishikwa mbavu na kupoteza fahamu na kufungwa maneno na nikawaona ndugu zangu wakanipa kisu nishikile mkono kushoto ni chinje kitu!! Niliwaachia Mungu wáwahukumu!!
@mwakipiano45686 ай бұрын
Pole Sana ni Neema ya MUNGU
@kuschprince32166 ай бұрын
@@mwakipiano4568 Mchungaji haikuishia hapo! Tarehe 17. jan.2024, nilishikwa kabari na wakora hapo Mombasa GPO kwa nyuma! Walikua vijana 4 lakini kwa neema na ujasiri nilioupata kutoka juu, tulipambana na wakakimbia na waliwahi kuiba tu miwani! Baada ya week moja nikwa kijijini (Kilifi/ Malindi county) nilisakamwa ni mwiba wa samaki jioni tukila dinner!! Hali ilikua mbaya sana lakini kwa maombi maumivu yaliacha baada ya week 1/2!! Kwa kifupi mwaka huu niliponea vifo mara tatu, jee hiyo ni kawaida!?!! Na pia kuna mchumba ambaye natarajia kumuowa, jee yaweza kuwa kuna nuksi kwani tulikutana kimwili, kindly advice me!! Naishi Germany!
@saumusulaiman4742 Жыл бұрын
Mungu akulinde xn pastor 🙌 🙏 nakuelewa xn unaongea ukweli xn❤
@PatriciaAkena Жыл бұрын
Mimi na mpenda kwa mawaitha..safi kabisa watu uwongea nikama shetani ana mamlaka kushinda mungu
@hkmfurazuberiismael7952 Жыл бұрын
Sio sili mimi n Muslim lkni Huyu Mchungaji nampenda sana ksbb anaongeaga Ukweli sana k,k,t Sipeech zake
@aminamjema-kf7qr Жыл бұрын
Hongera mchungaji mungu amekupa kipaji sana mistari ya bibilia unayo kichwani pia upo mkweli kuna vitu vya kujifunza na kujua unaishi VP na jamii
@totomuyenjwa-wv6vi Жыл бұрын
I appreciate you mchungaji,wewe ni mkweli hata msikitini unaingia, kubwa sisi sote lengo ni moja,kuwa mnyenyekevu,mtiifu, kiasi na toba ❤❤❤
@catherinemraishe3264 Жыл бұрын
MChungaji yuko vizuri sana ana mafundisho sana NAMPENDA SANA KWA KUJUA BIBLIA YOTE KICHWANI BONGE LA MWALIMU WA KILA NYANJA MUNGU AMPE MAISHA MAREFU
@LovenesyMhame6 ай бұрын
Kwakwer mweny kuelew n aelew nabarikiw zaid mafundish mengn hat mzazi hawez kukwambia❤❤❤
@rosemarenga832 Жыл бұрын
God bless you pastor
@ShukraniTulyanje-ql8ud Жыл бұрын
Nimekuelewa Sana baba hasa kwenye mafundisho ya hatua ya maisha point kubwa.
@totomuyenjwa-wv6vi Жыл бұрын
Tanzania kuna watu weengi wanakukubali zunguka mikoa yote kama kina mwamposa,watu wa dini zote tu/watakufata na kukuona, Godbless you.....
@yohanamsagara1999 Жыл бұрын
nakukubali sana mchungaji wangu 🎉🎉 unatoa mafundisho ya kwely
@MohammedMohammed-uo5sk Жыл бұрын
Shibe kwannza baba.Mwenyezimungu ndio mwenye kuruzukuuu
@MohammedMohammed-uo5sk Жыл бұрын
Mtoto faida , shukran mchungaji
@hilalmahrazi2287 Жыл бұрын
Nakukubali sana mchungaji wewe ni mwana filosofia
@fanuelhenrish2290 Жыл бұрын
Mungu akubariki mchungaji🙏🙏🙏
@RenaldLaswai Жыл бұрын
Mchungaji hananja hongera kwakuelimisha jamii
@emanueliwilison178 Жыл бұрын
Sana Bab tunakuombe tuombee tuvuke Salam 2024 nakupenda pastor hananja
@bakarimmbaga2344 Жыл бұрын
MCHUNGAJI HANANJA: Ubarikiwe sana kwa mahubiri yako yenye kujenga imani ya kweli. Hakika kila muumini yeyote anatamani kusikia somo lako
@alinotiwampe7420 Жыл бұрын
Mungu atulinde mchungaji hananja Wewe nimkufunzi mziri
@totomuyenjwa-wv6vi Жыл бұрын
I appreciate you
@EvalineRyoba-gr8xn Жыл бұрын
Ubarikiwe endelea kuhubiri neno LA mungu
@jacksonjoseph2895 Жыл бұрын
Balikiwa pastor
@MohammedMohammed-uo5sk Жыл бұрын
Asante sana dhambi ni dhambi so ukifanya dhambi fanya dhambi bila huruma😊
@IsacRobath Жыл бұрын
Estás de parabéns pastor 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@hedayajamada7039 Жыл бұрын
Yaan Mtumishi tunakupenda sana uwaga hauna ubaguz.i Wewe watu wote ni sawa.. ubarikiwe sana.i
@scollantandu2350 Жыл бұрын
Dah kwakweli mtumishi 🙏🙏
@fathiyahmuzney7367 Жыл бұрын
Mm ni muislam lkn huyu mchungaj namkubal sanaaa
@robartifabiani Жыл бұрын
Anajua sana
@farisfaris3156 Жыл бұрын
True ❤❤❤
@sixberthcostantini9290 Жыл бұрын
Kweli kabisa upo sahihi kiukweli anaongea ukweli penye ukweli
@suleimansaid8334 Жыл бұрын
Yap!
@mmeagroup-TV Жыл бұрын
Anatabia za kudadis tunamuombea adadis uis lam aw muislam
@dicksondotto958 Жыл бұрын
Asante sana Mchungaji
@kassimhashi49 Жыл бұрын
Tunakupenda sana
@ZainabuIddy-r1o Жыл бұрын
Point nzur sana Mchungaji ❤
@angelsulle7177 Жыл бұрын
Nalipenda sana Kanisa Katoliki ❤❤❤❤ Bwana Yesu alisimamie thidi ya mbwa mwitu
@Aziz-p6s Жыл бұрын
Papa
@Carolina-sm5zt Жыл бұрын
Papa ni Binadamu Kama wewe na mapungufu Kama wewe hiyo ni kofia tu
ASANTE BABA HANANJA, NI KWELI HAKUNA MWEZI MBAYA, ILA SISI TUNAFANYA MAOVU VIPINDI VYOTE, KUFRU, KIBURI, ANASA WIZI NK. TUJIEPUSHE
@hasankasam5576 Жыл бұрын
Namkubali sana ni true story yani sahihi, anamwamsha alielala,anampa nguvu alie kata tamaa, anamzindua aliedanganyika na anamfahamisha asiyejua kama hajui..
@mfirimassawe9023 Жыл бұрын
Bba mungu akupe afya Zaid uwe na mwisho mwema na kutuachia urithi was neno hilo
@hkmfurazuberiismael7952 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 Ahwiiiiiiii eti biashara barabalani wanawake wa leo jamani wachokozi
@eben_ezer8853 Жыл бұрын
Huwa nakuelewa sana mchungaji
@AsanteNsamba Жыл бұрын
Ishiii maishaaa marefuu baba hananjaaaa tunajifunzaaa mengii kwakoooo
@mauaabasi591 Жыл бұрын
Hongera Sana.kwa.kuwaelimisha.watu.
@peterminde4037 Жыл бұрын
Dah! Nimejifunza kitu ila nimecheka sana😂😅😂. Mchungaji aishi miaka mingi!!
@AwadhiKuziwa Жыл бұрын
Keep it bro Good interview
@afropanorama4730 Жыл бұрын
somo zuri mzee
@ramadhanikigoto Жыл бұрын
Uko vizuri sana mchungaji
@DeusMbalamwezi-h7t Жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu utupe matunda
@MaryBiyaki-t4y Жыл бұрын
Napenda maneno Yako kabisa ❤❤
@ErnestMshana-q6x Жыл бұрын
Rich billionea mchungaji of the world
@Dominant97 Жыл бұрын
Nakubariki Mchungaji wewe kwa Jima la Yesu kristo,nakubali sana mafundisho yako Amen.
@masudikhatibu9179 Жыл бұрын
👍👍🌹😁😁😁
@arjansonmloge5608 Жыл бұрын
Kweli siku zote ni sawa na zimeumbwa na Mungu bali tatizo letu ni kutaka kufanya mambo mengi katika muda mfupi! Hatuna subira!
@matimfuko641 Жыл бұрын
Baruti inapigwa paa na wewe paaa kwaheri😆😆😆😅😅😂😂
@MohammedMohammed-uo5sk Жыл бұрын
Mchungaji Hananji kiboko sana.kuelekezwaaaa
@casmuiddy7304 Жыл бұрын
Safi mchungaji Rich......🔥🔥🔥
@RichardGilbartMPAGAZE-hk2ny Жыл бұрын
Nakupenda sana mchungaj
@ustadhsaidi38016 ай бұрын
Nam! Ni Binadamu ndio hawazigatii Mazungumuzo ya Mch.HANANJA. Vijana wengi wanataka maisha ya short cut
@MohammedMohammed-uo5sk Жыл бұрын
Mchungaji Hanjani na kuheshimu na nakubali sana dini sio tatizo ila ufahamuuiu
@Aziz-p6s Жыл бұрын
Safi sana mzee
@Rehema-n8h10 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@MohammedMohammed-uo5sk Жыл бұрын
Wawili watapata moto kweli.sababu kijana anaebdelea na masomo lakini binti anaazirika na kutengwa.Dhambi ziko na darajaaa
@DanielMtafya-lh8mi Жыл бұрын
Pastor to Remember forever in my century.
@RASHIDKOMBO-w8j Жыл бұрын
Mzee safii
@estherminnahboaz6956 Жыл бұрын
Nampenda sana huyu mtumishi😅😅
@eminix2132 Жыл бұрын
Natoka county ya Uasin Gishu asante mjungaji anafahamu maandiko kwelikeli
@kaundasutikaunda7769 Жыл бұрын
MM HUYU NDIO MCHUNGAJI WANGU NAMBA 1 , ANATUMIA AKILI ZAKE VIZURI SANA
@ellymzera2457 Жыл бұрын
Hakuna jipya chini ya jua kweli Shukran kwa mafunzo 🇰🇪.
@tanzaniacarschannel6975 Жыл бұрын
Ukisikiliza kwa makini, hapa utagundua ubinadamu is all about common sense... But very unfortunately common sense is not common to everybody. Hapo ndo shida inapoanzia.watu wengi leo hawana common sense ya ku deal na mazingira yao
@charleslambourne483110 ай бұрын
Naombeni namba ya simu ya huyu mchungaji
@erickgabriel6645 Жыл бұрын
Aisee ni kwel tunakunywa sana pombe tukisafiri na gari binafsi
@ntobolomasanja9564 Жыл бұрын
Mch uko vzr
@linetbogonko2868 Жыл бұрын
Nimekusikiliza sana.
@IshipalemyPasko Жыл бұрын
Kabisa yaani. Ist inapigishwa ruti ya mbeya to kigoma ni noma isee😂😂😂😂
@SebastianJugle-lb7ob Жыл бұрын
❤
@fadhilidanieli14789 ай бұрын
Hahahahah mchungaji nimekuelewa saaaana
@cadiaOnesmo-hd5lr Жыл бұрын
Shemeji ake babu
@ndaziharuna4820 Жыл бұрын
Yaani Hananja kiukweli hua huniboi ata nikusikilizaje hingera sana mch
@saidymbagalla66224 ай бұрын
Ktk gari siipendi duniani ni haka ka IST ni kagari ka kifala sana
@MohammedMohammed-uo5sk Жыл бұрын
Kazi halali kwa sababu unaweza kupata pesa kwa Short cuts but unadbitiwa matumizi yake hata dadako hurusiwi kumsaidia so pesa ya short cut hatariiiiii😊
@hansondaniel-nb2jn Жыл бұрын
Hujawahi kuniangusha hananja 😂😂😂
@Youngchimodzi823 Жыл бұрын
Money is the mother of all evil
@rachelnamisi777 Жыл бұрын
The love of money
@mosesmwasanga7661 Жыл бұрын
Kipindi Kizuri Sana, Sana yani, ILa Mtangazaji Unaonaje Kwamba Uwage na Mic Mbili?
@HABARIJAMIIDIGITAL Жыл бұрын
Tunalifanyia kazi hilo kaka ,shukran sana kwa ushauri